Zijue mbolea na viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi
Вставка
- Опубліковано 10 кві 2024
- mboleakwa ajiri ya soil nutrients na viwatilifu kwa ajiri ya wadudu waharibifu na magonjwa kwenye kilimo cha mahindi ni changamoto kubwa na hivyo kuathiri uzalishaji kwenye kilimo, video hizi zinakusaidia kutambua aina za mbolea zinafanya vizuri na kuongeza uzalishaji shambani kwako, kwa maelezo zaidi tupigie kwenye namba 0750406919
mbolea za mahindi # viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi. # magonjwa ya mahindi .
Hongera sana ndugu kiongozi
Haya madawa ndio naitaji niyajue mkuu
Safi sana Kwa kutupa elimu hiyo,naomba uniandikie biambata vya viwatilifu ulivyovitaja tafadhali
Hapa kuna orodha ya viwatilifu na majina:
1. Herbiside:
- Glyphosate: Hii ni herbisidi inayotumika kuua magugu na hutumika sana katika kilimo cha mahindi.
- Atrazine: Hii ni herbisidi inayotumika kudhibiti magugu katika mashamba ya mahindi.
2. Insecticide:
- Permethrin: Hii ni insektisidi inayotumika kudhibiti wadudu mbalimbali wanaoshambulia mahindi.
- Chlorpyrifos: Hii ni insektisidi inayotumika sana kudhibiti wadudu wa majani na mizizi ya mahindi.
3. Fungisidi:
- Mancozeb: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa yanayosababishwa na fangasi kwenye mahindi.
- Propiconazole: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa ya majani na mashina ya mahindi.
4. Nematicide:
- Carbofuran: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo ambao unaweza kuathiri mizizi ya mahindi.
- Fenamiphos: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo.
kwa ufupi vipo viwatilifu vingi lakini hivi vitakusaidia
Naombeni namba yenu whatsapp
Naomba kujua kilimo cha mahindi ktk mafuta shambani.
Habari, swali lako ungeliweka vizuri , cjalielewa
Matuta km ya mihogo kwa mahindi yaweje ?