BURIANI MAALIM SEIF: Kauli ya Zitto Kabwe

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 40

  • @is-haaqaramadhan3884
    @is-haaqaramadhan3884 3 роки тому +6

    Dah Zito maneno kuntu yaan unacho kizungumza kuhusiana na Mambo yote aliyofnya maalim nahis km Zanzibar inaend kuw huru ssa kw hya maneno yako Wallah Allah ndiye ajuae Amin

  • @umyusuphumyusuph5706
    @umyusuphumyusuph5706 3 роки тому +8

    Maneno mazuri yaliojaa hekma na upendo zito kabwe usituache wazanzibar hio niamana aliokuachia maalimsef tutamkumbuka daima

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +5

    MashaAllah maneno ya maana sana na yenye umuhimu mkubwa sana aloyazungunza Zitto Kabwe.. every word every sentence is perfectly crafted. Tuzidi kushikamana muheshimiwa wetu Zitto na tuzidi kumuenzi kipenzi chetu Maalim Seif kipenzi cha umma. Mungu amrehemu Maalim na akupeni afya viongozi wetu muzidi kutuongoza Amin

  • @suleimanrahim5273
    @suleimanrahim5273 3 роки тому +10

    Nenda maalim, sisi sote tumekuridhia, Allah s.w akupe nuru na malaika wema wawe ndio marafiki zako katika maisha yako ya sasa, nenda maalim waambie wale wote waliopoteza maisha katika uchaguzi wa 2020 wambie kuwa umeiwacha Zanzibar ikiwa na mshikamano, umeiwacha Zanzibar ikiwa na imani na Mapenzi na Rais Husein Mwinyi, waambie kuwa Zanzibar ipo kwenye furaha, waambie kuwa Zanzibar itakuwa imara na yenye kutenda haki katika mikono ya Dk.Hussein Mwinyi , tumeumizwa sana ila kazi ya mungu haina makosa😥😥 innalillahi wa inna ilayhi raajiun

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +7

    Allah amsamehe mapungufu yake na Ampe pepo yake ya daraja la Juu yarabby🤲🤲

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 роки тому +4

    Maneno mazito sana yanaumiza na yanaingia moyoni daah Allah ampe pepo ya firdaus Maalim wetu ❤️

    • @shufaaomaraboubakar5087
      @shufaaomaraboubakar5087 3 роки тому +1

      Amin yarby

    • @johakhimumgembe2907
      @johakhimumgembe2907 3 роки тому +1

      Alipenda,umoja,hekhima,na,amani,siasa,iwe,upendo.sio,chuki,tz,bara, tunajifunza,nini ,juu,ya,umoja,WA,zanzibari,na,umoja,WA,vyama.,mpaka kuwa,na,umoja WA,kitaifa..visiwani..nawapongezaa.kwa,maalim,kuona,mbele,kwa,maslahi,mapana,
      Ya, zanzibari.

  • @nassirsaleh3273
    @nassirsaleh3273 3 роки тому +5

    Hato tokea tena kam maalim seif Sharif

  • @laylayahya24
    @laylayahya24 3 роки тому +4

    Masha Allah so emotional speech..😭😭😭😭😭😭😭

  • @topaviator
    @topaviator 3 роки тому +3

    Hatotokea tena kma maalim

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +2

    Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 3 роки тому +3

    INNALILLAHI wainnailaihi rajuun great speech tumeondokewa lakini mungu ndio mpangaji

    • @ayubuzubakwa5996
      @ayubuzubakwa5996 3 роки тому

      Zitto kabwe kigoma bado tunaimani na wewe ukovizuli

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +6

    Golden speech

  • @saidkhamis8895
    @saidkhamis8895 3 роки тому

    Yaa Allah Yaa rrahman kwa utukufu na ukubwa wa majina yako haya msamehe na umrehemu mjaa wako huyu Maalim Seif Sharif Hamad na umruzuku PEPO YA FIRDAUS AAMIN YAARABBAL ALAMIN YAA RAZZAK YAA RRAHMAN YAA RRAHIM

  • @alimsabah4921
    @alimsabah4921 3 роки тому +3

    Hii speech Ni Kali Sana na inasimumua lakin inajenga unasir na mshikamano

  • @salmahilal7156
    @salmahilal7156 3 роки тому +2

    Perctly speech and unique ....

  • @mwajumashauri9674
    @mwajumashauri9674 3 роки тому +2

    Hutba yatuliza sana

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому

    اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله داراخيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار

  • @mbaroukelshirazy6265
    @mbaroukelshirazy6265 3 роки тому +4

    Hii hutba imenitoa machozi

  • @ahmedkhamis9539
    @ahmedkhamis9539 2 роки тому

    Hii hutuba haisahauliki kwa mwenye kutafakari

  • @abdulkassam6039
    @abdulkassam6039 3 роки тому +4

    Rest in peace Malim Seif and fully blessed.

    • @is-haaqaramadhan3884
      @is-haaqaramadhan3884 3 роки тому +3

      Kka usiseme rest in peace kw muislam ni mila potof mila za kiyahun kinasara na kixirkina waislam tu atakiwa tuseme Inna Lillah Wa Inna Ilayh Rajioon.

    • @abdulkassam6039
      @abdulkassam6039 3 роки тому +1

      Ahsante for your correction. Innna lillahi wa inna Ilahi rajioun - mungu amlaaze marhemu peponi

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 роки тому

    Zito asante sana kwa khutba yako

  • @umyusuphumyusuph5706
    @umyusuphumyusuph5706 3 роки тому +4

    Mola amsameh mapungufu yake

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Wape awo walomzulumu engekuwa mtu anafufuka heeee engeshikwa mtu roho Hapo akakoma na dhulma walomfanyia huyo Malim ni rais si mumeona maziko yake Mumempa uraisi wake😭😭😭😭😭😭💕malim sefu lala salama baba

  • @jasbakipingu4145
    @jasbakipingu4145 3 роки тому

    Hakika yote u.eyasema ila maneyo yamwisho yamenitowa sauti ya kilio huku wanangu na mke wangu wakisema ninite kimetokea hakika mauti ninguo kila aliye zaliwa lazima avae umeonge maneno makali mno ishaallah apunzike kwa amani

  • @jammalsaiid2019
    @jammalsaiid2019 3 роки тому +1

    Maneno machache lakini yenye Mana kubwa

  • @tauhidakhamis717
    @tauhidakhamis717 3 роки тому

    Tunamuomb mung raisi hussein afuate nyayo za marehem seif sharifu.

  • @mussamc641
    @mussamc641 3 роки тому +1

    Sichok kiskiliza hii hii leo mara ya 4 bdo hua naifungua ...

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 3 роки тому +5

    TUSISAHAU MAUTI MUNGU MSAMEHE MAKOSA YAKE AMPE KAUL THABIT MBELE YAKE NYUMA YETU

  • @kisa6022
    @kisa6022 3 роки тому

    Maalim ametangulia mbele ya haki nasi tuko nyuma yake ila wenye hasara ni wale waliokkosea au kumdhulumu na wasiwahi kumuomba msamaha

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    SAsa Hawa policy ni wa Nini