DOCTOR MOSES 💕 /1/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 157

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 11 годин тому +16

    Jamani haya mambo yapo tena yapo kweli hasa kuhusu kugombana na mtu ukiwa mja mzito mm binafsi niligombana na alie kuq mke mwenzangu nikiwa na mimba changa alinikusudia ubaya ila ulimpata mtt akiwa tumboni aisee nilipojifungua nilihangaika sana sana nilijifungua salama ila nilikiona cha mtema kuni mtoto alikua.na matatizo nilimuhangaikia dawa hizi na zile na kila ninapo kwenda niliambiwa nimegombana na mtu nikiwa mja mzito so wasia wangu kwa wa mm waja wazito usigombane na mtu ukiwa mja mzito bora uvumilie umuachie mungu mpaka ujifungue salama na ukoge 40 kwa sababu mwili bado unakua wazi ni story ndefu nawapenda sana hongera bb jon

    • @lydiaMnaka
      @lydiaMnaka 7 годин тому +1

      Pore kipenzi changu Hao ndo binadamu mwaya mapito ya dunia

  • @AishaHamid-u8g
    @AishaHamid-u8g 6 годин тому +3

    Wow🎉🎉🎉🎉 move nzur sana na umaskini wangu muendelezo tunaomba 💕💕

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 12 годин тому +9

    Baba Joan andi shasho linatoka duuh nipeni like wenzangu naka hapa kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 7 годин тому +3

    Mashalah wenye tulikuwa tunasubiri hii movie tujuane plz uku🎉🎉🎉🎉🎉🎉pole Victoria najua hii movie itakuwa tamu sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @HalimaAthman-p5d
    @HalimaAthman-p5d 12 годин тому +5

    Kazi nzuri sana baba Joan nipe likes kumi ivi🎉🎉🎉 congratulations 👏

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 7 годин тому +2

    Ukweli babajoani nilikuwa nimewamiss team nzima mmefanya vizur

  • @machozimukucha
    @machozimukucha Годину тому +1

    🎉🎉🔥🔥💯👌

  • @HarunaDanielmbanzeofficial
    @HarunaDanielmbanzeofficial 13 годин тому +8

    Nimefika wakwanza Leo ❤fromkenya

  • @mughishajohn3287
    @mughishajohn3287 6 годин тому +1

    Mwaka mpya na kazi nzuli sana ❤❤❤❤

  • @NaimaAli-h6h
    @NaimaAli-h6h 13 годин тому +5

    Baba karobo jitahidi hii ishe plz usiifanye kama hizo zengine much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AgnesOduor-d5x
    @AgnesOduor-d5x 6 годин тому +1

    It's true ,that challenge is existing among us🎉

  • @CarolyneLiona
    @CarolyneLiona 5 годин тому +1

    Hicho kibwakizo kinacho Fanya nikama mtu anapanda mlima akijanifurahisha ,ni Bora mkiondoe mapema kabla Mimi hapa mtazamaji kipenzi sijaudhika sana ,any way pongezi kwa kazi nzuri.

  • @Leilampenda_og
    @Leilampenda_og 8 годин тому +1

    Nzuri sana boss

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 5 годин тому

    Huyu baba karobo anajua kuigiza kweli maisha ya uhalisia ambayo tunapitia🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Binamungu_talentd923
    @Binamungu_talentd923 5 годин тому

    Apa mwendo wa kazi tu god blesd to talent

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 13 годин тому +8

    WaKenya gonga like apa

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo 3 години тому

    Bom trabalho baba Joana, de Moçambique, província de cabo Delgado, Distrito de Macomia 🎉🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 10 годин тому +1

    Kazi zako zikosawa kila wakati walahaujakosea mawapenda sana team baba joan❤❤❤❤

  • @asyaomar-b9v
    @asyaomar-b9v 4 години тому

    Yanii move inetulia kma maji ya mtungin baba Allah awazidishien vipaji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 8 годин тому +1

    Safi baba joan Mungu akubariki

  • @Samiiyaabdi
    @Samiiyaabdi 10 годин тому +2

    From Kenya ❤

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 7 годин тому

    Usiache.uchawi upo wanga pia wapo mungu sana mafundisho mazuri sana watu yanawatokea sana ukimwa mungu ndo hayo yatakukuta tuu

  • @ThadeoZeKing
    @ThadeoZeKing 11 годин тому +1

    Babajoan kazi yako na ippriciate ni mda nilikuwa naisubria kwa hamu kubwa,mungu azidi kukulinda braza

  • @MilikaGatwiri
    @MilikaGatwiri 12 годин тому +1

    Mafunzo mazuri hayo nimejifunza kitu kupitia hii episode muedele ivo ivo nawapenda Sana nikiwa hapa Kenya ❤❤❤❤

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo 3 години тому

    Wnaume kua ujumula,kuzaa kutokuzaa ajuwaye ni mola, uyu dada anastaili kunzaa kuku,kua sababu ameleta zarau nampa zawadi yake🎉🎉🎉🎉👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿 gostei muito, porque nós mulheres que não fizemos filhos nos desprezam muito

  • @mpuliSifa
    @mpuliSifa 13 годин тому +4

    Wakwanza mimi leo nimewai jamani naombeni like basi❤️❤️

  • @Fatmahemedy
    @Fatmahemedy 6 годин тому

    Jamani vikitoria nilikumiss sana kumbe upo na baba karobo

  • @MadinahAheebwa
    @MadinahAheebwa 6 годин тому

    Thank you so much for uploading 🎉🎉❤❤ good job 🎉🎉

  • @IradukundaEvelyneEvelyne
    @IradukundaEvelyneEvelyne 9 годин тому +1

    Kosa rako Baba Joan ukiachia mouvi unaikatia katikati ujuwe kama sipendi hata kidogo ila nawapenda bure ilove you so much family Baba Joan ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 8 годин тому

      Kw upande mwengine usimlaumu sana,mashabiki wakt mwengine twakatisha tamaa...na yeye anapenda kuridhisha mashabi zake

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo 3 години тому

    Kazi kuako baba kuku kkkk,umekuwa jeuri kua nkeo kua sababu ya mpenzi, kayakanyanga 🤲🤲, Duwa lá kuku limempata kuku,malipo no duniani hapahapa 😂😂

  • @MapenziZuma-k7x
    @MapenziZuma-k7x 11 годин тому +2

    Movie zako ni nzuri baba karobo Ila hazishi

    • @lydiaMnaka
      @lydiaMnaka 7 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 8 годин тому

    Safi Sanaa kaka tuko pamoja ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 4 години тому

    Iive from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Bernardmtaiko
    @Bernardmtaiko 4 години тому

    Sawa nyie wakwanza mimi wa mwisho mnasemaje sasa🎉

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f 13 годин тому +1

    Muvi nzuri baba karobo

  • @Bilai09Aliselemane
    @Bilai09Aliselemane 7 годин тому

    Baba karabo kazi mzuli sana ila aziishi unatuombisha sana machabiki naomba umalize 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🪂

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 12 годин тому +1

    Dah hongera baba Joan kwa kutuletea filam nzur snaa,mmeniacha nikatupa kuku wangu ilivyofika hpo kwa kuzaa nikitarajia mtoto naona kuku nanilikua nmemng'ata kwa meno

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 8 годин тому

      Kama nakuona 😂😂😂

    • @MwanamisiMuna
      @MwanamisiMuna 8 годин тому

      @aishaomar2287 aky sweerie we acha to 🤣🤣🤣🤣

  • @Dominic-lt2fw
    @Dominic-lt2fw 12 годин тому

    Wow from kisii kenya am proudof this video.🎉🎉❤❤ congratulations @ Baba joan.

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 7 годин тому

    Nzuli.nawapenda❤❤

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 7 годин тому

    Hii nzuri nzuri 😂😂😂😂😂

  • @Ghislainmwamba-zr6pg
    @Ghislainmwamba-zr6pg 13 годин тому +11

    Mimi wa kwanja jamani naombeni likes zangu

    • @JamesiIsaya
      @JamesiIsaya 12 годин тому +1

      Duuu kweli Hadi Umejikwaa Ndugu Yangu🔥🔥🔥🔥🔥

    • @rehemajuma3250
      @rehemajuma3250 12 годин тому

      umsskini wangu wangu ndo bas jmnnnnnnnnnn😮😮

    • @MamaMauwa
      @MamaMauwa 31 хвилина тому

      WW wakwanza Au wakwanja

  • @JaelMkamburi-x1s
    @JaelMkamburi-x1s 13 годин тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 movie tamu Sana ila twaomba muendeleze umasikini wangu please

  • @MajokaSharoo
    @MajokaSharoo 5 годин тому

    Nzuri ❤❤❤❤❤

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 7 годин тому

    Baba karobo hello from 🇰🇪 kenya ❤❤❤❤

  • @catherinekwamboka-u4n
    @catherinekwamboka-u4n 8 годин тому

    Baba joan karibu Tena movie ingine pata maua yako🎉🎉❤❤❤

  • @fatumasalum-n2l
    @fatumasalum-n2l 4 години тому

    zuwena 💖💖

  • @cmgblackofficial9261
    @cmgblackofficial9261 7 годин тому +1

    Napenda move zako lakini hizi mambo za majini sioni mana sana ya kuwepo kwenye move zako

  • @MalingaJulie
    @MalingaJulie 5 годин тому

    Pole Sana Victoria

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 12 годин тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉hii ni fire 🔥 iko safi sana

  • @Lover-m2k
    @Lover-m2k 13 годин тому

    From kenya watching there is my likes🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 6 годин тому +1

    Jaman kamdomo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @naominekesa1169
    @naominekesa1169 13 годин тому +1

    Wakwanza jamani❤❤

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 7 годин тому

    Huyo dda anatukana sana kitandani kunawatoto wanatazama tufundisheni msitufundishe matusi

  • @UrlichIninahazwe-b4m
    @UrlichIninahazwe-b4m 11 годин тому

    ❤❤❤❤❤ nimefika mapema Sana n

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 8 годин тому

    Da vick 🎉🎉🎉❤

  • @MaryNsengibe
    @MaryNsengibe 12 годин тому +1

    Waoooo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 13 годин тому

    Kipya kabisa from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @KelvinMaloba-q8t
    @KelvinMaloba-q8t 9 годин тому

    Baba kalobo

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 9 годин тому

    Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @madymag6926
    @madymag6926 10 годин тому

    Baba Joan kazi nzuri ssna❤❤❤❤😂😂

  • @EmmaKarisa
    @EmmaKarisa 7 годин тому

    Wow❤❤❤❤

  • @AskSamuel-n7r
    @AskSamuel-n7r 5 годин тому

    wapili from congo drc❤

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 9 хвилин тому

    Walete ❤❤❤❤

  • @NtirenganyaNahasoni
    @NtirenganyaNahasoni 12 годин тому

    Wakwanza toka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Dama-j8r
    @Dama-j8r 11 годин тому

    Hii movie Iko advice nzuri

  • @wwre-rv7pb
    @wwre-rv7pb 11 годин тому

    Nice baba joan

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 13 годин тому

    Wakwanza 🎉 from mozambiqui 🇲🇿

  • @Samiiyaabdi
    @Samiiyaabdi 10 годин тому +1

    Baba yangu kipofu episode 5 please ❤

  • @aminamunga9030
    @aminamunga9030 12 годин тому

    Mbn baba yangu kipofu haiendelei jaman

  • @hamisichau8975
    @hamisichau8975 7 годин тому

    Tujuane mapema tunaonza kufutilia doctor Moses

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 10 годин тому +2

    Vicky kamdomooo

  • @DeezySwaggzy
    @DeezySwaggzy 8 годин тому

    Asant baba Joan Kwa kitu kipya ila isiishie kati.

  • @AllykasholHamisi
    @AllykasholHamisi 13 годин тому

    Uanjua sana lakini movie zako huwa humalizi vizur ❤❤❤

  • @SAKINAOmaryBakari
    @SAKINAOmaryBakari 13 годин тому

    Nawapenda🎉❤

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 11 годин тому

    Good job💯

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 10 годин тому

    Zuri kwel

  • @dannydanson172
    @dannydanson172 12 годин тому

    Shida unahung movies last episode uliniboo sana jameni wacha hii iishe mzuri basi Baba joan

  • @ElizaMwampashi-w9w
    @ElizaMwampashi-w9w 12 годин тому

    Pole jaman baba Joan maana naona jasho kubwa

  • @KingElyon-c3k
    @KingElyon-c3k 7 годин тому

    Iidunia ikonavitukozake kabisa

  • @noahpeter5689
    @noahpeter5689 6 годин тому

    kuna dada amekazana apo kitandan😅😅😅💔👊🏿mme tisha

  • @BiashaMbodze-qn6gb
    @BiashaMbodze-qn6gb 12 годин тому

    Congrats ❤

  • @levisnikizanahum5156
    @levisnikizanahum5156 9 годин тому

    Better this

  • @m.csundayvin3584
    @m.csundayvin3584 3 години тому

    Pamoja tena mwanzo mpaka mwisho

  • @beatricekaale1832
    @beatricekaale1832 9 годин тому

    Baba Joan mnazingua movie unatoa nusu nusu

  • @RebeccaRezzy
    @RebeccaRezzy 5 годин тому

    Baba jaona nakupenda naombeni likes 😊😂😂😂

  • @SabrinaNoel-sj5zq
    @SabrinaNoel-sj5zq 7 годин тому +1

    ❤❤❤❤😂

  • @fetty194
    @fetty194 11 годин тому +1

    Mtu amezalishwa ata damu damu kwenye grove Amna daah

  • @rosemwashitete4305
    @rosemwashitete4305 10 годин тому

    Fasheni anapenda waganga

  • @jeremiekambale23
    @jeremiekambale23 13 годин тому +2

    Wakwanza

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 6 годин тому

    Baba yangu kipofu season 2 tuendelezee plz pia

  • @JaneMhango-yl7xo
    @JaneMhango-yl7xo 13 годин тому

    Nimeiwahii

  • @Bongotime
    @Bongotime 4 години тому

    Dokta kizito

  • @JohariEsongo-ng9br
    @JohariEsongo-ng9br 13 годин тому

    wa kwanza leo nipe like zangu

  • @Akimankevine
    @Akimankevine 8 годин тому

    ❤❤❤

  • @rosemwashitete4305
    @rosemwashitete4305 10 годин тому

    Kumbe fasheni ni doct

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 9 годин тому

    Baba joan usisikilize maneno ya watu hii movie uimalize sio episode 4 mara finally hatutaki kuuona unaishia njiani

  • @maybe-y7y
    @maybe-y7y 7 годин тому

    Mpka nmelia kwakweli pole mwanamke mwenzang ckujui ila imeniumiza sana😢

  • @rtrw708
    @rtrw708 11 годин тому

    Daah

  • @AjuayeNgao
    @AjuayeNgao 6 годин тому

    Fashen amependeza kuwa dokta

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 10 годин тому

    Yani uyo Mungaga Eti wakati ulikuwa kitandani ulisikia utamu jamani ukuna waganga wako ivo ivo kabisa ukienda kujifunguwa utakula matusi kama yote utasema wawo hawazai ila jamani iyo muimariz musiiyachii njiyani kama umasikini wangu na Ile yashule 🎉🎉🎉