UPENDO PENEZA AMLIPUA MBOWE -"ETI ANASEMA AKISHINDWA UKANDA ULE ANAJIUZULU -ACHA TUMTANDIKE AONDOKE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • UPENDO PENEZA AMLIPUA MBOWE -"ETI ANASEMA AKISHINDWA UKANDA ULE ANAJIUZULU -ACHA TUMTANDIKE AONDOKE"...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 39

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 Місяць тому +2

    chawaaa shida sana

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 Місяць тому +4

    Dada umekosa sela cku hizi umekua chawa cku zote points zipo kwenye upinzani wew

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 Місяць тому +3

    Huyu Upendo wa CCM anatia huruma.Makalla amrudishie sehemu ya ubongo wake,wameziondoa zote kiasi cha kushindwa kuongea yaliyompeleka CCM.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Місяць тому +2

    bado sana, hapo bado utasema tuuu.

  • @madengejr
    @madengejr Місяць тому +2

    Upendo bora angenyamaza

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 Місяць тому +1

    Njaaaaa mbaya sana

  • @daudfrank9804
    @daudfrank9804 Місяць тому +2

    Bila mbowe ujasema point acha uzezeta dada

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 Місяць тому

      Bila Samia hujasema hoja zako CCM oyeee

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому +1

    Hv vdada vispo muogopa mungu mungu atawalaaani

  • @user-qv2hj9rc3f
    @user-qv2hj9rc3f Місяць тому +2

    Peneza anajaribu kutumia gia ya rivaz kwenda mbele

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 Місяць тому +3

    Huna uwezo wa kukiongekea kikokotoo muachie ester Bulaya wewe ni chawa tu hufai

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 Місяць тому +1

    Watu wanataka hela zao zote....kikokotoo cha nini kwenye pesa yangu???

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi Місяць тому +1

    Siasa za kutaja watu hatutaki tunahitaji maji, Barabara, vifaa vya ujenzi view gharama ndogo ili nyumba za makuti za udongo zisiwepo unpiga kelele mlo wa mwananchi Kwa siku ni mlo mmoja Kwa siku halafu mntuminisha kwamba Hali ya maisha nii nzuri Mimi nasema hapana. Hatutadanganyika tena imetosha.

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 Місяць тому +2

    Mbowe ni moto mwingne

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 Місяць тому +2

    utaukalia tuu hapo CCM halafu watakutupa

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Місяць тому +1

    Bila kumsema Mbowe huna raha?umeishiwa ? We zungumzia chako na sera zake

  • @DenisMsanzya-kc7bv
    @DenisMsanzya-kc7bv Місяць тому +2

    kikokotoo sio huruma ya mama ni haki ya mtumishi acha kudanganya watu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Chawa huyu uroho wa madaraka anajidanganya na kudanya wasiojitambua.Hivi hajui kunawatoto hawana madarasa mwaka 62 wa uhuru

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Kuna mashule Mikoani wazazi wanaambiwa wapeleke mahindi na maharage ati kila mwanafunzi kila mwezi mlo wa mchana huo si wizi mtupu michango haiishi alafu elimu bure ipi hiyo?.watanzania tunamateso kila kona. Ukienda kwa mtendaji kumshitaki jirani au mtu kulipia kikao shilingi alfu 40 kuhamisha kikao hata sehemu ya kutembea dakika mbili shilingi alfu 50 ebu fikiria hii nchi ni shida mwanzo mwisho.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Місяць тому +1

    wataakumia mpaka upauke, nausichana wako utakuwa hohi.

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 Місяць тому +1

    Mbowe anahati miliki na wananchi haya huijuwi ccm

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 Місяць тому +1

    huyu changudoa kakosa sera umebaki kumsifia mungu wenu hangaya

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Місяць тому +1

    Peneza, hupenezi hata.

  • @chademageorge8086
    @chademageorge8086 Місяць тому +1

    Haka kajitu eti huwa kila kakiongea hadi kamuongelee Mbowe.

  • @TakasiSulle
    @TakasiSulle Місяць тому +1

    Umekosa sera hiya ni njaa neema gang na wakati watoto wadogo na wajawazito matibabu ni gharama kubwa sana mnafanya mchozo wakuigiza watanzania tuwemakini na hawa wanasiasa wanaenunulia shida yao uongozi machawa tuwaogo kama ukoma peneza hafai

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y Місяць тому

    Hadi nimecheka nimekosa nicomment nini kwa sababu anaeongea akili zipo mirembe sijui chadema walimpaje ubunge na Bora alipohama kumbe alikuwa chizi

  • @isayachawinga1005
    @isayachawinga1005 Місяць тому +2

    Duuuuu

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 Місяць тому +1

    Kinuka mkojo huyu hana jipya

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Місяць тому +1

    Mh haya sasa kupanga nikuchagua

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Місяць тому +1

    Hakuna kitu unapngea

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +1

    Wewe Pendeza toka uhuru mwaka wa 62 kuna shule watoto wanakaa chini ya miti madarasa wala madawati hakuna. Same hawana maji alafu unadanganya watu mnatatua kero za wananchi zipi.Mpo kimaslahi tu

  • @mabalanyerere1541
    @mabalanyerere1541 Місяць тому +2

    Hupat chochote wewe ccm

  • @mabalanyerere1541
    @mabalanyerere1541 Місяць тому +1

    Huna sera wewe umepotea kuwa chawa wa mama

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i Місяць тому +2

    Hauna lolote

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m Місяць тому +1

    Ovyoo😅😅

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz Місяць тому

    Dada uko vizuri sana