Koraneza Wigendere ANAMANISHA => TENDA WEMA WENDEZAKO Juma lokole Ndo alianzisha 😅😅 m nimeona picha yake Kwa Page ya Juma Lokole kwa sabab namfaham hapa RWANDA nikacheka tuh 😅😅 Kwa sababu nilikua sijajua kua Sabaya amesema kwamba Ana mchumba ikawa inanichanganya nikaamua kuipotezea 😅 ila Congz kaka Mkubwa Sky umefanya research ya Kutosha 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
huyu demu ninamfahamu vizuri anaishi kigali rwanda kamaliza chuo mwaka jana rwanda pia hajui kiswahili na boyfriend wake ni mchezaji wa basketball katika ligi za rwanda so wabongo tuacheni uzushi.
Labda ni mchumba wake kweli kwani sabaya anashindwa kuoa mnyarwanda ? Kwanza Rwanda na hapa panaumbali gani? Kama mamaangu ni mkongo na babaangu mbongo na wameona na congo ndo mbali haswa sembuse hapo Rwanda?
Tanzania government is not doing the job of controlling and regulating online media and social media in general. Tanzanians have nothing but time, that is why Zari always insults them.
What's wrong with having a little bit of gossip? A nation that doesn't do gossiping on line, it's a dead national. Even North Korea with there hardline dictator Kim still wana udaku
Wabonqo siowatuwazuri yani wanapenda udaku😅😅
Eh basi ashakuwa star
Kora neza wigendere = Fanya wema uende zako.
Big up sana sns 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ni bhamuleke ye bhagamwe
Thanks for Good news Brother 🙏🙏
Hadi Maulid Kitenge alikua amekurupuka kupost. Kweli Bongo inabidi kuwe staha kidogo.
Kweli mm bongo siami kabisa 😂😂😂🇲🇿🇲🇿🤣
Sns the best news
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Ahsante Sana sns Mimi ndiyo Leonard jamani nimefurahi kuona hii
Tunashukuru pia kwa msaada wako muhimu katika kulibaini hili
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Barikiwa ndugu
Maimatha anajiabisha katika fani ya uandishi
Kama ahufatiliyi abari za wa bongo utakufa na stress 🤣🤣🙌🙌
Anamzigo sister do 👌🤪
Watanzania udaku umelala yooo🤣🤣🤣
Bongo ni 🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🇰🇪 media imekosa soko umbea umewapita this time wabongo Jamani kiboko
Wabongo kwa kutunga mambo khaaa
Nilijua tu
Nimecheka sana Leo jaman
S&S 🔥
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Na dem mwenyewe ni mrembo mashallah .martha umbea utamuua siku moja atafungwa .
Marthar hyu huyu wa I.C.U
Aaii jamani nilijua nina wifi mtarajiwa kisu balaa 💜💜
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Sema Angemsubiri sana mzee, mpaka atoke
Ila jamani utani pembeni waandishi waache kukurupuka kama huyo Maimatha si angetafuta ukweli kabla atutangazie huo upupu
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Maimatha ni mmbea hasa akikutana na juma lokole
Wa bongo sio watu wAzur😂😂😂😂😂
Koraneza Wigendere ANAMANISHA => TENDA WEMA WENDEZAKO
Juma lokole Ndo alianzisha 😅😅 m nimeona picha yake Kwa Page ya Juma Lokole kwa sabab namfaham hapa RWANDA nikacheka tuh 😅😅 Kwa sababu nilikua sijajua kua Sabaya amesema kwamba Ana mchumba ikawa inanichanganya nikaamua kuipotezea 😅 ila Congz kaka Mkubwa Sky umefanya research ya Kutosha 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
From 255 😍
Mmi nikasema uyo sio mu Tanzania
Tenda mema na uende #kora neza wigendere
Kora neza wigendere "Tenda Wema nenda zako"
#Sky the King
Tenda wema uendezako
Ndio maana ya Kora neza wigendere
Kora neza wigendere!> inamahanisha tenda wema nenda zako.
Kwenye Do
Anamaanisha tenda mema nenda zako,
Kha! Shkamoooo wabongo 🤣🤣🤣
hahahahha wabongoo duuu hahaha
Ndo ashakuwa maarufu sasa ahache kushangaa,week kesho aje TZ,afanye media tour
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
🤣🤣 Watanzania siwawezi
Hahahah wabongo limewashuka🤣🤣🤣🤣
Kora neza wigendere ( tenda wema wendezako )
Inamaanisha, Tenda wema wendezako
Ooh asante sana
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
😂😂😂wabongo wamezidi ona sasa
Kora neza wigendere ( tenda wema nendazako
SNNNNNNNSSSSSSSS TOP OF WAMBEA WOTE EAST SHUBAKENGEEE MITII WATU WAMETOA BOKOI
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Duh 😭
huyu demu ninamfahamu vizuri anaishi kigali rwanda kamaliza chuo mwaka jana rwanda pia hajui kiswahili na boyfriend wake ni mchezaji wa basketball katika ligi za rwanda so wabongo tuacheni uzushi.
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Mwongo wewe huna lolote
Najiuliza Sasa mchumba wa kweli wa uyo dada yukohaligani baada ya kuskia izohabari.
Mungu atakuongoza sabaya
Mungu haongozi majambazi
Kwa lipi? Kapata alicho stahili
@@elsonkibasindila7526 😫😫
@@mfalmekaitaba2425 😂
Mungu haongozi madicteta
Jamani watanzania mnanini lakini kha kumbe Dada wawatu Ata ajui jamani hataree sana
Koranezawigendere inamaanisha ntendamema nendazako
Asante sana
@@SimuliziNaSauti karibu nawapendasana
@@SimuliziNaSauti shabikiwa ukweri kirasiku tukopamoja inimwaka yatatu
True meaning! Rwandan from Canada!?love sns mno!❤️
@@gagedamoursarusaru8079 Thank you
Mahana ya kora neza wigendere ni tenda wema nyenda zako
Wabongo ni mbwa
Wabongo sina hamu nao duuh jamani 🤷♀️
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Koraneza wigendere manayake tumika vizuri ujiende
Kora neza wigendere (manayake) tenda mema wendezako.
Na mm nimeshangaa picha zinatofautina
Ila tz 😂😂😂 mm nakwambia juz clouds imeshushuliwa baada ya kupost habar ya kipua na mke wake nyamshepu kuhus umri wao Yule nyamshepu akakoment sio kwel
🤣
Tenda wema wende zako
Fanya vizuli ujiendee
Koraneza wigendere maana yake ni tenda mema nendazaako
Nauli ya kwenda Rwanda ni Bei gani
Weee wapi asubili wapi atuachie sisi hatujaoa bhana mbona sisi tulimuachia wakati anataka wachumba zetu kinguvu zam zam
Koraneza wigendere mana ake ni tenda wema nendazako
BONGO NYOOSO..
Koraneza wigendere means tenda wema wondoke skip Tanzania kunamambo hatari kiukweri
Kwani sabaya ana semaje
Kora neza wigendere mean tenda wema ujendeye zako
Musubir huyo sabaya akitoka jela akuowe sawa
M pia nilishangaa kdg maana hii pc inafanana na pc za Rwanda, japo ilibd niamin tu kishingo upande
Huyo maimatha yeye mwenyewe hajitambui muongo muongo tu
Ila wanyarwanda wazuri mtoto shape bomba mweupe kapanda juu paja za moto kama irene uwoya naoa rwanda safari to Rwanda pisi pisi kali kama uwoya
Usidanganywe na camera
Pale ameandika hivi, Tenda mema wende zako ndio amemaanisha hivyo
Hii ndo bongo treatment 🤔🤔🤔
Hizo ndiyo akili za wabongo wapuuzi kuamini kila kitu cha kwenye social media
Mtakuja kuvunja mahusiano ya watu
Korineza wigendere means, tenda uwema uwende zako!
Wastakiwe hao wanorusha picha za watu
Tuna namba ya huyo dada wa Rwandan
Tuheshimu usiri wa MTU ikiwa hakuna maelezo Yakina# Ifanye Page ya sñs iwe na utimilifu wa vyanzo husika na halisi kta habari '
Watu wanajua kuvumishs
Watakuvumishia na wewe
@@suleimanhamadi5099 waanze tu
@@carenalphonce5013 wanasema tunajuana
@@suleimanhamadi5099 😆😆😆😆😆
@@carenalphonce5013 ushungi
Labda ni mchumba wake kweli kwani sabaya anashindwa kuoa mnyarwanda ? Kwanza Rwanda na hapa panaumbali gani? Kama mamaangu ni mkongo na babaangu mbongo na wameona na congo ndo mbali haswa sembuse hapo Rwanda?
🤣🤣🤣🤣Bongo jmn
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Yani TZ hlwapo bz namaisha yawatu sio kutafuta pesa
Icu wameumbuka kwa umbea ikisha wanajidai kazi yao very true wajinga wakubwa
Diamond platnumz kazimia kwenye show 😢😢ua-cam.com/video/rv2_gP9sTt8/v-deo.html
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Tanzania government is not doing the job of controlling and regulating online media and social media in general. Tanzanians have nothing but time, that is why Zari always insults them.
What's wrong with having a little bit of gossip? A nation that doesn't do gossiping on line, it's a dead national. Even North Korea with there hardline dictator Kim still wana udaku
Tunaomba utu letee story ya chidma msani nasikia kafariki em tupe ukweli ni kweli tupe story yake kidg
ua-cam.com/video/07bPlYVdSqo/v-deo.html
Koraneza wigendere maanayake ni tenda mema nenda zako
Sio kweli, yupo hai na anadunda kama kawaida
Hapa sasa wakulaumiwa ni waandishi WA habari kujaji vitu bila kuuliza kwa wahusika,na sisi watz tukianziwa tu bac
Kora neza wigendere (tenda wema wende zako)ndo mana yake mukiswahili
Yule aliyekuwa mahakamani ni Nani ila labla mnapotezea