Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • Mwalimu Lightness Isojick anafundisha Skuli ya Msingi ya Blue Rhino International iliyoko kaskazini mwa Tanzania. Yeye ni mwenyeji wa Karatu kutoka kabila la Iraqw. Anasimulia hapa kuhusu lugha na fasihi ya watu wake.

КОМЕНТАРІ • 24

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 19 днів тому +2

    From Iraq to Ethiopia before Suez canal built following great rift wall to South Africa

  • @veronicasafari600
    @veronicasafari600 19 днів тому +3

    Hatimaye wairaqw tumefka Majuu

  • @samwelpanga2404
    @samwelpanga2404 19 днів тому +2

    Wairaqw wenzangu weka like hapa tu enjoy

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 19 днів тому +2

    Asante dada historia nzuri kujua❤

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 19 днів тому +1

    We badala ya kusema waarabu wana asili ya waairaq we unasema waairaq ndio wana asili ya waarabu

  • @zaneco
    @zaneco 20 днів тому +2

    Interesting, endelea kuwahoji watu kama hawa wanaoelezea history bila ya kuingiza siasa

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 20 днів тому +3

    Nimependa sana kumsikia Muirak akijibu na kujielezea kwa ufasaha lakini pia nimestuka kusikia wairak wana misamiati ambayo haiko katika kiswahili lakini iko katika misamiati ya kiarabu. Hii inaisharia pia kua kulikua na mahusiano halisi baina ya waarabu na wairak au ni watu wa asili moja

  • @Abdullatifkilupy-tn6ii
    @Abdullatifkilupy-tn6ii 20 днів тому +1

    Hahaha nimefurahi sana. Ila nilikua nacheka sheikh Mohammed ulivokua unashangaaa. 😂😂 Hongereni sana. Kiswahili ni urithi unaopaswa kudumishwa kwa hali na mali.

  • @d15355
    @d15355 20 днів тому +5

    Hawa wairaq kwa ufahamu wangu na jinsi nilivyokaa nao asli yao ni ethiopia na wanafanana na wale Amhara wa wa kule, ila sio waarabu wa iraq ni neno tu linafanana nalo, ila sio, bali ni jami ya semitic kama wale amhara na waeritrea ndio jamii yao,ila eleweni kuwa maeneo yoote ya centra Tz kwenda juu asli yake ni maeneo ya makabila ya kiethiopia na yale yenye asli ya kisomali na yale ya kinilotics na bushmen wabantu waishio sasa wameamia miaka ya karibuni tu kama 300-350 nyuma, hao ndio wenyeji asli wa maeneo hayo

    • @sulebaajun6015
      @sulebaajun6015 20 днів тому +1

      Unajua wa Amhara na waarabu ni walewale?

    • @d15355
      @d15355 19 днів тому

      @@sulebaajun6015 ni race moja hiyo tunakubali ila ishu hapa ni je walitoka iraq kama wanavyodai? jibu hapana hili ni muendelezo wa makabila ya kiethiopia sio waarabu wa iraq,sababu semitic people hawapo waarabu peke yao kuna waarabu,wayahudi,amhara,copts,tigrinya,wasyria wa kale etc hivyo point itabaki palepale kuwa hawa wana relate more na waethiopia.

    • @sulebaajun6015
      @sulebaajun6015 19 днів тому

      @@d15355 If you look at the map, it is a stretch if they claim they came from Iraq. Kama unavyosema, Ethiopia itakuwa ni sehemu ya karibu zaidi.

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 20 днів тому +1

    Mungu wao juwa hatr xnaa

  • @DAMIANOPETRO-n8l
    @DAMIANOPETRO-n8l 20 днів тому +2

    Loa a amen aga akhasika

  • @lumage
    @lumage 19 днів тому +1

    Desi Laway

  • @yohanayusuf4713
    @yohanayusuf4713 20 днів тому +1

    Duh! mungu mke Jua

  • @abuualiyuu2435
    @abuualiyuu2435 20 днів тому +3

    Assalamu aleyku, Sheikh Mohammed hiyo ni Lugha inayoshabihiyana sana na Lugha za kiarabu. na kama Taasisi ya lugha za kigeni Zanzibar inaweza kuunganisha Lahaja kaama hizi kwa kweli Lugha ya kiswahili ingeweza kuongeza Msaamiati wake kwa kiasi kikubwa

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 20 днів тому +1

    Dada mnafanana na sura za kiarabu you look beautiful

  • @elimukwanza4657
    @elimukwanza4657 20 днів тому +1

    Kwanini anasema Luga na anaweza kusema Lugha

  • @salyali7807
    @salyali7807 20 днів тому +1

    Subhanallah

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 19 днів тому +1

    60% ya kiswahili ni kiarabu sio 40%