MADHARA YA ROHO ZA UZINZI ZINAA NA UASHERATI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Karibu tujifunze BIBLIA pamoja. Neno la Mungu ni taa na mwanga wa njia zetu hivyo karibu tujifunze namna ya kuitumia hiyo taa vizuri na kuielewa vizuri. Neno la MUNGU lisilo goshiwa
    .
    Tunapatikana Dar es Salaam, Tabata Kinyerezi
    Kwa mawasiliano na sadaka :- +255762664498

КОМЕНТАРІ • 19

  • @agnesnzali5724
    @agnesnzali5724 6 місяців тому

    Aaa Mungu akubariki nmepata kit kipya na Cha kunivusha

  • @magrethdamiano6305
    @magrethdamiano6305 11 місяців тому +1

    Amen pastor wanaume kama nyie tunawatafuta lkn hawaonekani,, mama apo anajisikia vizuri sana anajivunia kuwa nawe

  • @claudiamzava7640
    @claudiamzava7640 5 місяців тому

    Amen Pastor.

  • @apostlepaul4522
    @apostlepaul4522 6 місяців тому

    Dhambi ni zambi Mtumishi ubarikiwe ni vema kusema ukweli na kulionya kanisa na kulifundisha kanisa kukaa na kuenenda ktk usafi Mimi nakuunga mkono ubarikiwe

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 11 місяців тому

    Amen Amen mafundisho ya uzima haya vzuri kwa vijana Sisi ndoa ucha Mungu Yusufu alikimbia tuikimbie Zinaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥....

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 Рік тому +1

    Ameeen 🙏

  • @hamisingumbi998
    @hamisingumbi998 10 місяців тому

    Mungu akuzidishie nguvu mtumishi

  • @mosesnnko5591
    @mosesnnko5591 11 місяців тому

    Amen

  • @theodosiamushi5411
    @theodosiamushi5411 11 місяців тому

    Ni kweli mtumishi wa mungu

  • @user-lc3km8ry6m
    @user-lc3km8ry6m 11 місяців тому

    Amen 👃👃

  • @magrethmwakifuna9792
    @magrethmwakifuna9792 10 місяців тому

    Kama una ufunuo Mungu amekupa wewe juu ya jambo hili wewe lifundishe usitafute kudharau watumishi kana kwamba wao sI wa Mungu ila wewe Jana kwamba hawajui kufundisha ila wewe.Kumbuka Mungu anaweza kukupa neema hii haimaanishi wote wawe kama wewe,huyu japewa hiki na huyu hiki.Usimdharau mwingine maana wote mumewejwa na Mungu.
    Kwa nini nyinyi watumishi mnapenda kudharauriana?Kila anayefundisha kwenye mitandao lazima aseme wachungaji wenzie Mungu hafurahishwi na hayo.
    Jifunzeni kwa wengine,Kuna watumishi wanatembea kwenye ufunuo waliopewa na Mungu tu,mkajifunze kwako.

  • @annasilaa6578
    @annasilaa6578 11 місяців тому

    Barikiwa Mtumishi

  • @MeshackAngel-kc2gc
    @MeshackAngel-kc2gc 11 місяців тому

    Mungu akuinue

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Рік тому

    Amen 🙏

  • @user-xc1dv8dc9n
    @user-xc1dv8dc9n Рік тому

    Ni hatari sana

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 2 роки тому

    Hongera kaka.

  • @esterlyimo1935
    @esterlyimo1935 2 роки тому

    Hii spirit unafanya kazi sana sasa hivi katika ulimwengu wa Roho na mwili

  • @mediatz8537
    @mediatz8537 Рік тому

    Amen