Mashaallah ukthy asante kw kunijuza wallah nilikuwa sifaham jambo la kuunganisha hedhi na janaba asante kwa elimu,naomba na mm sku moja niwe mfano mzur katik ndoa mungu atujaalie ya khery wale wote ambao tunahitaj ndoa
Jazakallah kheri Ahsante sana nimejifunza. Kama ukifanya tendo na mwanamme ambae ajakuoa Lakin tayali ana nia yakukuoa na mkawa mnaishi wote inaswihi tafadhali naomba kufahamu 🙏🙏
@@Zarah_skincare A'aleykum Kwanza MUNGU aendelee kukuonesha wema uufuate na Insha'ALLAH akuepushe kwa dhambi ya zinaa. Kuoga josho la janaba ni kwa watu wote hata kama hujaoa au kuolewa. Usia wangu kwako ni kwamba jitahidi umlinganie huyo mwenza wako akuoe maana kama kweli ana nia ya dhati basi ndoa ni jambo jepesi kabisa, lakini ikiwa unamuogopa Allah basi jitahidi ukatae dhambi ya zinaa.
@SingoMedia Amiin Inshaallah ahsante kwa kunifahamisha ninashauku yakujua kama huwa mnatoa darasa kwa njia ya whatsapp lengo langu nikuhitaji kujua kuisoma Quran bila ya kukalili ni ombi tu kumladhi🥺🙏
W'salaam, endapo ikitokea ukaharibu mimba au ikiharibika yenyewe basi utatumia utaratibu ule ule unaotumika wakati wa kujitwaharisha josho la nifasi (Kujifungua).
A/alaykum , naomba kuuliza kuhusu discharge zinazotoka uken (uchafu) hii inakaa upande upi??? Na je yamzuia mtu kusali?? Yafaa kuogwa kama janaba na hedhi??? Je ukiwa umjiandaa kusali uko vyema kabisa lakini wakati umeshaianza sala upo kati kati ukajihisi umetokwa na uchafu, Je yafaa uendelee kusali au ukakoge kwanza au unachukua udhu tena??? Naomba msaada hapa tafadhali
W'salaam, 1. uchafu unaotoka ukeni hukumu yake ni sawa na uchafu wa kawaida tu ambao utapaswa kujisafisha kawaida ili uwe twahara lakini haihusiani na josho la hedhi, janaba wala nifasi. 2. Pia haikuzuii kuswali, jisafishe kisha ingia katika ibada ya sala. 3. Endapo ikatoea uchafu umekutoka ukiwa tayari katika swala basi hukumu yake ni sawa na mtu aliyetengukiwa na udhu tu kwahiyo swala itaharibika na utaenda kuchukua tena udhu wa kawaida kisha utafanya tena ibada yako ya sala. Ila kama huo uchafu unatokana na ugonjwa basi zipo njia zake na hukumu zake pia mfano ni yule mwanamke ambaye ada yake ya mwezi huzidi zile siku za kawaida (hupitiliza) sheria imeweka utaratibu maalumu wa kufuata. ALLAH WA-RASUL NI WAJUZI ZAIDI. Inshaa-Allah hayo ni majibu kwa ufupi naamini umepata kujifunza.
Naomba kuuliza swali je ukiwa umesuka minyoosho na unataka kuoga janaba unapaswa kufumua nywele au unaweza kuoga na minyosho yk mfano ili jambo kwa wanandoa uwa wana kukutana mara kazaa
Samahani ukt naomba kujua je? Mtu anayeishi kinyumba na mwanaume au mwanake wa imani nyingine yaani mkristo je anaruhusiwa kuswali au kufunga inaswihi, asalym alykum wallahmattullah wabarakatul.
suala la kuswali na kufunga (Ibada) ni lazima kutekeleza haijalishi unaishi maisha gani, ndio maana hata mgojwa hajapewa kibali cha kuacha ibada ya swala bali ataswali kadiri awezavyo. Lakini pia nikusihi tu, muogope Allah kwa dhati na uache dhambi ambayo tayari unaitambua maana kesho utakuja kuulizwa kutokana na hilo. Inshaallah tumuombe Mungu atupe mwisho mwema.
@SingoMedia Allhamdullillah ukht nashukuru sana, kunijuza maana wengi wanashindwa kwa kuwa wanarlezwa mengi mara haiswih kufanya ibada maana watakuwa wanaishi katika dhambi harafu wanamchezea allah unafanya ibada harafu unarudi palepale, acnte sana ukht.
Maashallah
Shukran jazakallahu kheir
Mashaallah ukthy asante kw kunijuza wallah nilikuwa sifaham jambo la kuunganisha hedhi na janaba asante kwa elimu,naomba na mm sku moja niwe mfano mzur katik ndoa mungu atujaalie ya khery wale wote ambao tunahitaj ndoa
Insha'ALLAH Mungu akupe mume mwema dada.
Mashallah Ukhty umetuelewesha vzr tuu ALLAH akujidishie Elmu
@@MdNasr-jm8pj Amin x 3 🤲
Nashukuru daa kwa elimu mungu akuzidishie
Amin x 3 🤲
mashaallah
Mashalla ❤
mashaallah ukhty
masha Allah
Mashallah Allah akulipe kheir inshaallah 🙏
Mashallah shukran
@@AzizaIddy-fw1ty karibu
Masha Allah
Karibu sana
Darsa zuri maashallah
Mashaallah
Mashallah Allah akulipe kheri inshallah ❤❤❤
@@Aisha-ic1rl Amin x 3 🤲
Mashaallah❤ asante kwa ukumbusho
@@FatumaAlli-y3k shukran
Shukurn habit allah akujalie uzid kutuelimisha
Amin
Mashallah 😊
Shukrani 🙏🙏
Karibu tena
Mshaallah ❤❤
Shukran
@@DusabeOdreille karibu sana, ungependa ujifunze nn kingine?
Nashukru sn kwa hiy mada
Shukran pia
Mashallah 🎉
Mashallah
Wanandoa ht wakikutana kila sikulazima waoge Jana a kila siku Ili wawe tohara na kufanya ibada❤❤❤❤
Mashaallah mashaallah ❤❤❤ila sauti kama ya diva
kweli?
❤❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllaah Shukran ❤
Shukran jazila ❤❤❤❤❤
Jazakallah kheri Ahsante sana nimejifunza.
Kama ukifanya tendo na mwanamme ambae ajakuoa Lakin tayali ana nia yakukuoa na mkawa mnaishi wote inaswihi tafadhali naomba kufahamu 🙏🙏
@@Zarah_skincare A'aleykum Kwanza MUNGU aendelee kukuonesha wema uufuate na Insha'ALLAH akuepushe kwa dhambi ya zinaa. Kuoga josho la janaba ni kwa watu wote hata kama hujaoa au kuolewa. Usia wangu kwako ni kwamba jitahidi umlinganie huyo mwenza wako akuoe maana kama kweli ana nia ya dhati basi ndoa ni jambo jepesi kabisa, lakini ikiwa unamuogopa Allah basi jitahidi ukatae dhambi ya zinaa.
@SingoMedia Amiin Inshaallah ahsante kwa kunifahamisha ninashauku yakujua kama huwa mnatoa darasa kwa njia ya whatsapp lengo langu nikuhitaji kujua kuisoma Quran bila ya kukalili ni ombi tu kumladhi🥺🙏
@@Zarah_skincare chat.whatsapp.com/GJpSWaVTaoUFZOkqhdvZF2
@@Zarah_skincare Hilo ni group la Whatsapp la channel yetu pia namba ni hiyo hiyo tunaweza kuwasiliana.
@@SingoMedia Shukurani
Shukurani
Karibu sana
Asante san kwa ukumbusho ❤
@@FatumaRahim-i8z karibu
Mashaallah Allah akulipe
@@RahmaYunus-d8t Amin x 3 🤲
🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm nilikuwaga sjui yaan nilikuwa nadhan anae paswa kuoga janaba nimtu ambae hana mme yaan anae chepuka hanandoa ahsante sana ukhuty ❤❤❤❤❤
Maashallah, karibu sana. Ungependa kujua nini kingine kutoka kwetu?
kusoma kimoyo moyo ibakubalika
@@NawalAli-e3f Naam inakubalika, ila iwe kimoyomoyo kweli bila kutoa sauti
Hairuhusiw kusom Quran kimy kimya@@SingoMedia
Je ukitia nia zote tati kwa wakati mmoja na kisha kuoga unarihusiwa
Salaam aleikum
W'salaam warahmatullah wabarakatuh, karibu
Ukhty ata kusoma qur an kimoyo inakubalika?
Assalam alykum jee ukiharibu mimba ukimaliza utajitoharisha kwa josho gani?
W'salaam, endapo ikitokea ukaharibu mimba au ikiharibika yenyewe basi utatumia utaratibu ule ule unaotumika wakati wa kujitwaharisha josho la nifasi (Kujifungua).
Ukiwa kwenye khedh husomi kur an mm nilikuwa cjui
Je inafa kumhag ndugu yangu nikiwa kwenye hedhi
Insha'ALLAH kesho nitaweka video ya majibu ya maswali yenu wote.
A/alaykum , naomba kuuliza kuhusu discharge zinazotoka uken (uchafu) hii inakaa upande upi??? Na je yamzuia mtu kusali?? Yafaa kuogwa kama janaba na hedhi??? Je ukiwa umjiandaa kusali uko vyema kabisa lakini wakati umeshaianza sala upo kati kati ukajihisi umetokwa na uchafu, Je yafaa uendelee kusali au ukakoge kwanza au unachukua udhu tena??? Naomba msaada hapa tafadhali
W'salaam, 1. uchafu unaotoka ukeni hukumu yake ni sawa na uchafu wa kawaida tu ambao utapaswa kujisafisha kawaida ili uwe twahara lakini haihusiani na josho la hedhi, janaba wala nifasi. 2. Pia haikuzuii kuswali, jisafishe kisha ingia katika ibada ya sala. 3. Endapo ikatoea uchafu umekutoka ukiwa tayari katika swala basi hukumu yake ni sawa na mtu aliyetengukiwa na udhu tu kwahiyo swala itaharibika na utaenda kuchukua tena udhu wa kawaida kisha utafanya tena ibada yako ya sala. Ila kama huo uchafu unatokana na ugonjwa basi zipo njia zake na hukumu zake pia mfano ni yule mwanamke ambaye ada yake ya mwezi huzidi zile siku za kawaida (hupitiliza) sheria imeweka utaratibu maalumu wa kufuata. ALLAH WA-RASUL NI WAJUZI ZAIDI. Inshaa-Allah hayo ni majibu kwa ufupi naamini umepata kujifunza.
@@SingoMedia Jazakallah-kheir
Kama wa ulisimishwa jana na kesho yake uwe kwa hedhi waruhusiwa kuta wada ama ala
@@GladyTinga Naam
Vipi anaewikiliza qur an akiwa kwenye hizo ada
Kusikiliza hakuna shida, ila usishike msahafu wala kusoma ukiwa kwenye ada.
Naomba kuuliza swali je ukiwa umesuka minyoosho na unataka kuoga janaba unapaswa kufumua nywele au unaweza kuoga na minyosho yk mfano ili jambo kwa wanandoa uwa wana kukutana mara kazaa
@@hamishamida700 Jambo la msingi maji yafike kwenye utosi pasi na kizuizi
Samahani ukt naomba kujua je? Mtu anayeishi kinyumba na mwanaume au mwanake wa imani nyingine yaani mkristo je anaruhusiwa kuswali au kufunga inaswihi, asalym alykum wallahmattullah wabarakatul.
suala la kuswali na kufunga (Ibada) ni lazima kutekeleza haijalishi unaishi maisha gani, ndio maana hata mgojwa hajapewa kibali cha kuacha ibada ya swala bali ataswali kadiri awezavyo. Lakini pia nikusihi tu, muogope Allah kwa dhati na uache dhambi ambayo tayari unaitambua maana kesho utakuja kuulizwa kutokana na hilo. Inshaallah tumuombe Mungu atupe mwisho mwema.
@SingoMedia Allhamdullillah ukht nashukuru sana, kunijuza maana wengi wanashindwa kwa kuwa wanarlezwa mengi mara haiswih kufanya ibada maana watakuwa wanaishi katika dhambi harafu wanamchezea allah unafanya ibada harafu unarudi palepale, acnte sana ukht.
Samahn me nataka nijiunge na group la Whatsapp ila siwez maana me nataka nijifunze kusoma Quran
@@presharsbadru9794 Maashallah
@@SaumuRamadhani-ef2gr karibu sana dada, 0677074468 Whatsapp
Je km mtu yupo kwenye hedhi haruhusiwi kumsuka mtu nywele
Anaruhusiwa
Janaba kwa mwanamk anae kutan na mume kila ck j anajitohoresh kila ck
@@UmmratyJuma Naam kila baada ya kukutana na mumewe (Baada ya jimai)
Dah bn mie ni sku saba ila siku ya tatu huwa inakata sku ya tano au sita inatoka tena hivo huwa nasubiri siku saba kamili au huwa nakosea samahan
Ni vyema ukajiridhisha kwa kusubiri hadi siku saba ili kujiondoa shaka.
Shukran
Mashaallah
Mashaallah❤
Mashallah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah