Mwinyi Mpeku_MUME WA MWANANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • "...Kuolewa si kuvaa,kula wala kunywa.Kuolewa ni stara...."Fuatilia filam hii yenye mafunzo na burudani pia USISAHAU Ku SUBSCRIBE,SHARE kwa marafiki na COMMENT

КОМЕНТАРІ • 386

  • @khadijaabdulqadir1662
    @khadijaabdulqadir1662 4 роки тому +10

    Napongeza wasanii wotee na nafurahia filamu zenu. Vile hamukuacha asili zenu. Pongezi sanaaa kwa kutukumbusha zamaa za nyanya na babu zetuu. From Mombasa kenya 👍🏼

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 5 років тому +22

    Mie si mkojani , wala mpemba lakini napenda sana kujifunza maneno mapya , lahaja mpya , lafudhi mpya , Hongereni sana kwa Management nzima iliyofanikisha kuwaweka pamoja mtufunze , tumechoka huku bara na Blogs na Online TV zimejaa udaku wa Diamond , Zari , Hamisa , Lulu , Irene Uwoya , taabani roho yangu .
    Hongereni sana kwa kutupa vya asili yetu .

  • @idarousomar1
    @idarousomar1 5 років тому +39

    Wallahi nafarijika mno kusikia lafudhi na lahaja ya kikwetu Kojani big up sana Mwinyi Mpeku na wote mnao tuwakilisha.

    • @idarousomar1
      @idarousomar1 5 років тому +1

      @Rukaiya Rukaiya Naam dada angu

    • @abbassalim2426
      @abbassalim2426 5 років тому +2

      Tunawakilisha pemba nzima sik kojani tu

    • @idarousomar1
      @idarousomar1 5 років тому +2

      @@abbassalim2426 naelewa sana labda hujaielewa comment yangu

    • @JufeFilmCompany
      @JufeFilmCompany  5 років тому +1

      Shukran

    • @idarousomar1
      @idarousomar1 5 років тому +2

      @@JufeFilmCompany Tupo pamoja sana

  • @suleimanmohammed5090
    @suleimanmohammed5090 5 років тому +22

    Mashallah kazi nzuri sana mungu azidi kuwazidishia vipaji wana kwetu

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 3 роки тому +2

    Best actors mwinyi mkuu, kitatange, kachara they need be awarded wallahi MashaAllah great jobs you are doing MashaAllah

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 років тому +3

    bona tuzo upati wana kuonea ila pambana tu haya maisha sote tuna pita move zako nzuri sana zakuelemisha
    na kuburudisha.

  • @luckyman5084
    @luckyman5084 5 років тому +10

    Mwinyi mpeku nakukubali sana ww ni fundi

  • @hawaomary96
    @hawaomary96 2 роки тому +2

    Nataman kumuona mzee mwinyi na kachala Jaman nitafurah Sana hyo siku

  • @TheDididadi
    @TheDididadi 5 років тому +9

    Hongereni sana filamu nzuri, Sisi wengine tunafurahi tukiona mnapiga hatua

  • @ajeyfandhealthy8842
    @ajeyfandhealthy8842 5 років тому +11

    film iko poa 100%
    love to watch your films,natumai mutakuja na mfumo wa series soon inshallah all
    love jufe film production.

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 5 років тому +5

    Niwape rai Jufe, nashukuru kutuwekea kazi kama hii bali pia naelewa kazi hizi zimechukua gharama za kifedha na wakati kukamilisa. Basi mungeweka namba ya tigo/easy pesa kwa anaetaka kutabaruku chochote, sio kwa lazima bali hiyari kwa anaetaka kufanya hivyo

    • @Chombezaflava
      @Chombezaflava 5 років тому +1

      Kweli kizuri chajiuza

    • @JufeFilmCompany
      @JufeFilmCompany  5 років тому +3

      Asante kwa ushauri mzuri ,wazo hili ni zuri na tutalifanyia kazi tunajua mnatupenda sana na muko tayari kutupa sapot ili tuendelee kufanya vitu vizuri zaidi...shukran

  • @youngtwite7580
    @youngtwite7580 5 років тому +19

    kama tunajikubali wapemba kama tunajua gongen like hapa

  • @husnakhamishamad509
    @husnakhamishamad509 5 років тому +3

    Hongera Mwinyi kwa msimamo wako kama mzazi na wazazi wafuate msimamo huo huo ili kweza kurjesha mila na tamaduni zetu za kipemba na kizanzibari kwa ujumla

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 років тому +8

    Filam nzuri huyu mama yupo sawa kweli kweli ina mafunzo mazuri kiukweli BIG UP

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому +1

    Mbona pemba kuna watoto wazur namna hii
    Mhhh noma
    #NAJIVUNIA KUWA MPEMBA2020

  • @abdallasalim7865
    @abdallasalim7865 5 років тому +6

    Hahaaa aaahh aaa mm sie ntaekae olewa atakae olewa ni mwanangu # mwinyi

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 роки тому +3

    Tamaha mbaya Sana wallah

  • @ameenaoman7416
    @ameenaoman7416 4 роки тому +9

    mambo haya yameshatokea sana kwa watu wengi kwa tamaa ya mali daah.

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 роки тому +1

    Mashallah Allah barik nyote lkn Mwinyi na kachara Mungu awape maisha marefu na wapenda sana.

  • @thaurataliy4536
    @thaurataliy4536 4 роки тому

    Munanifurahisha jufe kazi nzuriiiiiiiii wapemba twajuaaaa abaa pemba nkwetuuuu

  • @rayashaib1852
    @rayashaib1852 5 років тому +4

    kumpata mwanamke mwenye msimamo wa kumjua mungu ni raha ktk nyumba

  • @ernestbupamba9844
    @ernestbupamba9844 4 роки тому +1

    Mwinyi, Kachara, hongereni sana kwa kazi nzuri. Nawapendaga sana. Pigeni kazi.

  • @HadhirNAli-hy4ni
    @HadhirNAli-hy4ni 5 років тому +5

    Mwinyi mpeku aka chotara wa kojan😂 hongereni sana kw kazi nzr...kiukweli nawakubali sanaa. Allah awafungulie zaid

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому

    Mnyamaa kiswabi nakubali kazi kazi sema
    Bahati haina kwao
    hupendi mpaka mke wa watu
    #NAJIVUNIA KUWAMPEMBA

  • @sumesume7928
    @sumesume7928 5 років тому +2

    Shukrani kwa movie nzuri yenye mafunzo teletele yatakikana uwe na subra kila jambo mungu alilipanga kwa wakati wake ona sasa umekosa mwana na maji ya moto penda sana kazi zako mzee mwinyi

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +3

    Shukran sana kwa Movie nzuri yenye Mafunzo tele,Hongereni sana kwa Kazi nzuri.

  • @adhkaar3250
    @adhkaar3250 5 років тому +7

    Mbona hukokoti bero.hihiiiiiiiiii.panga safi sanaaaaaa pemba nkwetuuuu

  • @hassanmchwakachangama888
    @hassanmchwakachangama888 4 роки тому +1

    Iko safi sana hii tutajifunza mengi tu inaeleweka hii safi sana wasanii

  • @user-tx3bq7fo5j
    @user-tx3bq7fo5j 4 роки тому +3

    Bonge la movie, mzuri sana inamafunzo ya kutosha

  • @hassanimussa5776
    @hassanimussa5776 5 років тому +4

    Mke wa kiswabi maaashallah nimempenda buree

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому +3

    Alhamdulilah InshAllah heri subra ndio muhimu

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому +7

    MaashAllah,maneno yako mazuri Sheikh,kijana wacha zako mwinyi kuwa Allah

  • @zuwenanassor9076
    @zuwenanassor9076 2 роки тому

    Mashallah mwinyi na kitatange na kachara hakika mnatukonga nyoyo

  • @ashuryothman7921
    @ashuryothman7921 3 роки тому

    Big up muko vzr ktk mafunzo na ucheshi hadi mbavu znauma

  • @yussuphhamad8530
    @yussuphhamad8530 5 місяців тому

    Ndoivo lakini huyu bibi kijecha nasikia kasha kufa inalilah wainnalilah rajun mungu amjalie mapunzko mema

  • @hafsahanif38
    @hafsahanif38 5 років тому +4

    Mwinyi uko juu.. kachara weeeeee😂😂😂😂

  • @mpembermpember8099
    @mpembermpember8099 4 роки тому +1

    Kazi mzur mashallah ilove u pemb ,pemb my home.

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 4 роки тому +1

    Hongereni nyote mulioshiriki

  • @omarsalum8104
    @omarsalum8104 5 років тому +3

    Hii noma duuh nmependa jaman

    • @omarsalum8104
      @omarsalum8104 5 років тому +1

      Majan ya mgomba ndy chakula cha Leo

  • @djfeeda3022
    @djfeeda3022 2 роки тому

    Mkee wake Kiswabi mzuri masha Allah nataka nimuone siku moja

  • @floridawillybatmrsngengena682
    @floridawillybatmrsngengena682 4 роки тому +2

    Mko vizuri sana

  • @alymohd6713
    @alymohd6713 4 роки тому +2

    Nakupenda mwakombo100

  • @seifalkhan5398
    @seifalkhan5398 5 років тому +2

    Mbn mukosawa nyinyi tena vibaya sana

  • @eddimalon6051
    @eddimalon6051 4 роки тому +6

    Congratulation Jufe. Good work, a lots to learn from this movie.

    • @rithamabdulrahman2648
      @rithamabdulrahman2648 2 роки тому

      Yeah, this is so real, it's amazing I am a huge fan too . I love Pemba's accent

  • @rashidseif7240
    @rashidseif7240 4 роки тому +5

    Ni movie ila kma ni kweli hyu dada ana hizi tabia bc natangaza ndoa ,mana wanawake kma hawa walikufa tangia vita vya pili vya dunia hukooo

  • @kassimaliyy5490
    @kassimaliyy5490 3 роки тому +1

    Jamani Pemba kuna watoto wazuri ntk nje nioe

  • @farazdaqsalum1270
    @farazdaqsalum1270 5 років тому +9

    hahaha we nenda zako kalale maana komba waomboleza uko...respect,, u Pemba nkwetuuuuuuuuuu

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 років тому +2

    tunapenda sana kazi zako mwinyi.

  • @omarhamad8415
    @omarhamad8415 5 років тому +2

    Dah hongera kiswabi

  • @abdullamohd6361
    @abdullamohd6361 5 років тому +7

    Masha Allah nimefurahi kuangalia Pemba Movie 🎥 kutoka hapa Münich Germany 🇩🇪

    • @khamismkubwa5395
      @khamismkubwa5395 5 років тому +1

      Muko sw mungu aswazidshie kipaji

    • @khamismkubwa5395
      @khamismkubwa5395 5 років тому +1

      Like xn move zetu za pba munajua asa site za kuect bana 100 mia

  • @fatimaalhabsii1728
    @fatimaalhabsii1728 Рік тому

    Tamaa mbaya

  • @halimatajiri2993
    @halimatajiri2993 4 роки тому +2

    Masha'Allah film nzuri sana.

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 років тому +6

    Huu mchezo mzuri... Mashallah

  • @munaajuma530
    @munaajuma530 4 роки тому +4

    😂😂😂 ukitaka kupunguz stress tizama hizi film kucheka km kote

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 роки тому +2

    Ma Sha Allah,

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +5

    Mmh leo nimefurahi tuliisubiri zamani

  • @upendoseries545
    @upendoseries545 2 роки тому +1

    Najivunia kuwa nanyi wapemba wenzangu

  • @issamohammed7374
    @issamohammed7374 5 років тому +2

    Hahaha...Kachara noma sana.

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +1

    Wallh kachara anawapiga Kiswahili Wallah ww ni nomaa sanaa

  • @leikhaomar6243
    @leikhaomar6243 5 років тому +8

    Proud of my tribe😍😍

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому

    Hongereni juffe Muko VIZUR ila naomba movie zenu ziwe ndefu

  • @rahimmjawir7909
    @rahimmjawir7909 5 років тому +12

    Mwakombo umecheza ukiwa na madili mema na anayopaswa kua nayo mmke. Jitengeze hivyo kitabia utadumu ktk ndoa yako ya kweli

    • @pp1153
      @pp1153 4 роки тому

      Masha allah semu mwakombo

  • @nasorahmed4986
    @nasorahmed4986 4 роки тому +3

    I love my island Pemba and their people

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому

    Mwakombo weeee mtoto wa kipemba sema baba samahani hayo ndo maadili ya kwetu pemba
    #NAJIVUNIA KUWA MPEMBA

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 5 років тому +2

    huadui ela na stering sie mwinyi achekesha

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +2

    sharti baya . kuwa wa mwanzo awe huyo huyo mara waletewa mwanga . Tobaaa kumbe mganga wenyewe mwizi 🤣🤣🤣🤣

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 5 років тому +9

    Naomba like za kachara

  • @azharmamyummyazhar4715
    @azharmamyummyazhar4715 5 років тому +5

    maa shaa Allah nzur nlikuwa naisubiria kwa hamu......

  • @ibrahimshehuna527
    @ibrahimshehuna527 5 років тому +7

    😀😀😀😀 kiswabi umevunja mbavu Kaz yako naikubali 💯 kwa💯

  • @kassimaliyy5490
    @kassimaliyy5490 3 роки тому +1

    Dah uyo aziza namtaka mm jamani nimuoe aje akae unguja

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 років тому +2

    Kazi nzuri

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 4 роки тому +2

    Kiswabi

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 років тому +3

    Move kali sanaa

  • @abdulmarhaba3918
    @abdulmarhaba3918 5 років тому +2

    Njoo mm nitakuoa

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 4 роки тому

    Jufe nyie mahodali mashallah😍

  • @jumakilindi6732
    @jumakilindi6732 5 років тому +2

    Hawa jamaa nawakubali sanaaaa

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому

    Hayo ndo maadili ya kwetu watoto wa kipemba
    #NAJIVUNIA KUWA MPEMBA

  • @kassimaliyy5490
    @kassimaliyy5490 3 роки тому +1

    Jamani namtka uyo aziza mimi

  • @nasrakhamisi9525
    @nasrakhamisi9525 5 років тому +1

    Hongereni washiriki wote, ila tamaa mbaya

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +3

    Kweli ina mafunzo makubwa sana, kweli Majuto mjuukuu.

  • @ummunaaleicester4337
    @ummunaaleicester4337 5 років тому +4

    Nzur sana nimeipendaa hongereni nyote washiriki Allah awape ujuz zaid

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 5 років тому +4

    Mchezo nzuri sana, nautazama taratibu lakini kila kipande ninachoangalia kinamzidi mwenzake kwa uzuri

  • @a.856
    @a.856 5 років тому +3

    Mtu ataona kanaowa nzungu kumbe...kanaowa chungu🤩

  • @dullerally2015
    @dullerally2015 5 років тому +1

    Nakubali kazi yenu

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 4 роки тому +1

    Duuuuh😨zongo la vumba kali

  • @a.856
    @a.856 5 років тому +2

    Asanteni nyote jufe 👍

  • @talibali6982
    @talibali6982 5 років тому +3

    Aaa baba hapa hapataki ulinz pana mijibwa chungu nzima

  • @omarijumaa8786
    @omarijumaa8786 5 років тому +5

    Masha Allah

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому +1

    Jitahidini muwe mnatoa filam ndefu kama hii sio mnatoa vipande vipande tunakuwa hatuinjoi

  • @omarijumaa8786
    @omarijumaa8786 5 років тому +3

    Dah Kama Kuna watu wanawatoa kafara watoto wao kw ajili ya utajiri Wataenda kujibu kwa Allah

  • @tatuthabit9291
    @tatuthabit9291 5 років тому +2

    Nawapenda sana haya watu

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +2

    hili ndio tatizo mwanamke atadoda hakuna amuulizaye , lakini siku ajayoolewa tu wale wale watamuona mzuri na kumtamani .

  • @princenyakurungwi6925
    @princenyakurungwi6925 4 роки тому +1

    Hawa jamaa nawakubali sana maana unaweza kuangali hii video ukiwa umekaa na wazee bila ya shida yyote

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +2

    Siku zote tukitafutia watoto wetu wake hutafuta wenye maadili mazuri , jee wewe mwenye mtoto wa kiume na wako ana maadili pia ?

  • @salumsaid4858
    @salumsaid4858 5 років тому +1

    Tamaa mbaya saana

  • @criticalthinker1179
    @criticalthinker1179 5 років тому +12

    First to comment from Pemba

  • @ladyfatush2943
    @ladyfatush2943 5 років тому +6

    Kitatange mwenzio waniacha hoi na hilo recode la kihindi

  • @immaneuldotto8218
    @immaneuldotto8218 2 роки тому

    Nawakubar sana mk vzl sana

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 4 роки тому +1

    Amini kwamba ikopowa sana

  • @khamikhan5091
    @khamikhan5091 4 роки тому +1

    macho kama dudu vuli huyu mwinyi hachekeshi akata mbavu hasaa