NILINYIMWA VISA NA NDOA YANGU MKONONI | CHANGAMOTO NILIZOPITIA NA NAMNA NILIVYOZIKABILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 101

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  4 місяці тому +7

    Shule za kusoma Kijerumani
    Goethe institute
    Hertz connecting Tanzania - Sinza

    • @user-th8bo9lu8n
      @user-th8bo9lu8n 4 місяці тому

      Da shena kusoma kijeruman inaweza chukua Ata mda gan mwanafunzi kuelewa na je Canada wanatumia lugha gan nipo Oman inshallah Mungu akujalie mwakan naweza kwenda Canada

    • @aishwaryakapoor6772
      @aishwaryakapoor6772 4 місяці тому

      Lkn daa shena ujatwambia bado mmeo mlipatana kwa njia gani intro kias inaongeza ladha ya stori😊

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 місяці тому +6

    Waah huo mtihani wakuvunjika mwezi mmoja tu baada ya kuingia nchi za wenyewe ni mtihani haswaa. Glory to God kwa kukuvusha

  • @user-th8bo9lu8n
    @user-th8bo9lu8n 4 місяці тому +3

    Wowii madam barikiwa Sana kwa elimu nzuri
    Love you more ❤❤

  • @nicedavid8536
    @nicedavid8536 2 місяці тому

    Leo ndio nimesikiliza hiii Story, pole sana kwa ajili.

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 2 місяці тому

    Hongera madam nimezidi kujifunza kutoka kwako ila kupatikana kwako kazi kweli

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 4 місяці тому +3

    Uwiii shena asante sana haki unatusaidia sana aisee. Haya mambo wengi tulikua hatuyajui lkn ashukuriwe Mungu aliyekuongoza kuanzisha hii channel. Thank you Shena and God bless you and your family ❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 місяці тому

      Shukran
      Kwetu sote ameen 🙏

    • @ashurajuma2024
      @ashurajuma2024 4 місяці тому

      Nakupenda tu shena
      .mungu akupe nguvu zaid

    • @naomijoseph7749
      @naomijoseph7749 4 місяці тому

      Barikiwa Sana kwa napenda unavyo jielezea hadi raha pole kwa viuma utapona dear

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 4 місяці тому +3

    Ushauri mzuri sana❤ pole pia kwa changamoto uliyopitia

  • @ashakassanga1
    @ashakassanga1 4 місяці тому +2

    Beautiful keep it up👍

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 4 місяці тому +2

    Pole sana kwa majaribu.
    Our God He is faithful always.

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 4 місяці тому +2

    Pole Shena kwa changamoto na asante kutujuza hizo nondo muhimu❤

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 4 місяці тому +1

    Pole sana shena, na pia hongera kwakutuelexea vizuri kwa undani na kwaupole utafika mbali

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 4 місяці тому

    Pole Shena na Hongera sana kwa kila kitu wewe ni mpambanaji.Hongera kwa kazi nzuri Mungu atazidi kukuinua

  • @zahramsangi3632
    @zahramsangi3632 4 місяці тому +1

    Pole sana kwa ajali uliyoipata Mungu atakuafu In Shaa Allwah

  • @aurelialema3945
    @aurelialema3945 4 місяці тому +2

    Point taken, dear. Hakuna kushangaashangaa ukifika nchi za watu

  • @safiam5338
    @safiam5338 4 місяці тому +1

    Pole sana dada myezi mungu akuseheliye kwa kila mtihani mabaya akuepushe

  • @samniza9015
    @samniza9015 3 місяці тому +1

    It was easy then, like in the UK1991 tumekuja bila visa.

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 4 місяці тому +2

    Pole sana kwa ajali. Hope unaendelea salama sasa.

  • @user-ky2ru7hl9j
    @user-ky2ru7hl9j 4 місяці тому

    Ahsante Shena kwa taarifa zako mzuri M/akubariki.

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug Місяць тому +2

    Nimependa hiki kipindi kimenielimisha

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому +1

    Umependeza sana.

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 4 місяці тому +1

    Pole sana kwa ajali uliyoipata. Pia hongera kwa kupata matibabu na kufanikisha mapema taratibu za Bima.

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 4 місяці тому +2

    Waoh God is good

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 місяці тому +2

    Kweli kila mahali ukiwa na leseni ya manual unaendesha gari zote manually na automatic

  • @fortunenova6242
    @fortunenova6242 4 місяці тому +1

    Jirani Jirani... Asante sana kutuhamasisha❤️❤️☺️☺️....hopefully na Mimi one day ntatoa testimony 🫶🏾🙏🏾

  • @aidaanatory9330
    @aidaanatory9330 4 місяці тому +3

    Dada pin huyo mtu ulosema ameamia sinza pls

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 4 місяці тому +2

    Sauti iko Chini kama unajiongelesha mwenyewe.

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 2 місяці тому

    Pole sana dada angu aise nimeumia sana 😢😢😢😢😢

  • @angelinakakulu1615
    @angelinakakulu1615 3 місяці тому

    Ulivunjika kwa ajali gani? Uko vizuri dada Mungu akubariki.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 місяці тому +2

    Ukifeli mara tatu unaruhusiwa kufanya mara ya nne lakini utapelekwa kwa mwana saikolojia kuhojiwa kwanza😅

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 місяці тому +1

      Yani nimesikia

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 місяці тому

      Lakini ukienda kwa huyo saikojia wala siyo shida. Unajieleza tu kuwa unakosea kwa vile unapata hofu ukiwa na huyo officer wakati wa kutainiwa. Mara nyingi mtu anafeli kwa sababu ya hofu tu siyo kwamba ameshindwa kuendesha gari. Unajitetea kuwa ni hofu lakini kuendesha unajua . Mara ya nne unapewa afficer mpole na friendly. Najua watu kadhaa walipita baada yakujieleza kwa hao saikolojia.

  • @patricialuande9540
    @patricialuande9540 4 місяці тому

    Mie Uk...wee nilianza from the scratch😅😅pole sana kwa matatixo...❤

  • @Ibrahim-om2lu
    @Ibrahim-om2lu 2 місяці тому

    Shukran

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 місяці тому

    Pole shena kwa mapito hakika everything happened for reason, ubarikiwe sana naendelea kujifunza kila siku Katika hii channel 😊

  • @user-dv7zs9wk2b
    @user-dv7zs9wk2b 4 місяці тому

    your doing well👏

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 4 місяці тому +2

    Jmn pole kipnz

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 4 місяці тому

    Asante sana shena tunajifunza na unatufumbua macho❤❤❤

  • @Ibrahim-om2lu
    @Ibrahim-om2lu 2 місяці тому

    Ok

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 2 місяці тому

    Hakika kila binadamu angalia anapumua ana maana kubwa sana

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 4 місяці тому

    Pole sana kipenzi chetu

  • @atuamohamed9664
    @atuamohamed9664 4 місяці тому +1

    Pole moinangu kwa changa moto zilokukuta
    Miye npeda sana kusikiliza hii mipango unayoiipitisha hapa ni mafuzo kwa wengi

  • @dorothyronald2445
    @dorothyronald2445 4 місяці тому +3

    Tunaomba jina la ile shule iliyoko Sinza.

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 3 місяці тому

    Bona wengi mkienda uraya munakuwa na furaha inamana tz kunashida ya maisha sana hari gumu

  • @othmanhajivi.s3682
    @othmanhajivi.s3682 3 місяці тому

    Pole sana sister

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 4 місяці тому +1

    Nice story sister!
    Mwaka gani ulisoma Goethe Institut?
    Nilifanya kazi pale,
    Karibu Ujerumani 😊

  • @berthaworner5936
    @berthaworner5936 4 місяці тому +2

    Hiyo ya kuendesha gari ni kama huku uingereza

  • @samniza9015
    @samniza9015 3 місяці тому

    Kituo cha red cross.

  • @YusuphShabani-wk5bv
    @YusuphShabani-wk5bv 3 місяці тому

    pole sana dada 😢😢

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 місяці тому

    Ni kweli mradi drive lience

  • @samniza9015
    @samniza9015 3 місяці тому

    Yaani Mimi kwa mambo hayo ya kuomba visa mbona ningeshindwa! Ninashukuru wakati tumekuja kila kitu serikali ili fanya obviously tulikua tunakuja shuleni 1986. Hata kwenda Uingereza Summer holiday Watanzania tulikua hatukuhitaji kwenda omba visa kutoka Czechoslovakia then in 1986. Tulikua tunakwenda ubalozi wa ujerumani tu kuomba visa/transit visa on our way to the UK.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 місяці тому +1

      Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza mengi ya enzi za 1986
      Litakua ni darasa kubwa sana kwetu
      +4367764790884

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 місяці тому

    Mlete huyo mwalimu wako jamani atoe madini kwa vijana wetu.

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 4 місяці тому +1

    Ni nzur kufanya kila kitu mapema hata mie nimefanya mapema

  • @zahramsangi3632
    @zahramsangi3632 4 місяці тому

    Ulipata ajali ukiwa na drive au ukiwa unasafiri?

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 місяці тому

    🤔Ulikosea kidogo Shena lakini umeshajifunza. Ungeomba fiancé visa ambayo ungetakiwa kufunga ndoa ndani ya miezi sita kabla haija expire. Ungetumia njia hio tena ungepewa visa ya indefinite leave to remain. Hapo tena ungekuwa mambo yamekaa vizuri zaidi. Anyway, tayari umeshapata uzoefu sasa hongera na asante kwa kushea🤝

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 місяці тому

      Nilikua nimeshafunga ndoa Tanzania
      Na visa ya kwanza ya matembezi nilikuja kama mke ila nilikua kazini
      Ukipewa visa ya kufunga ndoa ni valid kwa few months tu muwe mshafunga ndoa bila hivyo inakua terminated

    • @margaretachie-narcdiary7954
      @margaretachie-narcdiary7954 3 місяці тому +1

      Ingekuwa spousal visa

  • @enerstchimbala
    @enerstchimbala 4 місяці тому

    Pole dada mungu wa mbingu akuchunge sana mimi na itua Mr Ernest natamani unitumiyeko number Yako ya what's kusudi twanze kuongeya maswali mazuri sana kuhusu ya maendeleyo yetu ya maisha Asante dada usi saulike

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 4 місяці тому

    Pia passport tenda aliwin mmarekani passport zetu ni.mmarekani anayetengeneza

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому

    BASI HUKO NI KUZURI , UBELGIJI HIYO HAWANA KABISA. WEWE NI KUANZA MWANZO. THEORIE, THEN PRACTICAL.

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 4 місяці тому

    Bantu app mbona haifunguki on my side

  • @atuamohamed9664
    @atuamohamed9664 4 місяці тому

    Nipatiye namba yako ya whatsap

  • @Ki-l7s
    @Ki-l7s 4 місяці тому

    Mimi ni mkenya naishi Ujerumani. Nikija Austria nitakuita 📞 labda tunaweza tukaonana tunyue kahawa 😍

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 місяці тому

      Ahsante sana
      Karibu
      Na pia Karibu sana kwa kipindi 🥰

    • @Ki-l7s
      @Ki-l7s 4 місяці тому

      @@OfficialDatingAssistance Nashukuru 🙏🏾

  • @user-ky2ru7hl9j
    @user-ky2ru7hl9j 4 місяці тому

    Da shena mbona husomi comment zangu.

  • @donaldchacha
    @donaldchacha 4 місяці тому

    Una watoto wangapi?

  • @ameerabdalla3820
    @ameerabdalla3820 4 місяці тому +1

    Nauliza ajali ulopata imetokana na nini

  • @donaldchacha
    @donaldchacha 4 місяці тому

    Aliyekuwa analala mlangoni mwa duka ni homeless siyo kichaa

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 4 місяці тому +2

    Pole sana kwa majaribu.
    Our God He is faithful always.

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 місяці тому +2

    Kweli kila mahali ukiwa na leseni ya manual unaendesha gari zote manually na automatic

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 4 місяці тому +1

    Pole sana kwa majaribu.
    Our God He is faithful always.

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 4 місяці тому +2

    Pole sana kwa majaribu.
    Our God He is faithful always.