MTANGAZAJI WA ALIKIBA AMKATAA LIL OMMY WA WASAFI, ATAJA WATAGAZAJI WAKE BORA, WASAFI HAWANA UBORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @ericnzaro9138
    @ericnzaro9138 2 місяці тому +3

    Personally watangazaji bora kwa sasa tanzania ni
    1. Sky walker
    2. Lil ommy
    3. Millard ayo

  • @JohnsonMbelwa-rv7jy
    @JohnsonMbelwa-rv7jy 2 місяці тому +2

    Jamaa yuko sahii,Tatizo za radio na tv za Tz tunapenda kufocus na star ila wapo vijana wanafanya makubwa zaid il hakuna mtu anafocus nao na ndo maana radio nyingi huwez kukuta hardnews zaid n mbwembwe na trends zisizo kuwa za maana.Tambwe alivo kua Times alikuwa pure ila aliko enda kaingizwa kwenye mfumo anafata mkumbo.

  • @RemmyTizzo
    @RemmyTizzo 2 місяці тому

    Sahii kabisa tambwe kashuka sana

  • @SuleimanAli-jv3lt
    @SuleimanAli-jv3lt 2 місяці тому

    Traveller bang we love you bro all the way from Zanzibar

  • @KasichanaKaingu-wx7kr
    @KasichanaKaingu-wx7kr 2 місяці тому +1

    huyu anasumbuliwa n team na njaa pia

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 2 місяці тому

    Almando uko clever usichonganishi watu

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 Місяць тому

    Tambwe kashuka sio Siri

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +1

    Huyu ni nani tena..?????😂😂😂😂

  • @MakavuMakavu
    @MakavuMakavu 2 місяці тому

    hahahahaha jamaaa njaaa inamsumbuwa

  • @David-s6y8k
    @David-s6y8k 2 місяці тому +1

    Wasafi Akuna kabisa kwasababu walio pale nikazi ya umbea tu Akuna chochote

  • @harrsmgaya8141
    @harrsmgaya8141 2 місяці тому

    Kabisa TABWE alikUwa mnya alipokua times

  • @MakavuMakavu
    @MakavuMakavu 2 місяці тому

    hahahahaha jamaaa mpuuzi

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 місяці тому

    Anataka Kiki uyo

  • @esseesse2348
    @esseesse2348 2 місяці тому

    Rirch msaf

  • @SuleimanAli-jv3lt
    @SuleimanAli-jv3lt 2 місяці тому

    Kusema ukweli wasafi Wana penda zaidi umbea na habari zisizo na kichwa Wala miguu serious tena,, kila kipindi pale ni umbea

  • @kizzobkali1691
    @kizzobkali1691 2 місяці тому +1

    Ana lolote uyo anatafuta kiki

  • @Mussaharunaharuna
    @Mussaharunaharuna 2 місяці тому +1

    Kak usiwe unaturetea wajinga kam hao kuja kuwahoj hapo bongo5