MBOWE,LISSU WATOA TAMKO MGOMO WA WAFANYA BIASHARA KUFUNGA MADUKA ASEMA ITASAIDIA SAUTI ZAO KUSILIZWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 чер 2024
  • #mbowe #lissu

КОМЕНТАРІ • 43

  • @PauloKilami
    @PauloKilami 4 години тому

    Ongera baba utatoboa tu Mungu atakusaidia

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 2 дні тому +4

    Wacha ujinga mambo wakenya ni Kenya watazania mungu atupe amani

  • @chachanyaisa
    @chachanyaisa 2 дні тому +1

    Ww hujitambui kama unajitambua tazama kusogo chako ww ndy mjinga maana uwenyekiti wa mbowe haujakunyima kitu ww ni sawa na wabunge wa kenya

  • @chedielmchomvu7078
    @chedielmchomvu7078 2 дні тому

    ❤❤❤❤❤

  • @richkonga
    @richkonga 2 дні тому

    Nimakuelewa mzee

  • @user-bs7cw1oi6z
    @user-bs7cw1oi6z 2 дні тому

    Heeee hatari

  • @pwaniseries
    @pwaniseries 2 дні тому

    Sema Baba Sema

  • @user-os8qc7pl1g
    @user-os8qc7pl1g 2 дні тому

    Unapokosea badala yakuangalia . Maendeleo ww unapotosha

  • @user-os8qc7pl1g
    @user-os8qc7pl1g 2 дні тому

    Ww unataka kuua watu huna lolote

  • @JosephundadoleweMbisa
    @JosephundadoleweMbisa 2 дні тому

    Acha. Uhuni

  • @lgf7297
    @lgf7297 2 дні тому +1

    Episode by episode. Ilikuwa mikutano wakapewa mikutano. Ikajactumehuru wakapewa tumehuru. ikaja sukari kumbe iko tele. Wakaja desparado wa Kenya wakakuta sisi tofauti sana. Sasa mgomo wa Kariakoo a la arap Ruto wanazungulukazunguluka. Mama yuko kazini.

    • @mgungulem3187
      @mgungulem3187 2 дні тому

      Sema Chura yupo kazini

    • @Kakamkubwa3564
      @Kakamkubwa3564 2 дні тому

      Nikajua anazo timamu kumbe hata kuandika halijui 😮

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 дні тому

      Hakika wewe ni mujinga ambaye hajawai kutokea Leo wafanyabiashala wanafunga maduka bado huoni ulisoma shulegan ww?

  • @chachanyaisa
    @chachanyaisa 2 дні тому +2

    Alicho kisema mbowe hata Tanzania kiaja maana kuna dhuruma nyingi kuliko kenya

  • @bernardboniphace1380
    @bernardboniphace1380 День тому

    Iposiku tuta amka kuna machawa umu simu zao azitumii bando

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 дні тому

    Wamelewa madaraka dawaipo jikoni inachemshwa hizi Kodi Hadi nyumba tunazoishimo tutachukua maamuzi magum

  • @JosephundadoleweMbisa
    @JosephundadoleweMbisa 2 дні тому

    Kikuu. Katika. Vyote. Nikujitambua

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 2 дні тому

    Nanyea wakina mboe mnazingua tuna wasubili nyie tumechoka kilasiku mnaogopa nini mbona wakenya wameweza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 дні тому

      Wakenya wameweza wananchi sio majinga

  • @aliykamaga4174
    @aliykamaga4174 2 дні тому

    Oyaaa wee utawaonatu bunge lakijani

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 дні тому

    Wajinga sana hawa mbowe na Tundulisu mbona wameshindwa kuleta mabadiliko kwenye chama chao .mbowe miaka 24 nimwenyekiti wa taifa . Hukuna lolote huwa huna hoja mpaka unadadia hoja za wafanyabiashara

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 2 дні тому

      Nyani haoni kundule! Geuka ujione kupitia kioo kilichonyuma yako. Pumbafu.

    • @stephenndagalla8183
      @stephenndagalla8183 2 дні тому +1

      Kukaa muda mrefu kwa Mbowe CHADEMA ni hoja MFU. Kagame, Museven, Putini, Xi Jipin wako madarakani ktk nchi zao zaidi ya miaka 20, nchi zao linnganisha na Tz chini ya CCM miaka zaidi ya 60, ziko juu ya Tz kiuchumi. Una akili au matope kichwani mwako!!??

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 дні тому

      Tujadili hoja za kujenga taifa. Yale ya Kenya Yana sababu zake.kwetu kama kuna tatizo tujadili mpaka tupate majibu.

    • @binsherbal6089
      @binsherbal6089 2 дні тому +1

      We Mkondya umeamua kufuatilia Kila linalozungumzwa na kufanya na Mbowe na Tundu Lissu. Umelipwa kuhangaika na Chadema. Nakwambia utakufa na kihoro. Chadema utaiacha Iko imara Mbwa wewe.

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 дні тому

      Mbowe uko sahihi babaaa""