@@OmanOman-ru4eu uyu baba Joan sijui anapata ushauri wapi, ameona ile movie ilikua nzuri akaiharibu umalizaji na sasa kaona arudie tena kipofu hahahahah
Mbona kipofu Tena wkt kalishaona jamani.daah hatar nilishapata jibu.baba karabo umemsahau mungu wkt ndie aliekuponyesha.hakukurudishia macho kwa ajili ya kuona sehemu za starehe tafakari Hilo.victoria wa donta tv hongera yako kawa mganga ndipo.
Baba karobo umeleta mambo tena alafu bakarobo si ulipona jaman ama vipi jaman eeeeh kazini kuna kazi kweli ❤❤❤❤❤moto❤❤❤bakarobo banaaeee wazengua ebu rudi kama ile ya awali ulipo pona jaman kipofu tena aaaah
Mimi kusema ukweli niliacha kabisa kufuatilia zile mlizo anza kutoa ila hapa tutakuwa pamoja,,mmebolesha vingi nomeona ,camera , location na uigizaji nimeona tatizo kidogo tu kwenye script na shaka yangu wengi Huwa wanabolonga season 2,,kwahiyo ni aminishe tofauti hii iwe Kali kuliko ya kwanza na usiwe mchoyo wa mawazo chukua mawazo kwa watu tofauti tofauti ilikubolesha kazi Yako huwezi ukawa mzuri kwa kila kitu,,,Fanya hivyo ujizolee mashabiki pia tafuta staa yeyote wa zamani aliepotea mludishe kwenye game utakuja niambia ❤one love twende kazi
Ni kweli hiyi movie tulikuwa tuliipenda.lakina kwa mda huu tumechanganyikiwa.hata kama baba karobo alimukufuru Mungu,Mungu ni mwema.Akifanya jambo anafasha kwa ukubwa,siyo kama Sisi wanadamu.watu wote walikuwa walisameheyana.basi kwa upande wangu,hii movie ilitakiwa,iishiye pale pale,au mukatuonyesha,jisi maisha,aliendeleya Badaa ya fashion Na mama karobo kuomba musamaha.
😂😂 tulitarajia kumuona mama karobo kipofu na sio baba karobo like zetu hapa
@@OmanOman-ru4eu uyu baba Joan sijui anapata ushauri wapi, ameona ile movie ilikua nzuri akaiharibu umalizaji na sasa kaona arudie tena kipofu hahahahah
Mbona kipofu Tena wkt kalishaona jamani.daah hatar nilishapata jibu.baba karabo umemsahau mungu wkt ndie aliekuponyesha.hakukurudishia macho kwa ajili ya kuona sehemu za starehe tafakari Hilo.victoria wa donta tv hongera yako kawa mganga ndipo.
Ulizo hiyo najiuliza pia
@@rukiahassan7001 kama tupo bongoman 😅🏃
Nimeona wameandika Season 2
Session 2 hii
kwny haukuona the last season,,, mbona urudi nyuma
Imependeza sanaa asante bba karobo tulikuwa tunasubiri sana bwana
Hapoo baba karobo ulikosea mungu yupo tenaa yupo sanaa🎉
Kazi zuri sana hongera sana baba karobo
Wa tatu Leo
Asante baba karobi kwa muendelezo wa hii game❤❤❤❤
Tunawapenda sanaaa
Wah hapa mmetucheza za hovyo sana haya hayakuwa matarajio ya mashabiki kabsaa ati kuwa kipofu na maskin tena
Bonge la move LAENDELEA tena safi nasa baba joan
Manshaallah nimefurah san kurundishen baba yangu kipofu
Ongereni sana jamani baba joan kazi nzuri sana nakukubali sana mzee wng nawatakiya wapendwa wote wababa joan heri ya mwaka mpya😍😍🙋🙋
Kalobo pole sn shida zinaendea ❤❤❤❤❤
Baba karobo umeleta mambo tena alafu bakarobo si ulipona jaman ama vipi jaman eeeeh kazini kuna kazi kweli ❤❤❤❤❤moto❤❤❤bakarobo banaaeee wazengua ebu rudi kama ile ya awali ulipo pona jaman kipofu tena aaaah
Pole sana baba karobo una rudi tena upofuni murudiriye Mungu ukiri ata kusamehe
Zujaty waooooo umeuwaa chukuwaa mauwaa dada❤❤❤❤❤
Hongera sana baba joan🎉🎉🎉
Mi nashangaaaaa unakuwa kipofu tena wakat ile mlimaliza vzur😊😊
Directer ana Fanya Kazi vibaya
Sana badala twende mbele tunarudi nyuma @@meddyblessingofficiel
Vp ten uk jamon kwaiy tumeletew ten baba yangu kipofu saf san tup pamoj na nyinyi 🎉🎉🎉🎉
Qwa kweli fashion ww mungu ata waponya much Love guys ❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli hii title mimi naipenda sana ina ujumbe mzito❤
Mbona kipofu tena bt ni poa tu ❤❤❤🎉
Mbona bado ww ni kipofu ...hapa kwa kweli umezengua😅😅😅😅😅 haya mebele twazidi kutarajia mazuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍
Kabisa amesaahu mungu kabisa
Nimependa Kuto Burund🇧🇮🇧🇮 Daah sijafurahiya kiukwel Baba Karob Kua Kipofi il ❤❤❤❤
Imekuwaje tena baba karobo kawa kipofu tena wakat alipona me nilijua mama kalobo feki awe kupofu🎉🎉🎉❤
Pole sana baba karobo mungu yupo
😂😂😂😂zuuh umechez sana kalata yako ya uchiz
Victoria nakupenda sana movie nzuri daah
Baba karobo ilifanyavyibayakumufukuru mungu wako tenaaliyekuponesha
Kwanin tena mmwerud wakat hajatumaliziag vizur hatuwatak tenaa maan sasa hivi tunadili na umasikin wangu
Halina hata laza hili limove tunarudi nyuma wanaoungana na mm like zenu nipepeni tafadhali
Me naona tungeendelea kuitazama tuone ilikuwaje akawa kipofu tena🎉🎉🎉
Amezingua assingue kua kipofu tens Ange kua kipofu mama karobo feki
Chelewa lkn ufika nami nimefika❤❤❤❤❤
Imekuaje tena umekuwa kipofu baba karobo hatujaelewa mzee
Asante kwa Season two na tumai tuta burudika na hii full moov
Mbona kipofu tena😮😮😮
Imekuaje tena umekuwa kipofu
Mimi kusema ukweli niliacha kabisa kufuatilia zile mlizo anza kutoa ila hapa tutakuwa pamoja,,mmebolesha vingi nomeona ,camera , location na uigizaji nimeona tatizo kidogo tu kwenye script na shaka yangu wengi Huwa wanabolonga season 2,,kwahiyo ni aminishe tofauti hii iwe Kali kuliko ya kwanza na usiwe mchoyo wa mawazo chukua mawazo kwa watu tofauti tofauti ilikubolesha kazi Yako huwezi ukawa mzuri kwa kila kitu,,,Fanya hivyo ujizolee mashabiki pia tafuta staa yeyote wa zamani aliepotea mludishe kwenye game utakuja niambia ❤one love twende kazi
Kwann awe kipofu Tena wakat iliishia alikuwa mzima kabisa.
Sasa mbona umerudi kuwa KIPOF kati tulipoachana ulikuwa unaona acha wenge bana🦶👐💯💓💋👍🙏💥👏🤛❤️❤️
Daaah sijaelewa mimi jamani
Zoo umeni furaisha sana🎉🎉🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩
Hii filam iwe ndefu basi isiwe kama watoto wangu
Inatosh bro kama kuuza umeuza daa🤣🤣🤣
Sijapenda kabisaa tunarudijee nyumaa tena mambo ya baba yangu kipofuu....
Nishachokaa na hili limovie si muweke aina nyingine
Aswaaaaa haina haja kurudia vitu vya nyuma tulishanalizana navyo tear😏😏😏😏😏😏
Ukiona wanazigua toa movie zako au utuondokee 😂😂
Kbsa
@@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk siondokii na ukweli nazidi kusemaa anaboaaaaaa kuturudisha nyumaaaa
@@glorymanga3650maybe yupo ndotoni anaota karudia upofu 😂
😂😂😂😂karobo omary❤❤❤❤ tunawakubarii kinomaa
Mumeharibu, kwasababu tulitarajia mama karobo awe kipofu
Wow huyu mtandio sini vikcy yule wa Donta TV 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 ungeishia pale tu
Hii mbn ijakaa sawa ukutakiwa kuwa kibofu alitakiwa mama kalobo awekibofu
Kigali 🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 turabakunda cyaneee karibu sana kutupatia hii ❤❤❤❤
Ni kweli hiyi movie tulikuwa tuliipenda.lakina kwa mda huu tumechanganyikiwa.hata kama baba karobo alimukufuru Mungu,Mungu ni mwema.Akifanya jambo anafasha kwa ukubwa,siyo kama Sisi wanadamu.watu wote walikuwa walisameheyana.basi kwa upande wangu,hii movie ilitakiwa,iishiye pale pale,au mukatuonyesha,jisi maisha,aliendeleya Badaa ya fashion Na mama karobo kuomba musamaha.
Baba kalobo mbona fashioni kawashinda tena na nilidhani hii ya pili mama kalobo na fashoni ndio watakua vipofu,,,Happy new year my team
Tushafika 😂😂movie yetu pendwa hii mpaka imefanya baba karobo aindeleze❤❤❤
Mmmmmh mbone sielewi kabisa mm mbone baba karobo tena
Mungu ni mwema namuombea kila mwenye kusoma coment hii mwaka 2025 ukawe wa balaka
Ameen
Amen
🙏
Hongera baba joan 🎉🎉❤❤
Mnatuchanganya sana nyinyi
Bona Muna zinguwa ahoo mumeishiwa🇨🇩🇨🇩😂☑️ Ila kaza ushi felii
Du baba kalobo umemkesea MUNGU
Safi sana baba karobo unanifurahisha kazi nzuri wasioelewa wataelewa tu
Mshazingua kishenz wallai...😢😢
Anhaaa sasa nimeelew
mmmmh jaman victoria amekuwa mganga 😂😂😂😂 ❤❤❤
Baba joan sasa umeharibu mambo ,,,,,movie zako sasa hivi zinaboa sana ,,,,,sasa hii ni nn😅😅
Kwa kweli baba karobo umezinguwa nilizani tuta ona pale urihishiya ndiyo uta anzia na ule aritakiwa kuwa kipofu ilikuwa na mama karobo feki
Huu season2 pia ina mafunzo makumwa sana ambao mnalalamika huenda hamjaelewa hii movie mbona me nimeipenda tu
baba Joan you are one of the one
Nikisema mm niwakwanza mtakaa sasa ok bt nimewahi iko2 n second 25 mniasaidie n like ata kumi2
Karibuni Tena. Wale tumekua tukiingojea kwa hamu likes hapa
Courage 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩
I have been patiently waiting for this ❤❤❤❤❤
Hapa sasa munatubebea akili sasa inakuaje baba karobo tena kipofu mwache mchezo sasa😂😂😂
Umeona eeeeeh 😂😂😂
Waache ujinga
Baba yangu kipofu yaendelea ama imeanza tena
Aaaiiii tumerudi tena kwa upovu 😅😅
Hata Mie sijaelewa huu mchezo unatukoroga Kwa kweli
Kumkufuru mungu wako ni hatari sana
Vicky 😂😂😂😂😂😂 umejipakaaaaa duuuuuuu
Mmmmmh hii muv sijui itakuaje
Mzee wa majabalini jmn yupo wp mrembo mama karobo chuma cha pua😂munatukosesha raha jmn
Munanuchanganya mm huku sii tushapita huku😅😅😅
Hapa mmetuchanganya kabisa.tulimwacha baba karobo akiwa anauwezo wa kuona , sass hivi hapa hatazami tena
Ni nzuri mzee ukoseagi
Mnaboo sna,baba karobo aliona,sasa mbona mnarudi nyuma
Mmekosa content yaan mtu alisha pona saiv mnaleta pg tena za upof bongo man
Umerudi kutokuona tena wah apo mmecheza chini
Mbona mama karobo.sijamuona na nasra
Wa kwanza huyooo
Hela bhanaaa yaan ili mradi tu mpate maokoto😂😂😂
Mbona kipofu tena jamani
Kibanio ukoseagi😂😂😂😂❤❤❤
Kweli baba karobo unapenda hizo nguo peingine hizo ziko na maana zake
Vick na iyo Sean haikufai beh
Daah jmn upofu tena
Kivip tenah umelud kuwa kipofu mbna sielew
Woiye mrembo wetu zuuu😢😢
Acheni Mambo ya season two ukweli huwa zinaboa Sana ,,,, kuweni wabunifu basi
Mbona kipofu tena baba karobo
Umezingua 😅😅siulishapona wewe na mungu akukuponya na ukawa tajiri sasa ndio nn,au idea zimeisha
Humu hamna movie tena hawa wachawi kama wametekenywa 😂