NIFFA apata Majanga makubwa kwenye Nyumba aliyomjengea mama yake,wakuta Damu zimemwagwa nyumba nzima

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

КОМЕНТАРІ • 126

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 7 місяців тому +76

    Ni ukweli kwamba Mungu akikubariki kaa kimya narudia tena kaa kimya

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 місяців тому +1

      Yaani hawana vifua kila kitu hadharani sio kila mtu anafurahia mafanikio yako hii mitandao, kila kitu unaweka tu si ukae kimiya na familia yako

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 7 місяців тому +4

      Ulichosema n kwl,kuonyesha onyesha Kila ktu n vbaya hujui unamaadui wangapi

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 7 місяців тому

      Ukweli kabisaaa

    • @farahali6041
      @farahali6041 7 місяців тому +1

      Kabsa kukaa kimya nivizuri

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i 7 місяців тому

      Asante sana kwa hii comment.

  • @Tatu-rr9ms
    @Tatu-rr9ms 7 місяців тому +19

    Mambo mengne tukaage kimya mafanikio yako sio kilamtu yanamfurahisha 😢

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 7 місяців тому +25

    Msiwe mnaposti vitu vyenu kuweni kimyaa jamani watu sio wazur

  • @annamussa185
    @annamussa185 7 місяців тому +5

    Hakuna majanga hapo piga deki ondoa huo uchafu maisha yaendelee

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 7 місяців тому

      Kabisa,,asitishike hata kidogo,,,yaan ingekua mie mngeniona na ndio yangu ya kupiga deki😂

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 7 місяців тому +19

    Shida mnapost sana mambo yenu, kwan lazima ukimjengea Mama yako kila mtu umuoneshe, sio kwamba vibaya, ila pia sio hekima. Na ofcause maisha yenu mmeamua kuyamalizia mitandaon, basi yawekeni tu, watazamaji tupo. DADA zetu mnatuharibia sana future generation kupitia mambo yenu ya aibu ya mitandaoni, basi tu.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 7 місяців тому

      Wapo kwaajili yakujionyesha wanekane wanaweza sana kuliko wengine wanafanya riaa😅 bila kjua wanajikaribishia hasad acha yawakte tu

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 7 місяців тому +14

    Apunguze sifa fanya mambo yako kimya umezidi misifa muhaya sio kila mtu anapenda unachofanya mnarogwa kwa misifa yenu

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 7 місяців тому

      Huyu watamdonyoa maapemaaa na ache madeni ya mikopo bank shauri yake

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 7 місяців тому

      Kwa nn anyamaze😂😂 kha unaogopa adui

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +4

    Kwenda kule unamuamini mungu sasa mungu alisema mtangaze neema zenu au yamekushinda chezea wachawi we wache wakunyooshe wachawi

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 7 місяців тому +2

    Mhhhh jamn mbaka naogopa jamn uwiiiii sio kila kitu cha kuweka adharan nimekoma NIMEKOMAAAA MIMI JAMN UWIIII

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 7 місяців тому +6

    amezidi kujionyesha sana! Majigambo ya kihaya!

    • @erycah
      @erycah 7 місяців тому

      Hata wasionionyesha naonwanavamiwa tu hivyo hivyo, mbaya wako hayupo mitandaoni , mbaya wako yupo karibu yako

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 7 місяців тому +2

    Jawabu ya mjinga kukaa kimya Allah anatosha wallah 😢😢😢

  • @MudiJuma-ps5hk
    @MudiJuma-ps5hk 7 місяців тому +4

    Huyu mhuni tu wala hakuna uchawi wowote

  • @omanmct135
    @omanmct135 7 місяців тому +3

    Subhanallllah hatari sana ushikirina watu hawapendi mtu akapata kamimi usijali nifa pambana yataisha habihti❤

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 7 місяців тому +5

    Bi melanialeornad mbona povu linakutoka?? Au nawe ndio MMOJA WAO ?? Yeye hakutaja MTU WALA hakukutumia wewe ujumbe HUO SASA Vipi ukasirike ?? Au nawe uko chamani?? Niffer mama zidi kumuomba Allah utawaona HAPA HAPA HAPA wanaumbuka

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 місяців тому

    Mitandao inaharibu maisha ya watu sana.
    Vijana tunapenda sana kuongeza sauti ju ya mafanikio yetu.
    Binadam baadhi tayari wako na ubaya,usiwape sababu basi .
    Ukifanya maendeleo sio lazima upige kelele.
    One word is enough for the wise.
    And to whom brain is given, sense is expected

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 7 місяців тому +4

    tena utakuta anofanya hayo hana hata pesa za mkate umaskin mwanzo mwesho apo kagaiwa pesa ya supu tu aje afanye hayo kwako achana nao simama na na mungu wako hakuna atokosa rizki yake aloandikiwa na ALLAH KWA AJILI YA BINAADAMU NA HAKUNA TOKUFA SIKU SIO YAKE KWA AJILI YA UJINGA UWO PAMBANA MAMA

  • @husnamusa3178
    @husnamusa3178 7 місяців тому +3

    Nifer kila siku anarogwa mara dukani mara nyumbani kwake mara watu wakojoe.kwenye chupa amezid sasa na yy

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 місяців тому +4

    Huyu nae watu wanapitia mengi yy asipoongelewa tu akimbilia kulongwa kazana kila mtu na riziki yake wala hakuna kinachoshindikana kwa mungu tangaza kote au upeleke bbc

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 7 місяців тому

      Kila kitu kuonyesha mengine afanye chini ya maji apambane nao kimya kimya kama hivi anawapa kiburi vha kumfanyia mengi 😢😢😢

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 7 місяців тому

    S8mama na Mungu, happy wanataka ufilisike, kwa kuwa unaweza uamue uende kwa mganga. Cha muhinu mtegemee Mungu

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 7 місяців тому +3

    Ata allah amekataza neema anazo kupa si vizuli kila unacho kifanya kutangaza malanyingi yanatokea kama hayo ujifuze kunyamaza

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 7 місяців тому +6

    Jamani huyu nae kwani duniani mgeni au? Maana wafanya biashara niwengi waliyojenga niwengi ila hawan heka heka kama zauyu duu kweli mjini kiki ilimradi aongelewe hongera kwa kupambana kihalali.

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 7 місяців тому

    Pole Sana kipenzi mungu awalinde popote mlipo lko cku mungu atakulipia malipo hapa hapa duniani wataumbuka

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +1

    Mtajijuwa wenyewe maana mkizini mnaposti mkijenga mnaposti mkome kutangaza neema zenu utajiju

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 7 місяців тому +1

    Mmezid.kujionesha kwan lazima.utangaz kumjengea mama ako sio kil mtu anapenda pol yal

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 7 місяців тому

    Pole sana mdogo wangu ila mwachie mungu na pia nikusii jitahid kuwa msir kidogo na je hyo kafanya usiku! Geti hamkufunga?/ na mbona matukio ya ovyo mno Mara dam, Mara kinyesi, Mara ped

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +1

    Ahh watanzania ulimbukeni unakusumbueni ndio kila kitu mnaposti hahahahaaha

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 7 місяців тому +3

    Dh! Ni zaidi ya ushenzi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 7 місяців тому +1

    Mbona kama damu za mchongo tu.Kiki ni kiki.😆🤣😆🤣

  • @user-tg8sp6ql6v
    @user-tg8sp6ql6v 7 місяців тому +7

    Wa2 loho baya Ila Mungu nmung2🙏🙏

  • @Maggie824
    @Maggie824 7 місяців тому +1

    Muongo huyu ameshikwa sasa kamlipe Mganga wako jamani yaishe

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 7 місяців тому +1

    Apunguze kiherehere kwani nani abarikiwi lakini kila mtu yupo kimya atulie anyolewe

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +1

    Ndio muache sifa zamitandaoni mkinya mnaposti mkijamba mnaposti mkome

  • @RabiaIddi-ci2uz
    @RabiaIddi-ci2uz 7 місяців тому +1

    Mmm! Niffer au hujamilipa mganga hela yake?maana katika hali ya kawaida haiingii akilini

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 7 місяців тому

    Ixo sifa zenu mtarogwa kwani amuwezi kufanya mambo yenu kimyakimya mpaka muweke mtandaoni usifikie kila anaekuchekea anakupenda

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +2

    Mtajiju.naulimbukeni mpunguze

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +2

    Mnapenda kujionesha wangapi wananyumba hawaziposti

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 7 місяців тому

      Ni public figure,akipost Kuna wengine tunakua inspired

  • @naimamagwala1368
    @naimamagwala1368 7 місяців тому +1

    Hiyoo nyumba haiuzi ulipost yann niffer, post biashara yako kama ni ushuuda kwakipi mungu amekujali pumzi yako tu ushuuda tosha . Maendeleo yako yasiohusika na biashara keep it private ila mambo ya biashara keep it public .@# NIUSHAURI TU NA POLE MUNGU MWEMA ATAKUVUSHA.

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 7 місяців тому +1

    Tatizo huyu bonge nyanya anadanga mno hatujui kapangua ndoa ngapi ili ukavipata then uje uvionyeshe

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 7 місяців тому

    From 🇧🇮mambo sipendi mimi kutangaza😢maisha mimi sitaki

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 місяців тому +1

    success hazionyeshwi post pombe ili wajue umepotea

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 7 місяців тому +1

    Na mnapost za nini ili iweje sio kila mtu anapenda Maendeleo yako

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 7 місяців тому +1

    hii kitu imetengenezwa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому +2

    Punguza sifa bwana wewe Niffer sifa zimekuzidi sana kwenda kule nabado

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 7 місяців тому

    Wanangu waachie na uchawi endelea kumuweka Allah mbele kila unakifanya anza na Bismillahi na usiwache kusoma Qur-an Tukufu kila siku hasa suratil Baqar. Mungu atakulindeni wewe na wazee wako, huyo kaishiwa.❤❤

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 7 місяців тому +1

    Ndio mana umasikini hautoisha watu wana abudu uchawi tu daaah

  • @JacklineJaphet-do5mf
    @JacklineJaphet-do5mf 7 місяців тому +1

    Ukomege na u

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 7 місяців тому

    Woiiiii unatishiwa tu,,,chukua maji piga deki songa mbele,,,Wala usiogope

  • @agnessantony7105
    @agnessantony7105 7 місяців тому

    Mungu hapendi watu wenye makelele jmani kaeni kimya mkipewa coz hamn anae penda maendeleo y mtu..apo mchawi yeye kupost alichobarikiwa

  • @cutemagreth4291
    @cutemagreth4291 7 місяців тому

    Hakuna hatar kubwa kama kupambAna na kitu au mtu usiyemjuwa

  • @user-tu8se3oo7u
    @user-tu8se3oo7u Місяць тому

    Fikilia mara mbili

  • @omanmct135
    @omanmct135 7 місяців тому

    Soma sna duwa nasadaka kwawongi

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 7 місяців тому

    Msipende kuonyesha neema zenu jaman,matokeo ndo hayo

  • @zena6203
    @zena6203 7 місяців тому

    Anajishauwaga sanaa anajifanya yeye ndio mfanya biashara mkubwa dar nabado wangelikugeuza hata zezeta pumbavuuu watu wanamahela wameka kimya ila wepimbi naukinya unatuonesha nyooo

  • @mozamagaya8618
    @mozamagaya8618 7 місяців тому

    Mdogo wangu sio kila uchakacho taka kufanya utangaze sifa otwale bukoba choka bojo mto wange

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 7 місяців тому

    Mkaage kimyaa tu. Usitafute huruma kwetu

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 7 місяців тому +1

    Wasanii bana

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 7 місяців тому

    Watu wana wivu jamani daha 😢😢

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 місяців тому +2

    Hii si tomato 😏😏

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 7 місяців тому +1

    Atiye camera tu atashikwa sulayake

  • @ssrr9840
    @ssrr9840 7 місяців тому +2

    Binadamu bwan

  • @Loraine2t
    @Loraine2t 7 місяців тому

    Watu wanamiroho mibaya ndio hata hawaendelei ba uchawi wao

  • @user-oz2qh5rq5x
    @user-oz2qh5rq5x 7 місяців тому

    duu yani kama yalioni kuta mim mwaka jana mwzi wa 10 nilipanga kachumba kamoja nilikua naishi na mkewangu na katoto kangu ka mwaka moja ira mwezi wakumi mwaka jana nikakuta damu kwenye mlango kama vire mtu kachinja kitu haziku fika vyumba vingine ira mrangoni kwangutu

  • @user-vb9zr8lj4o
    @user-vb9zr8lj4o 7 місяців тому

    Na huyu niffer Kila siku analogwaye ndo mwenyenyumba mzuri au?

  • @user-qk4lx4hg7g
    @user-qk4lx4hg7g 7 місяців тому

    Wala usiogope ni wapumbavu tu hao wanataka kukupa hofu ili utetereke 😢

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 місяців тому

    Huenda ukajifunza kitu labda ukapunguza sifa

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 7 місяців тому

    Anakutishieni tu

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 7 місяців тому +4

    Binaadam bhn uchaw upo binaadam wana roho mbaya sana

  • @emmanuelkihiyo9236
    @emmanuelkihiyo9236 7 місяців тому

    Ni kiki tu

  • @user-jd2bz2df1b
    @user-jd2bz2df1b 7 місяців тому +2

    Huyo ndo analogwa tu yeye Kila cku 😅😅😅

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 7 місяців тому

    Amejipiga huyo ayo madamu

  • @hariethmatungwa9293
    @hariethmatungwa9293 7 місяців тому

    Matapeli hao wanataka uende kwa mganga usiende

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 7 місяців тому

    Weka kamera nyumbani kwako ili umjue mbaya wako wala huo si uchawi ni ujinga tu mtu anaamua kukuogopesha ili uende kwa mganga wa

  • @kokugonzaalfred8640
    @kokugonzaalfred8640 7 місяців тому

    Hata hatoki mbali sana na usikute uko nae hapo ofisini, cha msingi usipost mafanikio yako hadharani hujui maadui ni wangapi, na mtangulize sana Mungu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 7 місяців тому

    Mmmmh

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 7 місяців тому

    Akome amexidi kujishsuwa

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 7 місяців тому +2

    Kiki kwa pikipiki😂😂😂😂😂

  • @Mina.15
    @Mina.15 7 місяців тому

    Damu unashika na mkono

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 7 місяців тому

    😢😢😢

  • @gracemwailima1780
    @gracemwailima1780 7 місяців тому

    dada jitafakari kwanza why wewe kila mara ushauri mafanikio yako usiyaweke mitandaoni sio kila mtu anafurahia madanikio yako na ukute wanao kuchezea ni watu wako wa karibu kaa kimya uchawi upo mitandao haisaidii kitu tumia mitandao kwaajili ya biashara tu mengine nyamaza ila yote kwa yote yote pole

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 7 місяців тому +1

    Kiki

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 7 місяців тому +8

    Tatizo lenu mnapenda showing off. Acheni hizo tabia kwani kumjengea mamako nyumba na kuposti kwa mitandao ili iweje? Watu wana wivu sasa kwa kufanya hivyo ni kama unawaringishia. Acha kabisa na hayo unasema unamwachia Mungu kwa ni Mungu alikutuma uposti hizo baraka alizokupa? Stop nonsense

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 7 місяців тому +1

    Binadamu hawataki uwapostie mafanikio endelea kupost matako na kama uko Malaya mzoefu utaishi na amani

  • @hadijamsati8813
    @hadijamsati8813 7 місяців тому

    Nilichogundua hapa hakuna lolote anapenda attention tu hakuna cha uchaw wala mauzauzachezea uchaw ww ungekuwa chaliiiii😂😂😂

  • @amanichidyboy2900
    @amanichidyboy2900 7 місяців тому +4

    Ameweka mwenyew acha mambo yako bhn

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 7 місяців тому

    Umezidi misifa na wewe

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 7 місяців тому

    Piga sala chukua mafuta na maji ya upako mwaga

  • @omanmct135
    @omanmct135 7 місяців тому

    Aaaalllah ndokilakitu

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 7 місяців тому

    afrikanization

  • @Mina.15
    @Mina.15 7 місяців тому +1

    Kwani Kila mwaka anarogwa

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 місяців тому

    Wee mtoto weee😂😂kiki ....ila Mungu akusahidie if its true polee sana wanakutisha tu Mungu.peke atakulindq na kukuepusha ila isije ikawa unajaribu kucheza na akili zetuu sory

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 7 місяців тому

    Kwahio Allah ndo anaamua upate mabaya au usipate?
    Kwakua ikiwa hiyo Allah ndo anafanya hivyo, sio Mungu bali nikiumbe

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 місяців тому +6

      Kama huna elimu ya dini ya kiislamu bora ukaekimya sawa.....! 😮

    • @wadantz123
      @wadantz123 7 місяців тому +3

      Mungu akusaidie ujui ulisemalo

    • @stellahsimon4460
      @stellahsimon4460 7 місяців тому +3

      Ukiwa haujaelewa jambo omba msaada kueleweshwa

    • @stellahsimon4460
      @stellahsimon4460 7 місяців тому +2

      Pole sana Niffer kama ulivyosema Mungu ndio mtetezi wako nasimama na wewe.❤

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 7 місяців тому +1

      Ni maajabu haya ya kumwagiwa damu, lakini mama hii Dunia ni ya maudhi na hasad, kama tudiin tudaan.

  • @zenapius3796
    @zenapius3796 7 місяців тому

    Uyu nae kila siku anarogwa yeye mdomo

  • @ShaniBihoiki-lx9jl
    @ShaniBihoiki-lx9jl 7 місяців тому

    😢😢😢

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 7 місяців тому

    Nifa huo sio uchawi kuna mtu una ugomvi nae au umemdhulumu bwana au mali au kitu chochote, chunguza nani una ugomvi nae, weka camera na uanze kutembea na bodigadi mgomvi wako anaweza akudhuru