MGANGA MKUU ATHIBITISHA KIFO CHA MTOTO, KUZAMA KWA BOTI ZIWA VICTORIA, MAJERUHI KUPOTELEWA FEDHA ZAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 2 дні тому

    Mlikosea mlipo ona maji yanaanza kuuingia mngepiga cm mlipotoka kupata msaada

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye 5 днів тому +1

    Mungu yeye ndo anakusudi lake kuwaacha hai na wengine kufa mshukuru Mungu kwa yotee polenii sana

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 5 днів тому

    Subuhannallah poleni sana Allah awafanyie wepesi mpone nawalio kufa Allah awapokee

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 5 днів тому

    Tanzania yetu kuhusu uokoaji inapotokea ajali kwa lkweli n sifuri jamani hebu SIKILIZENI maelezo y wahanga kuanzia saakumi n mbili mpaka saatano masaa karibu sita hayo kweli serikali inakosa kuja kuokoa watu mpaka mitumbwi midogo tu ndio kila ck inaokoa watu

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 5 днів тому

    Halafu vifaa vy kila aina vipo lkn du cjui serikali inakwama wapi huwa wananishangaza kwenye mazoezi maonyesho unakuta askari wakionyeshwa km n mambo y moto au vitu vingine kuhusu ajali lkn ikitokea ajali huoni ch askari Wala ushuzi wa askari mnaboa bwana tz badilikeni

  • @HildaMjema
    @HildaMjema 5 днів тому

    Poleni sana pamoja na walipatwa na msiba Mungu awatie nguvu

  • @MahijaMahija-b8j
    @MahijaMahija-b8j 4 дні тому

    😢😢

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 5 днів тому

    😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 днів тому

    Innalillah wainan lillah rajoun Allah ampe kauli dhabit

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 5 днів тому

    Poleni kwa mtihan

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 днів тому

    Poleni sana jamani

  • @AgnesOnesmo
    @AgnesOnesmo 5 днів тому

    Poleni sana jamn

  • @MwanaidiMohamedi-d1y
    @MwanaidiMohamedi-d1y 5 днів тому

    Polen jamn