HATARI! TIZAMA MAJINI WALIVO KAMATWA NA KUCHOMWA MOTO NA KULAANIWA NAWE TIA NIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @ashanassoro6492
    @ashanassoro6492 2 роки тому +5

    Subhana Allah ila majini yanatesa sana watu poleni dada zangu

    • @sh4138
      @sh4138 Рік тому

      Asalamualaykum warahmatullah wabarakatuh mimi naomba kisomo kwenye sim sababu niko Oman, shkh inawezekana ???

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 роки тому +9

    Poleni wenzangu lakini utakapofuata dini kikamilifu na kufanya ibada pamoja na kuleta wingi wa dhikri shetani hakuchezei ila waislam leo tumejisahau

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 роки тому

      Unaongea ndugu, yasikukute. Km unayo hata ufanye adhkr asbui najioni jua tuu hujafanya tiba , Ivo utasumbuka tuu. Haya kua nayo nifedheha tuu.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@tvstation6472 inaonyesha wewe ni muislam ila bado hujaamini kisawasawa. Sisi tunaekwambia haya yametukuta tukafanya wingi wa kuleta adhkaar na ibada na Allah akatuponyesha kwa njia hii

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@tvstation6472 fanya na wewe mola atakuvusha na mitihani hii kwa siku nilikua naleta istigfaar mara 30 elfu mola akanivua na mitihani hii

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 роки тому

      Umezungumza ukweli , n'asie tunasumbuliwa pia kiasi kwamba yanatoka Sasa kwa mama yanaingia kwa watoto pindi wewe umefocus kwenye izo ibadat , bado tiba nimhim kwa saabu nimtihani endelevu unakuja unawaathir nawatoto pia. Usikimbilie kudhania sijaamini Bali yapo maradhi madogo nayapo maradhi tayari yashakua. Allah aturidhie sote

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 роки тому

      @@maryamalli9090 inshAllah nitazidisha maana .....

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 роки тому +2

    In Sha Allah Mola ajalie kher karibu tena na tena nyumbani Kenya 🇰🇪.

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 місяців тому

    Mimi shida yangu mikono hufa ganzi haswa nnapo leta tasbihi kwa mkono wa kulia na siwezi kuleta tasbihi kwa mkono wa shoto nini tatizo na ntasaidikaje in shaa Allah

  • @motemohamedmote4935
    @motemohamedmote4935 2 роки тому +2

    Ma~Sheikh tumcheni Allah njaa itatupeleka pabaja ndugi zangu waislamu

    • @ummuramadhan1842
      @ummuramadhan1842 2 роки тому

      una maana gani kusema hivi

    • @fatmaali4390
      @fatmaali4390 2 роки тому +1

      A.a..ww...MahaaAlaah.sijui ni wewe...kuna wakti ulipouwa clazs eght uliongoza ukatiwa magazetii...i can recall da name many yrs bac hukkoooo...MashaaAllaah..saa hizi umekuwa na family MashaaAllaah..ndie...au....mote mohammad mote

    • @motemohamedmote4935
      @motemohamedmote4935 2 роки тому

      @@fatmaali4390waaleikum musalam shukran Alhamdulillah

  • @muslimtv694
    @muslimtv694 2 роки тому

    شكرا ياشيخ عثمان بارك الله فيك وزادك الله

  • @fadiahshamekhatib3701
    @fadiahshamekhatib3701 2 роки тому +3

    Amiiin 🤲🤲🤲

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 2 роки тому

    Allah akbar, sheikh naweza tanzania kimatibabu natokea kenya

  • @bahatisuleiman3466
    @bahatisuleiman3466 2 роки тому +2

    Na mbona hawa wazungu awasumbuliwe na hayo majine?na mbona sana huwa ni wanawake sana ama wakinamama.? Huwa kunanini?

    • @elsoudymohammed3512
      @elsoudymohammed3512 2 роки тому

      Husumbuliwa sana ila hawajijui... Hlfu Allah subhanahuwataala huwalinda kupitia wanaoitakidi lkn kinga yao sio kubwa kama kinga ya muislamu

    • @omarjumaan3061
      @omarjumaan3061 Рік тому

      Waowenyewe ni mashetani viyumbe yaani mambo yao niyaki shetani na shetani hana haja nae maana kishaingia mwenyewe shetani ataka watu waloshika dini yaani ibada ya mungu na kamahidi mungu kuwa atatupoteza.

  • @tambwefatuuma5378
    @tambwefatuuma5378 Рік тому

    Mashaallaah Mungu atunusuru in shaallaah

  • @AsiaMtemi
    @AsiaMtemi 9 місяців тому

    sheikh asalaam ghalyk warhamatullah wabarakat mungu akupe afya njema nasi sote kwan uko sehemu gani sheikh kuna dungu yang anamatatizo

  • @ShaffikAbdul
    @ShaffikAbdul 2 роки тому

    Asalam Aleikum warahmatuLLAH.. Sheikh Othman Michael karibuni Uganda pia

  • @mukagihanaesperance5524
    @mukagihanaesperance5524 2 роки тому +2

    Aslam Alaikum ww sheikh Karibuni Rwanda

    • @ramlaabdi6115
      @ramlaabdi6115 2 роки тому

      Tunaomba hukija kenya hupitie njia yanamanga nipo namanga ninamtoto mgonjwa

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 2 роки тому +2

    Suratul baqara ndiyo kiboko ya majini

  • @florahakizimana7557
    @florahakizimana7557 2 роки тому +1

    Utakuwa Burundi wakati gani?

  • @nduxmaryam
    @nduxmaryam 2 роки тому +2

    Sheikh, assalaam aleikum hio fimbo ni ya nini kijana mdogo? Kuuliza tu.

    • @ukhtyrumeysa9086
      @ukhtyrumeysa9086 2 роки тому

      😃😂😂😂😂

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 2 роки тому

      Kubeba bakora ni sunna kwa wanaume. Na kwa waarabu ni kituchakawaida. Pole yako kama hukupata kujua.

    • @nduxmaryam
      @nduxmaryam 2 роки тому +1

      @@myunaniniahmad6463 Wala usinipe pole.wewe ni mangapi hujui hapo ulipo?Twajifunza mambo kila kukicha. Naona ustadh wangu ana shida labda maanake kaishikilia mpaka yamtatiza kufungua kurasa.. Kama hajambo alhamdulillah.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 2 роки тому +1

      @@nduxmaryam nawe utanipa pole kwanisilo lijua , kawaida 2 dear. Nimengi 2 nisiyi yajua mungu ndo ajuae yote.

  • @abdullah-eq3lt
    @abdullah-eq3lt Рік тому

    shekh vipi ikiwa jinni ameacha sihri huenda hakuondoka nao ingekua vizur ungehakikisha kua wameondok pamoja na sihri yake

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 2 роки тому +1

    Shekh Mimi usoma Qur'an usingizini linanopokuja jinamizi

  • @mamysarah7071
    @mamysarah7071 Рік тому

    Asalam.alaikum.shehe.karibu.piyakwetu.burundi

  • @zoab2699
    @zoab2699 2 роки тому

    S.a njo na kwetu
    🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @cuteray6808
    @cuteray6808 2 роки тому +2

    wallah nimelia cjui hata sababu n nn

  • @saeedsaleem8248
    @saeedsaleem8248 2 роки тому

    Subhanallah

  • @jafahssn4930
    @jafahssn4930 2 роки тому +2

    Taqbir

  • @aminaoman8418
    @aminaoman8418 2 роки тому +1

    Assalamu alagkum 🤲🤲🤲🤲

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu Рік тому

    kutoka shehe mpaka hawo wanawake wote washirikina .shehe mwenyewe afaa kusomewa ruqya

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 Рік тому

      Wee ni mjinga, kiislamu hairuusiwi kusema mtu nafsi, yaani kuthania mtu kitu kibaya wakati huna uwakika, uslamu kuna kila mafundisho, toka apa uwende kanisani

  • @omarali8822
    @omarali8822 2 роки тому

    Sheikh nataka niongee na ww ila number yako haingii...ntakupataje.
    Niko Mombasa kenya

  • @zuwenasalum8135
    @zuwenasalum8135 2 роки тому

    Assalam alaykum.Shekh na huku pemba tunaomb ufanunuzi kwa haya mambo

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 Рік тому

      Pemba tena! Yaani waje Pemba khaswaa!khaswaa!? Mmmmh...haya.

  • @bayuumata3434
    @bayuumata3434 Рік тому

    sheikh tunaomba utuekee kituo cha afya zanzibar

  • @khdijahalmudhairb2147
    @khdijahalmudhairb2147 2 роки тому

    Assalamualleykum warahmatullah wabarakatuh shekhe mimi nimezaa watoto wawili wanakufa tuu tenaa naota ndoto nzeni mtoto anakufaa kwasasa nipo Oman naomba wasiliano yako plz maana nimepitiyaa mengi sanaaa

    • @hamisimkuu3605
      @hamisimkuu3605 Рік тому

      Pole sana dada ila wahitaj kbadli mfumo wako wa maisha na upate kisomo

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 2 роки тому

    Inna lillah wainna iilaihi rejion audhu billahi minthalik

  • @rahmanassoro2046
    @rahmanassoro2046 2 роки тому

    Mimi naitwa Rahma naombamunisaidie nnamatatizo naomba munisaidie

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mtihani

  • @nishuuuameee8695
    @nishuuuameee8695 2 роки тому

    Asalam Aleikum mimi ninayo shida zote hizo naomba nakupata vipi

  • @alikauku7516
    @alikauku7516 2 роки тому

    Aslm Alkm shesk mm nilirudi Kenya sipati mtu wakuongea nae nitumaniwe dawa

    • @alikauku7516
      @alikauku7516 2 роки тому

      angalia sms sangu mm Ali kutoka kenya

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 Рік тому

    Tusidanganyane shetan hatoki kW kisomo ht sku moja lbda atake tu kuslimu lkn si kW kunfosi atakaa pemben hlf anarudi mm hzo fani za majini nd zng nawaamrisha ninavotk mm lkn si kW hvo shekh hebu niite tuungane uone ninavowasarif majini

  • @alikauku7516
    @alikauku7516 2 роки тому

    nilikwa nahimani nitakupata lakini shikujaliwa ukuona

  • @mtumwamalikmtumwamalik1304
    @mtumwamalikmtumwamalik1304 2 роки тому

    Shekhe fanya na ziara ya kwenda zanzibar pia tunataka ziara hio

  • @rahmanassoro2046
    @rahmanassoro2046 2 роки тому

    Ivi ukiota unasoma maana yk nn? Naitwa rahma asalaam aleiku

  • @maryammussa8838
    @maryammussa8838 2 роки тому

    Mashaalh

  • @ilhamcity2244
    @ilhamcity2244 2 роки тому +1

    Twaomba utujulishe utakuja lini kenya sehemu ipi tusaidike shekh

  • @ummu2101
    @ummu2101 2 роки тому

    Shekh mm mume wangu hataki kuniletea sijui kwann nateseka

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому

    Subhanallah Astaghfiru llah 🙏

  • @sumayananabintimusa6321
    @sumayananabintimusa6321 2 роки тому +1

    Jamani nakwetu uganda in kasese district 🇺🇬🙏🙏

  • @lovelnyrose2181
    @lovelnyrose2181 2 роки тому

    Mbona wame jifunika

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 Рік тому

      Ulitaka wakuje nusu uchi kama mnavyo enda kanisani? Yaani mmezoea zinaa mpaka mnalazimisha waislamu wawe wazinifu