PART7:BILIONEA COSMAS ALIEKATAZWA KUBEBA MTU SITI YA MBELE KWENYE MAGARI YAKE KAMA SHARTI LA UTAJIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 6 місяців тому +1

    Sema ndg msimuliaji yuko smart sana story haichoshiii

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 7 місяців тому +4

    ❤Bwana Yesu asifiwe !...Stay blessed bro Davista...

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 7 місяців тому +4

    Shukran mtumish kwa kuendelea kutufungua

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 7 місяців тому +10

    Ubarikiwe mtumishi ndio maana tunawaambia wale wasio okoka na wasio Amini Yesu Kristo yupo na anatenda kazi wakati wote.Sema wanamchukulia kama mtu tu na wanasoma biblia kama gazeti na kushindwa kuamini.

  • @phinescah7353
    @phinescah7353 7 місяців тому +5

    Kuokoka ni kukutana na yesu kristo kibinafsi na kuishi maisha yanayo ambatana na neno lake, ambayo ni bibilia.

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 7 місяців тому +12

    Shetani hana chochote kizuri. Bora tu nipambane na hali yangu 😂😂😂

  • @HellenDana
    @HellenDana 7 місяців тому

    Mungu ni mkubwa, Yesu anatoa watu mbali, mtumikie Mungu ndugu maisha yako yaliyo baki.

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 7 місяців тому +7

    Jesus is the way the truth and the life ❤

  • @josephkelvin3376
    @josephkelvin3376 7 місяців тому +3

    Mr dm 🎉

  • @User92.invisible
    @User92.invisible 7 місяців тому +3

    Hii ni story ya ukweli kabisa.

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 7 місяців тому +1

    Mie nataka namba ya mzee wako 😂😂😂

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 6 місяців тому

    Namuelewa sanaa anaposema Chuma ulete kwa Wakristo peke yao nilishaexperience hilo jamboo

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 7 місяців тому +2

    ❤❤

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 місяців тому

    Yesu atukuzwe

  • @KennethMgona-jy4vc
    @KennethMgona-jy4vc 7 місяців тому +3

    Bapa tu bapa tusipoe davistar

  • @markmwaghogho9226
    @markmwaghogho9226 7 місяців тому +2

    Twende nalo braza✌

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 7 місяців тому +2

    Amen mtumishi!

  • @LovelyBoatLake-fw4yz
    @LovelyBoatLake-fw4yz 7 місяців тому +2

    Yesu ni mwana wa Mungu sio Mungu mwana

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 7 місяців тому

    Wokovu ni kitu endelevu sio swala la mara moja: Atakayevumilia MPAKA MWISHO ndiye ATAKAYEOKOKA. Dumisha wokovu kwa matendo ya Upendo kwa Mungu na Jirani.

  • @thomasrodriguez7684
    @thomasrodriguez7684 7 місяців тому +6

    Omba kibali cha kuonana na waziri mkuu umpe ushuhuda huo, pengine naye ataokoka nakuwa mkristo kwasababu mkewake ni mkristo

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 7 місяців тому +3

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimefikamo vipi wamayo😂

    • @markmwaghogho9226
      @markmwaghogho9226 7 місяців тому +1

      tuliamo usikizemo kipindi, nipo 254 pia😂😂

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 7 місяців тому

      Hahaha wamayo sijui anaendeleaje?😂

  • @rosemassawe1979
    @rosemassawe1979 5 місяців тому

    People take it personal,Yesu Kristo niwa watu wote namaanisha WOTE..Yesu sio wa dini ya kikristo Yesu Ni KRISTO..wadini zote ata ya wasio Na dini.

  • @arifosman3500
    @arifosman3500 7 місяців тому +1

    uyu mzee muongo sana na ni laghai. sasa anawaibia wakristo kwa kujiaminisha kaokoka... dunia imeisha😂😂😂

    • @jkkim3848
      @jkkim3848 7 місяців тому

      Kwani kuna ubaya ya kuwa mkiristo kama ulikuwa muisilamu....hata wakristo wengine huslim na kuwa waisilamu

    • @shadyadavid9292
      @shadyadavid9292 6 місяців тому

      Povu linakutoka kwasababu tu huyu bwana ameritadi. Muda wako ukifika na ukapata hiyo neema ya kuokolewa alafu ukaiacha utajutia hilo kosa. Ujanja ni kumtumainia Yesu kwani huyo ndio ataokoa dunia na kusamehe dhambi kama hutaki imekula kwako.

  • @tututz100
    @tututz100 7 місяців тому +2

    J.B.B.1999

    • @VeronicaAmosi-pz3wi
      @VeronicaAmosi-pz3wi 7 місяців тому

      MUNGU Naomba unionyeshe Uyu MTU ni Wa aina Gani asije tupoteza Davista Matar Wetu Mazingira yasiyo julikana🙏

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 7 місяців тому +3

    Kira ck m nasemaga stori zako ww za udini t kusifia

    • @peterkitsao9429
      @peterkitsao9429 7 місяців тому

      Zinakukera?

    • @shadyadavid9292
      @shadyadavid9292 6 місяців тому +1

      Acha kufatilia ukiona hivyo jua haikuhusu, wengine hatuwezi kusali na Majini nyie mnaweza sikilizeni story za waganga endelevu ndio zitawafaa

  • @rerisamba
    @rerisamba 7 місяців тому +1

    Huyu mama niwale wanao ona ndotoni kwa hivyo usiku aliona kila kitu

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 7 місяців тому

    Wewe umepotea.

  • @emmanuelkatono7676
    @emmanuelkatono7676 7 місяців тому +2

    😂

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 7 місяців тому

    Hakuna kuokoka hapa duniani, yesu ni mtume tu hana uwezo wowote .wala sio mtoto wa mungu.

    • @shadyadavid9292
      @shadyadavid9292 6 місяців тому

      Usimfananishe Yesu na utume muulize Muhammad ndio atakwambia Yesu ni nani. Kama hujui maandiko au uelewi basi Acha mihemko. Issa bin Mariam ndio mtume wa Allah lakini Yesu kama Yesu hamjui huyo Allah wa waarabu au waislam.

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 7 місяців тому +1

    👂👁‍🗨