MREMBO MLOKOLE APEWA KAZI YA KUBADILISHA TABIA YA MUHUNI | FULL MOVIE
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Movie Name ; LOVE MANDATE
Year :Dec 13, 2023
Genre : Drama
Starring: SANDRA OKUNZUWA, MAURICE SAM, CHIOMA NWOSU
FULL MOVIE GO AND CHECK AT / @SANDRA OKUNZUWA TV
MOVIE LINK CLICK HERE
• LOVE MANDATE - SANDRA ...
⚠DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
IF YOU FEEL YOUR RIGHTS ARE VIOLATED
PLEASE EMAIL ME AT "ramadhanramadhan619@gmail.com"
AND I WILL KINDLY TAKE DOWN THE VIDEO.
#chapamedia #chapamediaplus #movie #tanzania #film #kenya #Recap #zanz
HI Movie imetafsiliwa kwa maneno ya KISWAHILI ili watu wengi watazame na wafurahie movie Hii kwa Lugha wanayoiyelewa vizuri,
mfano TANZANIA, KENYA, ZANZIBARI, na nchi nyengine nyingi ndani na nje ya africa.
Hii pia ni faida kwa wahusika wa filamu inaongeza idadi ya watazamaji baada ya kuiyelewa kwa maelezo ya kiswahili kutoka kwetu chapamedia & chapaMediaPlus
Nina mpendaga sana uyu Kaka ninatamani Siku moja nimu tazame mimi nishabiki wake saaaaana
Njo happy sasa kwakweli mtu habadilishe mtu ni Mungu ndiye anabadilisha
Kak namkubali San
Naombni like tatu jmni nimewahi
Uwonimtego mungu ndiyeanae mbadilisha mutu siokwasitaili iyo
Kweli hio
Sio namna hio
Huyu dada mvumulivu Sanaa ❤
Upewe maua yako🎉🎉🎉🎉 dj uko vzur🎉🎉🎉🎉
Leo nafurahi san mwamba ananichezeya vizuri naipenda san hii movie
Kazi nzuri sanaaaa❤
Nmechekaa sanaaa mwanangu bonge la tambaraaa
Unaweza man
Asee pend san uyu mkk😂😂😂😂😂
Jamaaa anavishawishi vikali aiseee
Hii story nimeipenda sana 😂😂🎉🎉🎉
Jaamaa yupo vizuri sn anajuwa mbona ❤❤❤
@@KhamisMtwana Asante sana kaka
Hzh hongera kazi njema❤❤❤
Kazi nzuli sana
Wanasemanga tambua njia zako kabla ya kukubali mwenendo
Oy hii Kali man nimeipend❤❤❤
Wow movie imeweza tamu kweli
Nimejikuta nacheka kama mwehuu 😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu miyee eeeeeeee jamani
napeka uyu kk bb sana.
Butamu saana kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aisee mependa sna hii,ukuu wa mung hudhihirika wakati mtu anapokata tamaa,ni swala la muda
Jiwe lililowashinda waasi 😂😂😂❤
Nyie hii history yangu full uwiiii aisee sitasahau nilipoijiwa na baba wa mtu akilia nikamtoe mwanae kwenye ulevi
Ulifanikiwa
😂😂😂@@aishajuma18 unataka mwendelezo
@@victormkello9575 Eeeh atupe muendelezo au na yeye aliolewa🤣
Muendelezo jmn aliacha jmn
Vijana wa ovyooooo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Daaaah mwanangu umetisha kinoma
Ni tamu sana 🥰
Makini bro
Kitu cha kwendaaaaaa mzeee
Napenda sana muvi zenu natoka Kongo
Wakwanzaa nipeni like zangu❤❤
Muv
Bonjour série le temps série il est bien
❤❤
🎉@@REBEKAHAMISI
ik@@marrypeter4576
Nzuri kweli kweli
Nzuri Sana 🎉
Tamu sana
Hio nilikubali saaaaa❤❤❤ 10:53
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi nzuri
1first viewer 🏆
😂😂😂😂😂jambo Gani vilee
Daaaaaa nimeipenda sanaaa kwakwel na mvumilivu hula mbivu hongereni sanaaa
Sara kanzi nzuri
Napenda movie zako
I like clickston 🤗🤗😣😣😂😘
Natal said I imeenda❤❤❤❤
😂😂😂😂 kijana wa ovyo
Aise nzuri sana
nzur san
Sister alivopigwa kofi la tako ile anatoka nje hajaamini kama kaponea Chupu Chupu 😂😂😂
😂😂😂😂nmecheka Kwa sautiiu😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kwa kweli ajaamini yani
👍🏽
Nice movie
Uwiiiiiii
Daah huyu jamaa alikuwa classmate wangu
😂😂
Imenitoa machoz
Asaa mbona imeishia patamu na harusi hamna ahaaaaa umenikera 😀😀😀
broo chapa uko vizuri nakukubali sana yaani nilikiua nasoma ghafla nimejikuta kwenye account yako naangalia movie
Chapa mbona uwachii ricap nyingine napenda sana ricap zako.
Nyie shetani ana nguvu jmn, usipokuwa makini unaangukia dhambi. Majaribu hayana budi kuja
Tam kunoga❤
Iroho ameenda kuiokowa ime mu kiss😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Nimeipendahiyo
Nzuri
Hii kazi nzuri bro
😂😂😂😂 kweny msitar hapo, danie, wahefeso😂😂
Kaka hii movie nzima au recape
Wee mbwa una movie kali asee 😅😅😅 sasa hii haina Part 2 😂
Roho wa kumwombea😂😂😂 sas makisi kam yote😂😂😂
Uyokaka alivyo mnyakuwa nakumbeba
Nice🇩🇪
🤣🤣🤣🤣 we nisaidie tu mwenzio nakufa 🤣🤣
Hadi mwaposa anatajwa😂😂😂😂
😂😂😂😂hii ni movie
Good
Djy anajuwa kuinogesha season
Aaah jaman n nzur mno
❤❤❤
😂😂Eti nataka nikakikisi hiki kipochi manyoya sio kwamba nadanganya😂😂😂😂
@@SarahMpwehuka 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kipochi manyoa😂😂😂😂😂😂😂😂aaaaaaaah
😊😊😊😊
second viewer
❤❤❤❤❤❤❤🎉
😢😢niatari
Oyaaa sara kawa zuwena😅😅
nimejikuta nimepata harufu ya sigara 😂😂
Inaitwaje
Name Love mandate
🎉
Mimi ni shabiki mukubwa wauyu kaka jamani
Unastahili like
❤❤❤❤❤
Verynice story
Ooohh
Moto juu ya moto mapokezi juu ya mapokezi, jamani hivi nyie hamuonei wivu Fu yao na Wu ji, msijisikie vibaya bhana mi sijamanisha ivyo namanisha amsikii raha kutazama Movie hii??..😂😂😂 ludisha akili zenu nyumbani msijihisi nyie ndo Fu yao na Wu ji, fumbua macho yako uone upo wapi kwa sasa pole yako😂😂😂😂
Title ya movie yenyewe nigani
Danieli nimukolofi sana
Naikubalisana
Nzuri sana ila uyu zara kafanana na zuchu 😂
Huyu jamaa naye ni kiwembe
😂😂😂hii kali aise
heeeh Japan rebeka mchafu😢khaaa
Wow Maurice Sam
Hii movie mwishon hadi nimelia kwa furaha jaman
Hii movie tamu sana