NIMESOMEA AFYA YA MENO HAPA UJERUMANI | TULIKUTANA ZANZIBAR | UKIFIKA ULAYA KIMBILIA KUSOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Maggeh ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Zanzibar mpaka kufika Ujerumani
    Ambapo alikua akifanya kazi ya hotel lakini kwa sasa yeye ni daktari msaidizi wa meno.
    Ambapo aliona fursa na akaamua kuitumia.
    Amesisitiza kukimbilia kusoma unapofika Ughaibuni na kua ukikimbilia kutafuta pesa, pesa pesa huwa haitoshi.
    Amewaasa vijana kuangalia aina ya mwenza ambae mtafanana ndoto na malengo ili maisha yaweze kua mazuri.
    Thank you Maggeh for allowing this to be online
    www.oda.international

КОМЕНТАРІ • 22