Wahouthi waidondosha Drone nyingine ya Marekani, MQ-9 Reaper UAV yenye thamani ya TZS Bilioni 81

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 99

  • @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
    @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz Місяць тому +16

    Kazi mzur Sana wahudh na lran

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART Місяць тому +16

    Keep going Houthi mpaka waache kufatilia nchi za watu hao waamerika washenzi

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 Місяць тому +6

    Sasa kumeanza kunoga. Asante urusi kwa kutuliza ghasia mashariki ya kati. Wataelewa tuu

  • @fellaforlife2948
    @fellaforlife2948 Місяць тому +8

    Safi kabisa

  • @BilalMuhammad-jt6sq
    @BilalMuhammad-jt6sq Місяць тому +7

    Good job ❤

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw Місяць тому +4

    Kazi njema kwa wa usi...

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 Місяць тому +8

    Asant sana Putin Russia idumu milele

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 Місяць тому +9

    Kazi nzuri 😂

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 Місяць тому +4

    VIVA HOUTH

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Місяць тому +2

    Yaan marekani na kufuatilia maisha ya nchi za watu hawajambo

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 Місяць тому +5

    Wanaume kama wanaume... houthy moto wa kuotea mbal

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 Місяць тому +5

    Inagharimu dollars haina maana dollar si wanatengeneza wenyewe hayo ni makaratasi wanaprint

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq Місяць тому

      We sihujuwi ndiy mana unasema ivyo

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 Місяць тому

      Marekani hawatengenezi pesa, af km unachukulia hivyo huko marekani kucngalikua na kz coz pesa ingalikua unapewa tu

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Місяць тому +1

    Kazi nzuri

  • @HilaliabdulwahidAli
    @HilaliabdulwahidAli Місяць тому +5

    Wow❤

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 20 днів тому +1

    Hivi vitu vinafanyika sana ila havitangazwi vyombo vyote vya habari ni vibaraka wa magharibi

  • @ummukuluthum1355
    @ummukuluthum1355 Місяць тому +3

    🙏

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Місяць тому +1

    81b wangenipa mm tu

  • @rajah9328
    @rajah9328 Місяць тому +2

    Sas pesa yote io Billion 81 mkisaidia watu ila USA watengeneze tu ndege kua watu

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 Місяць тому +1

    Wanaume kazini

  • @hawa6052
    @hawa6052 Місяць тому

    Allah awasaidie wote wanaopambana na waonevu wote Duniani kila kiumbe Duniani anahaki yakuishi kwa furaha duniani

  • @hawa6052
    @hawa6052 Місяць тому

    Allah awasaidie Marekani ni tatizo Duniani

  • @user-qp5vi9yt6m
    @user-qp5vi9yt6m Місяць тому

    Sio wanasema ndiyo ukweli uo Mr masoud

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Місяць тому +1

    Na bado kama vita rasim na iran itaanza kuna ile njia ya meli ambayo ndio inatumika sasa hv ikafungwa kabisa na yenyewe

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga Місяць тому

    Mzuri kabissa 🇾🇪🇾🇪🇾🇪🫡🫡🫡🫡

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Місяць тому

    Safi safari hii nikuwatia hasara tu hawa waonevu

  • @user-hv4px1dh4l
    @user-hv4px1dh4l Місяць тому +1

    Mutalia saaana nyie makolo/Israel ni moto wakuotea mbali🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 Місяць тому

    Duh

  • @Mohd-wd2jv
    @Mohd-wd2jv Місяць тому

    Hakika nijambo lafuraha

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 Місяць тому

    Kwani Dj Sma yupo wapi ???

  • @tolbartkishamba3772
    @tolbartkishamba3772 Місяць тому

    Hiyo drone ni kubwa sana mbona hiyo Visio hamtuonyeshi na nyinyi Nani waongo mno rete ushahidi

  • @RAKIIMRAKIIM
    @RAKIIMRAKIIM Місяць тому

    My Brother Ally Masubi Namna Ya Utoaji Wako Taarifa Unajivuta Sana Unawaza Mpaka Unamtia Uvivu Msikilizaji Uwe Unatùachia Mkubwa Wa Kazi Fredrick Bundara 😂😂😂😂😂

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Місяць тому

      Habari ni nyingi sana sky peke yake hawezi kuzitoa peke yake lazima pawe na wasaidizi.nikupe tu ushauri mmoja kama unaona haunielewi ukishasikia sauti yangu usiindelee nayo maana unachokisikia ni kadiri ya uwezo wangu.

  • @espoiraklonda8664
    @espoiraklonda8664 Місяць тому +1

    Wakwaza leo

  • @youngb8672
    @youngb8672 Місяць тому +2

    Yan niee mnawasapot gaza na wahun wenzake tutoleen fanyen uchambuz usioegemea upandeeee

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona Місяць тому

    Watakuja kulia vibaya mbwa hao😂

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 Місяць тому

      Pumbavu wewe ramba inye ya Makaburu..Wahuti ni washujaa the dont kiss white man ass.

  • @davidmongi3579
    @davidmongi3579 Місяць тому

    Mbona hamsem submarine ya urus imezamishwa na Ukraine au ni uchungu kwenu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Місяць тому +1

      Nenda BBC umefata nini kama hawatoi tarifa za urusi 😂😂

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 Місяць тому

      Kwan Update zoote za Vita ndo utazipata hapa ndgu....haya ya Urus hujanambia na vp ya Ukrain yamekwmbia yote ?

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 Місяць тому

      Ile habari ya mchongo hakuna submarine ya urusi iliyozamishwa.

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 Місяць тому

      Kumbe ww shabiki wa BBC ,CNN,TRW Ndio maana wanatangaza Ukaine is wining kumbe ni Urongo tu.

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacobmsuku5765
    @jacobmsuku5765 Місяць тому

    Hivi huko Kwa warabu hakuna hata mtu Moja mwenye akili?

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 Місяць тому +2

      Wewe ukijiangalia vizuri unae Akili?

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 Місяць тому

      umejiuliza Marekani na nchi za kiarabu ziko umbali gani?

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Місяць тому

      Toka lini mwarabu akawa na akili,huko madrasa wanajifunza kutengeza ndege?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Місяць тому

      😂​@@vincentcharles4385😂😂😂😂😂😂😂 ila jamani daaaaaa ila Kuna kaukweli Kwa mbalii

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 Місяць тому

      mimi ninashaka kuwa wew huna akili kuliko waarabu wote ulimwenguni
      Mana lengo la kuumbwa kwetu si la kuja kutengeneza ndege hapa duniani
      tumeletwa kwa lengo maalum

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Місяць тому +3

    Sio wanasema au inasemekana bali huo ndio ukweli na ndio uhalisia wewe mchambuzi wa michongo naku zoom tu uzalimu wa wakoloni umekuathiri unakufanya ujizime data mara nyingi kama jana kwenye GPS umezihilisha ukilaza wako

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Місяць тому +1

      Bro mbona maneno makali sana, anajaribu kuongea kulingana na ufaham wake

    • @ce-08
      @ce-08 Місяць тому +1

      Fungua kituo chako alafu uweke habar unazotaka ww unajihis unajua sana bishana kwa hoja makasiriko ya nn weka hoja mezan ujibiwe kwa hoja mjadala wowote mabishano lazma Ili mambo yaweze kwenda sawa acha ujuaj wako

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Місяць тому

      @@Gulfnas1hatutaki ufahamu wake Bali uhalisia

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd Місяць тому +2

    Za marekani zinadunguliwa ila za waisraeli huwa ni invisible... chezeni tu na marekani ila usijaribu huo upuuzi kwa Israel

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Місяць тому +3

      Mwambie nae apeleke Yemen

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd Місяць тому

      @@Gulfnas1 waisraeli huwa si wachokozi.. waambie wahuthi warushe kombora moja Israel na liuwe hata mtu mmoja tu... ndo utajua kwanini Iran huwa inamchukia Israel

    • @Goshi-ov2wy
      @Goshi-ov2wy Місяць тому

      Connect your brain before talk

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 Місяць тому +2

      ​@@ElijahOwino-xe2cd Ww upo Dunia gan juzi tu hapa houthy walirusha drone TelAviv mji mkuu wa Israel na kuua Mtu mmoja na kufanya uharibifu katika jengo Moja Yan watu wanpiga meli za marekan washindwe kupiga meli wa wazeee wa kufirwa mikundu Yao ipo waz Israel

    • @musaabbinumeir7718
      @musaabbinumeir7718 Місяць тому +4

      Waisalmu sio magaidii na kuuwa kila mtu wao wanapiga yule adui alokuwa anampiga na sio watoto na wanawake

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 Місяць тому +4

    MAREKANI KAMA IVO VIFAA AWAWEZI KUTUMIA WAPELEKE VYOTE ISRAEL, MAANA MAREKANI MIAKA YOTE ANAANGAIKA NA WAARABU ILA ISRAEL MIEZI 10 TU, WAISLAM DUNIA NZIMA HAKUNA AMBAE AJAMWAGA CHOZI.😂😂😂

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Місяць тому +3

      😂😂😂 kwel we kilaza aiseee!! Hiyo Israel 🇮🇱 bila America na nato unadhan ina maisha

    • @natual7572
      @natual7572 Місяць тому +4

      Hii sms yako itunze ipo siku utaikumbuka au utajuta kuunga mkono na kuwaombea dua wachafuzi wa ulimweng wazayuni

    • @Laughter_man
      @Laughter_man Місяць тому +1

      Wanashambulia watu ambao hawana hata drone wanatumia rpg na rifles na bado hamuwawezi

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm Місяць тому

      Wewe ni mbumbumbu mzungu wa reli.Unataka kuchekesha walionuna.Yaani Israel Yuko juu kuliko Marekani.Watu kama wewe Hamjui hata dunia inaendaje.Sikia Sasa taifa la Israel limewekwa hapo na Muingereza mwaka1947 kwa ruhusa ya UN na linaalindwa na kusaidiwa na Marekani kwa muda wote huo mpaka Sasa.Nenda ukasome.Hujui kitu.Kasome maazimio ya umoja wa mataifa.Kasome vitabu vya historia.Sikiliza makala mbalimbali zinazohusu mgogoro wa Israel & PALESTINA.Huenda ukaelewa.

    • @TheAlman
      @TheAlman Місяць тому

      Mungu akusamehe maana hujui ulisemalo

  • @user-hv4px1dh4l
    @user-hv4px1dh4l Місяць тому

    Hamuna lolote/ waislam siku nikama watoto wadogo/hivi unaamini Putin anaweza akawa beneti na magaidi wa kiislam kwa aslimia.mia,kuweni makini 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Місяць тому

      Gaidi ni mama akoo,ndo mnaolewa wanaume kwa wanaume.. kanisani