sasa tupo ndani ya central african rhythm, sifa za Mungu taamu kwenye mtindo wa rhumba hadi seben. kitu maridaaadi, kimenibembeleza kibao. safi kama pamba
Wimbo mzuri, uimbaji mzuri. Ispokuwa ni muhimu kuangalia Theologia ya wimbo. Ukisoma Efeso 6:11-16 Silaha za vita katika ulimwengu wa Roho ni "upanga wa roho (Neno)", Ngao ya Imani, Chepeo ya Imani, Dirii ya Haki(kifuani) , Kweli viunoni, miguu. ya utayari tupatao kwa Injili ya Imani. Silaha hizi zinatumiwa na Mkristo kumshinda adui, hazitumiwi na Jemedari yaani Mungu, kwakua yeye alishamshida Shetani. Yesu alishamshinda Shetani kwaajili yetu (1Wakorintho 15:57). Amemshinda na ametupa kushinda kwake. Kumshinda Shetani huku ni kushinda ushetani, yaani upingamizi wake. Hata hivyo Adui amebaki na kitu kimoja kinaitwa HILA. Kwa Kiyunani hila ni methodaeias, tafsiri yake ni mbinu za kulaghai na kutega mitego. Silaha tunazivaa ili kupinga hila na sio nguvu za Shetani. Silaha hizi zipo tayari kwa njia ya neno. Hazitoki Mbinguni sasa. Lengo langu ni kuchagiza na kuamsha ari ya kusoma neno la Mungu kwa watunzi na waimbaji. Mbarikiwe !!
sahihi Mela, tuna tatizo la wahubiri/watunzi kutosimamia msingi wa neno na kupuyanga mradi tu Melody zinakubali bila kukumbuka kuwa haya ni mahubiri na msingi wake ni NENO.
DONT JUDGE FATHER ,But just try to meditate the word of God Deeply ,Mtunzi yupo sahii kabisa katafakari zaid ya hilo Andiko.Wimbo unaujumbe ambao uko kiundani sana sikiliza kwa makini soma tena neno na Utafakari,....Ukizungumza kuhusu upanga roho unamzungumzia nani? (Hapo mwanzo kulikuwapo na Neno naye neno alikuwapo kwaMungu naye neno Alikuwa ni Mungu)ukitafakari hapo hautomkosoa mtunzi...Mungu anatafuta watunzi kama hawa ,unapotunga wimbo usichukue neno kama lilivyo kwenye biblia Muombe Roho mtakatifu akupe jicho na uone fumbo lililopo ndani ya hilo neno then compose wimbo.Nisamehe kama nimekukosoa comment yako imenifanya ni nmtafakari Mungu zaidi kupitia wimbo huu.KIJITONYAMA MUNGU AWABARIKI.JEMEDARI WETU NI YEYE BWANA YESU.MUZINA LITATA NA LAMWANA NA LA ROHOMTAKA TIFU.Amen
Mbarikiwe sana...yeye Yesu ni Jemedari wa vita.
Watching this time nabarikiwaaa😇
sasa tupo ndani ya central african rhythm, sifa za Mungu taamu kwenye mtindo wa rhumba hadi seben. kitu maridaaadi, kimenibembeleza kibao. safi kama pamba
Watumishi wa Mungu mbarikiwe kwa huduma yenu ya Sifa
Wimbo mzuri, uimbaji mzuri. Ispokuwa ni muhimu kuangalia Theologia ya wimbo. Ukisoma Efeso 6:11-16 Silaha za vita katika ulimwengu wa Roho ni "upanga wa roho (Neno)", Ngao ya Imani, Chepeo ya Imani, Dirii ya Haki(kifuani) , Kweli viunoni, miguu. ya utayari tupatao kwa Injili ya Imani. Silaha hizi zinatumiwa na Mkristo kumshinda adui, hazitumiwi na Jemedari yaani Mungu, kwakua yeye alishamshida Shetani. Yesu alishamshinda Shetani kwaajili yetu (1Wakorintho 15:57). Amemshinda na ametupa kushinda kwake. Kumshinda Shetani huku ni kushinda ushetani, yaani upingamizi wake. Hata hivyo Adui amebaki na kitu kimoja kinaitwa HILA. Kwa Kiyunani hila ni methodaeias, tafsiri yake ni mbinu za kulaghai na kutega mitego. Silaha tunazivaa ili kupinga hila na sio nguvu za Shetani. Silaha hizi zipo tayari kwa njia ya neno. Hazitoki Mbinguni sasa.
Lengo langu ni kuchagiza na kuamsha ari ya kusoma neno la Mungu kwa watunzi na waimbaji. Mbarikiwe !!
sahihi Mela, tuna tatizo la wahubiri/watunzi kutosimamia msingi wa neno na kupuyanga mradi tu Melody zinakubali bila kukumbuka kuwa haya ni mahubiri na msingi wake ni NENO.
DONT JUDGE FATHER ,But just try to meditate the word of God Deeply ,Mtunzi yupo sahii kabisa katafakari zaid ya hilo Andiko.Wimbo unaujumbe ambao uko kiundani sana sikiliza kwa makini soma tena neno na Utafakari,....Ukizungumza kuhusu upanga roho unamzungumzia nani? (Hapo mwanzo kulikuwapo na Neno naye neno alikuwapo kwaMungu naye neno Alikuwa ni Mungu)ukitafakari hapo hautomkosoa mtunzi...Mungu anatafuta watunzi kama hawa ,unapotunga wimbo usichukue neno kama lilivyo kwenye biblia Muombe Roho mtakatifu akupe jicho na uone fumbo lililopo ndani ya hilo neno then compose wimbo.Nisamehe kama nimekukosoa comment yako imenifanya ni nmtafakari Mungu zaidi kupitia wimbo huu.KIJITONYAMA MUNGU AWABARIKI.JEMEDARI WETU NI YEYE BWANA YESU.MUZINA LITATA NA LAMWANA NA LA ROHOMTAKA TIFU.Amen
Mbarikiwe watumishi ,nabarikiwa na wimbo huu .
wehehe eulooooo
Amina!
Hakuna kama kijito
Jina la Yesu ndo habari ya mjini
MBARIKIWE sana wapendwa wangu
Hallelujah hallelujah bwana apewe sifaaaa
Wahehe
Hilo sebene sasaaa nishida
Mimi napata raha sana anavoimba brother ALLAN na huyo mama jamn nahisi niko mbinguni kabisa mbarikiwe kijito uinjilist mwaaa!!!!
Mwenye no za Kaka ALLAN Anisaidie jamn
🔥🔥💪
Seben moya ya bien sana
Amen amen
mubarikiwe Ameeena
AMEEN AMEEN HALELUYA 💃💃💃💃💃💃💃💃💃❤🇹🇿
🔥
Wamasai tafadhali
Amen
Amen