Muungwana  Tv
Muungwana  Tv
  • 713
  • 855 575
JESHI LA MAGEREZA GETEZA LA MTEGO WA SIMBA LAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKLI
Jeshi la mgereza nchini kupitia gereza lake la mtego wa Simba lililopo nje kidogo ya manispaa ya Morogoro limeendelea kuunga mkono Sera ya serikali katika suala zima la kukuza viwanda vinavyohudumia wananchi.
Mrakibu mwandamizi wa jeshi la magereza COSTATUS MAGOI ambaye pia ni mtaalamu wa kilimo amesema katika maonesho ya nane nane Kanda ya mashariki wamekuja na vitu mbalimbali vya kuonyezha ikiwemo bidhaa ya maziwa kutoka katika kiwanda chao kilichopo gereza la mtego wa Simba kingolwirwa Morogoro.
Переглядів: 8

Відео

UKATILI KWA WATOTO, DC KINONDONI ATAKA MISIKITI, MAKANISA KUPAZA SAUTI/DAFTARI LA MKAZI KUTUMIKA
Переглядів 382 години тому
UKATILI KWA WATOTO, DC KINONDONI ATAKA MISIKITI, MAKANISA KUPAZA SAUTI/DAFTARI LA MKAZI KUTUMIKA
Taasisi za serikali zashauriwa kuonyesha bidhaa bora zaidi maonyesho ya nane nane
Переглядів 124 години тому
Taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Monesho ya Kilimo(88)katika Kanda mbali hapa nchini zimetakiwa kuonesha bidhaa bora zaidi kuliko sekta binafsi zitazowezesha wananchi kujifunza na kupata technolia mpya zitakazoleta tija kwenye shughuli za kilimo,ufugaji na uvuvi. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti,amesema hayo Mkoani Morogoro mara baada ya kutembelea mabanda na vipando mba...
MUUZA CHIPSI ASHINDA BODABODA MPYA, AIRTEL IKIHITIMISHA KAMPENI YA UPIGE MWINGI
Переглядів 207 годин тому
MUUZA CHIPSI ASHINDA BODABODA MPYA, AIRTEL IKIHITIMISHA KAMPENI YA UPIGE MWINGI
BARAZA LA UVCCM ILALA WATOA MAAZIMIO/MITANO TENA NI BLAND NA HESHMA YA RAIS SAMIA TU
Переглядів 18712 годин тому
BARAZA LA UVCCM ILALA WATOA MAAZIMIO/MITANO TENA NI BLAND NA HESHMA YA RAIS SAMIA TU
TCB NA ZEEA WASAINI MOU YA MKOPO WA KUWAWEZESHA WAJASILIAMALI
Переглядів 2014 годин тому
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa Serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia kuchochea ukuaji wa biashara, ongezeko l...
KINACHOENDELEA MSIBANI KWA MAMA YAKE HALIMA MDEE, KAKA YAKE AELEZA RATIBA YOTE
Переглядів 2,9 тис.14 годин тому
KINACHOENDELEA MSIBANI KWA MAMA YAKE HALIMA MDEE, KAKA YAKE AELEZA RATIBA YOTE
TCB WAZINDUA POPOTE AKAUNTI/UKIWA NA BUKU UNAFUNGUA NDANI YA DAK. 2/UNALIPIA TIKETI ZA SGR KIRAHISI
Переглядів 3421 годину тому
TCB WAZINDUA POPOTE AKAUNTI/UKIWA NA BUKU UNAFUNGUA NDANI YA DAK. 2/UNALIPIA TIKETI ZA SGR KIRAHISI
BARABARA HIZI ZIFUNGWE TU/TUMECHOKA KUKANYAGA MATOPE-WANANCHI VINGUNGUTI
Переглядів 8014 днів тому
BARABARA HIZI ZIFUNGWE TU/TUMECHOKA KUKANYAGA MATOPE-WANANCHI VINGUNGUTI
Mauaji ya watoto yamuibua Prophet Nicolaus Suguye ''huwezi kupata fedha kwa kuuwa mtu
Переглядів 1814 днів тому
Viongozi wa dini, serikali na jamii kwa ujumla wametakiwa kunyanyua vinywa vyao kupasa sauti kukemea vikali matendo maovu yanayo fanywa na baadhi ya watu wasionahofu ya mungu kwa kufanyiwa ukatili watoto kutekwa, kuuwawa na kunyofolewa baadhi ya viungo vya miiliyao. Akizungumza mkoani hapa wananchi ,wakiwemo viongozi wa dini kwa nyakati tofauti ambapo wamesema vitendo hivyo ni vyakikatili vinat...
MAAJABU YA MGANGA WA JADI ANAYEONGEA NA MIZIMU LIVE
Переглядів 3214 днів тому
MAAJABU YA MGANGA WA JADI ANAYEONGEA NA MIZIMU LIVE
WANANCHI TABATA WAIBUA SHANGWE BAADA YA SIMU YA MKURUGENZI/TUTAJENGA SHULE MPYA
Переглядів 8214 днів тому
WANANCHI TABATA WAIBUA SHANGWE BAADA YA SIMU YA MKURUGENZI/TUTAJENGA SHULE MPYA
RAIS SAMIA AMWAGA MIL. 250 UJENZI SOKO LA TABATA/MBUNGE BONNAH AFIKA/WAFANYABIASHARA 600 KUNUFAIKA
Переглядів 3614 днів тому
RAIS SAMIA AMWAGA MIL. 250 UJENZI SOKO LA TABATA/MBUNGE BONNAH AFIKA/WAFANYABIASHARA 600 KUNUFAIKA
RAIS SAMIA AFANYIWA MAOMBI/MBUNGE MTEMVU AKOSHWA NA HUDUMA RCT ATOA MILIONI 1 KUCHANGIA UJENZI
Переглядів 18014 днів тому
RAIS SAMIA AFANYIWA MAOMBI/MBUNGE MTEMVU AKOSHWA NA HUDUMA RCT ATOA MILIONI 1 KUCHANGIA UJENZI
UVUMI WATOTO KUDAIWA KUCHINJWA MEYA DAR AWATULIZA WANANCHI VINGUNGUTI
Переглядів 26014 днів тому
UVUMI WATOTO KUDAIWA KUCHINJWA MEYA DAR AWATULIZA WANANCHI VINGUNGUTI
Wenye viwanda migodi waonywatumuunge mkona Rais Samia kampeni ya nishati safi ya kupikia
Переглядів 614 днів тому
Wenye viwanda migodi waonywatumuunge mkona Rais Samia kampeni ya nishati safi ya kupikia
DC AONGOZA KIKAO CHA WADAU, WANASIASA KUJADILI DIRA YA TAIFA 2025/50
Переглядів 7714 днів тому
DC AONGOZA KIKAO CHA WADAU, WANASIASA KUJADILI DIRA YA TAIFA 2025/50
SAKATA MALIPO YA WANANCHI KIPUNGUNI MBUNGE BONAH ATOA MSIMAMO/WAMESEMA MWEZI WA 8 MTALIPWA
Переглядів 13721 день тому
SAKATA MALIPO YA WANANCHI KIPUNGUNI MBUNGE BONAH ATOA MSIMAMO/WAMESEMA MWEZI WA 8 MTALIPWA
SERIKALI YATOA MAAGIZO KWA FCC MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA DUNIANI
Переглядів 4021 день тому
SERIKALI YATOA MAAGIZO KWA FCC MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA DUNIANI
POLISI WAMSAKA DADA WA KAZI ANAYEDAIWA KUMJERUHI MTOTO
Переглядів 14421 день тому
POLISI WAMSAKA DADA WA KAZI ANAYEDAIWA KUMJERUHI MTOTO
WIKI YA UDHIBITI BIDHAA BANDIA/FCC YAJA NA MIKAKATI KUKOMESHA/KESHO NI KILELE
Переглядів 3421 день тому
WIKI YA UDHIBITI BIDHAA BANDIA/FCC YAJA NA MIKAKATI KUKOMESHA/KESHO NI KILELE
HAIWEZEKANI MIL. 16 IJENGE MATUNDU MAWILI YA VYOO/HILI SOKO LINA MAPUNGUFU LIREKEBISHWE
Переглядів 5021 день тому
HAIWEZEKANI MIL. 16 IJENGE MATUNDU MAWILI YA VYOO/HILI SOKO LINA MAPUNGUFU LIREKEBISHWE
MIKATABA YA SHILINGI BIL. 10.7 YASAINIWA UJENZI WA BARABARA JIJI LA DAR
Переглядів 9821 день тому
MIKATABA YA SHILINGI BIL. 10.7 YASAINIWA UJENZI WA BARABARA JIJI LA DAR
"HAIWEZENI HUU NI UCHAFU" MBUNGE BONNAH AKERWA NA UCHAFU MFEREJI WA SUNGURA
Переглядів 2121 день тому
"HAIWEZENI HUU NI UCHAFU" MBUNGE BONNAH AKERWA NA UCHAFU MFEREJI WA SUNGURA
INJINIA MBUNIFU ALIYEPATA TUZO MAREKANI YA TEKNOLOJIA YA KUMSAIDIA MWANAMKE AFUNGUKA
Переглядів 4021 день тому
INJINIA MBUNIFU ALIYEPATA TUZO MAREKANI YA TEKNOLOJIA YA KUMSAIDIA MWANAMKE AFUNGUKA
MAUZO HATIFUNGANI YA PREMIER SUKUK YAVUKA LENGO/HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA -CMSA
Переглядів 10228 днів тому
MAUZO HATIFUNGANI YA PREMIER SUKUK YAVUKA LENGO/HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA -CMSA
WAMEPATA IDHINI NA TUMEZINDUA RASMI/UKIWEKEZA UTAPATA GAWIO-CMSA
Переглядів 165Місяць тому
WAMEPATA IDHINI NA TUMEZINDUA RASMI/UKIWEKEZA UTAPATA GAWIO-CMSA
WASHINDI DROO YA FREELANCERS KUTOKA AIRTEL WAKWEA PIPA KWENDA DUBAI
Переглядів 33Місяць тому
WASHINDI DROO YA FREELANCERS KUTOKA AIRTEL WAKWEA PIPA KWENDA DUBAI
MBUNGE BONNAH AFIKISHA KILIO CHA WANA KIPUNGUNI KWA AMOS MAKALLA/MWEZI WA 8 WANANCHI WALIPWE FIDIA
Переглядів 69Місяць тому
MBUNGE BONNAH AFIKISHA KILIO CHA WANA KIPUNGUNI KWA AMOS MAKALLA/MWEZI WA 8 WANANCHI WALIPWE FIDIA
Upendo Peneza Aivua nguo CHADEMA Kwenye Mkutano/Kuna upigaji na Rushwa ndio maana nimehama
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Upendo Peneza Aivua nguo CHADEMA Kwenye Mkutano/Kuna upigaji na Rushwa ndio maana nimehama

КОМЕНТАРІ

  • @LuqmanLuqman-e8h
    @LuqmanLuqman-e8h 2 дні тому

    Munapatikana wp

  • @LuqmanLuqman-e8h
    @LuqmanLuqman-e8h 2 дні тому

    Mm nipo dar munapatikana wp

  • @himamasomhe4344
    @himamasomhe4344 4 дні тому

    ❤❤🎉

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 днів тому

    Mbowe yuko wapi?

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 6 днів тому

    Msiba.wa.serikari.ya.ccm.

  • @JacquelineMamboya-we8on
    @JacquelineMamboya-we8on 6 днів тому

    Halima Mdee,poleni sana,Nimemkumbuka Mama Teresia Montessori Msimbazi Centre.

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 6 днів тому

    Pole sana mh mdee roho wa Mungu akutie nguvu ktk kipindi hichi kigumu kwako

  • @fosterngumba
    @fosterngumba 16 днів тому

    Asante sana mheshimiwa. Bigup Mchungaji Dr. Aloyce Mahundi

  • @biitamarry4383
    @biitamarry4383 16 днів тому

    Big up sana

  • @user-lp4xk7qw3t
    @user-lp4xk7qw3t 19 днів тому

    acha ufala kumuomba laisi weunafikili hayoyanayo fanyika laisiayajuwi anayajuwa ilanyinyi kwake anaona siswala kuliangaikia anaona niswala dogoata kama ungekufa

  • @section8ight174
    @section8ight174 23 дні тому

    DanguRO!!!!!! Tumieni Kamusi sanifu wasenge nyie, mnatuaibisha!!!!

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi 27 днів тому

    Wewe sio type ya mbowe

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi 27 днів тому

    Wewe palilia upate hela

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi 27 днів тому

    Kwanini chadema tu

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi 27 днів тому

    Kwahiyo huko ulipoamia rushwa hakuna pendo kuwa na aibu chadema ndio imefanya ufamike kuwa na aibu

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 28 днів тому

    Acha propaganda nyumba. Acha siasa

  • @christophersimoni1434
    @christophersimoni1434 28 днів тому

    wewe Malaya tu😅😅😅😅😅

  • @melch3097
    @melch3097 29 днів тому

    Unaitia aibu ccm, hivi tumekosa watu kweli, hiki kitu gani

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 29 днів тому

    Njaa mbaya sana

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 29 днів тому

    Umalaya wa kisiasa huoo daaah!!! Hata wewe peneza duuuh usimwamini mtu

  • @apolinarymsele
    @apolinarymsele 29 днів тому

    Hongera mkuu

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 29 днів тому

    Ndo sera ya ccm ,mwaka mzima we ni chadema,tuambie ccm itstuvushaje

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co Місяць тому

    Mtoto mdogo unakuwa na tamaa, hakika kweli njaa mbaya, umehongwa sasa hivi umebaki kuogopea wanachi kwamba chadema hakuna haki.wakati chadema ndio walio kifanya ufike hapo ulipo, hakika umetudhihilishia kwa kauli zako kwmba wewe ni mchumia tumbo

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 Місяць тому

    Amehongwa,

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 Місяць тому

    Oja zimekwisha pole 😂bora bandari

  • @FrankGabriely-up5yo
    @FrankGabriely-up5yo Місяць тому

    Njaa mbaya

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele Місяць тому

    Hiv vimalaya havipaswi hata kuaminiwa vya akina delila hiv ndio vinakuja kuuza nchi

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s Місяць тому

    Yani wewe nijaa TU iliyo wapeleka uko

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s Місяць тому

    Peneza we simalaya tuuu

  • @husseynzooh1979
    @husseynzooh1979 Місяць тому

    Stupid

  • @user-xm3lq5qw1p
    @user-xm3lq5qw1p Місяць тому

    Big up

  • @CharlesiPhilimoni
    @CharlesiPhilimoni Місяць тому

    Ccm na chadema mtajibu maumivu wanayoyapata watanzania kwa munguwetu aliye juuu pigeni porojozenu huku wanannchi wanaumiswa wanabomolewa nyumba zaoo Iko siku itafika

  • @CharlesiPhilimoni
    @CharlesiPhilimoni Місяць тому

    Nyinyi wanasiyasa mnatuchanganya acheni hizoo mstutie ujinga niumbeya tuu acheni njaaa mnatuumiza wanannchi

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Місяць тому

    Serekali tatu

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Місяць тому

    Haya sasa huko ndo utapata katiba mpya

  • @hassanzuber
    @hassanzuber Місяць тому

    Nashauri viongozi kama hawa wasipewe uongozi hawafai waongowaongo tu kimsingi kiongozi safi ni mpambanaji na mvumolivu ccm tuwe makini na hawa wasaka vyeo watumieni kwa upambe mwisho tuachane nao hawafai wakikosa huku pia wataondoka na maneno yatakuwa hayo kwingine kamwe tusilogwe tukawaacha wanachama kamili tukawapa vyeo wapangaji chama hiki kimejengwa kwa shida hadi kilipofika tusonge mbele na wanachama tuachane na wapangaji warudi wakajenge kwao wasituharibie chama

  • @willsonFarasa
    @willsonFarasa Місяць тому

    Tupesela bas zilizo kupereka ccm maana mwanzo mwisho chadema

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 Місяць тому

    Yaani Ccm mmekuwa kama watoto Badala ya kutuambia mme ifanyia nini Tanzania kwa miaka yenu 64 ya utawala, mmebaki kuisema Chadema na Mbowe. Hovyo kabisa

  • @geraldminja5142
    @geraldminja5142 Місяць тому

    Hakuna kitukibaya kama njaaa

  • @EliasMmbaga
    @EliasMmbaga Місяць тому

    Mchumia tumbo tu wewe

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Huo ubwabwa wa mchimbi baba wa Taifa alisema kuna wanasiasa malaya malaya sijuwa alijuwa

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Huyu Malaya tu hana jipya

  • @mlangotv8465
    @mlangotv8465 Місяць тому

    Sura imepauka, badala uzungumzie chama chako, anazungumzia wengine, umeachana na mumeo bado unamzungumzia kwa mume uliye nae Sasa, unatumia ubongo vibaya mdogo wangu

  • @mlangotv8465
    @mlangotv8465 Місяць тому

    Mpaka Koo linakukauka😂😂😂

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh Місяць тому

    We kamama umekosa adabu Tena hauna akili sema sera zako nn kimesababisha uende ccm kwao hakuna kasoro au umelambishwa asali ninacho Jua ni mbwa pekee anae weza kuyaludia matapishi yake kuwa na maneno ya akiba

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Achana na chadema wew tumia pesa uliyonunuliwa wenye akili timamu tunawaelewa chadema chama cha ukombozi

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Місяць тому

    Km ni kweli kuna mazngra hayakutendeka sawa na jamii inakili kwann sasa wasiongezwe pesa? Pia chadema ndo chama hapa nchni

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi Місяць тому

    Unajua jaa zitawuweni hamna lolote muwe macho na hawa viongozi ambao hawapo na wananchi ni hatari kama mchwa.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Місяць тому

    Pesaaaaaaa hatari

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba Місяць тому

    Sio kudhalilisha tu, wanawatumia hawa wadada kuwapatia pesa kwa lazima, kama sii kweli, kwanini wanapokamatwa wanawaambia watoe hela, tena wanawapangia kiwango, wenyewe wanachofanya, wanawaweka ndani kwakigezo cha umalaya, ili kujipatia pesa.