MCHIZI ANAMUACHA MKE WAKE ANAENDA KULA MAKAHABA WA KILA AINA | INAUMIZA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 623

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 Місяць тому +191

    Mashabiki wa yanga gonga like twende wote pamoja 😮like zenu

  • @Mr_movie255
    @Mr_movie255 Місяць тому +41

    Mchiz unajua ila unatuwek san ndo shid ila iyo styl uliyokuja nayo salute mbaba

    • @Pidemontana
      @Pidemontana Місяць тому +4

      Unyama sana Mzee ila anatuweka mudawote tunachungulia account vp mwamba kapost au miyeyusho t 😂

    • @BettyKyando
      @BettyKyando Місяць тому +2

      nkadhn mm tu nd huwa nachungulia😂😂😂for shoo inachukua mud kutuletea

    • @Rouqkhaen112
      @Rouqkhaen112 Місяць тому +2

      Huu mzgo wa moto mzeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @HildaNgalomba
      @HildaNgalomba Місяць тому +4

      Tupo weng jmn kila siku tunachungulia Amna kitu😅😅😅

    • @HilaryMohamed-ek1yf
      @HilaryMohamed-ek1yf Місяць тому +2

      Nikajua ni mimi tu😢

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Місяць тому +8

    Aisee watu wenye miwili kidogo huwa mmebarikiwa sanaa sauti kazi nzuri keep it up

  • @yassermessi1041
    @yassermessi1041 Місяць тому +19

    Ngoma inaanzia mjini barabarani 😅😅 konka 🎉🎉

  • @ZainabuNassor-j8s
    @ZainabuNassor-j8s Місяць тому +2

    Huyu kaka anajua mpaka anajua tena mashallah kuna wengine wanatafsiri kam wamekula vyula 😂😂😂unakuta movie nzur ila mtafsiri sasa utacheka😂😂😂

  • @jovinmahende
    @jovinmahende Місяць тому +21

    😳Akakutana na post ya millard Ayo😂😂unatushushia kaz bora kila sku✅

  • @rawlentmaneke3569
    @rawlentmaneke3569 Місяць тому +5

    More love kwa izkonka usisahau kesho kupiga kura

  • @RIZOSela
    @RIZOSela Місяць тому +16

    Gonga like apa wakwanza mm

  • @aminanuraaminanuriaNassibu
    @aminanuraaminanuriaNassibu Місяць тому +1

    Ata mim pia nimependa san hii mov❤❤❤❤ nimejifinza kitu alihmdulillah 🎉❤

  • @Dogojastincomedy
    @Dogojastincomedy Місяць тому +17

    Yani wewe uko pekeyako ase mana unaweza sana
    Ukiwa unaadisia hakili yamtu kuwa inaama mazima kwasababu wewe ni noma sana yani unasaunt ya peke yako wegine uku anakuwa kama wamemeza biyazi😅ase siwatukani apana ila nawambia ukweli waache iyi kazi wa kuwachie wewe❤🎉🎉🎉 ju wewe nimtu kuwa unaedana na movie 😊🎉🎉

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  Місяць тому +6

      Shukrani sana asee🙏

    • @clemensiadaniel8479
      @clemensiadaniel8479 Місяць тому

      ​@@e7bits_tzKazi nzuri sana ila now unachelewa sana

    • @vivianoseverian163
      @vivianoseverian163 Місяць тому

      ​@@e7bits_tz nakubali sana njisi unavyo toa story line na unavyo narrate men ur killing it, inshort unanikosha . Personal nilikuw sifagili hiz recap za mov kwa kiswahili but baada ya kukuta clip yak moja tiktok kilichoendele nikuw fan wako mazima keep it up👊.

    • @ReinaMacjoy-f1v
      @ReinaMacjoy-f1v Місяць тому

      @@clemensiadaniel8479 sio kaz rahis tumpe maua yakee

    • @Twizzlerswahili
      @Twizzlerswahili 16 днів тому

      ​@@e7bits_tzkaka nisaidie no yako

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule Місяць тому

    Sema Konka Huna Mpinzan Kwa Sasa Unajua Sana Weeh msenge yani Kama move Isiishe Mda Wote Niwe Naangalia ❤❤❤❤❤

  • @Rosesamwel441
    @Rosesamwel441 Місяць тому +2

    We mkaka unafanya bando langu liishe❤❤🎉🎉🎉🎉unamaua yako 🌹🌹🌹🌹🌹

  • @ElizaLikolika
    @ElizaLikolika 16 днів тому

    Asante sana kwa movie nzuli sana akika nimejifunza vingi sana 🎉🎉🎉🎉þ

  • @AnuniOmmy
    @AnuniOmmy Місяць тому +2

    Nimeoenda Sana ❤ Sana Sana natamani itoke nyingine kama hiyo inawezekana ama

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Місяць тому +5

    Wanasimba tujuane apa from Dodoma bungeni mapemaaaa sanaaaaaaa

  • @BeckerJunior28
    @BeckerJunior28 Місяць тому +5

    Kooonkaaaaaaaaaaaaaaaa zee la kutune zee la town 🎉🎉🎉 Mpemba mmoja apaaa from Pemba ❤❤

    • @yussufmohdjuma5357
      @yussufmohdjuma5357 Місяць тому

      Pemba sehem gan mana hata moe mwenyew ni mpemba kutoka chake chake msingini

  • @innocentmushi2721
    @innocentmushi2721 Місяць тому +1

    Kaka chukua maua yako unajua sana keep it up bro always nakukubali sana kaka💯 All the wa from Chuga

  • @Beyonceqme
    @Beyonceqme Місяць тому

    Wow yaani wewe ni handsome 🫣🫣🥰duu nimefurahi kukuona izkonka mzee wa mipinduko 🫣🙈🥰🥰😊 more love ❤️ 😊

  • @EllenJacobo
    @EllenJacobo Місяць тому

    Aisèee kumbe ni ww kwamala yakwanza nakuona nakupenda sana sa❤❤❤ nimefulahi sana kukuona

  • @josephkiria-n8x
    @josephkiria-n8x Місяць тому

    Izkonkaa unajua mpaka basii mwanetuu talented

  • @mohamedlegacy255
    @mohamedlegacy255 Місяць тому +3

    Kiukweli story ni nzuri sana. Ngoja nikaitafute full movie niiangalie.

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Місяць тому +8

    naombeni tu mnitakie happy birthday to me please 🙏 nawa penda

  • @BintalyB
    @BintalyB Місяць тому +3

    Nmewahi leo jmn kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @HusseinMbimbi
    @HusseinMbimbi Місяць тому

    Please naitaji tafsiri ya..Bake me a heart

  • @Catherine-y2e6p
    @Catherine-y2e6p Місяць тому

    nifundishe sauti ya kutangaza maana natana niwe mwandishi wa habar nimemaliza clip zako zotee❤❤❤❤

  • @Rukiarukyruky-zj8nk
    @Rukiarukyruky-zj8nk Місяць тому +3

    Baby wang konka nimependa macho 😍😍

  • @katarieba
    @katarieba Місяць тому +2

    Hii idea ya mwishoni unatuonyesha kabisa mwenyewe ni 🔥🔥

  • @modianorashid4744
    @modianorashid4744 Місяць тому +8

    nakubali kaka🎉

  • @JudithMalisa-r3v
    @JudithMalisa-r3v Місяць тому +6

    Wakwanza leo naomba like zangu nizile

  • @MarthaMwakilasa
    @MarthaMwakilasa Місяць тому

    Nimejifunza kitu Kwa hii story, hongera Konka🎉

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Місяць тому +5

    Saa saba ucku tupo pamoja babaahh zee la town

  • @tausiJaphety
    @tausiJaphety Місяць тому

    Asanteh❤

  • @QuteZani
    @QuteZani Місяць тому +1

    Inasikitisha sanaa😢😢

  • @kevooelisante
    @kevooelisante Місяць тому +3

    Umetisha sana🎉🎉🎉🎉

  • @ShirimaCatherine011
    @ShirimaCatherine011 4 дні тому

    So sweet

  • @MBUGABOYTZ
    @MBUGABOYTZ Місяць тому +4

    Kazi ya moto sana mzee

  • @VailethJohn-u3y
    @VailethJohn-u3y Місяць тому

    Wanawake wangap wanaweza kupambana kwaajil ya wanaume wao❤❤🎉

  • @nakshymrembo2874
    @nakshymrembo2874 Місяць тому

    Kumbe mwenye sauti nzuri hivi n kadogodogo😅😅😅😅😅ww pia nakupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 One love broo from the capital city of Africa ❤❤❤❤kenyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @Halima-f7z
    @Halima-f7z Місяць тому +5

    Nmefika dk ya tatu lkn hao watu mhh mmenishinda tabia watu wa izkonka😂😂

  • @NzeyimanaJeanrubain
    @NzeyimanaJeanrubain Місяць тому

    Bro unaweza kazi mimi ni fans wako nakubali kazi yako salut 👌👌👌

  • @nassoloabdala8836
    @nassoloabdala8836 Місяць тому

    Umetisha

  • @veronicajanuary8583
    @veronicajanuary8583 Місяць тому

    Apa mwsh ulivojitokeza nimeipenda I see 'journalist for sure

  • @naftalygodfrey8153
    @naftalygodfrey8153 Місяць тому

    Kazi nzuri Sana Mwanangu

  • @MaryamomaryShaban
    @MaryamomaryShaban Місяць тому

    Ila hii movie imechezeka bhn jumlisha na sauti ya msimuliaji ndo usiseme hongera sana broo

  • @AishaOmary-c7r
    @AishaOmary-c7r Місяць тому

    ❤❤❤❤❤ iko good amar brooo uko vizuri kwa voice 👌

  • @ClairiaMugisha
    @ClairiaMugisha Місяць тому

    Iz konka tunakupenda unavyo tafusilia 🎉❤❤❤

  • @mussa4413
    @mussa4413 Місяць тому

    Salute ☑️

  • @ShadhiliSadick
    @ShadhiliSadick Місяць тому

    Unaweza sanaa brooo

  • @mwelukioko7982
    @mwelukioko7982 Місяць тому

    Nimefurai sana kukuona leo mwisho wa movie love ❤ kutoka kenya 🇰🇪

  • @kautharomy
    @kautharomy Місяць тому

    Huyu mwamba anajua mpaka anakera walai ❤❤

  • @ShakilaSelemani-f8y
    @ShakilaSelemani-f8y 3 дні тому

    Mashalla

  • @phylumphyzyn9839
    @phylumphyzyn9839 Місяць тому

    Nmependa ulichokiongeza mwishoni mwa stor big up broah💪

  • @cyriaquemagenge7247
    @cyriaquemagenge7247 9 днів тому

    Kali sana mwanangu nakupa 100%

  • @AloyceLaulence
    @AloyceLaulence Місяць тому

    Aww the voice🙌😁,,bonge ya. Movie

  • @GabrielDavis-ld1pk
    @GabrielDavis-ld1pk Місяць тому +9

    Wa 7 naomba like Ila kati yenu nani anamjua anko jay kama njo Mara yako ya kwanza kiskia nenda UA-cam search anko jay alafu subscribe anasimulia simulizi nzuri sana

    • @HaikaMangare
      @HaikaMangare Місяць тому

      Nitajie simulizi nzuri zilzokupa mafunzo ya maisha na Mimi nikajifunze Dear

  • @BeniteBen
    @BeniteBen Місяць тому

    Napenda kazi yako 🇨🇩🇨🇩♥️

  • @frankrobertkomba2318
    @frankrobertkomba2318 Місяць тому

    Your the best

  • @Dc-mangifique
    @Dc-mangifique Місяць тому +1

    Unajua sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @halfanadam765
    @halfanadam765 Місяць тому

    Kali sana

  • @SubiraJuma-w8e
    @SubiraJuma-w8e Місяць тому

    Unyamaaa Sanaa inafunza Sanaa hiii🙌🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯💯, E7BITS 💯💯💯

  • @zakaliaturuka
    @zakaliaturuka Місяць тому

    Kaz zimekupata mtu sahii lakn shida konka unatuweka sana Aise Yani Sasa mbka so pouwa Kaz zuri tunazisubilia sana kalibia mwezi

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 29 днів тому

    Waooooh una sauti nzur kaka kazi yako ni nzur

  • @NazilisalumukadeweleNazilisalu
    @NazilisalumukadeweleNazilisalu 15 днів тому

    Nakubali sana

  • @BettyKyando
    @BettyKyando Місяць тому

    True ❤wins always..🎉At Izzz u do good bro😊

  • @abrahmanali9970
    @abrahmanali9970 Місяць тому

    safi kabisa

  • @RichEngineer-b2q
    @RichEngineer-b2q Місяць тому +2

    Mwanangu sometimes najifariji na movie when I'm stressed

  • @MicBarua
    @MicBarua Місяць тому +1

    🔥🔥🔥nakubali kazi zako lkn watueka sana walai

  • @estherlugina4231
    @estherlugina4231 Місяць тому

    Huu ni upendo wa kweli true love

  • @emmanuelabiud5867
    @emmanuelabiud5867 Місяць тому

    Movie Nzuri sana, leo na mm nimekuona bro, naskiaga sauti yako tu... saf sana kaka

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 Місяць тому +3

    Uchee Montana nampendaga sanaa konka huna bayaa🎉

  • @JacklineWambura-w9h
    @JacklineWambura-w9h Місяць тому

    So good ❤❤

  • @RatifaMusa-c5i
    @RatifaMusa-c5i Місяць тому

    Kazi nzri Sana❤❤❤

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt Місяць тому

    Siwezi ishi bila LANKUNLEE nampenda ❤wallah

  • @ZalhaMbarka
    @ZalhaMbarka Місяць тому +1

    pambe❤❤❤

  • @sr.january7141
    @sr.january7141 Місяць тому

    noma sanaa

  • @SwaumuMsisi-t7l
    @SwaumuMsisi-t7l Місяць тому

    Unajua sana we kaka 🎉🎉🎉🎉

  • @mushi6879
    @mushi6879 Місяць тому

    Huu mzigo ni wa 🔥🔥🔥🔥🔥. Ila hayo n mapenzi ya filam kk

  • @malexlameck6503
    @malexlameck6503 Місяць тому +3

    Nipeni like zangu Mimi ndowakwanza kwa comment ❤❤

  • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
    @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m Місяць тому +3

    Yaani Amara ni kama izkonka alie nisumbuaga myaka miwili za nyuma😮ningekua mimi nisinge msamehe sijali watoto Wala mikuno nikuachana tu.😊😊

    • @michaelbalele929
      @michaelbalele929 Місяць тому

      Wewe at sura yako inaonyesha unaroho mbaya🤨

  • @ShedrackRajabu-g1c
    @ShedrackRajabu-g1c Місяць тому

    dj uko sahihi ❤❤❤ nimeipenda sana hii movie

  • @NatalieIsack
    @NatalieIsack Місяць тому

    Nmebarikiwaaa mnoo kukuonaaa ....

  • @jamesvunjabei1333
    @jamesvunjabei1333 Місяць тому +2

    Asanteeee sana😂😂

  • @MozaMmoleca
    @MozaMmoleca Місяць тому

    wow leo nime kuona kweli❤

  • @LilyKiwia
    @LilyKiwia Місяць тому

    Yaani ww kaka unajua mpak unajua tena🎉🎉🎉

  • @LovenessJamesi
    @LovenessJamesi Місяць тому

    Nikajuw ni lijitu lilele jmn wew jmn kumbe kazur ivo ok siwez kuish bila ww jomon🎉

  • @MossiSharmallamossi
    @MossiSharmallamossi Місяць тому

    Nakupendaga saaan kaka yng unajuwa upewe mauwa yako 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 Місяць тому

    Unyama sana asee

  • @PrinceMalulu
    @PrinceMalulu Місяць тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️nakupendaga bure sauti yako tu

  • @CuteZash-m4r
    @CuteZash-m4r Місяць тому +1

    Wakwanza mm kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🎉

  • @RhaeemarRhaeema
    @RhaeemarRhaeema Місяць тому

    Nakupenda

  • @Gequearmando
    @Gequearmando Місяць тому +1

    Unyama sana mwamba

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u Місяць тому

    Kwl kbx alipambania mume wake❤

  • @DarleineEugènie
    @DarleineEugènie Місяць тому

    Ni tamu saaaaaana kabisa ❤❤❤

  • @DanielDanyoBwe
    @DanielDanyoBwe Місяць тому

    aujawah kuyumba kaka @izkonka mv ina stor nzuri sana ila wanawake kama awo niwacha mnoo kaka...🎉

  • @HusnahMansour
    @HusnahMansour Місяць тому

    Ahsanteee nzur

  • @vivermessi6699
    @vivermessi6699 Місяць тому

    Movie nzurii sanaa jaman nmeipendaa❤

  • @lulupius62
    @lulupius62 Місяць тому

    Akii we ni mu handsome 😊
    I love you

  • @mackmgaya8808
    @mackmgaya8808 Місяць тому

    Ikopoa sana big up!!!

  • @NicelyTinuga
    @NicelyTinuga Місяць тому

    @iz konka mbn mdogo hivo jmn sauti yako mashallah 🎉

  • @BeatriceMulwa-ps9gj
    @BeatriceMulwa-ps9gj Місяць тому

    Wow imekua zuri