Mungu ailaze mahali pema peponi. Kwa kweli alipitia mengi magumu maishani lakini Mungu alipenda awe wa kwake ndio maana akachukua hali ya kuwa amemrudia kiimani na kuachana na maovu aliyotenda
Tz ni nchi ya ajabu sana mgonjwa anatakiwa anunuliwe kibomba cha kumlisha?? Hospitality hakuna bomba za kulishia wagonjwa mama ananunua tickets watu waingie kwenye mechi ya yanga.. mama anadhamini watu kubeba mabango yake kumtangaza watangazaji woote na radios zoote na tvs zoote hospitality hakuna kitu
My gdness aisee yaan ndo nipo narudia story tena kwa Mara nyingine alafu habar Kama iz tenaa ... Mungu ailaze roho yake mahali pema maana alitufungua wengi Sanaa 😭 🥺🥺
Shetani wapi na hapo unasikia sababu ni tetenasi acha unafiki shetani hanamshinda vipi mtu ambaye anaulinzi wa Mungu na kweli kweli amejitoa kwa Mungu wewe hujioni umnafiki
Jamani 😢😢😭😭😭😭😭😭nimeumia Sana kanyerere wetu ulitufunza mengi Sana mpka Sasa wengine tunamjua mungu
Mzee Kanyerere,tutakukumbuka aisee. Nilijifunza mingi toka kwako baba. From Congo Drc
Ishi ulahumiwe Kufa Usifiwe ka Nyerere MUNGU akurudishe Duniani watutuone Ushuhuda wako hapo ulipo kwa sasa
TUMEJIFUNZA MENGI SANA KUHUSU SHUHUDA ZA UYU MTUMISHI MUNGU AMPUNGUZIE ADHABU. ILA SHETANI NDIO AMEMCHUKUA KWA SABABU YA SHUHUDA ZAKE
Kweli huyu Ni Yule Mzee Cosmas Matthias Kanyerere? Yule aliyetufundisha kuhusu Zama ZA Giza?
Ninaimani ya Kwamba Yesu Atakaporudi mara ya pili Tutaonana. Alifanya kazi njema na Mungu Amefurahi. 😭😭😭😭😭😭😢😥😭😭😭😭😭😭😭
Hakika kazi aliimaliza ninala Bwana Yesu lihimidiwe tunaomba kujua bajeti ya ujenzi wa kaburi la mtumishi aiesee tuwezeshe .
Pastor Cosmas Kanyerere Matheus, alinifanya nimjue Yesu wa Sabato.
Mungu akuweke mahali pema cosmus, ushuhuda wako ulinitia imani kushinda
MUNGU karuhusu Mtumishi wake alale hadi asubuhi njema.Alimaliza mwendo.Twahuzunika sana,lakini tutamuona tena.
😢😢😢Jamani. Kamaliza mwendo wake mtumishi. Taji lake lamngoja.
Innalillah wainna ilayh rajighun pole sana
He! Kwani alishakufa mwinjilisti? Ndo maana kila nikitaftuta somo lake nakosa wha!!!😢😢😢😢
Watu wa mungu muwe mnaenda hospital haswa mkijikata sio maombi tu
Kazi ameimaliza mtumishi wa Mungu tulibakia tupambane kueneza injili ya Yesu kristo
Mungu nimwema atakutunza uendako
Wa kwanza leo msininyime likes 🙏🙏 pole sana mama
Pole sana..nimeshangaa kusikia habari ya mzee aliyetoa ushuhuda mkubwa sana..Rest in peace.💐
Mungu ailaze mahali pema peponi. Kwa kweli alipitia mengi magumu maishani lakini Mungu alipenda awe wa kwake ndio maana akachukua hali ya kuwa amemrudia kiimani na kuachana na maovu aliyotenda
Duuuhhh nilikuwa sjui, Kumbe kanyerere hatuko nae tena? Dunia hi jamani!
Du! I am shocked!! Kanyerere alifariki ? Apumzike kwa Amani
RIP kanyerere, ulinifunza kuomba mungu awe nawe pale ulipo
Najua Mungu yupo nawe daima r.i.p brow
Dah Nimestuka Aisee Mungu Ailaze roho yake Mahalo pema😂😂
Hata siamini pumzika mahali 😭😭😭nakumbuka akisema alikua kikao Cha kupanga uzazi ulimwengu mzima,kweli ulitufu za mengi sana mzee
Kaka utukumbushe niyupi
😢RIP
Hakika tutaonana ile Asubuhi iliyo njema
Duh! RIP Cosmas Kanyerere
aisee nimelia sana mpaka nimeenda kuangalia Inteviel zake 😢
Katusaidia kuingia ukristo
Jamani 😢😢RIP Mzee Kanyerere
Tz ni nchi ya ajabu sana mgonjwa anatakiwa anunuliwe kibomba cha kumlisha?? Hospitality hakuna bomba za kulishia wagonjwa mama ananunua tickets watu waingie kwenye mechi ya yanga.. mama anadhamini watu kubeba mabango yake kumtangaza watangazaji woote na radios zoote na tvs zoote hospitality hakuna kitu
Mungu yupo pamoja nasi kila siku
So sad kanyerere😢 mungu akurehemu..
Tulikupenda lkn Mungu kampenda zaid
Katusaidia kuingia ukristo
Jamani siamini kanyerere amekufa😢😢😢😢😢😢
😢😢💔Rip
Hadi namba yake mzee kanyerere nilikuwa nayo kumbe kafa! Daah! R.I.P Papaa
Kwakweli mm simkumbuki niyupi
😭😭😭💔
✌️🙏. Mwenyezi Mungu atupe mwisho.
My gdness aisee yaan ndo nipo narudia story tena kwa Mara nyingine alafu habar Kama iz tenaa ... Mungu ailaze roho yake mahali pema maana alitufungua wengi Sanaa 😭 🥺🥺
Aisee mzee alikuwa na ushuhudaa mzito ilaa yote kheri yesu ampokee salama
@@Catherine-mh8sw 🔋🔋
@@Teacher_01 kwan ndio yeye kwel
Ni yupi yule aliyesema alienda mpk Vatican Kwa mapapa ??
@@khadijamwenda1851 ndio
May he Rest In Peace
RIP ulinifunza mengi
Jamn yule baba amefariki daaahhh RIP
Muda umefika hakuna kipingamizi
Samhn ilikuwa ni mwaka upi jmn?
Ilikuwa tar 25/12/2022
Tangia kajikata hadi kufa imemchukua muda gani? Hiki kifo chake kimetokana na ushuhuda wake mana shetani hakupendezewa
Shetani wapi na hapo unasikia sababu ni tetenasi acha unafiki shetani hanamshinda vipi mtu ambaye anaulinzi wa Mungu na kweli kweli amejitoa kwa Mungu wewe hujioni umnafiki
@@Mpakauseme unajua sisi binadam hatukumbuki kua kila mtu atakufa namuda ukifika hakuna kipingamizi nakifo kinatafuta sababu tuuh
Wiki mbili
Du R.I.P kanyerere
MUNGU aiweke roho ya marehemu pema
😭😭😭
Huyu kanyenyere ni yupi??
Tafuta story yake mwa davistamata app. Story kali sana. Ukishindwa uniambie nikupe link.
@@mwakazijuma1607 naomba link tafadhali
R.I.P mzee kanyerere😢😢😢😢😢
😭😭😭
Huyu kanyerere ni yule alifanya kipindi,na kutoa siri nyingi za ufalme wa giza,ama ni yupi huyu?
Ni hiyo huyo
Ni yeye
Rabda wanemchukua .mungu asaidie huko aliko
R I P Kanyerere
R i p