@@omanoman2044 hyo n siri iliyofichika n Mungu mwenyewe anajua pale utakaposhinda n kuingia katika ufalme wa mbinguni kupitia Yesu kirsto basi utapata majibu ya swali lako
Mhhhh naona watu mnatiririsha maneno kweli inaonekana mme jikamilisha hongera kwenu watoto mlio barikiwa msio kua wa zinah ila kila aliye zaliwa na mwanamke amekuja duniani kwa kusudi la Mungu na kila aliye chini ya jua amekuja kwa njia ya mwanamke na ataondoka kwa njia ya kaburi Mungu awabariki
Bro hujafahamu sio wakristo wote wana amini yesu nimungu wao wana amini yesu ni mtoto wa mungu kwa sababu hakupatikana na baba wanaamini mungu yupo na sio yesu wana amini yesu ni mtoto wa mungu
Huyu atakua kma mme wngu zaman alikua akitumia viwemve vya kawaida ila alipojigundua saiv anatumia mashine bas hawafanyi na akimaliza ana tumia facial inasaidia pia after shave pia haimpend
Mungu ni mmoja hajazaliw walla hajazaa walla hafananishwi na chochote
Inategemea Kuna Mungu mmoja n miungu tofauti
@@joycepatofondo mie.najuw mungu ni mmoja tuy hao miungu unao wajuw mie namjuw mungu ni mmoja tuy hafananishwi na chochote
@@omanoman2044 Mungu wa kweli n Mungu wa Israeli alieumba umba mbingu n nchi hao wengine walikuja baadae sana n chanzo chake kilitokea babeli
@@joycepatofondo mungu wa kweli alitoka wap ? Eeh haya
@@omanoman2044 hyo n siri iliyofichika n Mungu mwenyewe anajua pale utakaposhinda n kuingia katika ufalme wa mbinguni kupitia Yesu kirsto basi utapata majibu ya swali lako
Mhhhh naona watu mnatiririsha maneno kweli inaonekana mme jikamilisha hongera kwenu watoto mlio barikiwa msio kua wa zinah ila kila aliye zaliwa na mwanamke amekuja duniani kwa kusudi la Mungu na kila aliye chini ya jua amekuja kwa njia ya mwanamke na ataondoka kwa njia ya kaburi Mungu awabariki
Zinaa banaa inatambulika kama ni dhambi ya kawaida tubuniiiiii waja wa Allah
@George chitemo nani kakudanganya km Kuna Mungu wawili. Binadamu tuliyeumbwa kwa udongo Mungu wetu ni ☝️
Hapana
Karibuni sana kwenye Dini ya Hakki
Kaka anaongea mstaarabu sana akili mingi 🙌🏼🌹
Jamaa kafanana xana na Kayumba aisee
Bora uamini mungu yupo ukenda usimkute kuliko kuamin mng hayupo ukenda ukamkuta🙌
Hakika
Waislam na wa Kristo wanabudu Mungu tofauti msidanganyane na paula n mkatholic n bwana n muislam mungu wao n mmoja
Mungu ni mmoja,
Pesa ndo kila kitu
Akili kubwa sana, jamaa anaongea kikubwa sana,
Aweee
❤❤❤
Kwenye iyo harubain, ndio vizuri wangefunga ndoa ingedamshi?
Safi Jay 🎉🎉🎉🎉
Mungu mmoja awezi kua na utaratibu mingi katika dunia hivyo fatilia vizuri ujue haki iko wapi uifate usije jiraumu wakati lawama aito kusaidia
Kwan token hapo mm najua Paula ni muislam kwa kuwa Farida n muislamu na majani pia ni muislam
Kajala mkatoliki pia majani anaitwa Paulo kwahyo ni mkristo pia
mnashadadia uzinifu kafiru kabisaa😏😏😏😏😏😏😤😤🙄🙄
Lazima ataenda kwenye din hiyo hatutaki ujinga
Anabadili dini kisa mwanaume,hawana ndoa hao zaidi ya kiki
Mungu wa waislamu hawezi kuwa yesu hata siku moja kwahiyo nyie mna mungu wenu na sisi tuna mungu wetu period
Pole ndugu yangu ila yesu si Mungu ni mtume
Tofauti ya mitume n mungu upo dunia gan😂
Bro hujafahamu sio wakristo wote wana amini yesu nimungu wao wana amini yesu ni mtoto wa mungu kwa sababu hakupatikana na baba wanaamini mungu yupo na sio yesu wana amini yesu ni mtoto wa mungu
@@mishihassan9035Wanajikutaga wajuaji Hawa miungu watu😂😂😂
Hahahaha kmbe wachristo mngu wenu ni yesu ooooh jaman
Uyoo nae ni msanii au chawaaa
Chawaaa huyu
Duh!!! Vidovidoxx hatumii after shave au?? Mbona manundu mwengi
Huyu atakua kma mme wngu zaman alikua akitumia viwemve vya kawaida ila alipojigundua saiv anatumia mashine bas hawafanyi na akimaliza ana tumia facial inasaidia pia after shave pia haimpend
Mtt wakiisilam unazalishwa watt waxinaa naupo tuy hapo haujui kufa kupo duuh
Watto wazinaa ndo watto gani???
@@checkcheck5191 ww mwenyew wazinaa utajulia wap
Kitanda hakizai haramu elewa hilo jitahidi ku pevuka kiakili usome na maandiko vzr
Andiko gani linalo sema ivo@@nuruamry
Ukiachana na zinaa hiyoo uloibebea bango unauhakika umekalika?
ubwa nyie
Akumae zenu mevaa kanzu za allah kwaajili yakwenda kutunza mitoto ya laana amabayo nimitoto ya zinaa du hii dunia sijui wap tunaelekea kwakweli da
Kumanyoko mbwa wew ukute wew mwenyew mtoto wa nje ya ndoa kujifanya mungu mtu
Mtt kahusikaje hapo? Wenye makosa ni hao wazazi usimtie mtt kwenye dhambi za mtu mwingine
Kumbe Allah anavaaga kanzu na hukutuambia
Aaah we jamaaa ni shetani kabisa si dhani hata kama dini unaijua ww
Hakuna mtoto walana hataowa waliozaliwa ndani yandoa ndio wanakuua mashoga wanje yandoa hutokea shekhe
Hakuna Mungu mmoja Mungu wa kristo ni mwingne na mungu wa Kislam mwingne
Kwan waisilam mungu wao ni nani na wakirsto mungu wao ni nani duuh
Duh we mzeeee pole sana
Mmmmh iyo ndo kwanza nakusikia wewe kama kuna mungu wawili
Hawa wakina George mungu. Wao ni yesu kwani hamjui
😂😂😂😂 subhanallah mmh
ubwa nyie