Majaliwa aagiza makandarasi MV Mwanza kunyang'anywa 'Passport' Mwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Uhamiaji mkoani Mwanza kuchukua hati za kusafiria za wakandarasi wanaojenga meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu kutokana na kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba.
    Majaliwa ametoa agizo hilo leo Jumamosi Mei 7, 2022 alipotembelea na kukagua ujenzi wa meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo unaotekelezwa kwa gharama ya Sh97.5 bilioni.

КОМЕНТАРІ • 260

  • @benardthomas8347
    @benardthomas8347 2 роки тому +36

    Hakika tunapata imani kubwa maana tangu baba jpm atutoke tulianza kuona giza kumbe bado mungu anatuonekania, kassim endelea kufuta machozi watanzania kwa uzarendo huo.

  • @mcmi469
    @mcmi469 2 роки тому +31

    Big up Sana Waziri Mkuu.. I still have faith in you. Najua unatamani jembe mwenzio JPM lingekuwepo mpaka wakati huu! I'm sure Nchi hii by now mgekua mmeifikisha kwenye standard za Singapore au Dubai. Huko sahii kabisa Meli ingekua imeshaingia kwenye maji coz ni muda mrefu sasa umepita! Mama anazunguka tu kutengeneza movie🤣 🎥 mambo muhimu kama hayo kwakwe nikama usiku wa Giza. Sad Sana!! Hongera Sana Majariwa Wewe ni Jembe kama Mpendwa wetu John Pombe Magufuli. 💪 I am sure mama will not like that!😂😂 Hataki kufunikwa nawewe mpaka hapo umemfunika vibaya Sana.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому +3

      Na ndio maana akawateua hao wasaidizi wamsaidie sio kila eneo awepo yeye sio lazima!!

    • @kingmichael1234
      @kingmichael1234 2 роки тому +3

      Ni ukweli kabisa 💯🙏🏽

    • @mcmi469
      @mcmi469 2 роки тому +5

      @@reubenkissinga5802 Mh.Kasim hakuteuliwa na mama. Mr. Kasim ni remnant wa JPM. Mh.kasim ni Jeshi la Mtu mmoja.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому

      Hata Samia Suluhu alikuwa kwenye uongozi wa Magufuli pia,,, kwa hiyo hakuna shida kuona wakiendelea kufanya kazi pamoja na utaratibu ni ule ule mmoja bado anaendelea kuwa boss wa mwenzake kuanzia awamu ya late Jpm hadi sasa awamu SSH!!!na hizo ndio kazi za waziri mkuu kwa kuwa yeye ndio mtendaji mkuu wa serikali,,,kwa hiyo ulitaka Raisi akakague kivuko???Sasa hao watendaji wake walioteuliwa na kuchaguliwa kwa kufanya kazi zipi kama ukitaka kila kazi afanye Raisi??wakati kuna watendaji wake wengi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ambao ndio wanatakiwa kufanya hizo kazi,,,Raisi ni Taasisi dogo haifanyi kazi kama unavyofikiri au utakavyo wewe,,,,ni kwa utaratibu wa kimantinki na protokali!!

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 2 роки тому +1

      Mwache acheze movies za kukunana vizuri , Watanzania tunataka kazi kazi.

  • @sebastianungimba4676
    @sebastianungimba4676 2 роки тому +24

    Machozi ya kufiwa na baba mdogo wetu wa Taifa magufuli,anatufuta majaliwa,maana mrithi anacheza muvi

    • @hussenmishamo1963
      @hussenmishamo1963 2 роки тому +1

      Kwakwer n 😭😭 sjui tumemkosea nn mungu 😭😭

    • @fakiimustafa4137
      @fakiimustafa4137 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 2 роки тому +3

      @@hussenmishamo1963 hamjui mmesahau mlisali mlifunga mliomba mkapewe na yoote mliyoyaomba Mungu aliwapa mkajifanya wana wa Israel matusi kejeli Dharau mara mwizi kwa kweli mlimkosea saana yule Baba Mwenyeezimungu amrehemu subirini Mwenyeezimungu ametuacha twende kwa akili zetu na bado bila toba maji tutaita mma

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 роки тому +13

    Cheki hao wakolea wanavyomuangalia wazili mkuu Kwa kutia huluma walifikili JPM kafa...JPM hajafa......😂😂😂😂🤔🇹🇿🙏

  • @kelvinmboya5846
    @kelvinmboya5846 2 роки тому +11

    Bora magu angemfanya huyu mtu makamu wake saiv angekuwa rais na nchi ingekuwa salama...

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 роки тому

      Mchezesha mchezo wote anawachora tu katulia

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 роки тому +5

    Inatakiwa watanzania tuchukue na passport ya mama ili asiwe anasafiri asimamie miradi hii

  • @abdulahmahamed3790
    @abdulahmahamed3790 2 роки тому +3

    Majaliwa atakuja kuwa rais wa muungano wa jamhuri ya Tanzania inshallah

    • @matukimerchant5170
      @matukimerchant5170 2 роки тому

      Amen pendekezo lako Mungu akipendezwa alipatie kibali

    • @michaelsiweya4969
      @michaelsiweya4969 2 роки тому

      😂😂😂😂😂 Uko sahihi sana.. ILa nimecheka jinsi ulivyoyachanganya hayo maneno..

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 2 роки тому

      Watu wamevurugwa ndugu yangu kachanganya maneno hana hata habari haa haa.. Ila namuunga mkono..

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 2 роки тому +10

    Huyu waziri ananishawixhi niwe nacheki taarifa ya habari ,safi sana mkuu🙏🙏🙏🙏

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 роки тому +16

    Allah akulinde na akupe afya bora mzee wetu kassim majaliwa😭😭kwan namuona jpm ndani yako

  • @williumteete2626
    @williumteete2626 2 роки тому +13

    Asante Sana Mh waziri mkuu. Tunakuomba utembelee na miradi mingine

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 роки тому +2

    2025 usipo pitishwa na chama chako upinzani wanachukua nchi,

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 роки тому +5

    Muda ufike haraka Mama akapumzike zanzibar, amuachie huyu mwamba amalizie safari ya JPM

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 роки тому +1

      😁umesema neno tamu,.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому +1

      @ Saxan njo ndugu umeupiga mwingi 🤣🤣🤣😍🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 роки тому +6

    Majariwa upo nyuma ya hayati jpm bibi sura nzito timu msoga walamba asali wamerudi miradi yote bwawa la umeme trein mwendo kasi daraja la magufuli kigongo busisi kiujumla miladi imesimama apo kwenyewe unaangaliwa tu mhe'majaliwa kassim na mcheza sinema msoga timu watakuangusha kimchongo wake mungu akujaarie utuvushe mzalendo majaliwa

  • @haggaikinyau1395
    @haggaikinyau1395 2 роки тому +2

    Ndicho kilichofanyika kwa Tanzaniteone, kampuni iliuzwa juu kwa juu bila STAMICO kujua

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 роки тому +2

    Waziri mkuu wewe kwa Sasa ndo tengemeo la watanzania..

  • @hafidhmwinjuma8398
    @hafidhmwinjuma8398 2 роки тому +3

    Hakika unakayaga kwa mshuwa saluti mkuu

  • @rehanikharidi1641
    @rehanikharidi1641 2 роки тому +5

    Safi sana hii ndio watanzania tunataka

  • @rukizatv1421
    @rukizatv1421 2 роки тому +9

    Nampenda sana huyu kiongozi

  • @patrickvedasto3248
    @patrickvedasto3248 2 роки тому +17

    We need this kind of boldness from all of our leaders

    • @kileohemed4958
      @kileohemed4958 2 роки тому +1

      Yeeees yeeees yeeeees kazi iendeleeee saaafi saaaana Mh.

  • @fundimaiko2381
    @fundimaiko2381 2 роки тому +2

    Magufuli namba 2

  • @princepaineto5388
    @princepaineto5388 2 роки тому +2

    Huyu ndie angefaa awe Rais wa nchi hii nibasi tu

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 роки тому +8

    Maajaliwa Mungu akulinde sana kazi unayoifanya ni kubwa sana, ndio kiongozi pekee mzalendo uliobaki madarakani kwa uchungu mkubwa wa jasho ka Watanzania. Mungu akulinde sana Kassim Majaaliwa kwa roho yako nzuri na Uzalendo uliotukuka 🙏🏽🇹🇿

  • @robertmasanja66
    @robertmasanja66 2 роки тому +2

    Tutamkumbuka JPM madudu yanaendelea MSD na Leo meli,keshotutaona mengine

  • @jescagodwin2732
    @jescagodwin2732 2 роки тому +9

    Nakupenda sana Majaliwa. Mungu akubariki sana. Tunafarijika na kazi zako

  • @salvatorijohn961
    @salvatorijohn961 2 роки тому +4

    Wewe ndie umebaki tz tafadhali endelea nasimamo huo

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 роки тому +2

    Majaliwa anatukumbusha JPM

  • @championtv255
    @championtv255 2 роки тому +2

    Wanatoa macho kama wamebanwa namlango wa Korea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @masanjanyanda9775
    @masanjanyanda9775 2 роки тому +6

    Majaliwa ni mchapaka kazi na mzalendo lkn rais ndio bomu anamuagusha waziri wetu, hapo nimesikia hata kampuni iliyosaini mkataba enzi za jpm sio hiyo tena serikali ipo tu wamebakia kucheza filamu tu

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 2 роки тому +2

    Peleka jeshi na usalama wa taifa mara moja.asitoke mkorea hata mmoja.pia tuwasiliane na ubalozi wao

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 2 роки тому +3

    Waziri mkuuu tunakukubali Sana sema mama ndo shida

  • @aminachomola7156
    @aminachomola7156 2 роки тому +3

    Mungu akulinde 🙏 maana wasije wakakuua na ww bure😭😭 maana had leo ukweli haueleweki JPM kafaje kwa moyo au korona. Dah. 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿 Never stop crying 🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 2 роки тому +3

    Ningekuwa nauwezo ww ndio unafaa urais wa nchi

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 роки тому +8

    Nakupongeza Waziri Mkuu kwa hili🇹🇿

    • @yusufchilala3800
      @yusufchilala3800 2 роки тому

      Sio kwa hili tu!....mbona yapo mengi?.....huna habari wewe!?...... Hicho kidume Babu!! 🤪

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 2 роки тому +3

    Kikwete atanfanyia hila huyu majaliwa kikwete hapendi kuona watu wanamkubali mtu na kumpenda anataka yeye tuu ndio aonekane kidume

  • @benjaminbugalama2149
    @benjaminbugalama2149 2 роки тому +2

    tunakuombea sana hawa mashetani washindwe

  • @wariobawjoseph2557
    @wariobawjoseph2557 2 роки тому +5

    Kwani waziri wa ujenzi yuko wapi na naibu wake siku zote mauzo ya kampuni yamefanyika....katibu mkuu, mkurugenzi, OCD, Takukuru , na RC, DC n.k wako wapi hadi waziri mkuu ndio afike mmelala tu

    • @petronchalangi1033
      @petronchalangi1033 2 роки тому +1

      Warioba nakuelewa Sana....hivi hawa viongozi wa chini hawajui kuwa Kuna kazi ya serikali inaendelea hapo. Assume waziri Mkuu asingekuja. Hao viongozi uliowataja wore are they sleeping?

  • @michaelsiweya4969
    @michaelsiweya4969 2 роки тому +1

    Haaa.. Wamewapunguzaje wafanyakazi.. Jwtz si ilikuwepo hapo.. Ndo makamanda wa JpM tuliokuwa tunawategemea?

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 роки тому +1

    Ila nakuonea huruma sana waziri mkuu huenda ukafukuzwa maana wezio wa awamu ya 4 hawapendi miradi ya mpendwa wetu MAGUFULI ikamilike au iishe ndio maana kila kukicha wanamchafua ila wewe komaa nao hivyo hivyo na wakikufukuza MAGUFULI UMOJA PATI itakufaa tena sana na nakupa pongezi kwa uwamuzi huo mgumu unao uchukuwa huo ndio uzalendo kuipenda Tanzania 🇹🇿 yetu na watu wake sio ombi bali ni lazima 👍👍🙏🙏💪💪💪

  • @karimkalyango4411
    @karimkalyango4411 2 роки тому +9

    Wallahi kweli Nchi imepata wajengaji, alisema mtanikumbuka ndio haya tunayaona. Wazir husika naona hana habar watu wemeshapiga mipesa yao. Masikini waziri mku nakuonea huruma maana upo kwenye serikal ya wapigaji pole sana mzee wangu.

    • @justiceshekalaghe5424
      @justiceshekalaghe5424 2 роки тому +2

      Waziri Mkuu unatufuta machozi. Maana wasimamizi wa karibu wamelala au wamezikwa pamoja na Magu. Piga kazi usiogope tuna kuunga mkono

    • @deogratiuskweka8488
      @deogratiuskweka8488 2 роки тому +1

      😂😂🤣🤣

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому +1

      😂😂😂

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому +1

      Nakushauri Dogo Karim,,,,kunywa maji ya kutosha vuta pumzi na kuishusha taratibu,,,ule ukojoe,,,alafu ukalale,,,Hiyo Nyongo isije ikakuua bure!!!

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому

      @@reubenkissinga5802 😂😂😂dah

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 2 роки тому +4

    Magufuli Jamani kila kitu hakiendi mbele Giza Nene 😥😥😥
    Kwa utendaji huu wa waziri mkuu hafla utasikia Katengenezewa zengwe na wasaliti wanaojifanya washauri wa karibu wa chifu hengaya. watanzania tunatakiwa kufahamu kuwa maadui wa ndani na nje ambao wanapambana kuuwa maendeleo ya nchi yetu.

  • @omarymkungwa7657
    @omarymkungwa7657 2 роки тому +2

    Nyinyi si mnajifanya wapole sasa subilini muibiwe mpaka muonbe poo

  • @yusuphutamla2426
    @yusuphutamla2426 2 роки тому +3

    Safi Sana waziri 👍

  • @alexmbalamwezi1540
    @alexmbalamwezi1540 2 роки тому +3

    We we ndo Rais wangu ulie baki Mungu akupe afya njema

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 2 роки тому +2

    Hivi certificate za kuruhusu malipo ya kazi zilizokamilika alitoa nani? Kwa nini fedha zimelipwa nyingi kuliko kazzi husika? Viongozi wetu waige boldness ninayoiona kwa Waziri Mkuu

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 2 роки тому +1

    Daah siamin kama bado kunawazalendo nchi hii maana tokea jpm atuache sijawahi kusikia kauli hizi,. HONGERA SANA WAZIRI MKUU

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому +2

    Ivi nakuona kama magufuri ivi

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 роки тому +1

    Natamani 2025 majariwa Aondoke ccm Wote twende umoja. Party ili ccm tuwaondoe Hawa waramba asali

  • @josephmuhoji3813
    @josephmuhoji3813 2 роки тому +3

    Mungu ni mwema wapo tu watakaosimama na watanzania kuwatetea asante waziri mkuu wetu

  • @abujunaidi3354
    @abujunaidi3354 2 роки тому +1

    majaliwa safi sana hakuna kuchekeana . bila kuwa mkali tanznia itachezewa sana.

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 роки тому +1

    dah kwahaya mahamuzi umetukumbusha Enzi zamakuguli tunakuombea majariwa sukumoja ushike patamu

  • @shummohammed9672
    @shummohammed9672 2 роки тому +2

    Mungu akutunze na akupandishe daraja kwa ajil yetu watanzania🇹🇿

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 роки тому

      Anafaa kua raisi wa nchi atakama umri hauruhusu achukue fomu atapata urais anafaa asilimia 110

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +3

    Asante majaliwa🙏🙏.
    Nauliza tu uyu makamo yupo wapi jamani maana sioni pilika zake😀

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 роки тому +1

    Waziri mkuu, kiongozi wako ndiyo anakwamisha, waziri mkuu wewe ni mzarendo, unazofanya nao kaz ni mafisadi

  • @dicksontimoth4297
    @dicksontimoth4297 2 роки тому +1

    Angekuwepo Magufuli ahiiiiiii wangekiona cha moto

  • @josephkanyogoto3787
    @josephkanyogoto3787 2 роки тому +2

    ...mzee ina2pa moyo sana unafaa kua rais

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 роки тому +3

    R.i.p Jpm😭😭😭😭😭🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @georgegidion6977
    @georgegidion6977 2 роки тому +4

    Safi sana Wazir wetu uko sahihi Mungu akupe nguvu, endelea kufuatilia na bado kuna madudu mengi tu yanaendelea mfano kiwanda cha nyama mkoa wa Geita kimetelekezwa na kubaki gofu la nyasi na majoka ....marehem aliacha mradi huo uko mwishoni kukamilika lakin alipotutoka tu ndo kikaachwa kama kilivyo

  • @jaffarymnaro566
    @jaffarymnaro566 2 роки тому +1

    Jicho la wanyonge lililo baki tz kasim majaliwa kazikazi . Mama anatengeneza move

  • @medardnhungwa685
    @medardnhungwa685 2 роки тому +3

    asante majaliwa tumekuelewa sana baba

  • @robertwilson-ik2px
    @robertwilson-ik2px 2 роки тому +3

    Safi sana Waziri Mkuu

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 2 роки тому +1

    Safi sana mzee wakizingua sukuma ndani😎😎😎

  • @twisileanania3870
    @twisileanania3870 Рік тому

    Mungu akubariki.kwa.kazi.nzr.unayofanya.na.wa.nchi.tunakupenda.sana.na.uendelee.kukumbuka.mameno.mpendwa.wako.mangu.mlivyokuwa.mnachapa.kazi.kwa.ajili.ya.wanyoge

  • @kuyimabele7546
    @kuyimabele7546 2 роки тому +3

    Safi sana waziri mkuu tunahitaji viongozi wa namna hii God bless you

  • @jackmsuya6842
    @jackmsuya6842 2 роки тому +2

    Ubarikiwe prime

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 2 роки тому +1

    Woyooo Asante mweshimiwa walijuwa tz shamba la bibi

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 роки тому +2

    Kuna viumbe vya ajabu SANA yaani havina woga na PESA za serikali ☹️☹️☹️☹️🙌🙌🙌

  • @refandas
    @refandas 2 роки тому +3

    Congratrations Mr kasim

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 роки тому +2

    Duh ...mungu wangu...

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 2 роки тому

    Majaliwa baba, tulikupendekeza kuwa raisi baada ya kifo cha JPM ila katiba ya nchi hakuruhusu. 2025 jiandae tunakurudisha kwa kishindo Mama aende Hollywood rasmi akawe star wa Peter.

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 2 роки тому +2

    Baaada tu ya mzee baba kufariki,niupigaji kwenda mbele😡

  • @gracemachege3817
    @gracemachege3817 2 роки тому +2

    Majaliwa mungu akulinde, unatufuta machozi,

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 2 роки тому +2

    Leo umerudi kuwa pm tulie mjua

  • @rashidmwinyi6360
    @rashidmwinyi6360 2 роки тому +3

    Sometimes I wish I could be born in Tz when it comes in National Projects Resolutions. Tz has big part of perfect leaders

  • @imanicharles8538
    @imanicharles8538 2 роки тому +1

    Majaliwaa sjuh tufanye nn uwe raisi😭

  • @mrmanywele446
    @mrmanywele446 2 роки тому +1

    Mama akiweza kukutumia ipasavyo naamini mambo yataenda hawo wengine wanampotosha mama

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 2 роки тому +2

    Wewe jamaa endelea kununua mioyo yetu aina hiyo ya uongozi ndio msimu wake huu.chukua form next time.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому

    Tuseme ukweli ...JPM...angekuwepo haya yangetendeka...Mama nakuomba uvae viatu vya JPM... Tumbua watu...nchi hii inataka hivyo ili Mambo yaende vizuri

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 2 роки тому +9

    I miss JPM😭😭

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 2 роки тому +1

    Kwa mara ya kwanz naweza sema kaz iendeleee

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 2 роки тому +2

    Rais ajae huyo?

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 роки тому +1

    Kongole Sana Kasaim Majaliwa mama playing the movie

  • @nelsonmathayo8602
    @nelsonmathayo8602 2 роки тому +1

    We ndo unaupiga mwingi achana na wale kazi kutuona mazuzu tu

  • @teenah1759
    @teenah1759 2 роки тому +1

    Mama yeye safari tu za nje 🤔

  • @paulomartin5715
    @paulomartin5715 2 роки тому +1

    safisana raisi mtarajiwa

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому +2

    Kazi iendelee

  • @georgegidion6977
    @georgegidion6977 2 роки тому +3

    Tunaomba wazir ufuatilie mradi wa kiwanda cha Nyama mkoa wa Geita kimetelekezwa na kubaki godown la nyasi ...wananchi wa mkoa huu wanakutegemea na Mungu akulinde ktk kaz nzr unayoifanya kufuatilia miradi ambayo haitekelezwi na viongoz wala pesa za wananchi, wakat huo wananchi hatuna hata unafuu maisha magum kila kona...

  • @mambachagulaga7234
    @mambachagulaga7234 2 роки тому +2

    Mungu akulinde sana waziri mkuu, akupe ujasiri zaidi, tuna imani na wewe! Unajitahidi sana,

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +1

    Safi sana Mh Waziri Mkuu ila kuwa makini Mh Waziri unapowafosi wafanye kazi wasije wakatutegea kitu kwa hasira kitakacho reta maafa siku za usoni chonde chonde🙏

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому +1

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu kubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kumuongoza kumsimamia kumlinda na kuzidi kuimalisha afya yake waziri wangu mkuu ewe mwenyezi MUNGU

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 роки тому

    Serikali kazeni buti. Mkicheza na hao watu hamtafika. JPM alipenda kusema tunachezewa mno. Mkijifanya wapole mtavuna mabua. Achacheneni na safari za nje...simamieni miradi. Hii ni nchi yetu.

  • @ommyshopangi9543
    @ommyshopangi9543 2 роки тому

    Nchi imerudi hatua Mia nyuma…. Mama Yuko bzy na Royal tour…akaombe mikopo baadae…..Cha ajabu mikopo yenyewe inafanyiwa missuse……wanatumia nguvu nyingi kupinga kazi Za rais aliepita,,,,hatupingi kazi kwa maneno bali tunapinga kazi kwa kazi…..Katiba Mpya yahitajika…..

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 роки тому

    Safi kabisa . Wanataka kutupiga kidole asee. Wanajisemea TZ JINGA SANA. sasa hapo wamekutana na kali yao . Ukinyang'anywa passport ni kama umekatwa miguu asee. dwu!

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 2 роки тому +2

    Pongezi kwako w.mkuu,Hapa kazi tu kazi iendelee

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu3963 2 роки тому +1

    Safiiiiiiiiiiii boss

  • @paschaljunior3478
    @paschaljunior3478 2 роки тому

    Nakukubali sana WAZIRI MKUU, copy ya JPM unajua kazi baba, huna baya...Big up

  • @adammj6258
    @adammj6258 2 роки тому

    Dahh!! Hivi ndivyo tunavyofanyiwa waafrika,unawapa kazi halafu wakishachukua pesa wanauza kampuni hata mradi wa mwendokasi na Barbara ya kilwa walitufanyia hivihivi,,, Hongera WM kutusimamia

  • @danielmandia7447
    @danielmandia7447 2 роки тому

    Acheni ufula. Jpm.jpm. jsb Basi. Sio kila kitu anasimamia rais hicho anachokifanya Mahalia niwajibu wake na ndiomaana yupo hapo

  • @CyimSky
    @CyimSky 2 роки тому

    Nimeona wakorea warivyo nyongea hapo 😂😂😂 walijua yule mama tutamkazia tunasepa kwa bahati mbaya wamekutana na mwanaume mwenzao

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 2 роки тому

    Duh.iwe ni mkakati endelevu mtu ukija passport yako inachukuliwa wanaleta uhuni hao

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 2 роки тому

    mama anacheza film tu yaani samia hafaiiiiiii MAJALIWA WEWE ULIPASWA UWE RAIS