PART6:BILIONEA COSMAS ALIEKATAZWA KUBEBA MTU SITI YA MBELE KWENYE MAGARI YAKE KAMA SHARTI LA UTAJIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 7 місяців тому +4

    Mungu akubariki Davistar 🇰🇪

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 7 місяців тому +2

    Mungu Akubariki Mtumishi kwa Ushuhuda wenye Mafunzo

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 7 місяців тому +9

    Jesus is the way the truth and the life ❤

  • @KillastaMwampashe
    @KillastaMwampashe 7 місяців тому +4

    Daah!!! Umepitia mengi magum mungu akusaidie💯💯😂😂😂😂😂

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 7 місяців тому +2

    Asante kaka D

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 7 місяців тому +3

    Safi 👍👍

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 7 місяців тому +3

    Apart from chuma ulete ulikuwa na biashara zingine?

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 місяців тому

    Yesu turehemu!

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 7 місяців тому +1

    Huyu mchungaji anajua sana kusimulia

  • @annkim2690
    @annkim2690 7 місяців тому +3

    Hii pesa mbona ilikua na mateso Sana Yani unakaa mchafu na unapesa

  • @thomasrodriguez7684
    @thomasrodriguez7684 7 місяців тому +2

    Sasa watu au mkewake walikua hawamuuliz anafanyakazigani? Maana huwez kuwa naela bila kujulikana unafanyakazigani

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 6 місяців тому

      Huwa wanatafuta lolote wanakwambia. Ila wasiri sana. Hawasemi ukweli hata mke haambiwi. Ni Siri sana hayo maovu yao

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 7 місяців тому +2

    Woiye Mali za short cut so sad 😢 😢

  • @mundhirsalum21
    @mundhirsalum21 7 місяців тому +1

    Huyu mbaba ana story nzuri sana
    Lakini anarudia maneno ayo kwa ayo sana alafu anachambua sana kitu kimoja mara tatu tatu

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 5 місяців тому

    😢😢😢

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 7 місяців тому

    Ulikuwa unakunywa pombe na ulikuwa muisilamu??Ama kunao waisilamu wanakunywa pombe?

  • @markmwaghogho9226
    @markmwaghogho9226 7 місяців тому +2

    😅😅😅

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 місяців тому

    Bila yesu jaman hutoboi

  • @johnsmwakalonge816
    @johnsmwakalonge816 7 місяців тому +2

    Jhm2000

  • @annkim2690
    @annkim2690 7 місяців тому +3

    Hii pesa mbona ilikua na mateso Sana Yani unakaa mchafu na unapesa