Mm naomba viongozi waachane namizigo onana, saido, ngoma, jobe, Baba carrisa, inonga, Kanut, na chma harafu walete vyuma ila km watabakia hata wawili kati ya hao niliowataja yanaga ataendelea kua bingwa
CHAMA AKIONDOKA SIMBA HAKIKA SIMBA ITAKUWA IMARA CHAMA ANA MECHI CHACHE SANA AMBAZO HUMFANYA KUONEKANA BORA TU NI KWA SABABU YA CLUB KUTOKUWA NA WACHEZAJI WAZURI
Yetu macho
We nann unaezuia Fei asije lunyas ,mchezajj wa Azam nyie vp mnasogeza matako yenu tena hayaja O'Shwa
Mm naomba viongozi waachane namizigo onana, saido, ngoma, jobe, Baba carrisa, inonga, Kanut, na chma harafu walete vyuma ila km watabakia hata wawili kati ya hao niliowataja yanaga ataendelea kua bingwa
Hayo maneno ya kumtisha nani kwenye league. Timu zote zipo imara next season.
Wa kimataifa toa Ngoma, Sar, Kanoute, Miqsone, Jobe, saido, Onana ondoa wote hawa.
Khaa huyu bro 😂
YAANI NILIVYOSIKIA TUU FEISAL ANAENDA YANGA NIMEACHA KUMSKILIZA
kwa hao bado simba hairudi kwenye ubora wake
Wewe ni mpuuzi tu
hao wote waondoke
Sidhani Kama ni Kwelii iyo
Anasema ukweli unamtukana
hahahahahah
😂😂umaarufu unatafutwa kwa upuuzi tu
CHAMA AKIONDOKA SIMBA HAKIKA SIMBA ITAKUWA IMARA
CHAMA ANA MECHI CHACHE SANA AMBAZO HUMFANYA KUONEKANA BORA TU NI KWA SABABU YA CLUB KUTOKUWA NA WACHEZAJI WAZURI
Mchambuzi fala
Matusi yanini mbona sisi ni watu wazi hatuji heshimu?
Chura wanalia humu kwani kuna mvua?
Nikwel kabisa
Hiki kijitu kwa Bongo kinakaa mitaa ipi kijamaa kirefu uongo mwingi.
Jamaa umenichekesha😂😂😂😂
Huyu Sabuva kweli, uwongo mtupu..........?
Nakubali
Yaani mnafurahishana kuongopeana eti Yanga halipwi b 1 katafuteni kazi mfanye
Yani Jobe ,inonga,baba carr sar,Fred ,saido,onana,bila kumsahau mangungu Nay avute mbele
Kumbe huyu jamaa huwa Puga Simba kamfungulia mamako labda
Eti Feisal aende Makalioni kwako labda