Sijui ata niwape tunzo gani naona kila ntayowapa haitofaa itakua ni ndogo kwa jitihada munayotufanyia ila bora niwaombe kwa Allah awape kila la kheri na awafanyie wepesi juu ya kazi zenu.... Mashallah uongozi wote wa Aqaz & Qadiria na pia niwapongeze wale waliofanikisha kazi zenu....
Yaani hii ni qasda imetisha hatari Juma na Faki Allah awahifadhi na waislamu Wote wa Zanzibar mzidi kutupa nashdi zenye kutufunza Sana. Allah atubarik sote. Napenda kuwaanasihi waislam kuwaunga mkono wanaqadiria
Ndugu yngu habar yko, mi ningekushauri kwanza ukapata mda kujua ni nn nasheed na nn musiki kwaio jitahid ulitafte hilo kwanza ...... Maana hii haina tofaut na tetema ya diamond maana kna musiki na kule upo ule ule huku kidogo hamna wanawake wliokaa uchi!!
Kila m1 naufundi wake ila aqaz kwangu asa wako juu, kwa7b wasomaji wake wanauwezo wakusoma kitu usichoweza kukiigizia na uo ndoufundi ila hafidhi hana atakaposoma mimi nisiweze kumuigizia utofauti itakuwa ni sauti tu yeye atakuwa na sauti yke namimi nitakuwa na sauti yang, lkn kiongizi fak au juma fak sio utofauti wa sauti tu hata kuigizia nitashindwa km ataamua kutaka kusoma ili nishindwe uwezo uo hafidh hana na uo ndoufudi wa hali ya juu
Tuna no yko ya whatsap kuna qaswida nikurushie ikisha ww mwenyewe utakubali haya maneno yngu kuwa kwa kiwango chake wako km yeye mana naamini wewe utabisha na kusema ni hafidhi kumbe wala si hafidhi asaa, jamaa kila kitu km hafidhi kuanzia usomaji mpaka sauti hakuna tofauti
Jamn kuna kaswida naiomba cjui kwa jina inaitwaj alisoma ust Salim rashid kuna kibwagizo kinasema wanaqadiria tumejawa na faraja jamn anaeijuia aniambie jina la hio qaswida plz
Nyinyi wawili mkikaa pamoja mnapendeza sana na mnafanya vizuri sana lakini juma wewe si mchezo uko juu sana mashaallah mashaallah
Yani qaswida imepangiliwa maneno yalioenda shule hakika mnajua maostadh zangu allah awanongoze katika kuelimisha umma allahumma aamiyn.
8faàķ
We ustadhi juma faki e unanimaliza dah unaimb vizr sanh mashaalàh ❤❤
MASHALLHA KWA WALE WANANDOA INA UJMBE MKUBWA HII KASWAIDA AMAKWELI QADIRIA IPO KWA AJILI YA KUELIMISHA JAMII
AHSANTE KIONGOZI FAKI & JUMA
Masha Allah yani sikosi kila siku kuisikiza mashahiri mazuri Alf mabrouk ❤️❤️❤️❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Qur-an je?
Quran lazima
Allah Akbar wallah raha hongereni kwa burdani iliy beba ujumb mzitoo. aaaah (no meng sihabaaa)
I wish inshaallaah siku moja nita jiunga qadiriya inshaallaah
Mashaalah naipenda sana hii kaswida
kaz nzur manshallah mungu awaongoze nawapenda kwa ajili ya allah
Sijui ata niwape tunzo gani naona kila ntayowapa haitofaa itakua ni ndogo kwa jitihada munayotufanyia ila bora niwaombe kwa Allah awape kila la kheri na awafanyie wepesi juu ya kazi zenu.... Mashallah uongozi wote wa Aqaz & Qadiria na pia niwapongeze wale waliofanikisha kazi zenu....
Maashallah, we juma hivi ilo koromeo lako likoje mbona kama la ajabu, dahh we hatari sna
Masha Allah kasda nzuri na inaujumbe mzuri sana asante ustadhi Juma Faki ujumbe umeshawafikia wanandoa kaz kwao waufanyie kazi
Nakukubali sn ujumbe umetufikiya mashaallah mashaallah
Qadiria mambo Ni mazuri.
Muimbaji Ana sauti powa.
Natak kuuliza ndoa bila ya sheh ndoa afungisha babu mzaa baba amuuliz mwaaum umekubal ajib ndiy aulizwa mwanamk ajib ndiy Mar moj Kish aseme ndoa teal ishapit inahesabik ndoa au sio ndoa
mashallah nawapenda qadiria kwa kaswida zenu zina ujumbe ndan yke
juma nakukubali sana kasida zako .unatisha sana ongeza juhud ili uwe juu zaidi ya ulipo
Mashaallah hongereni sana kwa kz nzuri ya madili ya ndoa💞💞💞
Mashaallah... qaswida nzuri xna ya mafunzo
❤❤❤❤ maa shaa Allah maa shaa Allah maa shaa Allah maa shaa Allah qaswida nzuri sana 👌👌👌👌👌👌😗😗😗😗😗😗💞💞💞💞💞💞😍😍😍😍
Ma Sha Allah
Kimya kingi kimeonekana maana yake, Ujumbe mumeupangilia AQAZ
Mashallah dah natama muda wote niangalie
Mashallah SHEkHE Juma and SHEkHE Fakhu♥️👍🙏❤️
mashaa Alla Qaswida nzuli nimeipenda mashaa Alla
Masha Allah alhamdulillah kaz mzur
mashaallah maashaallah wallah mnaweza na ninawapenda kwajili ya Allah
Masha'allah,,, napenda sanaa qaswida zenu ujumbe mzr
Kwa kwely kila nnapo skiaa kasd hii namkubuka snna marehem Bekka Thabit Allha amrehemu ananiliza sna Allha masamehe
Mashaallah zenjibari ntakuja sikumoja kujakutembelea hicho chuo in shaaallah
msalemu
Njoo
Aloo juma tutakuwa hatuswali jmni kwa unavyoimba yaan Allah kakupa kipaji
Hhhh asnt
Ww ushwali usijeukamtia mwenzako makosani
Mashaallah nawapenda kwa ajili ya Allah ❤️
Mzur sana mupo vizir ndugu zangu
Allah akuzidishi mashairi mzuri sana MashaAllah ustadth juma Faki Mabruk Frm Kenya
Allah awazidishie mutuelimishe na sisi tukiingia ndoani tuingie kwa kheir
Jamn
Mashaallah nimeipenda sanaa hii kaswida
Unajua mabroo mko saw sana na mumshkuru mpga beat wenu jamaa yuko swa sanaaaa then we jamaa unajua mana una melody za kaswida big up
Mashaallah aqaz mnatishaaaaaaaaa
Yaani hii ni qasda imetisha hatari Juma na Faki Allah awahifadhi na waislamu Wote wa Zanzibar mzidi kutupa nashdi zenye kutufunza Sana. Allah atubarik sote. Napenda kuwaanasihi waislam kuwaunga mkono wanaqadiria
Ndugu yngu habar yko, mi ningekushauri kwanza ukapata mda kujua ni nn nasheed na nn musiki kwaio jitahid ulitafte hilo kwanza ...... Maana hii haina tofaut na tetema ya diamond maana kna musiki na kule upo ule ule huku kidogo hamna wanawake wliokaa uchi!!
Hamid B sasa umeijuaje tetema?unaamrisha mema wasahau nafsi yako?
Hamid B na huku umekuja kufanyje naona na wew umo
@@aliyomar9140 najaribu kuweka sawa kwamba tusijidanganye kua kuna utofaut wa hapa na tetema.....
Hamid B Allah atubaarik
Qaswida nzur mashallah aqaz
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 Mashallah Mashallah Mashallah Allahummaswalli wassalim wabarik alaih daaiman abadah
Juma Khamis
Nzuri Sana team Aqaz
Kikweli mm nawashangaa wanao badili maadili ya kasida kuzifanya tarab ila sio vzr turudi kwenye mila zetu mifano tuna inayona kwa ustadh juma
Mashaallah ujumbe mzuri sana.
Kazi inaenda tuu mpk leo
Mashaallah, aqaz hamuna mpinzani
Mashallah mashallah kwa hutba ya ndoaimetulia
Nimekuja Mara moja hapa leo 2024 mwez July, nimeimis hii qaswida
Jamn mm hii naipenda San qaswida hii aaah🤲🙏
Ahsante sheikh juma na swahib wako sheikh fak
Barak allah fy kuma
❤❤❤❤❤ napenda san
Boss MVP hapa naomba nipigie au nitumie noyako tuongee
Allah awajalie saan aqaz
Amin
Ndio burdan zangu nyumban kwangu kawsida za aqaz maana wamekamilika kila sector
Hii kasida naipenda kuliko iko p Sana .
Mashaallah kaswida nzur sana
Ahsante kwa ujumbe
Hongera fundi
Thnks soooo
Mashaa Allah 💜💜💜kasida nzuri Mashaa Allah
mashaallah napenda qaswidah zenu sjw nazipataj audio zake
Choyo tu
Andika jina la huyo ustaazi utaziona
Masha allah hongereni kwakz nzur
AQZA MASAALLAH KWAKWELII MAMBO NI🔥🔥🔥🔥
Gap
Kazi nzur mashaallah
Nakubal kaz iyo imeend shulee
May the blessings of the Almighty shower on you...well read...it sound great
Mashaallh mungu Azidi kuwapa nguvu
Mashalhaa alha awape elimu zaidi yahy
Mashaallah mko vizur hasaaaaaaaa
ما شاء الله أدام الله فيكم الخير في العلم
Hongera ustadh Juma na Fakih mashallah mukovizur yaan daaah 😍😍😍😍😍😍
Masha allah nimeipenda sanaaa
Mashaallah ❤❤
Nice imependeza kwl
Kazi nzuri
walio wengi wanaipenda sana bidaa zama hizi za sasa
Suleiman Mwalimu Ni kweli kabisa maneno yako kwa sababu dini hatuna kabisa katika mioyo yetu tumebakiwa na dini ya baba ni muislam na mm ni muislam
mashaa allah aqaz nawapenda bure wallah
Ama kwa hakika nimepata funzo kweli
Mashaallah allah awabaarik kwa kz kbw muliyoifanya
big up aqaz mupo juu sana
mashaallah jamani ujumbe mzuri mungu awaongoze🙏🙏🙏vyema
Mamb
MashaaAllah ujumbe mzuri san
Kswida nzuri
Mashallah qaswda nzuri ina ujumbe nzuri hongereni
Masha Allah barakallahu fiik wajazakallahu khair
Mashaalah ❤❤
Iko sawa ❤❤❤👏👏👏
Maashaallaah
Wamejitahidi kidogo ila mambo hayanogi tanzania one hayupo sheikh HAFIDH tukitaka tusitake
Sikweli
Yaani nyinyi hamna mpizani kwakweli Qasida nzuri na ujumbe mzuri
Kila m1 naufundi wake ila aqaz kwangu asa wako juu, kwa7b wasomaji wake wanauwezo wakusoma kitu usichoweza kukiigizia na uo ndoufundi ila hafidhi hana atakaposoma mimi nisiweze kumuigizia utofauti itakuwa ni sauti tu yeye atakuwa na sauti yke namimi nitakuwa na sauti yang, lkn kiongizi fak au juma fak sio utofauti wa sauti tu hata kuigizia nitashindwa km ataamua kutaka kusoma ili nishindwe uwezo uo hafidh hana na uo ndoufudi wa hali ya juu
Tuna no yko ya whatsap kuna qaswida nikurushie ikisha ww mwenyewe utakubali haya maneno yngu kuwa kwa kiwango chake wako km yeye mana naamini wewe utabisha na kusema ni hafidhi kumbe wala si hafidhi asaa, jamaa kila kitu km hafidhi kuanzia usomaji mpaka sauti hakuna tofauti
Mud Khamis nirushie nami whatsaap0746537880
Yani kama na mimi vile nipo napenda cana kaswid mama mpemba
Mashaa Allah Aqaz
Qaswida nzuri
Maaaashallah😊
Mashallah
Asante for this
Mashallah ❤❤❤❤
swadactor hery ziende kwao
He
Huyo alosema hsfidh Tanzania one
C MTU wa qaswida uyooo
Kweli si MTU wa Qaswida ,yaani hajui kabisa tasnia ya kasida
alhhl madina
Kweli kabisa hao wapo kichuki
Hafidh yupo vizuri zaidi ila juma na faki nao si haba wamebarikiwa
Anadandia tu haya mamb au itakuwa nikama alivosema Saidi Ali Ali
Hii ndio Zanzibar braha kama zotee
Hongereni sana kazi nzuri sanaaaaaaaaaaaaaa
Ukhty dida
Jamn kuna kaswida naiomba cjui kwa jina inaitwaj alisoma ust Salim rashid kuna kibwagizo kinasema wanaqadiria tumejawa na faraja jamn anaeijuia aniambie jina la hio qaswida plz
Mashaa Allah
Mashaallah Mashaallah
zanzbar mishono
Zanzbar mishono