VIDEO: ZUCHU KAPIGWA MACHUPA KWENYE STAGE, MENEJA WAKE AFUNGUKA ILIVYOKUWA, AJUTIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @HamidaSeif-c8u
    @HamidaSeif-c8u 13 днів тому +12

    Unakwenda kufanya mziki fanya kilichokupeleka uelewe umechukua pesa zao,na kama unataka kufanya kampeni ya siasa kafanye siasa usichanganye mambo!!!!!JITAMBUE KATIKA HILO NA UZINGATIE HILO

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 13 днів тому +13

    Huyo mama watu hawampendi kabisa yaani

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 13 днів тому +23

    Naona kama watanzania wanaanza kuamka vile msiwalaumu

    • @zahrayusuf5985
      @zahrayusuf5985 13 днів тому +1

      Wanaamka kwa kumrushia zuchu vitu 😂😂😂

    • @davidngaga
      @davidngaga 13 днів тому +2

      Kuamka kwa kipi sasa?😂

  • @iddylumbila7399
    @iddylumbila7399 12 днів тому +9

    Sio kwake tu ata angekua mchungaji akisema mama samia mitano tena anakula ngumi

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 13 днів тому +14

    Lakini kwa zuchu hii ni.mara ya pili kurushiwa vitu hata festival iliyopita hivyo anapaswa atafakari kujua kwa nini watu wanamrushia kama kuna shida upande wake ajirekebishe maana huenda wakamuumiza siku moja

  • @stonetown578
    @stonetown578 13 днів тому +12

    Hiyo ndio Mbeya 😂 sifa akafanye Zenji 😂

  • @paulndaki8423
    @paulndaki8423 10 днів тому +1

    Imenifurahisha sana hiyo wanaingiza siasa kwenye kazi zao kama wanapenda siasa wasubiri kampeni ifike

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 13 днів тому +9

    Wasanii wangapi wameperform,,mpaka iwe kwake

    • @jecoliauyaga-d2o
      @jecoliauyaga-d2o 10 днів тому

      Uyo kakosea Heshima ya stage ety waunii...na kidole cha kati ndani ya mbeya 😢😅😅😅ile Ni nchi nyingine 😅😅

  • @rahyarahya590
    @rahyarahya590 13 днів тому +74

    Chanzo kimeanzia pale zuchu alipo sema mama samia mitano tena ndo watu waka anza kufanya fujo kiuhalisia hio sio video kamili mgeanza mwanzo ndio mgeelewa chanzo Ni nini 🙏

    • @rahyarahya590
      @rahyarahya590 13 днів тому +1

      Watu walipa kiingilio kwa ajili ya kuangalia show ya mziki yy kawaletea siasi kipind ambacho sio sahihi nawala siomahala pake hivyo wahini kama mlivyoona wa kasema weeeeeee usitutanie 😂😂😂😂 ndio waka anza vurugu zao 🤣🤣🤣. Ila mbeya 🙌🙌🙌

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 13 днів тому

      na kuna sehem kaonesha dole la kati hawajaonesha video nzima zuchu amewatukana​@@AngelMazola

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 13 днів тому +1

      Wewe umesikia mitani tena wapi, khaaa mmeshikilia kueneza uongo

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 13 днів тому +1

      Acha kuongea ushuzi mkundu wewe

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 13 днів тому

      ​@@AngelMazolaacha kuongea ushuzi wewe Kwanza inaonekana Kuma yako inAnuka utoko

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 12 днів тому +4

    Unaimbaga ushetan tu nyimbo zako hazina maadil.

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 13 днів тому +13

    Burudani na siasa kwani hapo wanapiga kura? Wasanii wote wanapaswa kutofautisha mambo.
    Nimesikia et "mlete mke wa p diddy" 😂😂

    • @hammytototundu9292
      @hammytototundu9292 13 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂na Mimi nimesikia 😂😂😂😂😂😂

    • @Joh-p9f
      @Joh-p9f 13 днів тому +1

      @@hammytototundu9292 Bongo noma sana 😂😂

    • @Michealfarah-n1w
      @Michealfarah-n1w 13 днів тому

      Pia mmi sijui nmeskia vibaya ama maskio yangu ni machafu,😂😂

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 13 днів тому +2

    Wao wenyewe hawajielewi washamba sana 😮

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 13 днів тому +3

    Safiii bola aje P didy mwenyewe😂😂😂😂

  • @annamussa185
    @annamussa185 13 днів тому +8

    Kama kweli yeye mwanamke wa shoka ashuke apigane nao😂

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 13 днів тому +4

      Mbeya watamvunja kule wababe mnoo kina mwaisa ni moto sana

    • @AayshaAyash
      @AayshaAyash 12 днів тому +1

      Ww wata auliwe

  • @JaphetJairos
    @JaphetJairos 12 днів тому +4

    Mbeya hawamtak uyo mama enu mkome

  • @JosephDamas
    @JosephDamas 13 днів тому +5

    Wanakera sana ni bora tu

  • @ramadhandiwani3410
    @ramadhandiwani3410 12 днів тому +4

    Mbona kuna vitu tumesikia vikitajwa hapo
    Tumesikia didi didi

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 13 днів тому +4

    Msichanganye siasa na mziki hata mimi ningemtemea mate mama samia mitano tena kama hatutaki ninyi mnafaidi siai wanaichi hatukioni huyu mama akifanyacho afu mitano tena nyambafu

  • @officialtunda-g6s
    @officialtunda-g6s 13 днів тому +2

    Wakanza Leo like zangu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 13 днів тому +1

    laia wao wanamtaka didi tu😊,,,sasa sijui watampata 😊,,,na Kuna uwezekano kaka yenu asifanye shoo bongo, mpaka ujumbe ufike kwanza😅,au awatandaze walinzi Chini muda wa shoo yake.

  • @SakinaJames-x5y
    @SakinaJames-x5y 13 днів тому +6

    Hii kitu sijapenda na sikitu nzuri....mm Niko Kenya lakn sikupenda ata Kama kauli ya zuchu ilikua mbaya kwao

    • @shabankadiria7476
      @shabankadiria7476 12 днів тому +1

      Ushetani, penda kinachukufanya uwe na afya njema mpende mungu na maagizo yake utainjoy

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 13 днів тому +21

    Wewe fala acha kuongea unazi
    Zuchu kakosea anachanganya siasa na tamasha watu Wana machungu anaasema mitano tena kwa mama Samia angalia sehemu ulipo Jimbo lile ni chadema kuwa makini au unafikiri wabunge wa ccm walishinda?

    • @Segea696
      @Segea696 13 днів тому

      @@ismailmshana2828 Sasa huoni kwamba niko sahihi katika hili!?
      Watu wajinga siku zote ni watu wa kuendeshwa na emotion.
      Unadhani reaction ya vurugu ni sahihi sanaa na ndiyo best option yako na hakuna option nyingine zaidi ya vurugu?

  • @annamussa185
    @annamussa185 13 днів тому +3

    Why wamesahau kumwagia mkojo awashwe atulize ngebe😂😂😂

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 13 днів тому +12

    acheni kuandika kama vile hamjui nn sababu...zuchu amepata anachostaili huwezi kupeleka siasa kwny burudan 📌📌📌 ety mama mi5 tn!!! watu wa mbea nacmama na nyny UBAYA UBWELA 📌📌📌 na ningepend hii iwe endelevu tz nzima kwa wasanii wt machawa wa ccm📌📌📌 WATANGAZAJI TOENI HABAR ZA UKWEL

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter 13 днів тому +1

      kwakweli

    • @AngelMazola
      @AngelMazola 13 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂kumbe alileta ushambenga safi sana wangemtia navibao kabisa nakofia lake mfyuuuu

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 13 днів тому +6

    Samia hakubaliki kivile,huo ndio ukweli, acheni kufunikafunika hapa

  • @erastomsuwila3716
    @erastomsuwila3716 12 днів тому

    Hila hii channel bora nikamsikilize mwambukusi crown

  • @AbubakaryOmary-m6l
    @AbubakaryOmary-m6l 12 днів тому

    🇹🇿.. kumeanza kuchangamka..😂🔥🔥

  • @LetdiscussBusiness
    @LetdiscussBusiness 12 днів тому

    Kuwa wakwel coz shida aliusisha siasa neno alilosema ni kusema Mama mitano tena acha kupindisha maneno ndo mjifunze siasa na burudani za aina yoyote usiusishe jifunze kupita clouds kwenye tamasha la Fiesta

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 12 днів тому

    Hayo ni majibu ya mungu. Kwa kumkosea katika hizo nyimbo zenu na bado atawaaibisha sana. Ona anavyowaaibisha kina mond. P didy na wengine wengi

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 13 днів тому

    Safi sana zoezi hili liweendelevu,kwanini wanakuwa uchi

  • @franccoz94
    @franccoz94 13 днів тому +2

    MBEYA SIO YA CCM ,UKIENDA MBEYA USIFANYE SIASA

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 13 днів тому +9

    Unasema mitano tna kwa samia watu tunapitia magumu huku mtaani hujui

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 12 днів тому +1

    Kweli jamani

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 10 днів тому

    Kisa didy wa malekani...si inasemekana wamewala wakina tazanate na lukamba😂😂😂

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 13 днів тому +3

    Ila kwann wasingeenda na lokole kule kwa pdiddy 😂😂😂😂😂 wakaamua kwenda na kijana wa watu lukamba😂😂😂😂 ila anajutia hilo maana kaliwa halaf boss kapewa royzroyz 😂😂😂😂😂

  • @lilbbaddiebaddie2690
    @lilbbaddiebaddie2690 13 днів тому +5

    P diddy 😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 13 днів тому +3

    Kwann aite wahuni

  • @DAVDChalse-db6tz
    @DAVDChalse-db6tz 13 днів тому +1

    Watu wanahasira na Samia haraf analeta Usenge wa kumtaja Samia mamae angepigwa mpaka afe

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 13 днів тому +1

    Safi Wana nchi

  • @GyaviraLaurean-x8b
    @GyaviraLaurean-x8b 12 днів тому

    Me nilikua nimesubilia apost Millard no nicoment

  • @storytownTv
    @storytownTv 13 днів тому +1

    Wangempaka na mafuta kabisa, waache kulipotosha taifa na raisi wao wa mchongo, promo kila sehemu kama wauza nguo za mtumba kila sehemu wamekazana mitano, mitano ,mitano tena shenzi ,😢 uyo nyau nchi imemshinda achen uchawa, hatupishe wtz tupumue

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 12 днів тому +2

    Waache kusifia akina samia watu tunatekwa barabara zina haribika wao wanasema samia mitano tena jinga nyie wasanii

  • @Body-if7hc1yk8ui
    @Body-if7hc1yk8ui 13 днів тому +1

    Mm Niko live KUTOKEA Xiexia

  • @EmanuelChisunga-e4r
    @EmanuelChisunga-e4r 13 днів тому +1

    Mnaupoteza mziki WA Tanzania . Apo mnampoteza msaan kisaikolojia . Sio poa kulusha chupa sitejin akat MWENZIO anapafom . Huyo nae ni binadam anajisikia vby . Sjapenda

    • @heaventv4668
      @heaventv4668 13 днів тому

      Wafanye nini sasa wakati hamna mawe

    • @AngelMazola
      @AngelMazola 13 днів тому

      Yani wamemtia haibu mpakaaa

    • @OmmyConscious
      @OmmyConscious 13 днів тому

      ​@@heaventv4668😂😂😂🙌

    • @AsiaAthumani-ew1gv
      @AsiaAthumani-ew1gv 13 днів тому

      😂​@@heaventv4668😂😂😂😂😂 umetisha

    • @FirdausYusuph
      @FirdausYusuph 12 днів тому

      ​@@heaventv4668 😂😅😅 Dah 😂😂

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 13 днів тому +2

    KAWAKOSEA NINI?? MTU KUJA KUJA KUWABURUDISHA NDO MALIPO?? TOO BAD😢😢AFRICANS DO WE LOVE AND SUPPORT EACH OTHER??

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 13 днів тому

    Kwani akisema mitano tena ndo itapunguza kura za chadema au wameshakata tamaa 😊😊😊😊😊

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 13 днів тому +4

    amuulize mr blue mwaka 2003 -2004 kilichomkuta Arusha Triple A.

  • @deejay__best
    @deejay__best 12 днів тому

    Meneja Bwana Eti Vibe Lilipitiliza Watu Hawajapendezwa Na Mambo Yaliyo Trend Kwa Sasa Kuhusu P.DIDY Sasa Vibe Ilo Vibe Sema Tu Ukweli Bwana Watu Wamemkataa.

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp 12 днів тому +2

    Ccm watu hawaipendi usirudie

  • @JohnDakika11
    @JohnDakika11 13 днів тому +2

    Kwani kuna shidooo😊😂

  • @barakajohn8005
    @barakajohn8005 12 днів тому

    Safi sana...😂😂😂

  • @Adayotz
    @Adayotz 12 днів тому +1

    Et watu wote wanaohojiw wanapndxha maneno wakat sababu zko waz kabsa

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 11 днів тому

    Nyie wasanii acheni kutumika kama machawa kisiasa especially now days watu wanahasira maisha magumu etc etc. Pigeni muziki acheni siasa jukwaani mtapigwa chupa sana tuu 😂

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 13 днів тому +9

    Millard ayo tatizo yako na wewe utakangi useme ukweli kuusu CCM umebindisha maneno, yeye alisema mama samia mitano tena watu ndo wakamaindi awakupenda na unajua watu wanavyomchukia uyo Rais wako wewe

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp 12 днів тому +1

    Mitano atampa yeye na diamond

  • @ShadadMussa
    @ShadadMussa 13 днів тому

    Je akuumizwa zuchu

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 12 днів тому

    Jamn sielewi hpa iv zuchu anamwitaje p did

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 12 днів тому

    Sababu ni kwamba basha wake pia ana basha kuko marekani anamtambalia 😅

  • @adambakari9276
    @adambakari9276 12 днів тому

    Yan mtu awe na vaibu had akupige😂...hebu tuo maelezo yalio nyooka

  • @LucasK-h4x
    @LucasK-h4x 12 днів тому

    Duh ni mwendo wa mawe tu hadi wasanii wajifunze jambo waimbe nyimbo za jamii sio hane

  • @beyondintrusion1663
    @beyondintrusion1663 11 днів тому

    Mbna hamuoneshi za mario na mboso na diamond 😂😂 nikama zuchu ndo alirushiwa

  • @officialtunda-g6s
    @officialtunda-g6s 13 днів тому +1

    Bado awaja sema😅😅😅

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 11 днів тому

    Analeta siasa kwenye mziki ndo chanzo

  • @adamkasasa8660
    @adamkasasa8660 9 днів тому

    Shida siyo kidole shida ni kumtaja samia na watu hatumuelewi kmmk

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 13 днів тому +1

    Zuchu anaimba upuuz

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 11 днів тому

    Saf sana

  • @MstakimShaban
    @MstakimShaban 11 днів тому

    Tumpe nchi tundu lisu au mbowe hahahaaa (?)

  • @Babizzo_classic
    @Babizzo_classic 12 днів тому

    😂😂😂daaaaaah

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 12 днів тому

    Yajayo

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 13 днів тому

    Ushamba wa mwaisaaaa

  • @shaibushalo9805
    @shaibushalo9805 13 днів тому +2

    Watu wanalipia kuburudika wao wanaleta siasa

    • @Malkia-jv4ct
      @Malkia-jv4ct 13 днів тому

      😂😂😂😂😂 pumbavu sana

  • @ZuhuraSereman
    @ZuhuraSereman 8 днів тому

    Wabongo.mnashda.ata.asipo.sema.mitano.mtabdirisha.kitugani

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 13 днів тому +6

    Wanakyusa awapend utoto....

  • @nangonga1991
    @nangonga1991 12 днів тому

    Sasa unawaonhesha je kidole cha kati, ata kama alikua anamnhoshea ntu moja tasfiri amewaonhesha watu wiliekua mbele yake

  • @masujayahaya9806
    @masujayahaya9806 13 днів тому +1

    Aibuuu

  • @laulaukingboy-eu1wj
    @laulaukingboy-eu1wj 13 днів тому +1

    Fala uyo anazinguwa

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 13 днів тому

    Mshamba uyoo nao wasafi wote mashoga wana waimbia wauni ushoga etiy siendi wauni wana kupeleka2 awajali

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 13 днів тому +2

    mnge kapga mayai viza kakanukie mbele uko

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 12 днів тому

    Kuvaa nusu uchi mpumbavu huyu mtoto ulikuwa utiwe na Dole .

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 13 днів тому

    Hiyo mitano tena ndo tatizo kama hakuwa na chakusema bora angeenda marekani kwa kubwa la maadui 😅😅😅😅

    • @Malkia-jv4ct
      @Malkia-jv4ct 13 днів тому

      Kweli kabisa mkuu angeenda kwa P didy mume wao😂😂😂😂😂😂

  • @ZuhuraSereman
    @ZuhuraSereman 8 днів тому

    Wew.nawe.ufkiri.ataimba.wakati.wanarusha.mawe.ao.wambea.atajinarso.uoni

  • @KabisaAmani
    @KabisaAmani 12 днів тому +3

    Sister alizingua kunyoosha kidole cha kati

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 12 днів тому

    An hiki kitu kimenikera sana watu wanachezea kaz za watu

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 12 днів тому

    Watu hawamtaki samia na wamemchoka. Maana alisema samia mitano tena

  • @shakirasaid7124
    @shakirasaid7124 13 днів тому

    Kweli tuamkeni mabadiliko yanaanza na sisi

  • @SonJozeey
    @SonJozeey 13 днів тому +2

    Nichukue nafasi ii kukuomba msamaha kwa niaba ya Wana mbeya coz watu wengi awaelewe kinacho endelea but wanamlaumu tu zuchu zuchu akuwanyoshea watu kidole wala kuwaambia watu wa mbeya habari za siasa but kitu kimoja tu mlicho kosea wasafi ni kuweka stage kalibu na mashabi na 20% ya mashabi walio kaa mbele ya stage walikuwa ni wamelewa izo. Serengeti zenu za ofa ndo kulusha makopo na chupa ndala na akukuwa na mawe kusema zuchu kapigwa mawe coz wasanii wote walilushiw makopo sababu ni Moja tu stage kuwa kalibu na stage. Mboss alitaka adi kuvuliwa mzura marioo alipolwa koti bila bodi guli lingekuwa limeenda but dada zuchu tu yeye aliwai ku panic na kusema kwa nn mlushe vitu stagini na kupanic ndo kutupa maik chini na mm ndo nilikuwa wa kwanza ku I record iyo video na ku post TikTok na ika enda viral but all ni all sio zuchu kwamba alikataliwa mbeya wala kusema mama mitano tena wala kunyosha dole all in all wasafi mlikosea ku weka stage kalibu na mashabi vichaa Wana mbeya tuna upendo na tunakupenda zuhura

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 12 днів тому

      Acha porojo zako wewe hazina maana hizo tena!

    • @dianaleo6067
      @dianaleo6067 11 днів тому

      Sababu inajulikana ni mama mitano tena.acha kupindisha .na wewe si msemaji wa wanambea.

    • @NoelaWilliam-z1d
      @NoelaWilliam-z1d 11 днів тому

      😂😂😂😂 mwambie huyo!! Yy syo msemaji wa wa mbea​@@dianaleo6067

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 13 днів тому +1

    Kama alileta siasa alikosea sana zuchu ila kama si hivyo basi mbeya tulikosea sana angeumia je ingekuwaje?

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 13 днів тому +1

      Angeumia kesi ilikuwa nzito kumtambua mhusika, maana nikundi utakosa hata wa kumshitaki

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 13 днів тому

      @@mwasoprince3459 ni kweli

  • @ErickMwashambo
    @ErickMwashambo 12 днів тому

    Tatizo kanaleta siasa sehem ya burudani shenzi kabisa

  • @ZuhuraSereman
    @ZuhuraSereman 8 днів тому

    Shida.ya.watu.wabara.washmba

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 12 днів тому

    Mbeya tabia chafu

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 12 днів тому

    Alionyesha dole la kati kwa mashabiki

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 12 днів тому

    Kidole cha kati ndio kimeleta shida

  • @dalufrancis-wr6ln
    @dalufrancis-wr6ln 13 днів тому

    Amekosea kuwajibu kwasababu tayari akili zao zilishabadirika

  • @Boazi_TV
    @Boazi_TV 13 днів тому +1

    Duuuuh so poa kabisa

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 13 днів тому

    Mitano tena kwani uko kwenye kampeni

  • @LucasK-h4x
    @LucasK-h4x 12 днів тому

    Ubaya ubwera eyatimba njooni huku tuwashugulikie

  • @JofreyNagabona
    @JofreyNagabona 10 днів тому

    Ww ungewka video nzima watu wakaangalia hakn mtu anaweza kufanya jambo bila sababu

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 12 днів тому

    Jmn uyu dada c ndo yule bwanaake nae p did ni bwanaake

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 13 днів тому +1

    Ana haki ya kusema anachokipenda na nyie semeni mbowe atashinda

    • @FrankEnock-q4q
      @FrankEnock-q4q 12 днів тому +2

      Sawa anahaki ,lakini je, ni mahalipake kuongelea hilo,, watu wamelipia burudani hivyo toa burudani nasiyo vinginevyo .

  • @LucasK-h4x
    @LucasK-h4x 12 днів тому

    Watu wanachangamoto za naisha nyie mnaleta mapenzi mgemleta ney angeua hapo