Pascal Cassian - Yatapita (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Pascal Cassian - Yatapita (Official Video)

КОМЕНТАРІ • 151

  • @azizambonde364
    @azizambonde364 6 років тому +113

    kama uko pmj na mimi kumuombea apone haraka ganga like

    • @michaeldeusdedith4262
      @michaeldeusdedith4262 6 років тому

      Michael tungi...Atapona araka mtumishi wa Mungu ,mwenyezi Mungu ampunguzie maumivu na apone araka aendeleze kusambaza injiri kwa njia ya nyimbo.Amina

    • @sophialazaro3632
      @sophialazaro3632 5 років тому

      Aziza Mbonde et anaumwa

    • @obeidwilliam9974
      @obeidwilliam9974 5 років тому

      Mungu akubariki kweli una tugusa mala ona wanavyo mwabudu

    • @monickafranko761
      @monickafranko761 5 років тому

      Aziza Mbonde Amina atapona kwa Jina la lipitalo majina yote ambalo ni jina la YESU na kila Silaha itakayo tumwa kweke kwa njia moja au nyingine ambayo Ni kinyume Chache haita faulu itagawanyika kwa njia 7 Amen

    • @norahkimuyu9097
      @norahkimuyu9097 5 років тому

      @@sophialazaro3632 Alipatanga accident

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 5 років тому +7

    Watu wa Mungu km kuna mtu anahisi anapata faraja kubwa ndani ya moyo wake anaposikiliza wimbo huu mzuri mnoo ungana nami....

  • @justinemachuma1297
    @justinemachuma1297 5 років тому +8

    Ni kweli kabisa,kilicho na mwanzo mpaka kiwe na mwisho,wimbo nzuri sana yakutia moyo

  • @silvestershikuku8702
    @silvestershikuku8702 6 років тому +24

    Mateso ni ya mda mfupi tu - yanamwisho na yatapita . Tumaini ni kwa MUNGU !

  • @Dianamo-u4k
    @Dianamo-u4k 4 місяці тому +2

    Any team strong who listen 🎶 👀 tufumilie madada zangu hii mateso ni ya mda,,,tusikate tamaa 😢😢😢😢😢

  • @melodyjunior2687
    @melodyjunior2687 5 років тому +7

    ahsante ndugu kwa wimbo mzuri, kila kilicho na mwanzo hakika kina mwisho wake
    nichukue fursa hii kukutakia afueni ya haraka ndugu, jipe moyo na usikate tamaa maana Mungu aliyeanzisha kazi ndani yako, ni lazima aitimize
    jaribu ulilo nalo kwa sasa lisikufanya ukose imani kwa Mungu. Kuna kitu kizuri Mungu anakuandalia mpendwa.

  • @lucyjacob7053
    @lucyjacob7053 5 років тому +9

    Amen My lovely brother.... Mungu atanyosha mkono wake wauponyaji utapona kaka

  • @jerryjerryjerry7446
    @jerryjerryjerry7446 Рік тому +1

    This what I went through 2012, lakini mungu ni nani🙏 mungu wa wajane nani baba wa yatima.... I glorified you God.. Yenye walinifanyia uliwageuzia wao wenyewe,usicheze na machozi ya mjane na yatima..... Thank you lord.

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +3

    Amen yupo mungu ndugu ata kusaidia na akuponye kwa Jina La yesu maana anawesa

    • @ananiakamms7026
      @ananiakamms7026 5 років тому

      Nampnda huyo jamaa mpka cjielew aiseee,,,,,mwenyez mung nakuachia ww utakalo lifanyike kwa paschal cassian

    • @mamasara7587
      @mamasara7587 3 роки тому

      Ni kweli mtupu!
      Yatapita. Ninakukubali sana Cassian.

  • @carolynekanaiza
    @carolynekanaiza 5 років тому +1

    Nabarikuwa sana ndugu.naomba mungu wambinguni akuponye in Jesus name.

  • @alphonce.rs.sangisangi658
    @alphonce.rs.sangisangi658 6 років тому +9

    kwa kweli yanamwisho kwa maana nikilingalisha huu wimbo na nilikotoka kweli yanapita tuu

    • @heriethjohn3912
      @heriethjohn3912 5 років тому

      Alphonce .R S.Sangisangi kweli kabisa hata mim nimeguswa sana asante mungu

  • @musakisebengo2939
    @musakisebengo2939 5 років тому +1

    Hakika Mateso yana mwisho wake....tumtangulize Mungu kila mahali....

  • @asporabakari4818
    @asporabakari4818 5 років тому +3

    Mwenyez mungu akuponye upone haraka maana hamna kinachoshindikana kwake,amen

  • @evarynedeus8426
    @evarynedeus8426 5 років тому +1

    Amina Amina 🙏🙏yana mwisho

  • @annajames6196
    @annajames6196 5 років тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu,, kweli kila aina ya mateso ni jarinu na pia inamwisho wake,,Mungu ni mwaminifu hatatuacha tuteseke

  • @evlynmwiks5398
    @evlynmwiks5398 4 роки тому

    Mimi nakuombea sana kazi njema na jina la yesu liiinuliwe

  • @dativafelician406
    @dativafelician406 9 років тому +10

    huu wimbo unanibariki sana na kunitoa machoz kweli mungu yupo asante pascal cassian mungu azidi kukutumia

  • @sarahamos8524
    @sarahamos8524 3 роки тому

    Wakati ukifika hata mateso yawe marefu kupita mlimaa Kilimanjaro yanaisha kwa sku moja Amina🙏🙏🙏🙏

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 4 роки тому

    Kweli kabisa mateso na mwisho na yanapita ukimwamini Mungu

  • @christineamillah9942
    @christineamillah9942 6 років тому +5

    Hakika usikate tamaa kwa mateso unayopitia yape muda yapita kupitia kwa maombi na imani yana mwisho

  • @gib3888
    @gib3888 Рік тому

    kwa kweli mungu yupo wakati nlipoteza wazazi wangu tuliona mengi lkn mungu anaweza yote ya na mwisho 😭😭🙏🙏

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +2

    Amen barikiwa Sana ndugu mungu akufanyie wepesi kweli

  • @jeremiachacha4812
    @jeremiachacha4812 2 роки тому

    Hakika yatapita mungu akutie nguvu mtumishi napenda sana nyimbo zako zina ujumbe wakubariki

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 4 роки тому

    mungu alijiijua imani yako ndo sababu akailuhusu ajali ikupate mungu naazidi kukupigania

  • @jean-luckey9890
    @jean-luckey9890 3 роки тому

    Amen. Ndiyo ya na mwinsho wake🙏❤️

  • @mwitanyabunya901
    @mwitanyabunya901 5 років тому +5

    kaka nyimbo zako nzuri sana zinabariki

  • @magretmatiko3566
    @magretmatiko3566 6 років тому +6

    Hakika yana mwisho mungu akubariki mtumishi

  • @abdiwadudnoor2186
    @abdiwadudnoor2186 6 років тому +5

    Hakika mateso Yana mwisho ju mungu yu nasi

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 5 років тому +1

    mwenyezi mungu akufanyie wepesi kaka upone. yatapita tu kwauwezo wamungu

  • @bethersayi9601
    @bethersayi9601 7 років тому +5

    Ninabarikiwa sana na wimbo huu, ubarikiwe

  • @silviailenji3472
    @silviailenji3472 5 років тому +4

    Exactly, it has the end ❤ i like your songs Amen AMEN

  • @elizamollel4661
    @elizamollel4661 7 років тому +10

    hakika yana mwisho wake yatapita kwa jina LA Yesu ubarikiwe mtumishi

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 років тому

    Ayaninayopitia yanapita Mungu yupo mtetezi wawanyonge atanipigania

  • @sharonamakobe6168
    @sharonamakobe6168 2 роки тому

    Came here after listening to this song in a vehicle...feeling so blessed

  • @winniemwatsuma7167
    @winniemwatsuma7167 6 років тому +1

    Amen nabarikiwa kutoka kenya kweli mateso Yana mwisho wake Amen asaaante jehova

  • @philipovallentin9740
    @philipovallentin9740 9 років тому +4

    Kiukweli nimeupenda mzuri

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 5 років тому

    Huyu Jamaa namkubali sana Pascal Cassian

  • @wamalwazacchaus4647
    @wamalwazacchaus4647 6 років тому +3

    My brethren the suffering and hardship u are going through one day will Come to an end. Good song

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 років тому

    Kweli kabisa hakuna kitu kisicho kuwa na mwisho.mungu ni mwaminifu kila kitu kitapita bali neno la mungu itabaki milele na milele Ameen

  • @solilekanyelele6639
    @solilekanyelele6639 7 років тому +20

    ni kweli yanamwisho wake, mateso ya mwenye haki ni mengi lakn Mungu humponya nayo yote, barikiwa mtumishi

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 6 років тому

      Solile Kanyelele kweli kabisa yanapita maskini mungu tupe uvumilifu faith

    • @jescasami8279
      @jescasami8279 5 років тому

      Mungu akuondolee yakupatayo mizigo naakutue

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 років тому

    Hata haya unayopitia kwa sasa Vumilia yatakwisha endelea kumtumainia Yesu Kristo Usikate Tamaa!!

  • @minrayan94
    @minrayan94 3 роки тому

    Wimbo wa wamaidha asante bro wapi likes za 2020

  • @isackevarist4961
    @isackevarist4961 7 років тому +6

    Mungu akubaliki ujumbe mzuri sana umenibaliki

  • @annagurti4468
    @annagurti4468 5 років тому

    Kila gumu linamwisho wake na kila jaribu litapita
    Mungu akuaguzie uponyaji
    Pokea uponyaji kwa JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI

  • @ezrabrown2139
    @ezrabrown2139 5 років тому +1

    hakika yanapita kaka yangu utapona urudi tena kwenye karama yako kwani tunabarikiwa na nymbo kama hizi za faraja

  • @innocentdeo3084
    @innocentdeo3084 7 років тому +1

    Pascal kassian allways i appriciate you servant of God.

  • @LeticiaJaphet
    @LeticiaJaphet 8 місяців тому

    Ubarikwe sana m2mish wa mungu🙏🏻🙏🏻🙏🙏❤️❤️

  • @petergire6538
    @petergire6538 6 років тому +2

    a song of encouragement. barikiwa man of God i love the song

  • @salomemashaul6149
    @salomemashaul6149 6 років тому +2

    Mungu akubariki mtumishi zaid sana akupe kusonga mbele kazi yako si ndogo asante kwa wimbo mzuri exactly ever problem had an expired date.

    • @jenkihombo4203
      @jenkihombo4203 5 років тому

      balikiwa

    • @nelsonmakoye3248
      @nelsonmakoye3248 5 років тому

      Mungu akuponye, hakuna linaloshindikana mbele za mungu, usichoke kupga goti kuomba uponyaji

  • @emanuelhillu6580
    @emanuelhillu6580 6 років тому +2

    amina barikiwa mpendwa kweli yana mwisho wake.

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 років тому

    Kweli. Mateso yanamwisho wake, jambo kubwa ni kusima imara ktk Bwana

  • @jalaljalal5258
    @jalaljalal5258 5 років тому

    mwenyenzi Mungu akurudishie afya yako kwa utukufu wake. jina LA Yesu lihimidiwe Haleluya

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 років тому

    Sito kata Tamaa Yupo Mungu

  • @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
    @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 7 років тому +1

    Kweli haya mateso ya mwisho wake barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 років тому +1

    Vumilia Pascal ushauri wangu nenda kwa kwa Prof. Tb Joshua amini itabaki kuwa story

  • @ezekielmsemwa8194
    @ezekielmsemwa8194 5 років тому

    Mungu akufanyie wepesi upone kaka nyimbo zako zinanibariki mno ameen

  • @patricknyabujigila2762
    @patricknyabujigila2762 7 років тому +1

    Ee Roho mtakatifu nitangulie nimalise mwendo salama

  • @witnessmonyo113
    @witnessmonyo113 5 років тому

    Mungu hakuponye mtumish

  • @wilkisteregesa9013
    @wilkisteregesa9013 5 років тому

    Nyimbo zako mtumishi huwa zanibariki sana baba wa mbinguni mkumbuke mtumishi wako arudi kukufanyia kazi yako

  • @neemabahoze9001
    @neemabahoze9001 5 років тому

    Asante kaka yatapita yana mwisho

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 5 років тому

    Sura na muonekano vinaonesha kua u mtumishi vema sana Mungu wetu akuzidishie baraka ameni

  • @isaackarisa5928
    @isaackarisa5928 6 років тому +1

    Amen mteso yanamwisho wake,barikw mtumish

  • @bernardmutai957
    @bernardmutai957 Рік тому

    Amen yatapita tu

  • @seinseishoulin2573
    @seinseishoulin2573 6 років тому +4

    Amen

  • @emilywachuma1309
    @emilywachuma1309 8 років тому +1

    ni baba ya watima kweli, ubarikiwe sana kwa ujumbe

  • @neemaipokela6347
    @neemaipokela6347 9 років тому +1

    wimbo mzuri sana, ahsante sana kwa ujumbe mzuri

  • @milkaokwero9824
    @milkaokwero9824 8 років тому +1

    Kabisa yana mwisho....Amina

  • @evarlynkavaya1604
    @evarlynkavaya1604 6 років тому +2

    Hakika yana mwisho wake mtumainie bwana

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 5 років тому

    Ngoja nivumilie yatapita nitakuja kupata haja ya moyo wang. Pona halaka baba mungu ata kusaidia

  • @naomikakingo7070
    @naomikakingo7070 5 років тому +1

    Huu wimbo unagusa hali uliyo nayo kwani baadhi ya maneno unakugusa kabisa kaka ucjali watanzania tunakuombea upone uje usimlie ukuu wake

  • @elizabetjmillel3351
    @elizabetjmillel3351 6 років тому

    Ee Mungu fanya uponyaji kwa pascal

  • @amospius2485
    @amospius2485 2 роки тому

    Kazi nzur kaka yata pita

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango Рік тому

    😢😢😢😢😢kweli MUNGU ako

  • @resetphone6361
    @resetphone6361 5 років тому +1

    Honger kijana

  • @roberhelenga3627
    @roberhelenga3627 4 роки тому

    Kaka hakika unajua kuimba kwani naona ukweli na hali alisi.

  • @jackindajohn2999
    @jackindajohn2999 5 років тому

    Yote ni mimapito tuu mtumishii mungu you pamoja nawe

  • @protonengineer2934
    @protonengineer2934 7 років тому +1

    man yet s time has com for this

  • @zajosjohn2232
    @zajosjohn2232 5 років тому

    Mungu akupe wepesi katika magumu unayopitia

  • @lenamuthui1501
    @lenamuthui1501 4 місяці тому

    🙏🙏🙏

  • @isayamabena1168
    @isayamabena1168 5 років тому +2

    napenda sana uimbaji wako kasian

  • @PriscaMarwa-cr5bx
    @PriscaMarwa-cr5bx Рік тому

    Nyakati za mwisho

  • @rosemarymtaita1587
    @rosemarymtaita1587 6 років тому +2

    umenbarik san uu wimbo n.kunitia moyo ubarikiwe san

  • @brownmhadisagospelsongs9156
    @brownmhadisagospelsongs9156 7 років тому +4

    kweli kabisa yanamwisho wake haya mateso

  • @wamalwazacchaus4647
    @wamalwazacchaus4647 6 років тому +2

    Nice song bro.

  • @rosemuthoni5346
    @rosemuthoni5346 6 років тому +1

    Wimbo umenibariki keep up brother

  • @sadickngabo1697
    @sadickngabo1697 7 років тому +1

    dah kweli ni mapito

  • @bonifasjohn6167
    @bonifasjohn6167 4 роки тому

    Aise kijana moto fire

  • @huldaholiud5428
    @huldaholiud5428 6 років тому +6

    ubarikiwe

  • @nuntufyejampion1165
    @nuntufyejampion1165 6 років тому +1

    just try when I make classification is just my sister bahat bukuku from Tanzania, good song b'se people don't want to tolerant when they faced with the problem

  • @emmysulley6419
    @emmysulley6419 6 років тому +2

    Haya mateso yataishaa2

  • @ndaririchard1816
    @ndaririchard1816 5 років тому

    Mungu akuponye haraka kk,we like you song

  • @nicholouszubakwa2045
    @nicholouszubakwa2045 5 років тому

    Mtumishi Mungu akupe afya tunakupenda sana

  • @lilychepkoech3486
    @lilychepkoech3486 5 років тому

    hajanifumilie yana mwisho wake

  • @mercymueni8376
    @mercymueni8376 2 роки тому

    Good job

  • @marymichael2141
    @marymichael2141 9 років тому +4

    Wimbo mzurisana, Hongera mtumishi wa Mungu lakini nimetafuta sana albam yako hii haipo madukani Kwa nini?

  • @millicentkemunto2435
    @millicentkemunto2435 6 років тому +2

    yana mwisho

  • @cassian6906
    @cassian6906 Рік тому

    Cassian my name is cassian

  • @reginandungu7249
    @reginandungu7249 9 років тому +1

    much blessed

  • @joycepurityajiambo5881
    @joycepurityajiambo5881 8 років тому +1

    kweli yana mwisho ,nyimbo nzuri sana

  • @pippauline4245
    @pippauline4245 9 років тому

    nice song very encouraging .keep the fire burning.