TCB NA ZEEA WASAINI MOU YA MKOPO WA KUWAWEZESHA WAJASILIAMALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa Serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia kuchochea ukuaji wa biashara, ongezeko la ajira, na maendeleo ya kiuchumi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

КОМЕНТАРІ • 2