Kwanini Mawakili wanawatea wabakaji na wanaolawiti na Ushahidi upo? Wakili Henry Mwinuka afafanua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 2 місяці тому +8

    Leo mnatuchambulia sheria kwa sbb ni askari ndio wametenda makosa lkn laiti kama angekuwa mtu wa kawaida tusingeweza kusikia hilo somo la sheria mm nasema hivi duniani kuna sheria za firauni lkn akhera kwa Allah ndio kuna haqi ya uhakika Mungu anasema...iogopeni siku mtayorejeshwa kwake..akili mkichwa.

  • @x7hia
    @x7hia 2 місяці тому +11

    Pole kaka sky Allah atakuponya

  • @JasperMulokozi
    @JasperMulokozi Місяць тому

    Asante kwa ufafanuzi sheria ya kutetea wahalifu ila nyingi watetezi ni watu,wenye hakili nzuri,pia mmesoma pia mna familia,tafsiri ya kuulizwa swali ukiwa ni mtu mzima na msomi watu wanakushangaa wanajiuliza kwamba uyo anaye ongea ni mtanzania?au mgeni ujue wanasema ni kusoma saana labda.au kutojua

  • @AsilaAlhabsi-hg9lg
    @AsilaAlhabsi-hg9lg 2 місяці тому +9

    Nyinyi wacheni mchezo wenu nyinyi hebu mpeni haki mtt wa watu

  • @ShamsaOnesha
    @ShamsaOnesha 2 місяці тому +20

    Mimi kesi kama hii kwa kweli nitachofanya haa mungu atanisamehe kwakweli siendi polisi nishaona milolongo mingi polisi bora nitende dhambi mpaka shetani na ibilisi wakiiona hiyo dhambi wakae pembeni

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому +2

      😂😂😂

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 2 місяці тому +2

      😂😂😂

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 2 місяці тому +2

      😂😂sheria mikononi apo uta' chukuwa

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 2 місяці тому +2

      🤣🤣🤣🥱

    • @RynoFiree
      @RynoFiree 2 місяці тому +2

      Huo ndo ukweli hizi sheria walitunga wavuta bangi watupu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому +3

    Hapo iko namna sawa haki ipo kwq mungu wacha tuone mwisho wake

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 місяці тому +9

    Yani ni hivi siyo kwamba wanatetea wabakaji hao mawakili wanatetea vibarua vya hao watumaji sasa lazima watete huku ili wao wabaki salama😂ila Mungu yupo haki itapatikana mpaka hapo cheo Cha mtu kimepotea wakae kwa kutulia

  • @MasanjaMasanja-mz3ll
    @MasanjaMasanja-mz3ll 2 місяці тому +3

    Ndio ujinga wa Sheria,Mimi nilishindwa kusoma Sheria baada ya kugundua kua sometimes inatakiwa umtetee muarifu,huo ni ujinga

  • @KhamisChaz-td4nz
    @KhamisChaz-td4nz 2 місяці тому +5

    Ikiwa wafanya maovu wanatetewa KWA nguvu namna hii tusitegemee kama watoto wetu kama watakua salama kunakoelekea ni bora kuchukua sheria mkononi maana kupata haki mahakamani ni ngumu sana

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 місяці тому +4

    Mh sasa kama ushahidi upo nini tena kinatakiwa au ndo ile haki kwa wote inauma na inaumiza 😢😢😢😢😢

  • @asyajey3479
    @asyajey3479 2 місяці тому +3

    Pole sana kaka sky kwa mafua

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 місяці тому +3

    Kwasababu wanalipwa kutetea mtu yeyote kwa hali yeyote, nikazi ya Judge kutoa hukumu period.
    Thank you Henry, umesema Vizuri sana…

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому +6

    Hao inaonesha wazi wametumwa na wanapewq utetezi na walowatuma mawakili 4 sio mchezo alafu mnasema alibakwa na walevi😂😂😂😂

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 2 місяці тому

    Mr Henry umetufafanulia vzr sana

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 місяці тому +2

    Kwa maana hiyo, anatuambia mahakama ina fanya maamuzi kwa ushahidi usio kweli,mahakama hawataki ukweli kuamua kesi! Wao wanaamua kesi wanavyo taka wao na kwa ushahidi wao

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 2 місяці тому +3

    Pole sana mtangazaji

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 2 місяці тому +4

    Hatukubali mpk kieleweke na mkiwaacha tukiwaona mtaani kwisha habari zao

  • @yassadabrown
    @yassadabrown 2 місяці тому +10

    Bora hao waende jera ila wakiwa huru raia wanaweza kuwaua hao maana watu wengi awawapendi huku bora waende jera tu

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 2 місяці тому +6

      Ww umeongea ukweli kabisa watu wanahasira nao yan kam mm namtaman huyo nyundo mfupi kama kijiko cha sukar hawa ni wa kuuwa hawafai kukaa ktk jamiii leo wamefanya kwa yule bint hatujui kesho watafanya kwa nan tz ni nchi ngumu sana

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      ​@@MYME-u5d waTz hasira kwenye social media ukija Uraia mmoja mmoja Kila mtu yupo bze kutafuta ugali wake ww chunguza tu

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 2 місяці тому

      ​@@MYME-u5dkumaamaeee piga mapanga ya miguu yote miwili wote wawe vilema maamaee zao

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 2 місяці тому +3

      @user-lq6kr2gl7n kabisa maneno yako ni kweli sasa hivi nchi imekuwa haina amani kabisa, watoto wa dogo wana bakwa, wana walawiti sijui tuna kwenda wapi

    • @lightwilliam4443
      @lightwilliam4443 2 місяці тому

      Yaani baya lolote liwapate

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 2 місяці тому +1

    Alafu kwanza ili kundi la nyundo hawana muonekano kbisa wa kiaskari bigtime navowaona otherwise mnavotupeleka huko kote tutafika tupate all prove vyenye mnataka but true say Allah is the greatest all the time sheria duniani haki mbingini we keep watching this movie

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 2 місяці тому +2

    Quick recovery kaka Sky! Nakupenda saaana

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 2 місяці тому

    Safi sana Njaa inafaya kuwatetea sababu ya njaa

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 2 місяці тому

    Pole kaka

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 2 місяці тому +5

    Hamnachakufanana we needs justice please 🥺🥺🥺

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 2 місяці тому

    Pole kaka tuma namba 🙌

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому +1

    Hawa wangekuwa kenya ni mali ya wanaichi yani mnataka ushaidi gani???

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 2 місяці тому +13

    kwahiyo mahakama itataka ushahidi kama kweli sehemu za siri ziligusana kama ushahidi, naombeni kueleweshwa

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 місяці тому +3

      Hivyo vyote nimuhimu sana ndio maana ntuanapobakwatu anatakiwa akakupoti kabla hajaoga au kuguswa na mtu yoyote kwaajili ya DNA ya mtu Alie shiriki kitendo zipatikane pia fingerprint Yani alama za vidole vilivyo mgusa

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 2 місяці тому

      ​@@zaidiissa3714na hivo video zilizosambaa duniani kote hazitoshi ?

    • @chancesholdan342
      @chancesholdan342 2 місяці тому

      @@zaidiissa3714 kwahiyo kwa siku zimeshapita huwenda ushahidi ukakosekana maan muhanga atakuwa ameshaoga

  • @RynoFiree
    @RynoFiree 2 місяці тому +1

    Basi kama sheria ndo ziko hivyo! Yawezekana zikawa ni mipango ya kishetani tu, ifikie muda kuwe na taasisi za siri zitakazo hakikisha kwamba watu kama hao hawafiki hata mahakamani, alicho fanyiw yule hata mbwa hawezi fanyiwa, kunasheria nizakisenge ila basi tu dah! Mimi inaniuma Sana hii

  • @princessplatnum4416
    @princessplatnum4416 2 місяці тому +1

    Angekuwepo mwenda zake mmh aubasi

  • @sharifamunisi4378
    @sharifamunisi4378 2 місяці тому +1

    Wakirudi mtaani hao mmmh

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 2 місяці тому +3

    Sometimes huwa naona sheria ni upuuzi

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 2 місяці тому +1

      Yaaani wanaweza kupindisha mambo mpaka ikawa sio kosa, sasa kwanini wakina Gigy mliwafungia ama wao walishindwa kukata sio wao...

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Watafuteni hao mapacha wenzao sasa yani Tanzania yetu hi ni 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @NandoWaUsa
    @NandoWaUsa 2 місяці тому +1

    FabrizioRomano wa bongo💯

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 місяці тому +1

    Walah hikatiba tz niyakijigamno jmn mama zang tuige mtaan situmewajuwa kulaladadeki moja moja watajulie kw Good

  • @leeyjr1446
    @leeyjr1446 2 місяці тому

    Get well soon comrade 😊❤

  • @Az__2012
    @Az__2012 2 місяці тому

    safi endeleeni kuwa elimisha

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 2 місяці тому +28

    Inshu sio mawakili inshu wanalipwa na nani

    • @eben_ezer8853
      @eben_ezer8853 2 місяці тому +5

      Kabisa nani anawafadhili

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 2 місяці тому +3

      Asante sana , wanalipwa na nani?

    • @Hbhoola
      @Hbhoola 2 місяці тому +6

      Watalipwa na Wahalifu wezao
      Ukiona MTU anatetea uhalifu ujuwe na yeye Pia ni Muhalifu

    • @JoelRichard-hj3bi
      @JoelRichard-hj3bi 2 місяці тому +1

      Ushahidi upo,na hizo ndizo sura zao kabisa na tumezitazama kwa umakini zaidi,na hawa mawakili watalipwa na upande upi?

    • @aubreykasoyaga1665
      @aubreykasoyaga1665 2 місяці тому +1

      Serekali itawalipa 100%

  • @agnessherman7524
    @agnessherman7524 2 місяці тому +1

    Jamani eeeh mnaojua kuwapiga watu vipapai simuwapige awo wote kwa nzia aliyewateua na ivyo ubakaji vife tu visomewe hata albadili viondoke tu sheria sheria adi lini malizen mchezo wakulungwa

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 2 місяці тому +1

    Hawa dawa yao na wakiachiwatu nawao walawitiwe ili wanaone kama nivizuri pumbavu zao

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 2 місяці тому +9

    Kwani Mama Samia yuko wapi jamani yy pia Angelivalia njuga bana🤔

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Wewe m wenyewe ongea yako umeshakula hela mungu A nakuona kaka

  • @wadantz123
    @wadantz123 2 місяці тому +1

    Watetewe then washinde kesi tutakutana uraiani tutakula nao sahani moja mbwa hao

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls 2 місяці тому

    Mungu afanye wepes Hill jambo tupate haki kabisa wahalifu wakafie jelaaa uko

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 місяці тому

    ✌️👍👊.

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 2 місяці тому

    Dah! Wanyonge tutahangaika mpaka siku ya kiama😢

  • @FatumaMohamedi-t6t
    @FatumaMohamedi-t6t 2 місяці тому +3

    Mbona yule dada wanyama ya swala hawakujitokeza mawakili mpaka alpohukumiwa ndio watu wakaanza kushtuka lakni haw mar tu wamepat mawakil.

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 2 місяці тому

    Nime elewa hakika kumbe mpaka mahakama ithibitishe kama kweli ni wao wametenda hio jina, kwa ushahidi ulio jitosheleza , nichekeshe kidogo yaani hata shetani lazima apate wa kumtetea , ila Sheria ni ya ajabu sana

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 2 місяці тому

    Pole kkangu Kw mafua

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 місяці тому

    Kijana anapenda kukaa mbele

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Hivi hi tanzania ikoje jamaniiiii

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 2 місяці тому

    Get well soon mtangazaji

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 місяці тому +1

    Ple kwa mafua sky ila hawa nikuwaroga tu ndo dawa hizo pesa kupeleka police na hakuna haku heri upeleke kwa mganga tu.....

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 місяці тому

    Mnatuzingua tu watu anaonekana kabisa wanambaka bado mnawatetea

  • @KhamisChaz-td4nz
    @KhamisChaz-td4nz 2 місяці тому +2

    NAJIULIZA HIVI MH HAYAT MAGUFULI ALIPOSEMA MTANIKUMBUKA KWA MEMA YANGU' JE ALIOTESHWA HAYA YANAYOTEKEA HIVI SASA WAKATI YEYE KESHAKUFA KWELI!?

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 2 місяці тому

    Hivi ule ushahidi wa video haukubaliki mahakamani,au mie ndio najichanganya

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman 2 місяці тому

    mpaka iishe ndio raiya tuelewe tumeumia wengi sanaaa nabado sheria itende haki tu basi.

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 місяці тому

    Nguvu ya pesa😮Yani wabakaji wanakiburi pyee

  • @RajabuLuhendama
    @RajabuLuhendama 2 місяці тому

    Kweli huyu jama amesomea sheria,yani anajua,mwanasheria huwa hashindwi kesi ovyo yani huwa kama mechi mawakili na makama,jamani tafuteni pesa tuwe na mawakili

  • @athumannyungundileki9799
    @athumannyungundileki9799 2 місяці тому +1

    Kama alie watuma hajakamatwa na sio kwa hawamjui badi nina wasi wasi hata upande wa mashitaka hawata leta vielelezo vya kutosha tutegemee jamaa kuona wakiwa huru

  • @fakijecha
    @fakijecha 2 місяці тому

    Mungu aliweka hukumu ili mtu apare haki binaadamu hawezi kuweka Sheria abadani kweli kesi km hii wanataka ushahidi gan mbna alochana picha ya raisi haikua hivi kesi yake aduwi shetani muwogope sana kava suti nzuri lakin nafsi zao chafu kuliko mavi alafu Wanaka Kwa wanachi haki za wanawake wakati wao ndo hawapendani likikutike jambo saiv malizana nalo mwenyewe mana unao wapelekea ndo wahuni wakubwa ifike mdaa akili ifaye kazi na sio elimu

  • @norobo205
    @norobo205 2 місяці тому +1

    Kwaiyo ile clip waliyopost awakuwa wao? Acheni kutuaminisha uongo nyinyi mawakili hii sio Tanzania ya mwaka 1980 haki ipi mnayoitafuta ?

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 місяці тому

    Katiba ya hovyo hiyo ishapitwa na wakat ibadilishwe

  • @JOKHAALIY
    @JOKHAALIY 2 місяці тому +5

    Hivi huu udhalilishaji unapingwa kwa raia tu wakifanya wanaolinda nchi haina shida
    Nyie mawakili mnatetea nini hapo na kila kitu kipo wazi
    Mnataka ushahidi gani wakati unaonekana
    Mnachunguza ninin hapo kilichokua hakionekan

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Tuseme hela inatembea mnakosea sana hii hela hi kiukweli ni laana sisi tunasema ni wao ety wanafanana kaka muogope mungu ingekuwa mdogo wako je??????

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 2 місяці тому

    Ama kweli mahakama sio ya kuiamini hata kidogo, hapo mawakili wakiwa vizuri wanaweza kuonekana hawana kosa ama wakafungwa mwaka mmoja au miezi sit

    • @ERRICKISIGO-mv7co
      @ERRICKISIGO-mv7co 2 місяці тому

      Uko sahihi mi nipo hapa,Mana naofia kukomaa kusema imeeditiwa

  • @lilyanmongi1075
    @lilyanmongi1075 2 місяці тому

    Mbona kama naona hawa wa2 inaonekana wanatetewa sana? Kuna kitu hakiko sawa na inaonekana hawafungwa kabisa na hili likitoa basi watoto we2 hawako salama kabisa. Utetezi wa kufafanua sheria umekuwa mkubwa sana

  • @KhatibHamadi
    @KhatibHamadi 2 місяці тому

    Mi niuliza kwani ushahidi Namba moja Upo wapi pengine mnaweza kufungua akili zenu

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 місяці тому

    Ngoja waje wabake wake zenu ndio mtajua

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 2 місяці тому

    Ngoja yatoke yabake na watoto wao ndio tutaona kama watainuka kutetea mbwa hawa

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 місяці тому

    Ningekuwa mwanasheria kuna kesi ningezikata kama hii hapana jamani.
    We hukuona mtoto wa miaka 17 alivyo kuwa anasulubiwa 😭😭😭 hio video nilishindwa itazama sec 10

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 місяці тому

    Nasheria hapana kwakweli

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Unataka ushaidi gani mwingine na wakati watanzania wore ni mashaidi hivi kaka unaongea nini na wakati sisi wenyewe tumewaona ni wao

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 місяці тому +3

    Huyo afande na hao walio tumwa wote ni kunyongwa mbele ya hadhara ya watu hasbiya Allah wani'mal wakiil

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      Labda Saudi Arabia sio Tz

  • @DokersRobin
    @DokersRobin 2 місяці тому

    Watasema imeeditiwa

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 2 місяці тому

    Bila kujalisha ukubwa wa kosa. Utetezi ni haki ya kila mtuhumiwa hata kama ametenda adharani

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 2 місяці тому

    Yule mama alikutwa na vipande kazaa vya nyma tu miaka 20 jero duuuh

  • @Aminimalewa
    @Aminimalewa 2 місяці тому +1

    Kwastahili hii mwalifu akikamatwa na raia hatafika polisi kwanza, hukumu yahaaraka itatoka mambo mengine yaendelee, yaan ukweli upo wazi alafu kutwa mnazingushana mahakamani, hichi kipindi kingekua kile Cha magufuli nahakika hili swala lisingeleta ubabaishaji huu, ushenzi mtupu, hizo Sheria inabidi zibadilishwe,

    • @erickphilipo6058
      @erickphilipo6058 2 місяці тому

      Sasa hizi sheria ndio za kimataifa toa uone wanavokutenga

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 2 місяці тому

    hiii ndio inateteaga ht wauaji

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому

    User umeuliza suali zuri

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 2 місяці тому

    mawakili nao ni wakuuwa tu nahao wabakji lao Moja nahao washemzi wenzao

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 2 місяці тому

    Hao wanao tetea wanalipwa na serikali

  • @OnesmoChua
    @OnesmoChua 2 місяці тому

    Jmn binti kabakwa mwezi wa tano akuripoti mpaka mwez wa nane ambapo vdeo imelnki ndo kesi inaanza tena kwa mihemko yesu alikamatwa wote wakamwona amekosea ata pilato aliposema eti ana atia lkn wale wayaudi wakasema apana nn kilitokea aliukumiwa mtu asiye na hatia tusiwe wayaudi

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 2 місяці тому

    Ata majambazi na wezi watawaze kuwatetea, sababu ya Njaa,

  • @bishweko
    @bishweko 2 місяці тому

    Kwa ufupi Mdogo wangu Sky. Kidini yetu Wakili kafananishwa Na mganga wa kichawi

    • @bishweko
      @bishweko 2 місяці тому

      Sababu Wakili anamtetea mwema na muovu. Kama mchawi anaroga huyu na anatolea yule uchawi

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 місяці тому +1

    MIFANO NI MINGI SANA
    El CHAPO
    PABLO
    NK HAKI YA MWNAADAMU IPO PALEPALE ENDAPO BADO HAJATIWA HATIANI

  • @robertmasele9895
    @robertmasele9895 2 місяці тому

    Hii pia ninasaidia sabb watuhumiwa wanaweza kubadlishwa pia,

  • @Ethnicfm91
    @Ethnicfm91 2 місяці тому

    Zingatia "MAFUA MAKALI MNOO" 😂

  • @navioma4882
    @navioma4882 2 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿

  • @mbzoboy
    @mbzoboy 2 місяці тому

    pesa ndo kila kitu wame lipwa

  • @shaimamabrouk9937
    @shaimamabrouk9937 2 місяці тому

    Wamtoe yule msichana awe shahidi mwenyewe maana atawatambua mamaee mlolongo mwingi manina huyo nyindo itakua mtoto wafulan ndio maana kunapawa kubwa hapo

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 2 місяці тому

    Kwa kweli Sharia inaweka kinga kwa wale ambao wamebambikiziwa kesi isije ikatokea hana mtu wa kumtetea. Ni mbaya sana ukiswekwa gerezani kwa7bu ta anyone wako.
    Ila inapokuja wakili mwenyewe amefanyiwa hivyo halafu wakili mwenzako anamtetea adui yako utajisikiaje??

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 2 місяці тому

    Kama watarudi urayani lazima wafe akuna uchenzi na hukatili kama walio fanya hawo mafirauni

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 2 місяці тому

    Video wanafikiri imeeditiwa yaani wamesingiziwa daa😢😢😢

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 2 місяці тому

    Ile biashara sio kosa...tulaumu aliyeanzisha matumizi ya ela

  • @ShadyAbdallah-vu7iu
    @ShadyAbdallah-vu7iu 2 місяці тому

    Kwahiyo wote ndy wafanane

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 2 місяці тому

    Awonikuwauwa wote hadi hao wanawowatetea wakufe hiyo mahakama inapoteza mda kwaniiyo video siinaonyesha kilakitu wamebaka wamelawiti awonikuwauwa tuu tena nninavochukia polisi polisi niwabaya sana wangekua nivijana wakawaida washaguswa washavunjwa kila mahali kwakweli ninahasira sana kwahilijambo

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 2 місяці тому

    Hakuna chochote hapo bahasha tu

  • @tobiskaswahili
    @tobiskaswahili 2 місяці тому

    Yaan hpo vdeo zpo zsingekuepo mh sjui

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 місяці тому

    Kosa Sio Eti Kwanini Wanatetewa Kutetewa Ni Haki Yao Isipokua Kama Watuumiwa Watashinda Na Ushaidi Upo Inamana Hao Mawakili Ndio Wanatakiwa Wakawe Watu Wa Mahakama Inamana Watakua Na Uwezo Mkubwa Kuliko Walio Mahakamani Kutetewa Ni Haki Yao

    • @erickphilipo6058
      @erickphilipo6058 2 місяці тому

      Sio kweli , ikitokea hivyo ujue upande wa mashtaka hawajaleta ushahidi wa kujitosheleza

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 2 місяці тому

    Mbona yule mwenye kipara simwoni jamani

  • @Bmhalisi2349
    @Bmhalisi2349 2 місяці тому +7

    Oyaaa nipeni like hapa haraka haraka tuondoke