AFISA UHAMIAJI AMTUNISHIA MISULI MAKONDA MBELE YA WANANCHI HAWANA DIWANI MIAKA MITATU "SIJUI MIMI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 827

  • @JamesMwalilino
    @JamesMwalilino 9 місяців тому +14

    Pole sana Tz kama ndiyo sarakasi za kazi za umma hao anawahoji a naogopa watu wa level yake uhalali ni upi kwa haya ahsante sana kwa mwana sheria na afisa uhamiaji kwa weledi wa kazi zao

  • @josephkingu6140
    @josephkingu6140 8 місяців тому +27

    Nimempenda huyo dada wa Uhamiaji,,, kweli huyo ni kamanda

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 8 місяців тому +3

      Anajiamini mpaka raha

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 7 місяців тому

      Umempenda kivipi sasa,wakati yeye mwenyewe pia si Mtanzania?

  • @robertoguda4443
    @robertoguda4443 8 місяців тому +18

    Huyo afisa uhamiaji yupo sawa,makonda unaenda kinyume

  • @manguremtima3522
    @manguremtima3522 8 місяців тому +6

    Mama alifikiria sana kusikiliza kero za wananchi ili yawezekushughulikiwa Asante sana mwenezi kwa kufanya majukumu yako vizuri bkusafishia chama sifa mbaya kwa baadhi ya maeneo

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 8 місяців тому +12

    Asante Sana, siwezi kulitolea majibu

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 8 місяців тому +15

    Kama Dada hajaolewa naomba nioe pls maana dada anajielewa vizuri sana.

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 8 місяців тому +8

    TAARUMA NA SIASA KUNA MUDA VINAPINGANA,, nimempenda huyu Afisa, ningekuwa sijaoa,, WALLAH NINGEOA MSICHANA HUYU AISEE

  • @JustinMkwanda
    @JustinMkwanda 9 місяців тому +43

    Huyu dada nimemkubali sana. Hawa ndio maafisa tunao wahitaji

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 8 місяців тому +1

      Mafias wababaishaji amboa hawsna majibu hatuwezi kuwashabilia. Lazima watoe majibu kwa umma kwa interest za umma na siyo kumumunya maneno. Mishahara yao inatokana na kodi za wanamchi na ofisi zao ni Mali ya wananchi walipa kodi.
      Biashara ya kusema kirahisi tu kuwa hujui ni kuwakosea wsnanchi haki

  • @jamalabdallah8757
    @jamalabdallah8757 8 місяців тому +9

    Pole sana nimekuona unakohoa sana kaka magu mdogo❤❤❤❤

  • @siangowi3365
    @siangowi3365 8 місяців тому +13

    Uyu anayeongea namwelewa sanaaa😂😂😂😂tujuane tunaemsikilizaaa😊

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 7 місяців тому

      Diwani sio raia, na afisa uhamiaji pia sio raia,,,wanabebana!

  • @hassannalinga7943
    @hassannalinga7943 9 місяців тому +142

    kama na wewe unamsikia huyo mwamba anayechomekea maneno piga like tujuane hapa😂

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 9 місяців тому +2

      Hahaha mi namsikia vzr sana

    • @fidonsostenes
      @fidonsostenes 9 місяців тому +3

      Ni hatar ana visasi na mkurugenzi utafikiri kamuajili yeye

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 9 місяців тому +3

      @@fidonsostenes watu wamechoka saana,kuna wakati watumishi wa serikali tunajisahau

    • @nancyjohnson6620
      @nancyjohnson6620 9 місяців тому +2

      Na anaskika kwa nguvu😅😅😅😅

    • @khadija5761
      @khadija5761 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂

  • @Naju645
    @Naju645 9 місяців тому +148

    Kama unamfurahia huyo anae chombeza gonga like

  • @CrispinNziku
    @CrispinNziku 8 місяців тому +11

    Mchomekeaji ametisha kinoma aseeee😂😂😂😂

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica 8 місяців тому +8

    SANAAAA HAPO SIO MAHAKAMANI

  • @aclinekindiye5249
    @aclinekindiye5249 8 місяців тому +3

    Huyu Makonda awe macho kweli kweli maana kuna wahuni hawafurahishwi kabisaaa na anayoyafanya 😊

  • @robbiejerrson7437
    @robbiejerrson7437 9 місяців тому +78

    Ila watendaji wengi wa serikali ni kama vile hawajui sheria, taratibu na pengine wajibu wao. Ukiwasikiliza DED, mwanasheria wa wilaya na Afisa uhamiaji ni wazi kuwa hawajui wajibu wao. Mfano DED na Mwanasheria kwa maelezo yao ni wazi kuwa hawajui kabisa kuwa suala la uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais unasimamiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) na sio jukumu la halmashauri. Inashangaza kuwa hata Makonda naye hajui hili. Mwanasheria anasema hatujatangaza uchaguzi kana kwamba yeye ni NEC. Kazi ya Mkurugenzi Mtendaji (W) ni kutoa taarifa kwa NEC kuwa kata iko wazi, haina diwani. Kama NEC hawajatangaza kuwa kata, haina Diwani, ni wazi kuwa huyu ndugu ndiye Diwani halali. Kinachopaswa yeye ni kuendelea na kazi yake ya uwakilishi, basi!

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 9 місяців тому +3

      Mi nadhani walichokisema ndio hicho hicho ulichokisema sema kwa namna nyingine

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone 9 місяців тому +2

      Wapowapo tuu

    • @charlessikoi1657
      @charlessikoi1657 9 місяців тому +1

      Uwonga tu lakini jamaa sio raia

    • @nathankakozi6899
      @nathankakozi6899 9 місяців тому

      Kuanzia makonda na watendaji hawajui chochote

    • @godluckwilliam
      @godluckwilliam 8 місяців тому +2

      Well speaking diwani aendele na kazi mpaka pale uhamiaji itakapoleta taarifa ya uchunguzi.

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 9 місяців тому +16

    Dada nimempenda sana. Very smart

  • @mauthamani
    @mauthamani 8 місяців тому +4

    Uyo mwamba anaedakia hatari sana aiseee

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 8 місяців тому +14

    Makonda ni kiongozi wa mfano , big up sana brother makonda, salute

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 місяців тому +3

    Huyu jamaa chawa kweli kweli 😂😂

  • @boniphacemwita8920
    @boniphacemwita8920 8 місяців тому +2

    Sheria za utumishi wa umma zipo, zifuatwe kwenye kumwadabisha mtumishi kama amekosea na sio kumkoromea binadamu mwenzako kama mtumwa hata kama amekosea. kuna baadhi ya viongozi wanajichukulia kama miungu watu

  • @jeanpierrekiza
    @jeanpierrekiza 8 місяців тому +3

    Makonda ni magufuli wa kesho tumuombee❤😊

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 8 місяців тому +9

    Makonda unajitahidi Sana,hofu yangu utakua na maadui wengi Kama JPM😭😭

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d 9 місяців тому +14

    Binti iko vizuri

  • @DianaSawe-t9o
    @DianaSawe-t9o 8 місяців тому +2

    Safi sana watumishi majibu nimeyapenda sana

  • @edgartibason
    @edgartibason 9 місяців тому +18

    kuna jamaa mpambe huyo anachomeka chomeka maneno

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 8 місяців тому +1

    we likulugezi ni jitu Moja hovyo Sana miaka minne umekaa umetunguka tu macho

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 8 місяців тому +18

    Kuna mwamba anaingizia hapo anafurahisha

  • @MerchisedeckMathias
    @MerchisedeckMathias 8 місяців тому

    Kiukweli Mh.Piga Kazi na Mungu Akulinde.👏

  • @mtanzaniamwenzangu181
    @mtanzaniamwenzangu181 9 місяців тому +5

    Mzee wa kuchombeza anaweza kukufunga bila kusikilizwa😂

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 8 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂😂 eti miaka 3 miaka 3 anakandamiza

    • @mtanzaniamwenzangu181
      @mtanzaniamwenzangu181 8 місяців тому

      @@mamasalhat hahasa

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 8 місяців тому +1

    Safi sana Afisa uhamiaji. Makonda anavunja sheria. Anafanya kama nani?

  • @francisngomuo5711
    @francisngomuo5711 8 місяців тому +1

    Mskonda ana IQ kubwa, midaalo live inahitaji IQ kubwa sana la sivyo unajichanganya

  • @emmanuelmdawida504
    @emmanuelmdawida504 8 місяців тому +1

    The rising of new john pombe makufuli

  • @samymahuchani4562
    @samymahuchani4562 8 місяців тому +3

    Miaka 3 😂😂😂😂
    Mwenye 🎤 anazingua

  • @GoodluckBulugu-sp5jh
    @GoodluckBulugu-sp5jh 8 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana mama samia Kwa kumpa makonda kitengo hiki

  • @khamiskifungo7236
    @khamiskifungo7236 8 місяців тому +3

    Kuna mjomba mmoja hapo anaiingizaingiza voco hapa anafurahisha sana

  • @FurahaMwajeka
    @FurahaMwajeka 8 місяців тому

    Nakuamini sana makonda your the best

  • @OmanBahla-d2p
    @OmanBahla-d2p 8 місяців тому +1

    Daaa

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 9 місяців тому +6

    Makonda you are genius!!!! unajua kuhoji💪💪💪💪

  • @joycealex2846
    @joycealex2846 8 місяців тому

    Mungu akulinde makonda

  • @African511
    @African511 8 місяців тому +3

    Kagera nkanda tatizo iko kushoto sana ya kigoma,tengenezeni mipango mikakati mikali kwanza hata mawasiliano shida,mtandao mmoja tu unapatikana,mingine mitandao shida.

  • @mako331
    @mako331 9 місяців тому +3

    Pamoja na yote nimependa afisa uhamiaji kwa msimamo wake, yupo sahihi kabisa huwezi kusema tu mtu ni raia au si raia kwenye mkutano wa hadhara hivi

  • @munawwar.akachwamba
    @munawwar.akachwamba 8 місяців тому +1

    Kazi nzuri bila kiweka ukweli na Uwazi Maisha haina maana

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 8 місяців тому +4

    Wakili anajua kujibu sanaaa

  • @denissiedisoni-lk7xm
    @denissiedisoni-lk7xm 8 місяців тому +3

    Kuna jamaaa anauchungu na ichi hii💯💯💯

  • @Muhammed-sj5yx
    @Muhammed-sj5yx 2 місяці тому

    Nakupenda bule makonda

  • @Rahellazaromungure
    @Rahellazaromungure 16 днів тому

    Makonda juu ju kabisa

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 8 місяців тому +1

    Hivi hapo nazidi kumuelewa mungu kwa kukulinda makonda kwa ajili ya wananchi

  • @issamlangwa5462
    @issamlangwa5462 8 місяців тому +1

    Dada yupo smart

  • @RashidyIdrisa-x3o
    @RashidyIdrisa-x3o 8 місяців тому +3

    Chapa kazi baba nimekukubali

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 9 місяців тому +5

    Political Science and Public Administration....sometimes we are translated truel.....Corrupted Government we are bundle people to make loop holes of corrupted...

    • @RoseNsilimwa
      @RoseNsilimwa 8 місяців тому

      We mangi si uandike kiswahili we naye😂😅😅

    • @magdalenakulwa4802
      @magdalenakulwa4802 7 місяців тому +1

      We mwanakwaya wa Malaika Gabriel Segerea ndio nini kutuandikia ngeli wazaramo sie😂

    • @lucasshirima2880
      @lucasshirima2880 7 місяців тому

      😅😅

  • @madidolla
    @madidolla 8 місяців тому +6

    😅😅😅😅uyu anaedakia anakazana tu nenda nae uyo....😂😂

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 8 місяців тому +1

    Vivaa Makonda

  • @HemedKirumbi
    @HemedKirumbi 8 місяців тому

    Safi Sana kamanda

  • @boniveturemassawe8791
    @boniveturemassawe8791 8 місяців тому +2

    afisa uhamiaji anajielewa sana

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 9 місяців тому +11

    Afisa uhamiaji yuko sahihi , kama akijibu kwa kukurupika itá mgarimu.

  • @JacobJamesMasangula-oo6pt
    @JacobJamesMasangula-oo6pt 9 місяців тому +8

    Huyo Dada 🎉 nimemkubali

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 9 місяців тому +3

    Tusengeliyajua kumbe kiongozi wa act yuko sawa asante makonda tusaidiye kazi fichuwa yaliojificha kwa muda wote ffichua uovu wa CCM na humalizi hata miaka mia upewe humalizi

  • @bernardbuffett4163
    @bernardbuffett4163 8 місяців тому +1

    Uhamiaji❤

  • @richwaleolundenga8519
    @richwaleolundenga8519 9 місяців тому +7

    King makonda fanya kazi mkuu

  • @yodenilunyungu
    @yodenilunyungu 8 місяців тому +1

    Ongerababa
    Kwakazi
    Nzuri

  • @BOANERGECHURCHESINTERNATIONALT
    @BOANERGECHURCHESINTERNATIONALT 8 місяців тому

    mh mwenezi ubarikiwe kazi yako ni njema

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 7 місяців тому

    Uraia huwezi kuutolea majibu kirahisi mpk uthibitisho ukamilike, honger kw afisa uhamiaji

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 8 місяців тому +2

    ila makonda festival inazidi kunoga ckuiz😂😂😂🙌🙌

  • @sirghanam
    @sirghanam 8 місяців тому

    Hapa ndio unajua uwezo wa viongozi wetu na uwezo wa wananchi wetu.. SHIDAAA

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 8 місяців тому +6

    Kuna Baba levo hapo anapiga kelele huyoo 😂😂😂

  • @JULIUSOLUOCH-xf8ki
    @JULIUSOLUOCH-xf8ki 8 місяців тому +1

    This sounds good

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 8 місяців тому +2

    Eti mkurugenzi unaweza simama kwa ujasiri kutetea mwekezaji anayeharibu resources zako ,kisa amekujengea vijidarasa viwili na hata bati hajaezeka , sasa wananchi wanalipa sh 5000 ya ziada kwa ajili ya mtu alolipa kodi utashangaa kodi yenyewe ni koduchu ,lakin barabara zimeharibika na raia wanateseka ,
    Jaman mambo mengine lazima tuangalie

  • @sostenesbawil5531
    @sostenesbawil5531 9 місяців тому +4

    Hiyo kagerankanda ina mix ya nchi mbishe mkubal warund wamo wakutosha na wanyarwanda wakutosha nk

  • @MwanaidiMajidi
    @MwanaidiMajidi 8 місяців тому +1

    Great love to you mh makonda

  • @Damz240
    @Damz240 8 місяців тому +3

    Mbona Kama naskia saut ya baba levo kwa mbali 😂

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 9 місяців тому +4

    Jameni haya mambo ya uraia Tanzania imezidi.Uraia Pacha basi ni balaa kweli.Huyo jamaa ni Mtanzania apewe nafasi ya kuhudumia wananchi.

  • @nubabatoni
    @nubabatoni 8 місяців тому +1

    Ila mwamba anaonekana kabisa ni mrundi

  • @verobecamfipa8655
    @verobecamfipa8655 8 місяців тому +4

    Babu cjui anarecord au anachukua video😅😅😅😅😅😅😅

  • @noelhudson6356
    @noelhudson6356 8 місяців тому +2

    Sii kila mambo ni ya kuweka hadharani,tume nyingine ni siri

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 8 місяців тому +1

    Sanaaa za Bongo huwa zinafurahisha.
    Hii Move inaitwaje vile😂😂😂😂😂😂😂

  • @michaelandrew8837
    @michaelandrew8837 8 місяців тому +2

    Usimdanganye huyo jamaa sjui kabila gani kakazia kwel😂😂😂😂😂

  • @markoakonaay
    @markoakonaay 9 місяців тому +4

    Dada yuko vizuri

  • @shetanoathumani2904
    @shetanoathumani2904 9 місяців тому +17

    Huyu dada Ana akili sana

  • @isayakabina2209
    @isayakabina2209 9 місяців тому +5

    NAOMBA MH RAIS SAMIA MAKONDA APEWE UMAKAMU WA RAIS

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 9 місяців тому +1

      Pole..akiri ndogo sana,wewe unaamini kwenye maigizo,Pole sana nchi yangu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 8 місяців тому

      😂😂😂😂​@@JackKanyigo

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 8 місяців тому +1

    Makonda hoyeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 9 місяців тому +4

    Huyoo siooo sio raia wa tz kweliii 😂😂

  • @LeonceLyimo
    @LeonceLyimo 9 місяців тому +1

    Ufalme unafitinika na wafitini ni Wana wa Mfalme ila siyo fitina Bali Ukweli wa hali halisi ya ubovu wa uongozi wa Mfalme.NDIYO KAZI ANAYOIFANYA MAKONDA. KUANIKA WAZI UOZO WA CHAMA MA SERIKALI..ANAWASAIDIA SANA CHADEMA NA SAUTI YA WATANZANIA.

  • @abisaishembilu1508
    @abisaishembilu1508 8 місяців тому

    Makonda Fanya kazi.Luna uozo sana.kwenye halimashauli.nyingi.nyingi sana.kwa kwli.ukifuatilia.hivyo.itasaidia.sana.kupunguza.uozo.uliopo

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 8 місяців тому

    Mkurugenzi,Mwanasheria na Afisa uhamiaji wanawezekana wakawa sahihi.Maana HAWANA MASLAHI YOYOTE KUSEMA WANAMBANIA HUYO ALIYEKUWA DIWANI.HUKO KIGOMA KUNA UWEZEKANO BAADHI YA WATU KUTOKA NCHI JIRANI HUKIMBILIA TZ KWA KUTAFUTA FURSA.

  • @ManirakizaHashim
    @ManirakizaHashim 8 місяців тому +2

    Makondaa allah akupe umri mrefu

  • @danielkanso
    @danielkanso 9 місяців тому +2

    Yaani huu ni ujinga wakupindukia watu miaka yote miwili mpaka tatu hakuna usuluhishi bado watu wanaimba idumu idumu nini ?? Yaaani kwa mawazo yngu ingekuwa nimimi yaani maamuzi yawe kwa wananchi kwamba wanakiongozi akifeli akitumia rasilimali za nchi vibaya inabidi awajibishwe maramoja siyo watu wanateseka miaka yote alafu leo wakuja na maigizo tuvuka lini kwenye ujinga huu

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 9 місяців тому +4

    MADHARA YA RUSHWA NDIYO HAYO ,KULAZIMISHA KITU KISICHOWEZEKANA NA BADO .MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU KWA WANANCHI SIO TU ,WILAYANI HIYO NI NCHI NZIMA.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 9 місяців тому +3

    Hii inasaidia kiongozi?

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 8 місяців тому

    Late president Makufuli alikuwa anapurna ana deal na watu gani hawa viongozi ni mtihani wallah😊

  • @josephatmjuni5116
    @josephatmjuni5116 8 місяців тому +2

    Dada nimekupenda bure

  • @winmgallah4052
    @winmgallah4052 8 місяців тому +3

    Uyo anaechombeza🤣🤣🙌🙌

  • @BenyJapheth
    @BenyJapheth 9 місяців тому +2

    Mkuuuu pigakazi uko juuu sana makonda

  • @HamidaSeif-c8u
    @HamidaSeif-c8u 9 місяців тому +5

    Afisa wa uhamiaji unamweka ndani ya nchi miaka 3 yaani hujui kumtambuwa asiye raia? Kama siyo mrudishe kwao

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 9 місяців тому +1

    Huyu ndugu sijui namna ya kumuelezea ila nachoweza kusema, hizi changamoto zipo nchi nzuma. Na hizi changamoto zote zimetokana na mfumo halisi tulionao. So serikali yetu inapaswa kuwajibika na kutolea majibu ya changamoto. Siasa tuweke pembeni, tufanye yale yatupasayo

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 9 місяців тому +4

    Watanzania siku zote nimapoyo kupita maelezo

  • @Naju645
    @Naju645 9 місяців тому +2

    Makonda💪

  • @linibrayan3827
    @linibrayan3827 8 місяців тому +1

    Nimeipenda hii

  • @JuliasLaizer-x2d
    @JuliasLaizer-x2d 8 місяців тому

    Mwenesi uko vizuri

  • @paulshirima4561
    @paulshirima4561 9 місяців тому +5

    uyo jamaa back ground sound daah mchonganishi kweli

    • @sallynakey_tz
      @sallynakey_tz 9 місяців тому +1

      Jamaaa mzushi kweli kweli anachomeka chomeka maneno kama yale usiku wa manane😂😂😂😂

    • @dinakipingo1905
      @dinakipingo1905 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ClanSimgeni
      @ClanSimgeni 9 місяців тому +1

      Nikadhani ninamsikoa peke yangu....😂

    • @SebastianDaniel-es4rf
      @SebastianDaniel-es4rf 8 місяців тому

      😂

    • @julyodette6945
      @julyodette6945 8 місяців тому

      😂😂😂 miaka mitatu