Lissu Atema Cheche Mkutano Mkuu CHADEMA, Awashukuru Wajumbe, "Sina Ugomvi Binafsi na Mbowe"
Вставка
- Опубліковано 21 січ 2025
- Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
We mwenyez mungu..tunaomba ufanyany njia pasipo nanjia..huyu baba awe kiongoz wetu tunamuhitaj San..🎉🎉🎉 big up lissu
Amen
Mweshimiwa umeongea vizur sana tena sana nakuombea mungu upite utuongooze
Lissu hakika kwangu mimi ni kiongozi bora sana ninaekuamini leo hii hakika utashinda kwa kishindo kikubwa labda ushindwe kwa mbinu tofauti
Mungu akusimamie sana Tundu Antipas Lissu
Ammiun
All the best lissu 🙏🙏 Mungu akusimamie ushinde
Lisu mungu akuinuwe
Lissu lissu our chairman
Mkuu wangu Mungu atatenda mambo makubwa kwako.
Kweli Mungu anaenda kutenda
Mbowe anawazunguka wenzake ameweka chama kama kivuli cha kupatia pesa kutoka kwa watawala
Funga mdomo wako kwa matusi yako ushindwe Pepo likutoke
Dats bizness
Laiti ungelijua gharama ya uendeshaji inatoka upande gani,na nani anaeifanya Chadema isogee mbele usingelisema hayo. Na hii leo hatima ya chama na sio hatima ya kiongozi imefika
Naunga mkono hoja
Amina, mwenyezi MUNGU akubariki sana Amina
Nakuombea sana mzee wangu..
The greatest Tundu Lissu
Tundu lisu💪
Siasa ya Tanzanian bado iko chini, people should open there mind and give this man opportunity. Lissu tunamkubali uku kenya
lisuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉
Lissu oyeee
mungu mtangulie lissu katika uchaguzi mkuu taifa
nakuombea upite jembe langu nakupenda
NEXT PRESIDENT UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TUNDU LISU 🇹🇿
Jaman lisu Mungu Yuko na wew mda wote nasi tunakuombea
Amina
Amen
Apite tu huyu baba lisu namkubali sana
Wewe ni mwanaume hapa nchini🔥🔥
All the best kamanda
Mungu murete risu jaman
#2ndulissu❤ ongezaspana wanakataana #lissu ongeza spana❤🎉
Lissu all the best
Lissuuu hoyee
Lisuu uko vizuri baba
Ni wakati wajumbe wajue ss tunamtaka lisu na heche wajumbe chonde chonde
Tupo pamoja nawewe kamanda pambana people 👍
Uk😅 vizuri baba
Jembeeeee lisu
Ingekua jambo la kujivunia kwa Mbowe, kukabidhi uongozi wa Chama kwa mtu kama Tundu Lissu na Heche
Tuko pamoja sana
Lissu ndie atakayetusaidia kuipa challenge serikali iliyopo madarakani
Wajumbe wajumbe msifanye kosa tunataka upinzani wa kweli kupitia Tundu Lisu hao wengine mtapoteza muda wenu bure
Kwa nini hutoba ya Tundu Lissu imekatwa?Mimi nilifikiri niko peke yangu ninayetumia mtandao wa Yass,nimegundua kumbe mitandao yote hotuba hii imekatwa,kwanini Serikali inafanya hivyo kwa Tundu Lissu?
Mungu akusaidie lisu tunakuitaji sn utuvushe
Mungu atawale tunawatakia uchaguzi mwema:
Jaribuni mbinu chafu, tunawaachia chama chenu cha baba mkwe shemeji,
Atusaidie mwenyezi mungu. Lisu ashinde
Mwenyekiti wetu
Chadema kumechangamka Sana leo
Lisu anafaa kwa kipindi hichi
Kwaiy hotuba ya LISSU mnaizua
Utusalimie mama abdul
Nipo hapa
Unatosha kuwa Mwenyekiti na Wajumbe wasipofushwe na viroba vya Abdul🎉
Mungu akutangulie na akupe ushindi siku hii ya leo
Sisi tunamtaka lisuuuuuuuu
Ulishinda ukiwa ubergiji utashindwaje leo mwamba Mungu akutangulie mwamba
Kila raheri mkuu
Shida iko huko chini wapiga kura wajumbe msidanganywe mlete freeman mbowe lmekula kwenu
Hongera Sana Baba Lisu nakukubali sanasana
Lissu unaweza na utashinda kwa kura nyingi
Lissu 4 change
Nakuombea ushinde
#Simba.. TAL
Mmmh haya tutaona tuko hapa😢😢😮
Haki Tundu lisu unafaa sana
Tundu antiphas lisu mungu yupo pamoja nawe
Lissu Taifa linakuhitaji.Mungu akufanyie wepesi ushinde Nafasi ya Mwenyekiti.Mungu akushindie
Baba lisuuu for changes i like
Iisu mungu tuna kutegemeha sanasana
Unatosha
Umepita wewe Rais yesu akulinde
Ok,lisuuuu ushindi wako
Mungu akulinde wewe LISSU unafaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa
All the best lisu
bila kupindisha maneno lissu anatufaa kwa time hii
❤
Wajumbe chonde chonde tuleteen lisuu ndo ana weza kum chachafya mama samia
Hii chadema ni kubwa tuache utani
Lisu wewe unafaa kuwa kiongozi tunakuombea ushindi
Loo huyu jamaa ana data za hatarii tumwombee tu
Wajumbe tunawapenda mleteni lissu.
Kwa mafanikio ya chama mzee mh tundu lissu umepita kwa nguvu ya mungu amini
Lissu Ni ngome .
Mwamba tuachie nafasi
Mh tundu lissu mangu akujalie maisha marefu tunajua kwa utashinda unyekiti tumesho mbowe
Amtegemea mwanadamu amelaaniwa. Yeremiah 17:5 au 5:17 kama sikosei
Kitendo alivyofanya mbowe bila ya kushauriana na chama kisiasa hakileti picha nzuri
All the best kamanda Lissu!
Mabadiliko
Mbona kama ana hirizi mkononi😮
Lisu👍💃💃😂😂😂
Hakika mungu ninae kuamini hutatuacha lisu ndie tunae mtaka akawe kiongozi wa cha chetu
Imekata katikati hata hatujasikia chochote
Lissu anatakiwa na watu wote huyu mtu ana Nia safi sana na watanzania ila walio Karibu nae hawamtaki lissu kwa maslahi yao kuna mbinu chafu hapa kwenye uchaguzi huu hata kama lissu anakubalika na wote ila kwa maslahi ya mbowe hayuko tayari kuondoka Wala hata ondaka kaeni tayari kupata suprise wanafanya mbinu chafu kama CCM mbowe abakie kuwa m.kiti chadema is over you will see soon
Mungu baba uliyejuu tunaomba umuinuwe huyu simba wa nyika,atusaidie watanzania tuko hoi
We kama ni haki we ndio mkombozi wetu na itakua🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️✌️❤️❤️❤️🚣🚣🚣🚣🚣🚣♀️🚣♀️👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏
Ewe mwenyezimung tunaomba lisu apewe fimbo yamusa amen
Lissu ni yeye
Mm nipo mlimani tayari nalinda kura nasubili lisu atangazwe
Bravo
Tunawaombea ndugu zetu
Lisu Hoye
Sauti vip?
mkiona kunasitofaham tumieni kura za wazi kila mgombea akae na watu wahesabiwe
Lissu
lisu hata ukipata sio kiongozi hana karama hiyo kwanza ana majungu anaishi kwa hisia ana dharau
Chadema mpyaaaaaa laasana
Lisu oyee
Emungu tusmamie katka uchaguzi huu ss ni wamoja umalizike salama✌️