Shukran sana ila naswali naomba kuuliza kwamwanamke hatakiwi kuoga kuanzia upande wakulia alafu amalizia na wakushoto mana hapo natatizika wengine walinambia waanza kutawadha alafu uanzekichwa pekeake alafu uje mwilini ambapo ndowaanza naupande wakulia je hilinalo vp? Naomba kufahamu sheikh
Kwanza unatakiwa kutawaza vizr Sehm za Siri, Alafu utashika udhu kama unataka kuswali zen utatia Nia ya kuoga Josho la Nifasi au Hedhi au Janaba, Kuoga kuanzia upande wa kulia zen kufuata kushoto Ni Suna, Lengo kubwa la Kuoga hilo Josho ni Kueneza Maji mwili nzima, Kama umemsikiliza vizr Sheikh akasema kama mwili wako Una mikunjo mikunjo hakikisha unanyanyua hizo Nyama za mikunjo hadi Maji yafike kila Sehm za mwili wako. NB: Kama unaoga Josho la Hedhi au Nifasi hakikisha unafumua Nywele zako kama ulikuwa umesuka
Tia Nia,utakapo aanza sema Bismillah,alafu osha mikono alafu utupu,ukimaliza tia udhu kasoro miguu ,baada ya hapo ukimaliza kuosha masikio yako basi osha nywele zako utakapo maliza Kuga mwili mzima ila kwote anzia upande wa kuliya baada yake malizia kuosha miguu yako kama vile unatia udhu ,,utakuwa ushamaliza hedhi yako.. Hope itakusaidia... Maasalaam
Silazima kufumua nywele zakawaida ila hakikisha maji ya nafika kwenye nguzi yk
Unaruhusiwa kuosha nywele hlf nd ukajitoharisha
Shukraan sheikh wangu
Shukran sana ila naswali naomba kuuliza kwamwanamke hatakiwi kuoga kuanzia upande wakulia alafu amalizia na wakushoto mana hapo natatizika wengine walinambia waanza kutawadha alafu uanzekichwa pekeake alafu uje mwilini ambapo ndowaanza naupande wakulia je hilinalo vp? Naomba kufahamu sheikh
Kwanza unatakiwa kutawaza vizr Sehm za Siri, Alafu utashika udhu kama unataka kuswali zen utatia Nia ya kuoga Josho la Nifasi au Hedhi au Janaba, Kuoga kuanzia upande wa kulia zen kufuata kushoto Ni Suna, Lengo kubwa la Kuoga hilo Josho ni Kueneza Maji mwili nzima, Kama umemsikiliza vizr Sheikh akasema kama mwili wako Una mikunjo mikunjo hakikisha unanyanyua hizo Nyama za mikunjo hadi Maji yafike kila Sehm za mwili wako. NB: Kama unaoga Josho la Hedhi au Nifasi hakikisha unafumua Nywele zako kama ulikuwa umesuka
Tia Nia,utakapo aanza sema Bismillah,alafu osha mikono alafu utupu,ukimaliza tia udhu kasoro miguu ,baada ya hapo ukimaliza kuosha masikio yako basi osha nywele zako utakapo maliza Kuga mwili mzima ila kwote anzia upande wa kuliya baada yake malizia kuosha miguu yako kama vile unatia udhu ,,utakuwa ushamaliza hedhi yako.. Hope itakusaidia...
Maasalaam
Asalaam waaleikum ustadh vpi kuhusu mwanamke bikra jee anaruhusiwa kuweka miski kwa kitambaa na kuingiza kwenye utupu wakee???
Mungu akuhifadhi
Kwan si lazima kunyoa sehem za siri na kukata kucha😢😢
Asante shehk nimejifunza kitu endelea kutufundisha
Inshallah tumejifunza mengi
Me naswli kwaushauri wa madaktar wamekataza kuwekituchochot chakemikali ndaniyauke kamasabuni na vingin vipikuhusu iyomiski haidhuru
Asalaam waaleikum, hapana miski haidhuru , ilaa badala ya kutumia sabuni sanaaaa,tumia maji motoo inaondowa harufu vzuri.
Maasalaam
Shukran🙏samahani je nilazima kutumia miski au mfinyanzi?
Sheikh Mbona hizo Nia Hamfundishi??
Shukran san shekhe
Shukurani
Shukreen shekhe
Shukran shekhe
Jee kama amesuka nywele zake pia mpka afumue ndio aoge?
Kwa heidh ni lazima kufumua nywele
Nywele ambazo aziingizi mj vizuri. Kwenye kichwa.
Mpka afumue nywele ndpo aoge kw sbbu maji yaingie mpka kwnye ngozi
Shukran 🙏 samahani Haina haja ya kuanza kutawadha! Na pia umezungumzia Rasta je ni halali kusuka Rasta? Please 🙏 naombeni jibu
rasta hairuhusiwi
Ni haramu kuunganisha nywele
@@sophia-uv9si Asante mwaya
@@halimahbwelele694 shukran 🙏
Hifai kusuka Wala kusukwa Rasta. Msukaj n msukwa wote wanapat madhambi
H
je jinsi ya kutia nia anatakiwa aseme nini?
Waeza sema hta kiswahili sio lazima kiarabu
Nanuia kuoga kwa kuondoa hadath kubwa ya damu ya heidh
@@halimahbwelele694 sawa asante mpenzi ☺️
Nia inatoka moyoni sio lazima kusomwa @@sifatiiman
Shukran
Je kueka dread ni haram pia
Ndio, mwanamke hafai kuongeza nywele zake na zingine ,,na hata natural ya dread ni haramu kwani sheria lazima hadhi ioshwe nywele zikiwa wazi
Shukulan
Jee kama amesuka nywele zake pia mpka afumue ndio aoge?
Shukran🙏samahani je nilazima kutumia miski au mfinyanzi?
Shukran🙏samahani je nilazima kutumia miski au mfinyanzi?
Shukran🙏samahani je nilazima kutumia miski au mfinyanzi?
Miski ni Bora zaidi ukitumia