#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • •Semina Pamoja na Tamasha la Utoto Mtakatifu la Dekania ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Pugu Jimbo kuu la Dar es salaam, Tamasha hilo linafanyika katika Parokia ya Mtakatifu Stephano Shahidi Kisarawe,
    Padre Bernardo Msuya ,SSC Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Stephano Shahidi Kisarawe, Jimbo kuu la Dar es salaam.
    Mada
    Nafasi ya Mtoto katika Jumuiya Ndogondogo za Kikristo.
    ▪︎ Ni kutoka Parokia ya Mtakatifu Stephano Shahidi Kisarawe Dekania ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Raha ya Utume kushirikiana 💒❤️🙏🏾

КОМЕНТАРІ •