Gwajima "AVURUGA" BUNGE, Akinukisha BALAAA....Mwigulu ASHINDWA Kujivumiliaaaaaaaaa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 220

  • @uhurunamaendeleo6127
    @uhurunamaendeleo6127 5 місяців тому +21

    Mweshimiwa Mwigulu wewe unapenda kodi zaidi kuliko mali ghafi za nchi yetu. Amwelewe Mch Gwajima anachoongea. Rell imeshajengwa kwa gharama na uwezekano wa kupunguza gharama ndo imeisha. Gwajima Mungu Akubariki sana.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 5 місяців тому +13

    Kama mimi ni mwenyekiti Mwigulu kaaa chini unapoteza muda wa Gwajima

    • @mzengimarkus34
      @mzengimarkus34 5 місяців тому +3

      Kama kichwa kibovu cha Mwigulu kitatumika kuongoza hata mkoa moja tu ndani ya Nchi hii, hali itakuwa mbaya zaidi.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 місяців тому +8

    Huyu mwigulu ndio majizi yanapinga Kila kitu hatukutaki wewe

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 5 місяців тому +9

    INAFIKIRISHA SANA....MBONA MH. ZITTO ALISHAYASEMA HAYO MIAKA ILIYOPITA....SERIKALI YA CCM IKAZIBA MASIKIO!

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 4 місяці тому

      Zito alikua jembe jingine, tena sana, hakutakiwa atoke nje.

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 4 місяці тому +1

    IQ za watu huwa zinatofautiana sana na ndiomana kuna fast leaners na slow leaners mfano huyo jamaa pale ni dhahiri kwamba IQ yake ni ndogo sanaaa hasa kwenye kufikiri (critical thinking) nadhani anachokiweza zaidi huyo mjomba licha ya nafasi yake ilivyo kubwa ni kubuni tozo kusifia na kutetea vitu vinavyotufanya tuendelee kubaki nyuma. Kwa mfano mimi ni mjinga darasani mjinga mwenzangu anakopi kila nachokiandika, je yatosha kunifanya nijisifie mimi ni mjanja wakati kila mtihani nafeli? Jibu ni no viongozi wetu wengi thinking capacity is a big problem.

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 4 місяці тому +1

    Wazili.unaongea nn bwana Aiseee hatutakiwi kua hapa tulipo fika punguzeni wizi ili tupige hatua hii Nchi ni tajili mno

  • @paulsimon9871
    @paulsimon9871 5 місяців тому +5

    Vichwa smart Bungeni ni pamoja na Gwajima, Luhaga Mpina hawa jamaa hawaogopi sura ya mtu wanaongeaga fact siku zote hakuna uchawa, Super Gwajima

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 5 місяців тому +3

    Akili ikihamiya tumboni inakuwa ugonjwa ccm ni wapumbavu wote

  • @sospeterurassa9894
    @sospeterurassa9894 5 місяців тому +4

    Zito kabwe aliyasema mapema,ni utashi wa maono ya viongozi hapa tulifeli

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 29 днів тому

    Waulize ccm,chadema walishauli.wakaonekana vinyago.

  • @placidchaka214
    @placidchaka214 5 місяців тому +3

    Asakofu,ninakukubali sana.
    Kuna siku za nyuma,Mchora Katuni mmoja magazetini,aliwahi kumchora Omba omba maalufu nchi aliyekalia Kigoda cha Dhahabu huku akiomba,"Saidia Masikini. Dhahabu,akiomba,"SAIDIA MASIKIN".Ndipo Mzungu akatokea na kumpa shs:Elfu tano na akam'badilishia kile Kigoda cha dhahabu na kumpatia kiti kikubwa cha "plastiki".Hapa ndipo Askofu anajitahidi kuwaeleza Viongozi wahusika nchini kwa hekima ya Ustaarabu wa hali ya juu.
    Viongozi,kwanini hatuoni mbali na kuzidi kutenda Uongozi wetu kimazowea kama jana na juzi?Msiwe kama Matonya Omba omba maarufu nchini.
    Asante kipanya hotuba.zako katika tamsilia ya katuni zinajitokeza kuwa endelevu.Zitatuamsha.

  • @BentleyB-d3u
    @BentleyB-d3u 5 місяців тому +6

    "Ninapo changia muda unaisha Itabidi niombe kanuni muda Unapo pungua inakuwaje" gonga like

  • @madreks253
    @madreks253 4 місяці тому

    Wabunge wengi ni maneno tuuuu na jazba, tena wanaofoka sana hawafanyi kitu...nothing new, kila Bunge same story, too much longolongo with no actions...only a few like Minister Basher ndio wanafanya kazi....

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 5 місяців тому +3

    Sema ukweli wewe, HATUPO PAZURI 😂😂

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 4 місяці тому

    I am not this guy's fan, but kaongea ukweli mtupu...( na sio leli ni reli, na sio Palis ni paris). Naona "R" zinamshinda

  • @obadiamhagama1281
    @obadiamhagama1281 5 місяців тому +4

    Nice tunahitaji maono ya Nchi ili tusiwe omba2 kwa nchi nyingine

  • @ExpeditusMpulu
    @ExpeditusMpulu 5 місяців тому

    Leo ndo mnakumbuka shuka wakti kumekucha.
    Zitto Kabwe alipaza sauti kuhusu hili akitaka tuchimbe chuma chetu ili dollars ibaki Tz. Wote mkamuona anabwabwaja. Hii ni copy n paste ya Zitto.

  • @KevinJohn-tf4gv
    @KevinJohn-tf4gv 4 місяці тому

    Maono gani mlio nayo sas,akuna m'mbunge mwenye maono apo.
    Nyie asingepita Magufuli apo pasingekuwa na chochote,akuna inchi yoyote ambayo inachukulia mfano kwa inchi ya Tanzania,nyie ndo mnachukulia mfano kwa inchi zingine.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 місяці тому

    Mwigulu aache siasa, Gwajima anachokisema ni kutu ambacho ni cha kweli, all this time tumekuwa wapi? Constructive criticism inafaa na wala Mwigulu asitake kuleta siasa, kila siku kutekeleza kutekeleza, lakini hakuna linalofanyika.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому

    Wewe Mwigulu unajigamba tu hakuna kitakacho fanyika ni kusema hana lo lote Mwigulu hapendi hata kujifunza. Mwigulu ajidai anajua kila kitu. Wewe ulisha kaa Kenya si unajigamba tu Umeisha kwenda kwa Kagame ujione.Hivi kwa Game aje kukopi nini hapa ukienda kila Inchi zinazo tuxunguka watucheka sana huku Mwigulu akijidai. Ukiongea na wale waliopiga hatua ukijidai hivyo atakuambia nini zaidi ya kukudanganya kuwa wanakopi wakopi nini?

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 4 місяці тому

    Sifaham kama mweheshimiwa mwigulu anafaham anacho sema gwajima? Kama kungekua na mipàngo ya mda mrefu Reliyetu mpya kwa sasa ingekua inasafirisha mizigo! Imezimwa kwa sababu ya maroliiiiiiiiiii wananchi msifikirie hatujui?

  • @sagy1239
    @sagy1239 4 місяці тому

    kinachotakiwa chuma kichimbwe usimbishie maono anayosema gwajima ni upande wa chuma chimbeni sio maneno maneno tu😂😂😂

  • @giftlwae953
    @giftlwae953 4 місяці тому

    Uwenda mipango hipo, lakin bado matendo. Kwaiyo tupendelee matendo zaid kuongea ongea

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 місяці тому

    Gwajima ana akilinyingi sana, huyu ikimpendeza Mungu na mama akimuona basi uwaziri ni saizi yake...ni mzalendo wa kweli

  • @PhilomenaStephen-qr9ff
    @PhilomenaStephen-qr9ff 3 місяці тому

    ASKOFU GWAJIMA NAKUPENDA SANA.
    MUNGU ASIKIE MAOMBI YANGU MUNGU AKUTEUWE MWENYEWE KWA NJIA ZAKE UWE RAISI KWA JINA LA YESU.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 4 місяці тому

    CCM HAITUFAI IPUMZIKE TU
    EE MUNGU TUONDOLEE CHAMA HIKI TUMEKICHOKA

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 місяці тому

    Mchungaji anaongeaga madini tupu, hawa ni wazalendo halisi

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 4 місяці тому

    kaka samahini bajety inatisha hatutowi rasilimali bilaa ya mipango sawa

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 5 місяців тому +7

    Mwigulu jambazi hili silipendi

  • @agreymndewa7480
    @agreymndewa7480 5 місяців тому

    Wasomi wanatakiwa watusaidie maono kiukweli ukweli u ndio jambo la msingi

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 4 місяці тому

    Hivi mwigulu wewe unamuelewa gwajima kweli? Na je unaweza kujifunza nini kwa watu waliofeli wewe ?

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 5 місяців тому +9

    Mwigulu we ni mjinga tu mpiga madili tu swala hapo ni umwisho wa matumizi ya makaa ya mawe

  • @mkushiinafricatvonline3309
    @mkushiinafricatvonline3309 5 місяців тому +1

    Gwaji boy ni bora kuliko mawaziri mia, naona mwigulu anajing'atang'ata tu itabidi badae ajisikilize alichokuwa anaongea atajidharau kweli

  • @IsackLyangala
    @IsackLyangala 4 місяці тому

    Kwan ww haukuwepo kwenye hayo maono yaliyomo ?!?! mbn kama unakwepa lawama

  • @evaristcm2734
    @evaristcm2734 5 місяців тому +7

    Serikali ijayo itakuwa moto sana. Askofu Gwajima hayuko peke yake. Wapo wengi. Waliokuwa wakipata nafasi ni wale ambao hata viwanda vya pamba havipo. Mipango mibovu. TUNATAKA TUME HURU NA KATIBA.

  • @paulsimon9871
    @paulsimon9871 5 місяців тому +1

    Mwigulu alikua anaongea nini labda 😂 mzee wa trat na trap hana jipya huyu mzee

  • @YasintaRaphael
    @YasintaRaphael 4 місяці тому

    Gwajima mtu alliyeiona kesho

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 5 місяців тому +1

    Mungu ni mwema, Tupo na Wasio na UPEO, FIKRA FUUPI.

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 5 місяців тому +1

    Mzee gwajima huwawez hao mafisad.wao wamekaa kutekeleza matakwa ya wamagharib tuu.cc waafrika ni watumwa wa wzungu.😂😂

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 5 місяців тому +1

    Sipati picha inchi iwe na viongozi wajuu kama gwajima,majaliwa,makonda,sabaya,Dr.asha migiro duuu Tanzania itapaa kwa haraka

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv 4 місяці тому

    Muongo www mwigilu Munafikiii tuuuwww

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 5 місяців тому +1

    mara nchi yetu haina maono ya mdamrefu,mara haijawahi kuwa na maoni

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 місяців тому

    Gwqjima ana akili sn ila ndo hivyo

  • @IpyanaSolomon
    @IpyanaSolomon 5 місяців тому

    Jitu la mbinguni linasema madini,wenye akili hawapewagi nafasi,sijui kwa nini,ivi mama tuseme humuoni gwajima kuwa anafaa kuwemo serikalini?tafadhali mama ebu mtazame uyo kijana wako,mpe uone performance yake

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 5 місяців тому +1

    Gwajima ulikuwepo wakati kina Zito wakizungumza hoja hiyo hiyo. Lakini mlikaa kimya au kwa sababu walikuwa wapinzani?

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 5 місяців тому +1

    Hivi vyie CCM Bado mnataka mwigulu nchemba aendelee kutuongoza watanzania wote 2025..nk inaonyesha pamoja na elimu aliyokua nayo Bado hajamsaidi nifinyu wakuwaza😢😢😢 au kuona

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 5 місяців тому +3

    Ujenzi wa reli ulianza na baba yenu JPM ..!!! Na alijua mchuchuma na liganga ipo..Chuma bado kipo na wakati wowote tunaweza kuchimba na kuuza na kurudisha pesa yetu..

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 5 місяців тому

      Waliojivunia mafuta na wakaacha kuyatumia, leo Dunia imebadilika from mafuta to electric system.
      Kesho usije ukashangaa pamegundulika kitu kigumu zaidi ya chuma.😂😂😂

  • @arnoldbenedict3894
    @arnoldbenedict3894 5 місяців тому +6

    Hii akili kubwa ya mheshimiwa Gwajima waziri tutolee kelele zako

  • @mugishadavidsengati5119
    @mugishadavidsengati5119 5 місяців тому +5

    Gwajima is very super smart Mungu akusimamie Mtumishi anakili sana huyu jamaa maono ya miaka mingi hutuongoza kujua tunachotaka kufanya

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 5 місяців тому +1

    Gwajima ameendelea kuishi kweny uafrika kwanza ana madini mengi kichwani,bimukubwa afanye kuacha kugombea tunampitisha mchungaji fasta

  • @onesmoeliasi3269
    @onesmoeliasi3269 4 місяці тому +1

    Gwaji ni smart sana ni mtu na nusu wachache wanaweza kumuelewa

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 5 місяців тому +1

    Wazir hapo amna kitu anapiga porojoo tuu hapo uyo jaman anawaza kupiga ela tu na kula bata basss amna kitu hapoo

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 4 місяці тому

    Mpe maua yake Gwaji boy

  • @kamadollar.
    @kamadollar. 4 місяці тому

    Anabaki anapiga kelele za maono maono badala ya kujata straight VIONGOZI WASIO WAADIRIFU. Watu wana jua na wa mechoka.

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 4 місяці тому

    You're right Mr Gwajima BUT some project could take longer than what you think if you want to rely on resources from home.
    Some project have to be done first and pay the huge bill but will be compensated by getting back from the sale of what you're talking about.
    Remember steel project would have be done by another contractors not the ones who built the railways.
    You're right but if there is steel, nothing has been lost. We can still get the steel and sale to get our money back and use for other project. Some projects don't need to wait. Have to be done ASAP and feel the pain and eat fruits later.

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 5 місяців тому +1

    Tanzania aina mfano wowote inaviongoz wa ovyo sana

  • @alphoncehanura6697
    @alphoncehanura6697 4 місяці тому

    Tanzania mara nyingi tunakurupuka tu ... Zitto aliyasema vizuri sana zaidi hata ya Gwajima,moja kupeleka sgr Mwanza badala ya Kigoma kwenye mzigo mwingi toka Drc,
    Pili ilikuwa hiyo ya Liganga na Mchuchuma alitumia neno "fungamanisho" la reli na chuma, lakini serikali isiyo na maono ya mbali.

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 5 місяців тому +1

    Samia hana maono shenzi ccm inawatesa wamasai why

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 5 місяців тому +1

    Shida viongozi si wazarendo,wako kwa ajili ya vibaraka wa kizungu na waarabu

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 5 місяців тому +3

    Daah gwajima nomaa sana verry verry verry

  • @TheKaswahili
    @TheKaswahili 5 місяців тому +5

    Nakubaliana na hoja ya Mheshimiwa Gwajima

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 5 місяців тому

    Haka ka jamaa kangekuwa raisi, makamu awe mfano makonda (japo katiba haiko ivo), waziri mkuu majaliwa halafu waziri wa ulinzi Sabaya yaani nchi ingenyooka

  • @OmariGamuya-dz2oo
    @OmariGamuya-dz2oo 4 місяці тому

    This is very very true

  • @isackmsuya3556
    @isackmsuya3556 4 місяці тому

    Sema baba wapone

  • @charlesmalenya3715
    @charlesmalenya3715 4 місяці тому

    Chuma hunoa chuma

  • @KevinJohn-tf4gv
    @KevinJohn-tf4gv 4 місяці тому

    Wanachukuwa mali zenu for free tena wanakuja kuwauzia kwa bilioni, stupid leaders

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 5 місяців тому +1

    Mweshimiwa waziri ni sawa.Je hayo maono yanakuwa reviewed.Ni lazima ifanye kwa muda husika.Ukweli watendaji vitu vingi viko kwenye makatasi tu.Tujitahidi tufanye kwa vitendo na kwa sahihi.Asante

  • @markoesombo8440
    @markoesombo8440 5 місяців тому +1

    Yale Mchungaji anavyosema ju ya mchuchuma na liganga Nzito Zubaheri Kabwe alivinzungumuza tangu zamani kama miaka inne.

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 5 місяців тому +1

    Bila viongozi bora Tanzania itaangamia

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 4 місяці тому

    Kuna viongozi wengine aise basi tu, pongezi kwako gwajima wengine wanawaza tu kusifia hata visivyosifika, hivi mmemuelewa huyo jamaa taarifa aloitoa ni ya ki...ku... kiasi gani!

  • @simonerasto6044
    @simonerasto6044 5 місяців тому +1

    GWAJIMA... THE NEXT PRESIDENT

  • @ZachariaNicodemas
    @ZachariaNicodemas 5 місяців тому

    Sikia jina mwigulululu aina ya mizizi inayoota maeneo ya chooni , pale alipojisaidia mtu kichakani pia huota iyo mizizi mwingulu! , majina mengine laana tusiwaite watoto jmn😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @giftlwae953
    @giftlwae953 4 місяці тому

    Matendo ni vyema kuliko kuliko maneno. Viongozi wafanye kama mabubu ili wafanye

  • @sagy1239
    @sagy1239 4 місяці тому

    😂😂😂gwaji boy

  • @MariamBunyenyi
    @MariamBunyenyi 4 місяці тому

    Mwigulu nchemba 2025 out wakikuchagua basi singida mazuzu

  • @vincentvenance321
    @vincentvenance321 5 місяців тому +2

    Gwajima njoo CDM ugombee urais

  • @alfredfuteh573
    @alfredfuteh573 4 місяці тому

    Ndugu yangu Mwigulu, unaweza ukawa na manati ukamwona ndege ukamtungua na manati. Lakini je, ulipanga kumpiga ndege wa kula au kungulu? Kila kitu kwa mipango. Usiwafundishe wakazi wa Ubungo Kibangu kuvua pweza wakati hawana bahari badala ya wakazi wa Mafia ingawa wote wako pwani. Wataalamu wa mipango wanajua hilo.

  • @PhabianYasih
    @PhabianYasih 4 місяці тому

    Maono ya nchi yako kwenye katiba tu, kwa sababu ndiyo dira ya kutuongoza hajlishi kiongozi atatoka chama gani

  • @goodluckjackson5564
    @goodluckjackson5564 5 місяців тому +3

    Ugombee Urais mwaka 2025

  • @omaryminzi7715
    @omaryminzi7715 5 місяців тому

    Sasa huo mchango wa hilo linatusaidia nini hiki kipindi cha budget ya 2024-2025. Changing mjadala wa kipindi hicho. Wewe ni mbunge wa kàwe changia uwekezaji wa jimbo lako ambako umeshindwa kufanyia wananchi chochote zaidi ya kuwapa maneno ya porojo

  • @CK-ri1mo
    @CK-ri1mo 4 місяці тому

    Nimeonakofia ya Mzee kicheche starting Makoti😂😂😂

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 4 місяці тому

    Gwajima unauwezo mkubwa sana wa kufikilia Mungu akutangulie sana
    Na hii nchi huwa haipendi kutumia viongozi wenye maono kama gwajima sijui kwann?
    Ukweli ni kwamba Taifa hili likitambuwa michango ya kina gwajima nakufanyia kazi mawazo yake hili taifa litaimalika sana.
    Tukubali kushauliwa Tukubali kubadilika
    Sasa wewe mwigulu kwani ukipokea ushauli mzuri wa gwajima utapungukiwa nin?

  • @mtengelamtengela1496
    @mtengelamtengela1496 5 місяців тому +1

    Hongera Gwajima kuwa upande wa wananchi

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 5 місяців тому

    Kikao hiki ni cha muda mrefu leo unatuletea ukijidai ni habari mpya jitathimi bwana unatumalizia mb,we fikiria wakati huo huyo mama alikuwa bado hajawa spika.

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 місяців тому

    Hivi Liganga na Mchuchuma tatizo nini? Hatutaki development?

  • @Eddysmith-rx9wc
    @Eddysmith-rx9wc 4 місяці тому

    Daaaaaah

  • @rajabumwagalazi8786
    @rajabumwagalazi8786 4 місяці тому

  • @winfridajeromekirua
    @winfridajeromekirua 4 місяці тому

  • @JumaWere-fr7xd
    @JumaWere-fr7xd 5 місяців тому

    Tunaitaji watu kama ngwajima sio mwigulu ambaye anashidwa kubuni mbinu za kupata mapato matokeo take ananyan,ganya wananchi kwa nguvu na kauli take ya ajabu eti asietaka ahamie Burundi mambo ya ajabu kiongozi gani uyu labda alifoji vyeti so msomi uyu

  • @PeterSaqware
    @PeterSaqware 5 місяців тому

    Shida ya watanzania wanacoment kwa ushabiki sana tungebadilika na kuanza kuweka ushabiki pembeni tungefanya jambo lakini sio mbaya ila kwenye kuwepo kwa mikakati mizuri isiyona utekelezaji pia mwanzo wa kukwama kwa maendeleo

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 4 місяці тому

    Tatizo ni ukosefu wa viwanda na technology

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 5 місяців тому

    Unapoteuliwa kuwa waziri usifhani kwamba unajua kila jambo.kubali kushauriwa.mawazo ya wengi yananguvu.

  • @eliudykaimu
    @eliudykaimu 5 місяців тому

    Nimesikiliza mpaka mwisho mchungaji kaongea pont sana ila najiuliza picha iliotambulisha mbona haiendani na kilichoongelewa mtoapost akili yako iko vizuri kweli au una mtindio wa ubongo

  • @YudaKemincha
    @YudaKemincha 5 місяців тому

    Mbona nguo tunaaagiza Mhe? Je unajua kiasi cha pesa kinachotumika kuagiza nguo?

  • @eatlawe
    @eatlawe 5 місяців тому

    Mwigulu ni mwongo! 2025 ndio nini? Kitu gani kimefanyika? 2025 inaisha na nyingine ndio inafikiwa ya 2050. Hona hoja ya kumpinga Dr. Gwajima.

  • @abelimwakijungu1226
    @abelimwakijungu1226 5 місяців тому

    Tatizo ni kutegemea utelezi wa wawekezaji. Sasa ndio udumavu huu.

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 5 місяців тому

    Hivyo ndivyo wabunge wanapaswa kuchangia hoja. Bahati mbaya humo ndani sijui kama Wabunge wa namna hii wanafika 20.

  • @PeterJacksom
    @PeterJacksom 5 місяців тому +1

    Hapo kwele pastor

  • @DrpeterTngayanimo
    @DrpeterTngayanimo 4 місяці тому

    Gwajima uko. Sahihi sana mtumishi baadae nitakuita mbunge.

  • @RamaNinga-jv2xw
    @RamaNinga-jv2xw 5 місяців тому

    hawapendi msema kweli hao mambo ya misingi Kama hayo watakufukuza hapo.