Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Leo naangalia movie sina raha😢😢kweli dunia si kitu Mungu atujaaliye mwisho mwema
Amin amin amin
Ameen yaa Rabbih
Allahumma amiin
Kwel
Tupo wengi my pole yetu aminnn 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Dah kariaakoo 😢😢😢tuwaombe wenzetu Mungu atupe mwisho mwema
😢😢😢🤲🤲🤲🤲
Amin
Pray for kariakoo 😢😢
🙏🙏😭😌
Mkuu kazi za watu na kariakoo Kuna uhusiano Gan
🙏🙏😭😭
@@SeniorLeewisinashangaza sana yan
@@jeymaajeysan6088 Kwan Post za Millard huzioni
Imekaa poa sana!!!!!!!
Nakukubali sawa mdogo wangu mungu akupe maisha mrefu
Leo wakwasa from Mozambique gonga
Mzee tuletee na zingine maan upo vizuri san kwenye recap za nigeria mjomba✊✊.....
Tambara kali ✊
Naomb moja Maurice sam napenda unavotafsiri❤
Yani wewe ndo top wa hzi Mambo 🔥🔥🔥
Me wa mwisho naomben like zangu
Waooo wakwanza 🎉
wiki ikipita sijasikia mipinduko nakosa ata amani ya kuingia mtandaoni lakn kwa hii wiki mwenyezi mungu atupe mwisho mwema kwa wependwa wetu kaliakoo
Wow nzuri sana ❤❤
Wa Kwanza Naomba likes Zanguuuu
Ufanye nazo nn
Nataka nipige nazo pichaaa
@@louiskennedy528 😁aya
Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana 🎉🎉
Nangalia hii mipinduko jamaniii tuliimis Ila kwa leo sina raha na msiba wa kariakooo 😢😢😢mungu hatupe subra 😢😢
Nyie bongonyoso 😢
Aisee mipinduko.....after distance séparation..... nimeipenda....all in all pray for kariakoo
NZuri sana
Nimekuwa nimekumiss konka 😊
Huo mkono mwamba katukosea sana 😊😊
Unyama sana hii kazi
Nimekuja huku kutoa stress jamn kaz nzur 🙌🙌
Let pray for Kkoo Zee la Kutune Mbona Kam saut imechang umeanza kul vitu Eeh😎😎
Good job bro🎉❤❤
Mbona siku hizi dj unatucheleweshea sna na unajua kama uñasàut nzuli sna na unajua kuipangilia vizuli nakukubali skonka
Wa kwanza like zenu
Cjui kwann kashindwa kuushusha mkon hapo.We konkaa hataryy 😂😂😂
Neno mipinduko huwa linanimaliza sana😂😂😂
Bi la maana sana 😂😂
😂😂
Aloooooweeeeee🎉🎉🎉🎉 like zanguuuuu
Wakwanza kutoka YEMEN 🇾🇪 nukubali sana Tanzania 🇹🇿
Acha uong ww unatok yemen 🇾🇪 hipi 😂😂
@IssaAbdallah-z7h kwaiyo wewe unabishana na mm niliopo Nipe email 📧 yako nikutumie picha uone
@@FisiTv-s9c kwaiyo wew myemen
@@IssaAbdallah-z7h😂😂😂jamani
@IssaAbdallah-z7h Amna kaka mm sio myemeni mm ni MTanzania pure kabisa sema sasa utafutaji umenileta 🇾🇪
Umetisha sana kaka, japo kuwa unachelewa skuizi kuachia kazi zako sema uwezo upo pale pale 🇹🇿🔥🔥#Pray For Kariakoo 😢😢
Nimeumia basi 😂 why ex arudiwe why 😂😂😂 hii movie hatufundishi mema 😅🙌
😂😂😂hata harmonize ameimba Kuwa hatakama mapenzi yamekwishwa yanabaki Ni mazoea
X harudiwi😂😂😂
Sijapendaa ata Kam Sina mapenz ndo nikae njeee
Ifanyie RECAP "BAD GENIUS"
Ee mungu utujalie mwisho mwema
Team @,izkonka like zangu
Kifo ni cri akuna aijuae mungu tupe mwisho mwema pray fOr kariakoo
😅😅😅jilani akauchuna
Iv hawa hawafanyagi kwelii mapenziii🤸🤸🤸
Jmn sikuizi una chelew sana kutupa movie me toka juzi nakazi ya kuchungulia tyu km umeweka movie😢😢😢Daah Asante kwa manyanyaso😂😂🙌
Bro unajuwa san mungu akupe umri mrefu 🙏🙏🤲🤲🙌🙌
E7 bana eti ashushe mkono kidogo.I like your job i come from Burundi
Oya mzigo umetulia aise Big up Bro
Mkono usingeshuka zaidi yaapo Kaka mana ajawa mke uyo🌝🌚
Ingekuwa balaa na nusu
ahahahaha alishindwa kushusha kwa sababu hajamzoea kaka mana so rahisi
Me ningeashusha bhn😂
@e7bits_tz ahahahaha sawa maana sahiv wadada weng hawamaind ukiwashika
@e7bits_tz sema nin bro nakukubali kinoma an sijawah pinga kaz zako ni noma an
@MANYARATV usiwaze mana napenda kusapot watanzania wanaojaribu kupambana 📌
@MANYARATV nimejaribu ad kwa herufi kubwa kiongoz yanakuja mamb ya dini tu
Tunaishi kuna kufa bwana kisingekwepo kiiifo 😢
🎉🎉🎉W kwanz mmmmwah
Keep moving forward
Ooooooooooooo wakwanza mm apo zigataia
Jamani mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unachelewa sana saiz kaka
Sema konkaa unajuwa ku set movie japo kwa ufupu lakin mtu anaelewa kinomanoma
Nakupenda sana ❤✨
Nice Broo❤️🙌Polenii Kwa Msibaa 😩
🔥🎉🎉So impressive
Wa kwanza
#bamiza konka🎉
Ukiingia INSTA ni Full kulia Tu Tuwaombee Ndugu Zetu Wa Kaliakoo Jaman
Napenda movie ambazo yupo sandra
Mungu awafariji ndugu zetu wa kariakoo
Leo naangalia sikosw kabc pumu zinanisumbua sana mniombee nduguzang😢
Pole sana, ndugu Rosemary
pole sana mpendwa Mungu akupe Afya Njema popote ulipo
Niwe mkweli sijapenda walivyo rudiana Bora Ange Baki na ruby
Hii bhana imeisha vibaya sijapenda
Cijaipenda kabsa
Ifike muda wasoma coment tuwe tunalipwa😂😂😂
We ndoumeongea 😂😂
Nmewahi leo ckuchelewa 😂😂wpi team E7bits konka
Ni unyama tu🎉❤
Sijui kwanini alishindwa kuuushusha mkono kwa chini kidogo
Mbaya sanaaa
wa kwanza 😅😅😅
Nikiangalia akili ipo kariakoo😢
Mimi naomba like zangu❤❤❤❤
Like mnaweka hapa nawatunzia😂😂
you are the best mzee
imeisha vibaya
POLENI NDUGU WATANZANIA KW BALAA KUBWA
Nataman wangetuonyesha chanzo cha ugomvi
🔥🔥
Nice movie ❤❤😂😂😂😂
Sasa kwanini jirani awe nzuri namna hiyo 😮😮😮
Apoo kwenye uzito kiunonii😅😅
Haka ka Ruby huwa kadhuri kweli😊
Ruby MTU na Nusu❤
Wanaume hapan kwakweli 👐
Ndugu ruby😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Niliokota milion moj Jan wazee😢
Play for Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kaka we sio mamba we nikibongo
Watot wa dar mupo!!!
Mungu mwema
Nzuri mno
Ni yawachache
Dah kwanini arufdiane nae 😢me sijapenda
Unyama sana
😂😂😂😂😂😂thx dj
Mimi apa🎉🎉
Ovyo kweli kweli😅
😢😢😢pray for k/kooo😢😢😢
Izziii
Leo naangalia movie sina raha😢😢kweli dunia si kitu Mungu atujaaliye mwisho mwema
Amin amin amin
Ameen yaa Rabbih
Allahumma amiin
Kwel
Tupo wengi my pole yetu aminnn 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Dah kariaakoo 😢😢😢tuwaombe wenzetu Mungu atupe mwisho mwema
😢😢😢🤲🤲🤲🤲
Amin
Pray for kariakoo 😢😢
🙏🙏😭😌
Mkuu kazi za watu na kariakoo Kuna uhusiano Gan
🙏🙏😭😭
@@SeniorLeewisinashangaza sana yan
@@jeymaajeysan6088 Kwan Post za Millard huzioni
Imekaa poa sana!!!!!!!
Nakukubali sawa mdogo wangu mungu akupe maisha mrefu
Leo wakwasa from Mozambique gonga
Mzee tuletee na zingine maan upo vizuri san kwenye recap za nigeria mjomba✊✊.....
Tambara kali ✊
Naomb moja Maurice sam napenda unavotafsiri❤
Yani wewe ndo top wa hzi Mambo 🔥🔥🔥
Me wa mwisho naomben like zangu
Waooo wakwanza 🎉
wiki ikipita sijasikia mipinduko nakosa ata amani ya kuingia mtandaoni lakn kwa hii wiki mwenyezi mungu atupe mwisho mwema kwa wependwa wetu kaliakoo
Wow nzuri sana ❤❤
Wa Kwanza Naomba likes Zanguuuu
Ufanye nazo nn
Nataka nipige nazo pichaaa
@@louiskennedy528 😁aya
Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana 🎉🎉
Nangalia hii mipinduko jamaniii tuliimis Ila kwa leo sina raha na msiba wa kariakooo 😢😢😢mungu hatupe subra 😢😢
Nyie bongonyoso 😢
Aisee mipinduko.....after distance séparation..... nimeipenda....all in all pray for kariakoo
NZuri sana
Nimekuwa nimekumiss konka 😊
Huo mkono mwamba katukosea sana 😊😊
Unyama sana hii kazi
Nimekuja huku kutoa stress jamn kaz nzur 🙌🙌
Let pray for Kkoo Zee la Kutune Mbona Kam saut imechang umeanza kul vitu Eeh😎😎
Good job bro🎉❤❤
Mbona siku hizi dj unatucheleweshea sna na unajua kama uñasàut nzuli sna na unajua kuipangilia vizuli nakukubali skonka
Wa kwanza like zenu
Cjui kwann kashindwa kuushusha mkon hapo.
We konkaa hataryy 😂😂😂
Neno mipinduko huwa linanimaliza sana😂😂😂
Bi la maana sana 😂😂
😂😂
Aloooooweeeeee🎉🎉🎉🎉 like zanguuuuu
Wakwanza kutoka YEMEN 🇾🇪 nukubali sana Tanzania 🇹🇿
Acha uong ww unatok yemen 🇾🇪 hipi 😂😂
@IssaAbdallah-z7h kwaiyo wewe unabishana na mm niliopo Nipe email 📧 yako nikutumie picha uone
@@FisiTv-s9c kwaiyo wew myemen
@@IssaAbdallah-z7h😂😂😂jamani
@IssaAbdallah-z7h Amna kaka mm sio myemeni mm ni MTanzania pure kabisa sema sasa utafutaji umenileta 🇾🇪
Umetisha sana kaka, japo kuwa unachelewa skuizi kuachia kazi zako sema uwezo upo pale pale 🇹🇿🔥🔥
#Pray For Kariakoo 😢😢
Nimeumia basi 😂 why ex arudiwe why 😂😂😂 hii movie hatufundishi mema 😅🙌
😂😂😂hata harmonize ameimba Kuwa hatakama mapenzi yamekwishwa yanabaki Ni mazoea
X harudiwi😂😂😂
Sijapendaa ata Kam Sina mapenz ndo nikae njeee
Ifanyie RECAP "BAD GENIUS"
Ee mungu utujalie mwisho mwema
Team @,izkonka like zangu
Kifo ni cri akuna aijuae mungu tupe mwisho mwema pray fOr kariakoo
😅😅😅jilani akauchuna
Iv hawa hawafanyagi kwelii mapenziii🤸🤸🤸
Jmn sikuizi una chelew sana kutupa movie me toka juzi nakazi ya kuchungulia tyu km umeweka movie😢😢😢Daah Asante kwa manyanyaso😂😂🙌
Bro unajuwa san mungu akupe umri mrefu 🙏🙏🤲🤲🙌🙌
E7 bana eti ashushe mkono kidogo.
I like your job i come from Burundi
Oya mzigo umetulia aise Big up Bro
Mkono usingeshuka zaidi yaapo Kaka mana ajawa mke uyo🌝🌚
Ingekuwa balaa na nusu
ahahahaha alishindwa kushusha kwa sababu hajamzoea kaka mana so rahisi
Me ningeashusha bhn😂
@e7bits_tz ahahahaha sawa maana sahiv wadada weng hawamaind ukiwashika
@e7bits_tz sema nin bro nakukubali kinoma an sijawah pinga kaz zako ni noma an
@MANYARATV usiwaze mana napenda kusapot watanzania wanaojaribu kupambana 📌
@MANYARATV nimejaribu ad kwa herufi kubwa kiongoz yanakuja mamb ya dini tu
Tunaishi kuna kufa bwana kisingekwepo kiiifo 😢
🎉🎉🎉W kwanz mmmmwah
Keep moving forward
Ooooooooooooo wakwanza mm apo zigataia
Jamani mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unachelewa sana saiz kaka
Sema konkaa unajuwa ku set movie japo kwa ufupu lakin mtu anaelewa kinomanoma
Nakupenda sana ❤✨
Nice Broo❤️🙌
Polenii Kwa Msibaa 😩