| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 2]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Rais Ruto ameahidi kufanya mabadiliko serikalini
    Bajeti za ofisi za mkewe rais na wa naibu rais zaondolewa
    Serikali ilitangaza hatua za kupunguza matumizi
    Rais amevunja mashirika 47 yenye kazi zinazofanana
    Rais aahidi kupunguza washauri wake kwa 50%
    Deni la taifa lilikuwa ksh.10.398t kufikia mwezi machi
    Rais ameteua jopo la kutathmini madeni ya taifa
    LSK yasema ni kazi ya ofisi ya mhasibu mkuu

КОМЕНТАРІ • 15

  • @lystrajoel8609
    @lystrajoel8609 3 місяці тому +6

    Genz have made ruto yesterday not to go church 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Genz have made ruto not to go anywhere, he is ashamed all over the world, because he has nothing to address

  • @AgnesNdanu-gt1vz
    @AgnesNdanu-gt1vz 2 місяці тому

    Mko sawa😊

  • @NasraMohamed-o1d
    @NasraMohamed-o1d 2 місяці тому

    Tangu wakati WA moi nyimbo ni coraption na hatujawai ona walifungwa na coraption mungu tusaidie na uwabadilishe na uwaoshe na steel wire robot zao mungu NI wewe tu unaweza wabadilisha Amin tuna penda kenya yenu NI maombi Tu tukuwe na siku ya maombi plz tuombe inchi yetu hakuna zaidi yA mungu

  • @LeahShikuku-n4s
    @LeahShikuku-n4s 3 місяці тому

    😊mko sawa

  • @juntyd
    @juntyd 2 місяці тому

    Ideology sio accurate; revolution ndio more accurate

  • @NasraMohamed-o1d
    @NasraMohamed-o1d 2 місяці тому

    Nadhan Sheria itengenezwe WA kati ya kura atakae toa hongo ashikwe wakenya tuache kuongea wakati wakura matokeo leo tunaona unakula 200 unalia Mika 5 chagua kiongozi sio mia200

  • @NasraMohamed-o1d
    @NasraMohamed-o1d 2 місяці тому

    Kulingana na yaliyo jitokeza basi 2027 serekali itafute mbinu imagine serekali ipange hakuna pesa ya kampen eti unachangiwa kama ni raisi na unachaguliwa NI unachaguliwa na wana inchi ama wadifa yoyote mambo ya pesa ndiyo inaleta ufisai

  • @Zainab-sw6lg
    @Zainab-sw6lg 3 місяці тому

    Maoni yangu nasema wakenya wanata kujua kuhusu mswada wamwaka jana ulifanyiwa nini na kilasehem aeleze ilitumika pesa ngapi watu wafanye maisabu

  • @PiliPili-f1w
    @PiliPili-f1w 3 місяці тому

    Judiciary should have tight ruling over corruption
    No bail
    If guilty all his property should go back to the government

  • @DanielAmathe-r4o
    @DanielAmathe-r4o 2 місяці тому

    Rais ajue ahadi hazionekani coz mama mboga na m2 wa boda Ako still pale.

  • @NasraMohamed-o1d
    @NasraMohamed-o1d 2 місяці тому

    Mimi namshauri raisi asimame na gnz na hawo mawazo waliomsadia waelewe kimeumana wasimsaliti l raisi. Na Kama waliomsadia mpaka said wamejilipa navile waliomsadia pia wangemsaidia kupa mawaida mazuri

  • @NasraMohamed-o1d
    @NasraMohamed-o1d 2 місяці тому

    Raisi tunamwambia vijana wanateseka Kwa warabu wanakufa na wengine wamejaa jela za warabu wanakufa na wengine wamechizika amechukua atuwa gani na pia kuna wakala waizi wanalagai ma gnz niatua gani raisi amechukua

  • @LeahShikuku-n4s
    @LeahShikuku-n4s 3 місяці тому

    😊mko sawa

  • @LeahShikuku-n4s
    @LeahShikuku-n4s 3 місяці тому

    😊mko sawa