KUINGIA NCHI YA AHADI / UTUKUFU WA MUNGU KAMILI 1. Isaya 60: 1-3 2. Isaya 60:19-20 3. Isaya 58:10 4. Isaya 58:8 5. Daniel 5: 14 🕊Glory is for Kings ( ufamle) 🕊Glory is for the fullness ( Utoshelevu na ujazo) 🕊Glory is for attraction (Mvuto) 🕊Glory is visible
Jaman nn tangia Jana usiku nasikikiza haya mahubiri nasikia kulala paka saii nasikikiza nasijamaliza ata saii nasikikiza nimejikuta nimelala ata jana nimejikuta nimelala Damu ya YESU inisaidie
KUINGIA NCHI YA AHADI / UTUKUFU WA MUNGU KAMILI
1. Isaya 60: 1-3
2. Isaya 60:19-20
3. Isaya 58:10
4. Isaya 58:8
5. Daniel 5: 14
🕊Glory is for Kings ( ufamle)
🕊Glory is for the fullness ( Utoshelevu na ujazo)
🕊Glory is for attraction (Mvuto)
🕊Glory is visible
Ooh God, give me the heart of discernment na nirehemu baba, kwani kuna wakati ulionyesha baba,nikapuuza. Nipe ufahamu wa kiroho na hekima
Napokea neema hii najiungamanisha nahaya maombi Yesu usiniache
Amen Amen Amen Baba...Napokea Neema ya kutolewa kwenye utumwa / jangwani na kuvushwa kuingia Kaanani.
Amen baba najiungamanisha katika jina la yesu
Oh Lord, send out your light for me 🙌🏾 May your Glory not pass me by
Mungu wangu atakuwa utukufu wangu
Mungu wangu atakua utukufu kwangu
From dubai tunabarikiwa sana
Ameen
Florence- Arusha
🙏🙏🙏
Ameeeen Baba
Amen
GLORY UPON GLORY🙏
Ameeeen
Shalom elibariki from dodoma napenda sana vile mungu anakutumia
Jaman nn tangia Jana usiku nasikikiza haya mahubiri nasikia kulala paka saii nasikikiza nasijamaliza ata saii nasikikiza nimejikuta nimelala ata jana nimejikuta nimelala Damu ya YESU inisaidie
Amen 🙏
Ameeeen
MUNGU wangu atakuwa n utukufu kwangu