Huyo mzee nadhani hakusikiliza vizuri hutuba wa Rais, maana Rais mwenyewe ndiye aliye anza kumkosoa January makamba kwa kutoa hiyo Tsh 100 kwa kila litre, kwahiyo huyu mzee anaposema kuwa kuwa January alikuwa sahihi kwa kutoa hiyo Tsh 100 kwa kila litre. Basi Mimi naona huyu mzee ndiye wakuchukuliwa hatua kwa kupinga kauli ya Rais, Wala siyo Mpina maana Mbunge Mpina alichokifanya ni kuunga kauli ya Rais na kuongezea hasara kilichotokea kwa hayo maamuzi ya January Makamba.
Mzee hebu tuache zama yako imepita rais siyo mungu ni binadamu kwa wanadamu wengine na anaweza kukosea mpina ni haki yake kupinga hoja ambayo haiko sawa
Ndio maana ulikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya kinamama CCM ,nata maneno Yako kama vile mipasho, tulia Mzee ulee wajukuu huna jipya ,chama ni Cha msoga gang, na wao Iko siku watakuja kujibu mahakamani
Mpina amemtaja Makamba ndio aliye potosha kuhusu umeme na kutoa kodi ambayo hakushirikisha kamati bungeni, Kwa ufupi inawezekana ametoa habari sio za kweli kwa rais
Huyu nae em atulie umbea tu. Unapowajibia watu hoja untk kutuaminisha kwmb wao hawajiamini kujibu hoja hzo wnyw? Issue ni kwamba mmefeli kuongoza nchi Hii hasa baada ya kifo Cha mwendazake. Eti kauli ya raisi haitakiwi kujadiliwa which planet did you fall from? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na Kila mmoja Ana Haki ya kuzungumza na kujadili. Peleka njaa zko huko.
Kaka bora ungekaa kimya maana huelewi unachoongea. Eti unamuomba kinana amchukulie hatua MPINA kwamba kampinga Rais hadharani. Huna haya. Hivi unamjua kinana vizuri au unamsikia? Mara ngapi amemkosoa KIKWETE alipokuwa Rais? Mara ngapi jamkosoa Magufuli? Haya tuambie ni hatua gani alichukuliwa?
Tushawachoka watukamahawa,,wameifanya nchiyetu kuwa masikini nakuigeuza kuwa kichaka cha wahuni,,ingekua vema wakapotea kabisaa baada ya kazimbaya waloifanya kuizamisha Tanzania kwenyeshimo mpakasasa tunajua hatawewe unatafuta kurudishwa serikalini uendelee kulamba asali,,watanzania hivisasa Tanzania mmeitoa miongoni mwenye nchi zenye uchumiwakati nakuirudisha kwenye nchi masikini.
We bulembo,watanzania tunayo akili.rais alisemaaaa uhuru wa kuongea.kinanaaaa tunakymbuka tembo wetu.hiyo ni kiki.ya Magufuli tunaona yakipingwa.mpina kachuliwa na wananchi.mkimnyima ccm atapewa kwingine.mpina anae watu.ccm mnaiua
Kama wananchi tunaseka na ongezeko la mafuta halafu eti serikali inalipia ndege 5 wakati huu.. Hii ni sawa na Waziri Mmoja aliyesema Ndege ya Rais lazima inunuliwe hata kama wananchi watakula nyasi.. Alikuwa waziri wa Fedha huyo akiwakilisha jimbo la Rombo
Eti huyu naye alikuwa Kiongozi akili chafin namna hii. Ndio maana Tanzania ikachelewa maendeleo lwa kuongozwa na vilaza kama hawa. Tuliza bakuli babu huna nafasi team wewe.
Kuna mtu mmoja kawapa tahadhali kuwa wananchi wa kipindi hiki ni tofauti na zamani sasa wewe ongea tu vile unaweza usinichukulie sisi ka mazuzu, ukweli unaonekana na uongo unaonekana.
Huongelei umeme wa nn ila mpina sio , shida mnatetea matumbo yenu na ndio maana unaita wanahabari kuja kumsema mtu , Mpina anaongelea maendeleo ya tz mzalendo huyo muache kabisaaa
Mzee, kama hukusikiliza vizuri oja za Mpina, bora ukae kimya sio lazima kuongea. Watanzania sasa hivi tunachuja oja na sio airtime, media coverage wala jina la nani anaongea na wa chama gani. Kajipange upya Mzee. Kwetu sisi wananchi ni faida sana kuona wawakilishi wetu na mawaziri wakitofautiana iwe ni personal au kiutendaji.....zile team za kupiga madili zinasambaratika. Kwa hiyo Mzee ilo la kuwa na bifu binafsi kati ya Mpina na January bado sio oja ....la msingi inabakia na facts za msingi"""MPINA ALICHOONGEA AMEDANGANYA? AMEBWABWAJA? SHERIA ZIMEKIUKWA KWELI? ( Ungekuja na majibu ya hizi Oja).
Bunge la Sasa zaidi ya 90% wabunge ni CCM, hivi bila kuwaachia huru wabunge wa ccm kuoji utendaji wa Serikali sasa nini maana ya hili bunge? Hapo ccm ndipo mnanikera. Acheni kuwafunga wabunge midomo wabunge wa ccm, hili tubalance kwenye Wajibu wa Mbunge na Bunge.
Hili lizee nafiki sana kujipendekeza tu lakini mkae mkijua watanzania wa sasa sio vilaza kama mnavyofikili mzee bulembo unaongea upuuzi mtu na nyinyi ndio mnaotuharibia nchi ovyo kabisa
Alisha hangman yes kitumbua kinywani na aliyempa ndiyo hivyo INA maana ana hasira Luhaga alitaka aendelee kunyanyasa wavuvi akawauwa kwa presha akae kimya kazi iendelee
Wewe acha kuwogopesha wabunge wasitoe hoja zao wanayo haki ya kuinyoshea serikali ndiyo kazi ya bunge kuielekeza serikali siyo serikali kuilielekeza bunge wewe kaa kimya usiwaharibie wanaccm wenzio huna hioja
Wala.sitaki kuongea sanaaa ila tuu huyu mzee simpendi tuuu eti chama changu chama chako ulilithishwa au au ndy kutafuta kk wewe uwezi jua akili za wanasiasa wapigaji elimu hiyo Huna km hili tunapigwa mpinge na shabib bas aliezungumzia kupanda kwa mafuta nenda kazungumzie kwenye chama chako kwani rais akosei bana au ndy alieshiba amkumbuk mwenye njaaa
Mzee kaa kimya Mpina yuko sahihi. Tunaomba tuijenge nchi yetu kwa pamoja tuache unafiki nakujipendekeza. Tumsaidie Mama katika kuijenga nchi yetu.
Huyo mzee nadhani hakusikiliza vizuri hutuba wa Rais, maana Rais mwenyewe ndiye aliye anza kumkosoa January makamba kwa kutoa hiyo Tsh 100 kwa kila litre, kwahiyo huyu mzee anaposema kuwa kuwa January alikuwa sahihi kwa kutoa hiyo Tsh 100 kwa kila litre. Basi Mimi naona huyu mzee ndiye wakuchukuliwa hatua kwa kupinga kauli ya Rais, Wala siyo Mpina maana Mbunge Mpina alichokifanya ni kuunga kauli ya Rais na kuongezea hasara kilichotokea kwa hayo maamuzi ya January Makamba.
Huyu ni bulembo ni wale wanaojikomba kwa rais
Mzee hebu tuache zama yako imepita rais siyo mungu ni binadamu kwa wanadamu wengine na anaweza kukosea mpina ni haki yake kupinga hoja ambayo haiko sawa
Ndio maana ulikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya kinamama CCM ,nata maneno Yako kama vile mipasho, tulia Mzee ulee wajukuu huna jipya ,chama ni Cha msoga gang, na wao Iko siku watakuja kujibu mahakamani
acha uongo BULEMBO ndiyo usiingize udini wako waziri mpina yupo vizuri
Genge la Mafisadi limeivamia CCM.
Unajipendekeza tunawajua. Subiri uteuliwa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Nyinyi ndio matumbo makubwa mnakula kodi za wauza vitumbua.Hauna upeo wa mawazo ya kujenga/positive criticism
Mzeee sio kweli mnajikweza sana ingekuwepo nanna mngeona Cha mtema kunii
Mzee bana,muda unayoyoma kweli kweli.
Jinga sana hili lizee
Bulembo nadhani umechoka. Pumzika bro. Nadhani ni vema kujibu hoja kuliko ku connect na kutisha watu wenye mawazo mbadala
Tatizo lako wewe ni mnafiki, unatafuta kurudi Bungeni kwa fadhila ya mamlaka.
Mpina amemtaja Makamba ndio aliye potosha kuhusu umeme na kutoa kodi ambayo hakushirikisha kamati bungeni,
Kwa ufupi inawezekana ametoa habari sio za kweli kwa rais
Kawaida ya majizi na wahuni kuteteana. Mzee ficha upumbavu wako.
Huyu nae em atulie umbea tu. Unapowajibia watu hoja untk kutuaminisha kwmb wao hawajiamini kujibu hoja hzo wnyw? Issue ni kwamba mmefeli kuongoza nchi Hii hasa baada ya kifo Cha mwendazake. Eti kauli ya raisi haitakiwi kujadiliwa which planet did you fall from? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na Kila mmoja Ana Haki ya kuzungumza na kujadili. Peleka njaa zko huko.
Hahahaha, eti "which planet did u fall from" 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 hahaha
Unatafuta uteuzi na ata ubunge ulikuwa wa kiteuliwa na ukaombe kura uone kama utapata. Watanzania sasa hivi tunajitambua unatafutia tumbo lako
Njaaaaaaa ZAKE HIZOOO ILI AKUMBUKWE TENA
Ww mzee mnafiki.
Nchi hii sijui kwann msema kweli anakua adui na msema uongo anakua mwema hv watanzania wa leo unazani awajui majambazi ya ccm
Kaka bora ungekaa kimya maana huelewi unachoongea. Eti unamuomba kinana amchukulie hatua MPINA kwamba kampinga Rais hadharani. Huna haya. Hivi unamjua kinana vizuri au unamsikia? Mara ngapi amemkosoa KIKWETE alipokuwa Rais? Mara ngapi jamkosoa Magufuli? Haya tuambie ni hatua gani alichukuliwa?
Musiba no2
jinga hili
hawa watu.JPM ALIWAZINGUA SASA WAMEJIPANGA
Makamba sio Rais bana acha wewe Mzee
Mzee acha njaaa za kipumbavuu na ramadhan yote iii tulienii dawa iingie
Jamani naomba Mpina asamehewe
Wazee wenu ndo hawa wanabonga shudu
Tushawachoka watukamahawa,,wameifanya nchiyetu kuwa masikini nakuigeuza kuwa kichaka cha wahuni,,ingekua vema wakapotea kabisaa baada ya kazimbaya waloifanya kuizamisha Tanzania kwenyeshimo mpakasasa tunajua hatawewe unatafuta kurudishwa serikalini uendelee kulamba asali,,watanzania hivisasa Tanzania mmeitoa miongoni mwenye nchi zenye uchumiwakati nakuirudisha kwenye nchi masikini.
mpina naye amesema kama mwanachama hunalolote zaidi ya uongo na udini
We bulembo,watanzania tunayo akili.rais alisemaaaa uhuru wa kuongea.kinanaaaa tunakymbuka tembo wetu.hiyo ni kiki.ya Magufuli tunaona yakipingwa.mpina kachuliwa na wananchi.mkimnyima ccm atapewa kwingine.mpina anae watu.ccm mnaiua
Hii ndiyo tafsiri sahihi ya neno kujikomba ,kujipendekeza
HIVI HUYU NAYE WALIO MCHAGUA NI WANAINCHI AU NDIO KURA ZA WIZI MMM KUMBE UNACHUKI NAYE🏂🏂🏂🏂
UDHANI UTAONEWA HURUMA UPEWE HATA UKUU WA MKOA LEA WAJUKUU WEWE ACHA UZANDIKI WANAINCHI TUMESHA AMKA WEWE MZEE MPINA YUKO SAHIHI HATAKI UNAFKI
Kama wananchi tunaseka na ongezeko la mafuta halafu eti serikali inalipia ndege 5 wakati huu.. Hii ni sawa na Waziri Mmoja aliyesema Ndege ya Rais lazima inunuliwe hata kama wananchi watakula nyasi.. Alikuwa waziri wa Fedha huyo akiwakilisha jimbo la Rombo
Unajiabisha tu huyo kinana na wenzake walimtukana Rais Waz Waz ,Tatizo la .mijizi ya CCM ukiwa straight wanakuona msaliti ,pumzika wewe Mzee
"Menyewe kwa menyewe!" Sisi Tuende baadaye!
Nakupa ushauri Mzee wewe mhaya utajuta baadaye
mafisadi ni shida
Unakula mb zetu
Eti huyu naye alikuwa Kiongozi akili chafin namna hii. Ndio maana Tanzania ikachelewa maendeleo lwa kuongozwa na vilaza kama hawa. Tuliza bakuli babu huna nafasi team wewe.
Huyu mzee ni mwehu kinana na mwenyekiti Nani n boss huyu alikos a kwa mzee chochote,
Huyu mzee mpumbavu sana, Nonsenses!
Kuna mtu mmoja kawapa tahadhali kuwa wananchi wa kipindi hiki ni tofauti na zamani sasa wewe ongea tu vile unaweza usinichukulie sisi ka mazuzu, ukweli unaonekana na uongo unaonekana.
Pole SANA Ndugu . Endelea kupumzika
Mzee rudisha fedha ulizodhulumu watu pale mnazi mmoja kwa kuchukua kodi ambazo hukutoa risiti na kuingia mitini
Mzee Bulembo pumzika kama ulivyosema acha maneno ya kuchonganisha.
mambo ya musiba ayo😆😆
Huongelei umeme wa nn ila mpina sio , shida mnatetea matumbo yenu na ndio maana unaita wanahabari kuja kumsema mtu , Mpina anaongelea maendeleo ya tz mzalendo huyo muache kabisaaa
Bulembo acha unafiki watanzania sio wajinga watu wanakujua ww
Mzee, kama hukusikiliza vizuri oja za Mpina, bora ukae kimya sio lazima kuongea. Watanzania sasa hivi tunachuja oja na sio airtime, media coverage wala jina la nani anaongea na wa chama gani. Kajipange upya Mzee.
Kwetu sisi wananchi ni faida sana kuona wawakilishi wetu na mawaziri wakitofautiana iwe ni personal au kiutendaji.....zile team za kupiga madili zinasambaratika. Kwa hiyo Mzee ilo la kuwa na bifu binafsi kati ya Mpina na January bado sio oja ....la msingi inabakia na facts za msingi"""MPINA ALICHOONGEA AMEDANGANYA? AMEBWABWAJA? SHERIA ZIMEKIUKWA KWELI? ( Ungekuja na majibu ya hizi Oja).
Akili kidogo Nyamaza tuulia wakati wenu umekwisha
Huu unafiki ndio unaotusumbua
Bunge la Sasa zaidi ya 90% wabunge ni CCM, hivi bila kuwaachia huru wabunge wa ccm kuoji utendaji wa Serikali sasa nini maana ya hili bunge? Hapo ccm ndipo mnanikera. Acheni kuwafunga wabunge midomo wabunge wa ccm, hili tubalance kwenye Wajibu wa Mbunge na Bunge.
Hivi nini kinaendelea kwny nchi hii kwa sasa. Mbona ujuha na ufamilia umeanza kuonekana live. Mbona tabaka linaonekana live
Nchi Ina wazee vilaza hii
We unaongea upumbavu. Ndio maana umeambiwa watanzania wanaakili
Mzee kalee wajukuuu. Waache hawa vijana bado wanakua
Mpina hata Mimi simuelewi
mpina amefichua uovu wa waziri hajaigusa ccm wala Rais wewe bulembo ndiye unakuja na Rais utueleze unamwingizaje hapo Rais wewe zeeehe
Nchi ngumu hii
Hili lizee nafiki sana kujipendekeza tu lakini mkae mkijua watanzania wa sasa sio vilaza kama mnavyofikili mzee bulembo unaongea upuuzi mtu na nyinyi ndio mnaotuharibia nchi ovyo kabisa
Kwa sasa tulipofika wale mnaodakia gari kwa mbele iko siku tutawazomea.Mnatukera
Wakati umefika sasa wa kuwazomea watanzania wamekwisha wachoka
Wewe ni msemaji wa Raisi upumbavu
Wewe Mzee ni mpumbavu kaa kimya muda wako umeshaisha pumzika na wastafu wezako vijana wafanye kazi una hoja unajikomba tu Kwa Raisi
Mpina hafai kua hata kua mwenyekiti wa mtaa
Mpina achukuliwe hatua, moja kwa moja anampinga Rais wetu mpendwa.
Mzee nakushauli sikiliza hutuba ya mama na ya mpina vizur ndio uje ukosoe sio kukurupuka tu
Huyunae cjui n wawapi kwahyo samaki alitaka mpina apime za wananch au huyu huyu au ukifanya kaz kwa bidii unaonekana mwehuu TANGANYIKA BWANA
Bwanamkubwa elewa watanzania Siyowajinga jipangeni mjue vichnjio tunavyo huku mtatutambua raisi siyomungu .
Hiyo yote mwanao aendelee kubaki serikalini
Hvi viongozi wa ccm na vijana wa ccm mmekaa kimya kujibu hawa wakina mpina mitandaoni
Alisha hangman yes kitumbua kinywani na aliyempa ndiyo hivyo INA maana ana hasira Luhaga alitaka aendelee kunyanyasa wavuvi akawauwa kwa presha akae kimya kazi iendelee
Wewe mzee hatutaki hoja zako za ajabu unataka uteuliwe?
hii mizee ndo mifreemason
ukimaliza kuzungumza uozo wako fatilia comments hakuna mtu anaye kuelewa,tunajua unataka uteuzi we mzee tushachoka na dramas zenu
kwani kinana hamkusema rais...... nape hakumsema rais.... mzee hamna kitu kabisa
Dhambi ya ufisadi inamsumbua kukosoa vitu vya msingi
Mpina anachuki binafsi hvy kwnn viongozi wa ccm hamjitokezi kupambana hawa wakina mpina wasiojielewa
Waandishi wenyewe wamechoka hata kukusikiliza.
Mzee natamanii nikupe tusiii zitooo ilaa naeshimu watoto wako
huyu mtanzania kweli!!! Au Mburundi???
tulia wewe mzee huna jipya wewe unatetea tumbo lako kibaraka mkubwa
Mbona magufuli mnamsema vibaya ko rais kusemwa nivibaya ?
Umetumwa na shetani, unamkataba na Mungu, hutakufa baba?
Wewe acha kuwogopesha wabunge wasitoe hoja zao wanayo haki ya kuinyoshea serikali ndiyo kazi ya bunge kuielekeza serikali siyo serikali kuilielekeza bunge wewe kaa kimya usiwaharibie wanaccm wenzio huna hioja
Kutetea ugali wa binti
Ugali wa Binti Halima bulembo
Anataka teuzi wahuni wakubwa
Piga chini mpina ni mnafiki tu hakuna namna
Mpina inabidi ajadiliwe,
Toa ujinga wako na rais wako wa mchongo
Watu wa mpwani hamfay kuongoza Tanzania zanzibar tulikuwa uchumi wakati sasa ni masikini nawe umepewa pesa kwenda zako shetan
Wala.sitaki kuongea sanaaa ila tuu huyu mzee simpendi tuuu eti chama changu chama chako ulilithishwa au au ndy kutafuta kk wewe uwezi jua akili za wanasiasa wapigaji elimu hiyo Huna km hili tunapigwa mpinge na shabib bas aliezungumzia kupanda kwa mafuta nenda kazungumzie kwenye chama chako kwani rais akosei bana au ndy alieshiba amkumbuk mwenye njaaa
Bei ya mafuta 3100
Huna maana mtu mzima hovyo, kubalini kukosolewa
Wewe ni mhujumu uchumi nauko kwenye kundi la Awamu ya,4
Wew akili ndogo saana,upumbavu mwingi,busara kwa mbali
Mzee si muda wako umeisha kaa kimya
Kwani Rais hasemwi yeye nan? Tunataka Katiba mpya ambayo inawaweka watu huru kutoa maoni yao sio kufanya mtu Mungu
Unaomba ukatibu wa chama wewe mnafiki au umekuwa shaka binsfsi???
MZEE ULIPIGWA MAWE NANANI?!
Wee mzee UNATAKA CHEO
Rais asikosolewe. hii nimpya hii