MAMA WAWILI NINA MIAKA MINNE SIJAWAHI KUSHIRIKI TENDO MUME WANGU KANIKIMBIA KISA NILIMFUMA NA MDOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2023
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 110

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Рік тому +11

    Mashaallah mashaallah umepeendeeeza mama wa wili hongera sana

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 Рік тому +4

    Mama wawili Hongera mwanamke mwenzangu, jitunze mungu atakupa mume, Alhamdulillah na mie nina miaka 6 sijafanya mapenz kwakua niko mwenyewe sihitaj kubadilisha Nami namuomba mungu anipe mume in sha Allah 😘

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Рік тому

      Dah! Ungesema hivi mbele yangu ningekutunza dada yangu.

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Рік тому

      Dah! Huyu dada atapata mtu wa maana amini nimeongea kwa kuguswa sana Mungu yupo pamoja na wewe endelea hivyo hivyo Usimuache Mungu Dunia ipo tu tutaiacha sisi tunapita tu. Mungu hapiti anadumu tengeneza kesho yako zinaa ni hatari nuksi mikosi kujidhalilisha kujivunjia heshima. Utakuwa dada yangu. Bro naomba mawasiliano yako.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +4

    Ma sha allah
    Mdd mzuri ma sha allah
    Mwuombe allah akujaalie mume mwema utampata
    Badilisha msimamo jistiri vaa jubaa udhuria ktk darsa la kina mama
    Allah atakufanyia wepesi wa kila hitajio lako

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Рік тому +4

    maashaallah maashaallah mama wawili nakuona tena kwa mara nyingi love 💘♥❤💖💕😍💘♥

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Рік тому +3

    Maa shaa Allah huyu dada Allah amhifadhi na amjaalie kila la khair

  • @felistersmejumaa
    @felistersmejumaa Рік тому +4

    Mashallah dada mzuri Allah azidi kukulinda pamoja na wanao

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 Рік тому +1

    Mashallah Allah akuzidishie imani na usiache ibada na dua Allah atakupa mume wa heri

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +8

    Mama wawili unamsimamo mzuri sana endelea kupambania wanao

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 Рік тому +6

    Allah akujaalie mume mwema

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 Рік тому +2

    Mungu mbere dada yangu utapata muchumba god bless 🙏

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +3

    Mungu yupo pamoja na ww kila kitu kitakuwa sawa kwa wakati

  • @rukia3540
    @rukia3540 Рік тому +2

    Mashaallah

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Рік тому +2

    kweli dada hongera sana

  • @scollajoseph5705
    @scollajoseph5705 Рік тому +3

    Hongera sana mama wawili kwa uvumilivu

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Рік тому +2

    Masha ALLAH una msimamo mzuri

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому

    Mungu akujalie Mume wa kheri na wew ❤❤

  • @abdulmustafa2148
    @abdulmustafa2148 Рік тому +1

    Masha Allah Allah akupe nguvu

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 Рік тому +2

    Inawezekana kabisa Kuolewa Bila kuzidiwa kinacho Takiwa kuwana misimamo nahofu yamungu mimi nime olewa Mala mbili lakini cjawahi kuzidiwa nahao walionioa

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому +2

    Mdada wangu nakupenda sana

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 Рік тому

    ❤mashaallah Allah atujaalie mume mwema lnshaallah

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Рік тому +3

    ManshaAllah mama wawili nakupenda sana hakika unamuogopa Allah umetulia Allah akupe mume mwema atakae ijuwa thaman yko na utulivu wako wewe ndo mwamamke haswa wa kislam mtihan ulio nao bado umetulia Allah azidi kukuhifadhi na Akufungulie milango ya rizki amiin nakupenda sana mwanamke ulio tulia utapata mume alie tulia kama ww na kuijuwa thaman yako mwanamke asie zini ndo Allah anae mpenda Allah yupo karibu na ww akupe kher zaidi na zaidi love u mdogo wangu

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Рік тому +2

    Hongera mwanamke lazima ujithamini

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 Рік тому +2

    Kapendeza wawooooo

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 Рік тому

    Mwenyezi Mungu azidi kukuhifadhi huo ndo uislam unavotuongoza.

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Рік тому +4

    Kawaida kukaa bira mwanaume kitu kikubwa uwe mpambananaji tuu

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +3

    Hongera Sana Mama wawili Mungu atakujaalia utapata Mume bora Inshaallah

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k Рік тому +1

    Mashalla she is good woman and she deserve batter husband material

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 Рік тому +2

    Sura umejaaliwa

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому

    Mungu akusaidie mamaangu

  • @user-xx1yw7jw2p
    @user-xx1yw7jw2p Рік тому +1

    Hongera sana dada simama na dini yako

  • @mwanaherhussani7425
    @mwanaherhussani7425 Рік тому

    Amenenepa mashallah mashallah

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Рік тому +2

    Inshallah utapata mwenye kheli na ww

  • @scollajoseph5705
    @scollajoseph5705 Рік тому +2

    Inawezekana kaka zair tena zaidi ya miaka 4

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 Рік тому +2

    Mama wawili umependeza MashaAllah heri ila tumbo akuna baby umo

  • @estertiffathomas5651
    @estertiffathomas5651 Рік тому +1

    Zahir vp munirah ameshaolew

  • @zainabmohd6524
    @zainabmohd6524 Рік тому +1

    Bora maana ndugu zetu wazanzibar wanaongoza kwa ndoa za siri yaan wanapenda sana hahhahah yaan bora ulivyoshtuka

  • @salehekinui2975
    @salehekinui2975 Рік тому +1

    Kiukweli Hilo alisemalo dada naamini nisahihi na inshaallah kwa msimamo huo atafanikiwa nahilo lawezekana awe na subra na huo mtazamo wa kuolewa na jamaa hiyo kwenye mtazamo and tu aowe kwa sura hiyo jalipo sawa kimsingi kurdhiaana ni ni sharti ktk ndoa kwa hiyo sura hiyo yupo sahihi nakufahamiana nadugu ni muhimu hakuna ndoa ya Siri Ina madhara makubwa ktk sheria

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Рік тому +5

    USIZINI JITUNZE UPATE MUME MWEMA

  • @abdulmustafa2148
    @abdulmustafa2148 Рік тому +1

    Mama wawili anadhibitisha unaweza kuoa wake wawili basi kumbe inatakiwa niongeze waaa

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +3

    Zahir umekua adimu kwa vipindi vyote. Kumbe upo. Munira keshaa enda unguja?

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 Рік тому +1

    Mda mrefu Zahir ulipotelea wapi ? Vipi huko kwa Zabibu na kwa mama happy ?

  • @bakariramadhani5516
    @bakariramadhani5516 Рік тому

    Asaalam aleykum vipi Hali yako mzima

  • @keimasare3748
    @keimasare3748 Рік тому

    Dada upo sawa,,, ila hapo kwenye suala la mpaka ujiskie wewe nayo ni changamoto,,,

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 Рік тому

    Kaa ulee watto wako mama wawili dunia hii ya leo

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 Рік тому +2

    Kuolewa Ni andiko

  • @ayeshiiddi302
    @ayeshiiddi302 Рік тому +1

    Naitaj no. Ya uyu dd Nina kk angu na nitacmamia mm Kila hatua Kama tutaafikiana

  • @abdulmustafa2148
    @abdulmustafa2148 Рік тому +1

    Hapo ndio kuna kizungumkuti

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 Рік тому +2

    Upo sasahihi Kuna mdg wangu Kaolewa na mtu wa Zanzibar lkn upande tanga huwezi amini hakuna ndugu hata mmoja wamume anaejua km kaoa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Рік тому +1

      Eeeh 🤣🤣

    • @aishashaibu4772
      @aishashaibu4772 Рік тому +1

      @@uwimana6533 habar ndohiyo nawala hana mke mungine nihuyo mdg wangu tu dogo kasepa anadai talaka yk

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Рік тому +1

      @@aishashaibu4772 mtume mazito 🤭

  • @fauziatumbo8221
    @fauziatumbo8221 Рік тому

    Nataka uwe mke mwenza wngu

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 Рік тому

    Mama wawili kapendeza jamani zahir vipi munira kaishia wapi tumemmis

  • @aminiajabiri2949
    @aminiajabiri2949 Рік тому

    Mimi nina 10 sija faja mapenzi mpaka naumwa

  • @faridaabdallah7424
    @faridaabdallah7424 Рік тому

    Kaka zahir tuletee Munira jamani Kwan comment zetu kwani uzioni🤔

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 Рік тому +1

    Mbona kama mjamzito?🤔🤔

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 Рік тому +3

    Hyu dada ni wife haswaa anahitaj mume mcha mungu mnoo....inshaallah utapata hitaj lako

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 Рік тому +1

    Kisheria n mke wa mtu hajapewa talak ni bora amwambia hyoo bwana ampe karatas yake

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 Рік тому

    Umeshapewa talaka? Na kama uende bado

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +3

    Wapo hao watu wanakuposa na kukuoa bila kukuzini

  • @scholamwasi2782
    @scholamwasi2782 Рік тому

    Malink ya kwenye magrupu mbona hamuweki saizi wengine simu zilipotea nimewamis wanafamilia wangu

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    zahir Nakupenda Sanaa kutokana Namoyo wako ♥️♥️Nakilaa Ninaposkia hiyo saut yako Namkumbuka Sanaa sere😭Mimi sina mengi yakuongea👉 zaid ya🤲Dua Kwa Mungu Akujaliye Umri Mrefu hili Uzid kusaidia Jamihi kutoka hapa🧘Nakusogea 👉paleee🙏

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +1

    Zahir unataka ataje na majina 🤣🤣🤣

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 Рік тому +2

    Hata mie namiaka sita sijawahi kuonana na mwanaume

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 Рік тому +1

      Muongo wewe

    • @maimonamaimona1177
      @maimonamaimona1177 Рік тому

      upo omani nn kamamm

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      @@maimonamaimona1177 Nami nilitaka nimwulize hilo swar umeniwahi🤣🤣🤣🤣yani Ukiishi inch za,,,,,,Unaweza toboa ata myaka 10 bila ,,,,,

    • @maimonamaimona1177
      @maimonamaimona1177 Рік тому

      @@janethkomba4485 kabisa mm nishamaliza6 nimebakisha miez5 nimalize7

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      @@maimonamaimona1177 Ongera yako

  • @suleimanjuma3833
    @suleimanjuma3833 Рік тому +2

    Hahahaha zahir ushakosa mke wa pili ww bado mdogo

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  Рік тому +1

      Mm pisi zangu asee sio hizi alafu huyu dada yangu

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 Рік тому

      @@maximumtvonline 😂😂😂 zahir umenifanya nicheke wallah

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 Рік тому +1

    Kaka zahr hussen kwa nn usiongeze jiko😜😜😜😜😜😜

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  Рік тому +1

      Unanichukuliaje Kwan ..

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 Рік тому +1

      @@maximumtvonline 🤣🤣🤣🤣🤣nakuchukulia kam kidumee ss kwan ttzo nn?

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 Рік тому +4

    Zahir twakumisi mno kaka yetu ,munira kashaolewa?

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +2

    Haaaaaaaa tatizo wanaume ni kuku hata akila sasa ivi akitoka nje anataka kula tena haaaaaaaaaaa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +3

    Mimi nina miaka 10 tena hii sijashiriki tendo la ndoa muhimu Lea watoto kwanza na upambane na maisha.

    • @bakarimohammed2796
      @bakarimohammed2796 Рік тому +1

      Kwa miaka 10 sidhani kama ni kweli

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 Рік тому +1

      @@bakarimohammed2796 kweli sidanganyi

    • @bakarimohammed2796
      @bakarimohammed2796 Рік тому +1

      Subuttuuuu,,miaka 10 masihara?

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 Рік тому +1

      @@bakarimohammed2796 inategema yupo wapi kama yupo nnje ya nchi sana arabuni arafu anajieshimu saw

    • @lesusi7872
      @lesusi7872 Рік тому +1

      Utakua uarabuni ww sio tz

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k Рік тому +1

    I missed you bro zahir

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  Рік тому +1

      Nipo hapa

    • @khadijaabdulaziz8297
      @khadijaabdulaziz8297 Рік тому

      Huwezi kuolewa mpaka uwe umepewa talaka na kama hujapewa wende kwa shehe wa mkoa kudai talaka utamuelezea 2 atakupatia

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому +1

    Zahir tuliku ku miss sana umeadimika brother