Nimeona kama egizo hii ni kama mnayopitia.soo congreturation bro Big work. Ba John nakufuata Niko Burundi maeneo ya Bujumbura mwanzo mpaaka mwisho🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Alakini John wew historia yangu akayijuwa aje ili uandae kitu kama iki
Jameni mm nafuatilia hii movie nimeipenda ila mbna baba kalobo habadilishi nguo jameni ata abadileshe angalau shati tuu nawapenda sana na pia mm nko kenya naombemi likes jameni kama amtojali na kama nimekosea poleni ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
Kipengele cha zujati kuibiwa simu asisononeke,mmeferi jana nayekamrudishia simu njia na maneo aliyotumia kmrudishia simu ameferii .....hapo mmeferii keep it up kazi nzuri
Baba kalobo i wish to see you back to your happiness as you was with the late mother of kalobo. Am a Ugandan watching you from Saudi Arabia right now i love you ❤❤❤❤🥰
kikulacho kii nguoni mwako kwa hakikaaa😥😥hakuna anae weza kubali rafiki yke mama karobo walishirikiana katika kumchawi babake karobo😢😢😢makubwa hayaaa😢anyways goodjob baba joan 🎉🎉🎉🎉
Daah tujitahidi kumpa sapoti huyu jamaa aise anajua anajua tena ni anafundisha vema kupitia hii movie❤🎉🎉
Baba joan bongo movie n kali sanaaa yenye mafunzo mazuri ila tunaomba utuekee hata kama episode mbili kwa siku
Kama moja Tu Kwa siku hawezi na hiyo ya pili je
Jaman kila kaz inachangamoto zake may be kuna shida sehem ndo maana anafanya hiv muda mwingine tuelewe
@@Dareyomanumenena ila wengi siwaelewa,twaona rahisi tu
Tupe mbili nadani itatufaa zaidi
Bonamunawe mojamoja mugewekabir
Nimewahi kunoma leo Asante baba Joan kwa kz nzuri kuombea nguvu z kazi yako zaidi Kwa Allah inshallah
Wa kwanza Leo kutok kenya naomba likes zangu
juliat ana roho ngum hata asant ham jaman kwel acha bigende nibindi biroza nibirimwo umunyu barasesa bagata big up sana joani
Waouh a good job
U like so much
J'aime bien tes films
Je suis un congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 de l'avant vraiment...
Baba karobo ninapotizama filamu zako machozi huea yananitiririka Sana hongereni Kwa kazi safi zenye funzo kibao🎉🎉🎉❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
Waaaah yani nyie wanaume mnaowakatia madem warembo mna kazi,,,,yaani Yale fasheni anayapitia na zijat,🥰🥰🥰🥰🥰yaani nabaki tu kucheka
Tumeingojea sana hii ep plz next isichelewe ivoo ..... From 🇰🇪🇰🇪
wale wadau wa baba joan mpo kampo like apa
Baba Joan epsesod ya 16
Tupo🎉🎉🎉
like za nn
Baba joan movie zako nzuri kweli sina mafunzo sana hongera sana❤❤
From kenya na mimi naombeni likes hata kumi pekee jamani kwa kazi nzuri baba karobo anafanya akh❤❤❤
like za nn
UA-cam
Baba joan kazi nzuri sana sanaa, yenye kuvuta hisia na mafunzo kwetu sisi watazamaji, MUNGU akubariki sana
❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzur sanaa jamaa yanguu
Kama una mukubali baba Joan gonga❤
Patrick samahani naomba unicheki inbox samahani
Xan xan uyu jamaa noma
Nimeona kama egizo hii ni kama mnayopitia.soo congreturation bro
Big work. Ba John nakufuata Niko Burundi maeneo ya Bujumbura mwanzo mpaaka mwisho🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Alakini John wew historia yangu akayijuwa aje ili uandae kitu kama iki
Yani baba karobo umetisha sanaaaa
you must do Legend In English. I speak portuguese, but i love This history
Wale wakusoma comments uku wakiwatch tujuane jaman baba joani kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuko wengi 🤣🤣
Hae
Mm hapa😂
Hahah😂
❤❤❤
Kijana kanaimba vizuri mungu akuongeze mawazo
Hiii films ninzuli Sana so good job ❤❤❤❤ I'm from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Weeeeeh mambo imechemka sema hasira daaaah!kazi nzuri
Hongeren mliocheza filam hii inafundisha sana tusiishie kuangalia tujifunze kitu
Kusema ukweli mna jitahidi ila mnachokesea hamuvipangi vipande muna viweka jitahidin kuvipanga vipande ili tuilewe zaidi ila kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉
Tunaendelea tulipo ishia kaz ipo vzr sana
Hongera mama karobo! Nafasi yako umeitendea haki
We kibanio uyo rafik Yako sio mzuri anakunafkia
Yan machungu xan kakake kipofu na yey pia mateso juu
Shog wengin si shoga atar kwa kwel
❤❤leo mm nimekuw wa kwanza jamn maua yangu🎉🎉🎉 kazi nzur san baba joan❤❤❤❤
Napenda ❤❤❤ kutoka Congo DRC fidèl castro
Jameni si mnipe likes pia mm mbona mko ivo anyway movie iko mmwaahh🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
za nn
Kwan mwapata nn nasid tuanze kuomba😊
1st on top plz ❤
Wow n nzuri sana wala mama karobo roho mbaya lakni iko poa endelea hivyo hivyo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watching from Kenya❤❤
From congo Est drc Nord kivu bulongo naomba like zangu jamani 🎉🎉🎉🎉
Nipo hapa kwajili ya karobo ❤❤ watching from 🇰🇪
Kazi nzuri
Karobo 😂😂😂😂 umenichekesha kweli 😂😂😂
Ongera baba joan na tem yako❤
kazi nzuri baba joan
Baba Joan uko smart sana naile macho yakipofu😂
From kigoma baba Joan movie zako nzuri zinaelimisha
Eti wanteyikumbu wanteye amalila
Jameni mm nafuatilia hii movie nimeipenda ila mbna baba kalobo habadilishi nguo jameni ata abadileshe angalau shati tuu nawapenda sana na pia mm nko kenya naombemi likes jameni kama amtojali na kama nimekosea poleni ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
Leo wakwanza toka Congo Drc Bukavu 🇨🇩🇨🇩 munipe ata like 10 ❤❤
Patrick samahani naomba unicheki inbox
@@LizzyAdrian chukua number wew pia uko congo 🇨🇩 au
@@chrislionel2056 number uko wapi
@@chrislionel2056 number uko wapi
@@LizzyAdrianb
Nakubali sana kaka❤❤
Ila muamu ana sauti Masha Allah
Ukweli mpaka nampenda
Mama kalobo change mrumeo nguo😅😅😅😅 umezidi mwaya😅😅😅
Umeonaeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaan mm kwny dakk tu, ongezen jmn
Kipengele cha zujati kuibiwa simu asisononeke,mmeferi jana nayekamrudishia simu njia na maneo aliyotumia kmrudishia simu ameferii .....hapo mmeferii keep it up kazi nzuri
Iyi kali kabisa. Ongera kwa kazi kubwa uliyo yifanya. Ila movie inatisha .maman karobo kweli ana roho mbaya.ni kama dada yake na shetani
Ila jaman tuache masiara hii nyimbo ya humu ndani ni nzuri xana kwa kwer
Mm pia nimeipenda 😢
Baba Joan hongera Sana kwa kazi Nzuri
Walee wotee wanao omba omba like towen moves za kwen mpewe au vp
Kweli.watoee.za.kwao.mwanetu
😂😂😂😂😂😂😂
Baba kalobo i wish to see you back to your happiness as you was with the late mother of kalobo. Am a Ugandan watching you from Saudi Arabia right now i love you ❤❤❤❤🥰
Thanks for updating 😊
Batanzania banduguzetu uku burundu tunafata sana tena sana tunabapenda
Hyu sijui julieti mwambieni avae nguo y heshima ndipo anavaa nguo z utupu sna
Na umbile lake mashallah asifae hzo nguo fupifupi
So amazing ❤
Very nice one longing for Nxt ep from Kenya
Daah hii move mimi binafsi imenigusa jah bless karobo
Nzuri sana kabisa Ila maman mubaya sana 🎉😢
Aksante jameni,muendee hii filam tam sana,rwanda tunafuatilia vizuri sana
Boa boa Kutoka Moçambique
Jameni sauti zuri kaka wachana na dadako❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Fasheni hadi rangi nyweleni umepaka ila zujat habar hapati na ww😂😂😂 poleee...team baba joan nipo nyuma yenu❤❤❤
Ya nane itakuwa fire 🔥 mno
😂😂😂😂😂 huy nae mpango katoa mwenywe akidhan ata kubaliwa ombi lake la kupendwa ndio kwanz kaachwa njian
Mm nakubali sana zojadi kwa kumsaidia baba kalobo Kila wakati
Hapa mshaa tuchanganya aiseee
Nimefurahi sana kujua baba Joan ni mwananchi 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Mimi wa kwanza leo Naomba like 🎉🎉🎉 nawapenda sana
Baba jo,unaweza kabisa,more love to youuu
Movie nzur sanaa🥰
Unayempenda anampenda Mwengine mwingine nae anampenda mwingine ndio akinazujati 😂
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ Jamni ww
Mapenzi shikamoo
❤❤❤❤❤❤Kaz inabamba kbxa hongereni xan
i think nimewahi mapema 🔥💯💯
Baba karobo hii kazi nzuri mnoo imeaksi jamii zetu za kisasa , mafunzo mengi na ujumbe wa kutosha.... Big up sana bro🤜🙏🏼
Napenda saana. Natoka kongo Lubumbashi.
❤jamani nimeipenda sana😂😂😂
Saii umekua mkali afadhali itakua na utamu🎉🎉
Sasa nimejua ukweli juu ya mama kolobo sek ila dogo unakipj haswaaaaa👏👏
Jitoleeee hata figo lkn kama hupendwiii acha shoboooo bs mwizi my foot 😏😏😏😏sijui buku sijui ngapi imekunwaa maji
Mi nachowapendeya mko fasta . mungu awabaliki washiliki wotte
Pongezi sana bro kwa kazi yko nzuri mola akujazie zaidi
Siuyumimi apa kutokeya chuga like zangu niachiyeni apo fyade
❤❤❤❤❤❤❤❤❤much love from saudi ❤❤❤
kikulacho kii nguoni mwako kwa hakikaaa😥😥hakuna anae weza kubali rafiki yke mama karobo walishirikiana katika kumchawi babake karobo😢😢😢makubwa hayaaa😢anyways goodjob baba joan 🎉🎉🎉🎉
Kweli huyo kaka ana kipaji cha kuimba kweli
Fire Leo wakwanza like hapa jaman
Baba kalobo upo vizuri
Zuyat umembarikiwa umebeba😮
Yeyote atakaye soma hapa Jéhovah akubariki
Naitwa George John nimependa sana movie hii inaonesha jins binadamu tulivyo
Mnaokerwa na hawa wanaomba likes kama ndo watunzi wa move mwakereka mkiwa wap😮😮😮 waomba like pia ujalike 😂😂
baba joan unachelew sana kupndisha epsod bn
wa 95..naombeni likes🎉
Kwa Kweli filam ya baba karobo inaumiza Jaman hawa wanawake yaan
Mimi mwenyew nimejawa na huzuni
Mimi hapa Congo, ni shabiki wenu🎉❤
Zuu 😂😂😂😂 kam mazir apenini kingin
Gutoka burundi ati karobo awolewe mungu wanguweee 😂😂😂😂❤❤❤
😂😂😂😂😂😂Mie pressure imepanda ghafla😂😂😂😂😂 jamn