HATUA 7 ZA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA KILE UNACHOKIPITIA|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 30/05/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
    Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
    - M-Pesa Lipa Namba : 5252176
    - MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    - KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
    -Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

КОМЕНТАРІ • 65

  • @floshkitchen3061
    @floshkitchen3061 2 місяці тому +13

    Mwezi wa sita nategemea kibali kilicho toweka kwa maisha yangu kirudi,nategemea milango iliyo fungwa kwenye maisha yangu ifunguke,nategemea kutembea na Mungu na kuongozwa na roho mtakatifu mwezi wote huu wa sita🙏🙏🙏

  • @assiasolomon1418
    @assiasolomon1418 2 місяці тому +6

    Mwezi wa 6 ukawe mwezi wa baraka na kupokea ehee Mungu nionekanike naomba nipate vibali na kazi🙏 na nitangulie katika safari ya mwezi wa nane amen 🙏

  • @jacklineumbisa4934
    @jacklineumbisa4934 2 місяці тому +4

    Mwezi wa sita natarajia Uzima,nategemea kuona msaada wa Mungu uningoze nimalize madeni,,Mungu nisaidie kwa neno lako,Mungu nipe uzima katika jina la yesu

  • @teresiadeule3960
    @teresiadeule3960 2 місяці тому +3

    Asante pastor kwa neno zuri,ila pastor ulisema utatufundisha majina ya Mungu na kazi yake nasubiri sana somo hilo kwa hamu

  • @GloriaMillinga
    @GloriaMillinga Місяць тому

    Hakika mahubiri yako hayochoshi, yamenibadilisha kwa kiasi flani,, MUNGU anisaidie nibadilike zaidi Amina 🙏

  • @AliceNduku-cx9hm
    @AliceNduku-cx9hm Місяць тому

    Naomba roho wa mungu atawele maisha yangu na watoto wangu na masomo yao yajengwe juu yako mungu shetani asipate nafasi katika maisha yao

  • @MathewSilu-df2ii
    @MathewSilu-df2ii 2 місяці тому +1

    Pastor you have been a great blessings to me if it we're not for you i could not be where i am now ,
    Following you keenly in washington state USA

  • @leonidafatson882
    @leonidafatson882 2 місяці тому +1

    HATUA 7 ZA JINSI YA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA NINACHOPITIA.
    Neno la Mungu ni siraha pekee iliyoaminika na Mungu ya kwamba haiwezi ikafeli, Linaweza kupenya popote.
    Waebrania 4:12
    Neno la Mungu sio andiko neno la Mungu ni mtu (hai) ambae ni kristo.

  • @Walumbe
    @Walumbe 2 місяці тому

    Naomba uponyaji wa mtoto wangu Samuel tukiwa hospitalini

  • @leonidafatson882
    @leonidafatson882 2 місяці тому +2

    HATUA 7 ZA JINSI YA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA NINACHOPITIA.
    1. Lazima nitambue ninataka nini kutoka kwa Mungu .
    2. Nikashajua ninachokitaka , Niende kwenye neno la Mungu nipate neno la Mungu linaloendana na ninachokitaka.
    Isaya 34:16
    3. Nihakikishe nimejaza fikira zangu kwa kulitafakari hilo neno mpaka litengeneze picha katika ufahamu wangu.
    Yoshua 1:8
    4. Kulichukua hilo neno na niliweke kwenye maombi.
    Isaya 43:26
    5. Niamini ya kwamba nimepata bila ya kuwa na hofu. Nijitengenezee mazingira ya kumuamini Mungu wangu.
    6. Natakiwa kushikilia ujasiri wangu.
    7. Nichukue hatua ya imani inayodhihirisha imani niliyonayo.
    Yakobo 2:17
    8. Nimkemee na kumpinga shetani.

  • @user-lu2mc4hq8i
    @user-lu2mc4hq8i 2 місяці тому +1

    NAITWA JULIANA MWAIHOJO WATUNDUMA MWAKA NAPOKEA MIMI NAUZAO WANGU NAAMINI MUNGU ATAFANYA.

  • @zipporahmuraga4737
    @zipporahmuraga4737 2 місяці тому +1

    Pastor nimembarikiwa sana

  • @bethsebamilinde7113
    @bethsebamilinde7113 2 місяці тому

    Nategemea kuhama Kwa uweza wako mungu 2:33

  • @leonidafatson882
    @leonidafatson882 2 місяці тому

    3. Neno la Mungu ndilo linaloumba na kutunza uhai wa Mungu ndani yangu.
    Kuna aina tatu za uhai;
    -Uhai wa mwanadamu without divine in me.
    -Uhai wa shetani . Anakuwa hana moyo wa huruma wala moyo wa kufanya vitu vitakatifu.
    1petro 1:23-25
    -Uhai wa Mungu. Ndio kinga niliyonayo mimi .

  • @leonidafatson882
    @leonidafatson882 2 місяці тому

    Nina uimara kwasababu Nina msingi wa Neno. Nina maandiko ambayo nimefunuliwa na nayasimamia kwenye maisha yangu . Lazima nijenge maisha yanayolipenda neno na yanaliitikia neno la Mungu.
    Luka 6: 47-48
    Kila siku ninayosoma neno la Mungu ninachimba msingi wangu.

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 місяці тому

    Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-rh6lc3wo6k
    @user-rh6lc3wo6k 2 місяці тому

    BABA NAOMBA UREJESHO WA NYOTA YANGU ILIO IBIWA NA MUOVU SHETANI

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 2 місяці тому

    AMINA 😇😇

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 2 місяці тому

    Amen and amen 🙏🙏

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 2 місяці тому

    Anategemea nione msaada as Mungu nakuona mingi zangu alinifunga...nategemea kuona neema na kubali juu yangu na nipate ndoa nzuri in jesus name ....nategemea nione break through kwa maisha yangu 👋🙏🙏

  • @SabinaOchami
    @SabinaOchami 2 місяці тому

    Amen

  • @janesamwel7376
    @janesamwel7376 2 місяці тому

    NAMSHUKURU MUNGU NIMEWEZA KULIJUA NENO KUPITIA KWAKO,KILASIKU LAZIMA NOPAYE FOSE YA SOMO LAKO.MUNGU AZIDI KIKUFUNULIA NA KUKUPA MADINI MAPYA

  • @Lusimo1116
    @Lusimo1116 2 місяці тому

    Mungu akuinue Sana baba nimemjua mungu zaidi kupitia wewe Mimi ninatoka kwa Familia ya kiislam lakini kupia wewe nimejikuta nanena kwa lugha pasipo kujua imekuaje Tena nikiwa pekeyangu njiani

  • @naomikyengo2277
    @naomikyengo2277 2 місяці тому

    Napenda mafunzo yako nipp msa

  • @NijimbereFrancoise
    @NijimbereFrancoise 2 місяці тому

    Mwezi WA sita nategemea uwezo WA mungu Uwe juu yangu, unibaliki na watoto baba 👏

  • @user-th1jb1hb1k
    @user-th1jb1hb1k 2 місяці тому

    MUNGU naomba mwezi huu wa sita ukawe ni mwezi wa baraka kwangu

  • @bethsebamilinde7113
    @bethsebamilinde7113 2 місяці тому

    Mwezi wa sita nategemea Kuona uzima,afya mafanikio ya Yale yaliyochelewa niyapokee

  • @Daniella249
    @Daniella249 2 місяці тому

    Mwezi wa 6 ukawe mwezi wa kupokea baraka zangu na kibali cha Mungu 🙏🙏

  • @LilianFares-gg7tz
    @LilianFares-gg7tz 2 місяці тому

    MUNGU akupe maisha marefu pastor maana kila ujumbe unao ongozwa kuhubir unagusa maisha yangu hakika roho wa bwana ameniongoza mahali sahihi pa kukombolewa mwezi wa4 Sasa nafatilia ibada zako nimefunguliwa kwa hatua kubwa Sana siishi kwa kubahatisha tena Wala sipigani na nisicho kijua

  • @ConjestaKimario
    @ConjestaKimario 2 місяці тому

    Mwenzi wa 6 niuonee wema wako Mungu katika maisha yangu

  • @junicnamuwenge6957
    @junicnamuwenge6957 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 2 місяці тому

    Amen, Amen 🙏
    Nimepokea portion yangu Kwa jina la Yesu Kristo Alie hai 🙏

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 2 місяці тому

    mwezi as sita Natarajia mabadiliko kwa kiroho changu kiinuke zaidi na mabadiliko kwa maisha na kwa hafya yangu Mungu anjalie neema zaidi

  • @abigailosoro5640
    @abigailosoro5640 2 місяці тому

    Following from Eldoret Kenya 🇰🇪 You have been a blessing to me and my Family

  • @salma5016
    @salma5016 2 місяці тому

    Mwezi huu wa Sita naomba mungu aniwezeshe Malengo yangu yakuekeza pesa yakununua kiwanja ili nijenge eeh mungu niongoze ili nipate Kibali machoni mwako

  • @naomikangangi4480
    @naomikangangi4480 2 місяці тому

    Following from Kitui Kenya,am blessed with you message pastor.God bless and your family.natarajia milago yangu ifunguke.

  • @DoraMtui
    @DoraMtui 2 місяці тому

    Yesu nategemea kibali kikubwa mwezi wa sita na amani kubwa kwenye familia yangu

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 місяці тому

    Yani ukweli baba wewe umenifundisha kusoma neno na nimeona utamu wa kusoma kimenipa kujinasua hata nikivamiwa

  • @rehemaramadhan5043
    @rehemaramadhan5043 2 місяці тому

    Nitegemea Kuingia mwezi 6 kwakufunguliwa vyote vinavyofanya nisibarikiwe ktk kila hatua zangu nifunguliwe eee Mungu nitoe kwenye madeni mm niishi kwa amani ,amani yangu imepotea nataka kukutumikia Mungu mwezi wa6.

  • @annadaffi2023
    @annadaffi2023 2 місяці тому

    Nategemea kufanikiwa mwezi wa sita
    Uwe mwezi wa kubaki
    Kibali kwa watoto
    Kibali ktk familia,ndoa,biashara

  • @LilianWaruguru-il4ls
    @LilianWaruguru-il4ls 2 місяці тому

    Praise God naomba kuongea na mtumishi George mwenye ako na namba yake anisaidie tafadhali

  • @modestermwali
    @modestermwali 2 місяці тому

    Nipe neema bwana yakulitendea neno lako kazi 🙏

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 2 місяці тому

    Nategemea nione ukombozi wa afya kwa ajili yangu na familia yangu

  • @BlaiseKananemunguiko
    @BlaiseKananemunguiko 2 місяці тому

    Asante kwa neno la Mungu. Mungu akufunuliye mengi kwa faida ya nafsi za taifalake

  • @user-mq6iq6zk7g
    @user-mq6iq6zk7g 2 місяці тому

    Ubalikiwe mutumish wa Mungu

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 2 місяці тому

    Mwezi wa sita natengemea hekima ulinzi pia Baraka

  • @edithmchenditsi3318
    @edithmchenditsi3318 2 місяці тому

    Natekemea nione kibali kwa jina la yesu kristo

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 2 місяці тому

    Wabie wanje Jordan watanjuwa juwa 😂😂 AMINA 🙏🙏

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 2 місяці тому

    Amen amen and amen God bless you so much the man of God 🙌🙏

  • @byaduniafuraha
    @byaduniafuraha 2 місяці тому

    Nashukuru Mungu kwa ujumbe huu,Mungu akubariki

  • @jacklineumbisa4934
    @jacklineumbisa4934 2 місяці тому

    Following from kenya Nairobi

  • @ROPHENCEBENDERA
    @ROPHENCEBENDERA 2 місяці тому

    Ameni naomba Mungu anifungilie milango

  • @linernyambarya6389
    @linernyambarya6389 2 місяці тому

    Ameeeeeeeen nabarikiwa mno

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 2 місяці тому

    Ameen Ameen

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 2 місяці тому

    Ameeeeeeeennnnnn

  • @MercylineAoko
    @MercylineAoko 2 місяці тому

    amen🙏🙏

  • @user-sd2cb3wr8x
    @user-sd2cb3wr8x 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @user-lu2mc4hq8i
    @user-lu2mc4hq8i 2 місяці тому

    NAJIUNGAMANISHA NA HUDUMA HII NIMETUMA SADAKA YANGU YA KUINULIWA NAKULINDWA NATEGEMEA NIONE UZAO WANGU WAONE MEMA NAKUFANIKIWA NAAFYA TELE

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 2 місяці тому

    Fundi mitambo, UA-cam audio ya video hii iko chini sana. Tafadhali unaweza kuongeza kidogo?

  • @user-gs4fz8nt2q
    @user-gs4fz8nt2q 2 місяці тому

    Mimi naota ndoto moja inajirudia kila siku nna ota nasafiri nini maana yake ? Au niombe maombi gani wapendwa

  • @PriscillaKazungu
    @PriscillaKazungu 2 місяці тому

    Amen

  • @BONIFACEMUSAU-do9oh
    @BONIFACEMUSAU-do9oh 2 місяці тому

    Amen