Je kama namdai mtu pesa kiasi cha milioni moja ila mimi nipo kagera na yeye yupo Zanziba au nipo iringa na yeye yupo Zanzibar natakiwa nifanyeje naomba ushauri
Kama ni kosa la jinai umestaki au umepeleka kesi yako ya jinai police unatakiwa siku ya kutowa ushaindi tu uwepo sababu kesi zote za jinai zinaendeshwa na serekali wewe unakuwa kama shahindi namba moja upande wa serekali.tu.lakini kama ni madai autakiwe kupeleka police unatakiwa ufunguwe shauri lako mahakamani.siyo police ndipo mutapewa numba ya kesi yako kusikulizwa.police awana mamlaka ya kuendesha kesi ya madai.
Very well explained wakili, looking forward to seeing more content from you.
Asante sana kwa elimu hii Wakili Konda!
Je ni sawa mdai kumpeleka mdaiwa pollc
Je kama namdai mtu pesa kiasi cha milioni moja ila mimi nipo kagera na yeye yupo Zanziba au nipo iringa na yeye yupo Zanzibar natakiwa nifanyeje naomba ushauri
Asante sana
Mm. Nnasuli naomba kuliza. I've. Munapo pelekwa. Ktk mahakama. Nikawaida. Ya. Jwenda Alie shtakiwa. Pekeake ama. Wawepo. Wote wawili mshataki na Alie shtakiwa
Naomba no yako ndugu wakili
Kwa mawasiliano
Mheshiwa nashukuru Nina kesi kama hyo
Ndugu baada yakuanza mahakama ya mwanzo unarukia ya wilaya
Je mtu anaweza kuidai serikali kama haijamlipa pesa yake
Hllw
Je mtu anaweza kuidsi serikali.,au
Sorry naomba nisaidie namba Nina changamoto kama hiyoo
Asante kwa kufuatilia Wakili TV, tafadhali weka mawasiliano yako hapa ili tukuunganishe nae.