Queen Darleen X Harmonize - Mbali (Official Video) Sms SKIZA 8546391 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2019
  • Being in a long distance relationship is quite fine, however, at times, It becomes tough and challenging to stick and keep the loyalty to each other.
    Each one doubts if the same feeling still exists between the two of you.
    This is not an exception to Queen Darleen, who is struggling to keep it up with her lover who is far away trying to make it in life. Despite Harmonize’s call for patience, loyalty and promise to return as he is hustling to make the ends meet,
    Surprising when he comes back he only finds her married with another man and having a family
    MBALI is a song that portrays long distance relationships as the test of love, patience and loyalty
    Song Produced By Lizer Classic
    Wasafi Records
    Video Directed By Director Kenny Under Zoom Production
    Contact Zoom Production:
    zoomproduction4@gmail.com
    directorkenny1@gmail.com
    +255718546547
    #Wasafi #Mbali #Harmonize

КОМЕНТАРІ • 4,1 тис.

  • @Subsribed
    @Subsribed 2 місяці тому +133

    Kama una tazama huu wimbo mwaka huu 2024 like hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 22 дні тому +22

    Wale watazamamj wa 2024 tujuane kwa likes jaman❤❤❤❤

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 8 днів тому +6

    Kama unajua kuwa huu ni wimbo wa mwisho Kwa harmonize akiwa wcb NIPE LIKE.

  • @despartahconiez
    @despartahconiez 3 місяці тому +53

    Wangapi bado hii ngoma inakill 2024

  • @mosessimiyu6954
    @mosessimiyu6954 5 місяців тому +64

    Mwaka mpya 2024 ila Bado sichoki kuirudia rudia ❤like kumi wanao isikiliza bado

  • @noelmafumbula6571
    @noelmafumbula6571 7 місяців тому +74

    dada tume ku miss sana kila mara narudia huuwimbo tujuane tulio rudia huu wimbo 2023😍😍😍

    • @glorineniyonzima
      @glorineniyonzima 5 місяців тому +2

      Ata 2024 niko nausikia

    • @dafgwg4653
      @dafgwg4653 4 місяці тому

      Niuskiza leo 😂😂

    • @AshaOmar-pc6ew
      @AshaOmar-pc6ew 3 місяці тому

      Huu wimbo ni mob sana nkumbuk nikuecheza mm na dada angu tukushinda na mavoko ake yalivyotutumbiza

    • @JanetRema-vu7jp
      @JanetRema-vu7jp 2 місяці тому +1

      Justi

  • @mkitotv7621
    @mkitotv7621 Місяць тому +6

    Nani anaamini kipande cha queen darling mbosso ndo ameandika gonga like

  • @francisfilbert687
    @francisfilbert687 5 років тому +45

    Wcb wako vizuri kwa %%%%100 km umeupenda wimbo huu dondosha like km 100 zinatosha

  • @realone1104
    @realone1104 5 років тому +53

    🇰🇪 254 tushafika kwa fujo.angusheni like za konde boy X queen darlin.song iko juu kama bendera.

  • @albanombunju902
    @albanombunju902 3 роки тому +71

    Duuuuh nami wangu yuko mbali jamani,good song gonga like km umeikubali ngoma.
    Wale wapenzi wao walio mbali nao tujuane hapa.

    • @salomeurio9705
      @salomeurio9705 3 роки тому +1

      Tunamc kuwa nao karbu Lakin ND hv majukum yanatubid

    • @elizabethmburu2210
      @elizabethmburu2210 Рік тому +1

      Shida mbaya inatutenganisha na wapenzi ama ndoa zetu sababu ya majukumu ya lazima

    • @stanleywasike3021
      @stanleywasike3021 Рік тому

      i like thz song

    • @AshaOmar-pc6ew
      @AshaOmar-pc6ew 3 місяці тому

      Acha tu mana nliacha mpenz wangu nkaenda saka pesa

    • @zohramariga6678
      @zohramariga6678 Місяць тому

      Nitabidi ju majukumu tunapeda sana ila pesa lazima zituteganeshe ilamaboya takuasawa ishala

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Рік тому +4

    Dada yangu kipenz nasikiliza hii nyimbo kisha natokwa na machoz ya furaha kwa utunz wenu nzuri mlioruonyesha mashabiki safi sana teacher konde

  • @evanskimutai4061
    @evanskimutai4061 3 місяці тому +2

    Queen darling wapi wewe kweli,,,iwapo utaioma hii comment just like it I love you❤❤❤❤hii Ngoma napenda saana

  • @abelmwakifwamba9243
    @abelmwakifwamba9243 5 років тому +13

    Daaaah nyimbo inaaanza tamu kweliii mwishoni storia inakua ya huzuni pale harmo anaenda kumfata queen darleen nakukuta queen kashabebwa na mimba juu daaah inaumizaaa
    Ilaaaaa kusema ukwel jimbo tamu queen humu kaimba ndo yule queen wa zamani harmo baba kama kawaidaaa yakoooo
    Team WCB for LiFE chiiiiiiiiiiiio 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lincolnhawk9722
    @lincolnhawk9722 5 років тому +32

    Wapi Wale vihelehele wa kutuandikia wimbo mzima Kama ilivyo ndivyo wenye hatuelewi tuisome😉😊

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 2 місяці тому +2

    Ila Queen wa bongo flavor mbona umeacha mziki na sauti mungu alikupea. Darleen ❤

  • @CryptoUpdate822
    @CryptoUpdate822 4 роки тому +30

    Nani bado anakumbali hii nyimbo gonga like hapa

  • @celineblessed2521
    @celineblessed2521 5 років тому +32

    Kwanza ungefanya tambiko upige goti usali nirudi salama..... touching line...
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwambajrking7575
    @mwambajrking7575 5 років тому +5

    Yeees...!! Darleen hapa umeimba haswaa na huyo Konde bhoy ni km nazi kwenye samak daadek hajuagi kuharibu ngoma qaali
    #WasafiDarleenKondeBhoymbali

  • @manzichiko1597
    @manzichiko1597 3 роки тому +48

    nyimbo itaendelea kuishi miaka yote twende sawa2021

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 3 роки тому +21

    WCB twawatambua sana kwa kazi zuri sana💯💯💞🔥🔥 Hongera sana team star🌟. Wapi likes za Wakenya 🇰🇪🇰🇪

  • @ifeanyi5394
    @ifeanyi5394 5 років тому +45

    Simple Nigerian man, i see Harmonize I click!

  • @swafiajuma9053
    @swafiajuma9053 5 років тому +74

    Hii wasafi nmeelewa. Sooo different from what you used to do
    🤗🙅‍♂️🙌🙌🙌🙌

  • @njerigatheru-rnke8565
    @njerigatheru-rnke8565 4 роки тому +35

    team harmonize 👍
    big up
    ngonga like twende tukisonga

  • @ryncellar1145
    @ryncellar1145 Рік тому +17

    Here after 1.3 years after a breakup. Was a long distance relationship and we used to listen to this emotionally for years. Today am here, remembering the times shared as he announces his marriage ceremony soon...

  • @asharamadhani527
    @asharamadhani527 5 років тому +6

    Hiyo hobebeo obee! Imechangia ngoma kua kali kinoma! Hongereni sana

  • @mrpositiveiq4305
    @mrpositiveiq4305 5 років тому +13

    Darling kazingua mwisho kashindwa vumilia na kibendi juu....ngoma kali nomaa hako kamovie nimekaelewa mwisho hapo

  • @stargirl6446
    @stargirl6446 3 роки тому +165

    Wanipendeza sana jamani sitachoka wala kuboeka kutizama huu wimbo nawapenda sana,, mnipe likes Kama kumi👌👌💞💜💚😄😄

  • @obrisseddy
    @obrisseddy 3 роки тому +2

    Wapi team Kode gang

  • @youngassaidy7845
    @youngassaidy7845 5 років тому +20

    Bongee a ngomaa iii a
    First viwer kwa leo
    Kama unamkubali
    Konde boy gonga like apaa
    Frm tz

  • @williamnzairandu6658
    @williamnzairandu6658 5 років тому +44

    ..nice tune.kenyan living in uk 🇬🇧 Cambridge.i dedicate this song to my lovely wife in 🇰🇪...big up darling n harmonise one love.

  • @user-ek8zj7ic8j
    @user-ek8zj7ic8j 2 місяці тому +1

    Safi kama kawaida kulle Congo 🇨🇩

  • @user-eu3qk5pg7v
    @user-eu3qk5pg7v 2 місяці тому +1

    Nakumbalisana ngoma hiyi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nimeshakuyirudikiya Mara tano

  • @kizibotv9661
    @kizibotv9661 5 років тому +5

    Iko pw sana yani wasafi mko vizuri sana yan Dah ongereni kwa ilo

  • @ekimsolutions3313
    @ekimsolutions3313 5 років тому +20

    😫😭 mapenzi yadhati yahitaji uvumilivu.. thanks so much Hermonize &. Queen darleen wimbo mzuri Sana🥰

  • @SumeiyahBen
    @SumeiyahBen 5 місяців тому +2

    Mashallah hii myimbo nzuri haishi ladhaa kwa kweli❤❤❤❤

  • @gerriemagic
    @gerriemagic 3 роки тому +7

    Huu wimbo kila siku mpya...
    Tuendelee kupambana wana ipo siku tutakaa kwa kutulia na familia zetu 😭

  • @matiemumo62
    @matiemumo62 5 років тому +36

    Kenyans where are you for the likes of wcb first lady

  • @vennesasimpson243
    @vennesasimpson243 5 років тому +45

    2019 Queen is proving she is truly the queen of WCB much love girl baby girl

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 2 місяці тому +3

    Queen darling rud kweny game❤

  • @lonnyboy5248
    @lonnyboy5248 6 місяців тому +2

    Dada #darleneen #2024 toa nyimbo

  • @stevoyen2546
    @stevoyen2546 5 років тому +7

    Mi bado naskiza Matatizo Na ayola🎶🎶Na bado harmonize anaangusha vitu moto

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 5 років тому +7

    Bora mumepunguzapo matusi ila jezi ya yanga ndo umefunga kichwa alfu wamekata rambo harmo umebeba 😂😂😂 Nice song
    💪💪💪💪💪

  • @ombenimalisa4499
    @ombenimalisa4499 2 роки тому +6

    Nakukubali Sanaa mwamba ,nyimbo zako nyingi zinawakilisha Hali halisi ya maisha ya watu ,big up Sanaa

  • @lusakuonlinetv9075
    @lusakuonlinetv9075 2 роки тому +1

    Aisee harmonize anajua sana nimekilii uyu dogo hatar

  • @nebuchardchirambo8961
    @nebuchardchirambo8961 5 років тому +16

    Number 1 Trending after 1 hr .... Konde boy on fireeeeee!!!!!🔥🔥🔥🔥

    • @winstonomondi4169
      @winstonomondi4169 5 років тому

      Yooh KENYANS 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Am marking register ,confirm your view apa 😍😍😍

  • @mosesotieno8219
    @mosesotieno8219 5 років тому +160

    Thanks so much Konde Boy...wimbo uko juu tu sana..dedication to my wife back home in Kenya from U.S.A.

    • @rdjangle7299
      @rdjangle7299 5 років тому

      Moses I live in USA the state they call Utah this song is good you must sand to your wife

    • @sabinaviolet805
      @sabinaviolet805 5 років тому

      😘🇰🇪

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 5 років тому +3

      Jamani si tutafutie kazi za kufagia huko 😭😭😭😭😭

  • @bensonmutua7570
    @bensonmutua7570 4 роки тому +2

    Walai hiyo viazi ni ya tz kabsaa,. Kama waipenda wacha likes

  • @gilogesha3170
    @gilogesha3170 5 років тому +2

    Asante mama hii nimeikubali

  • @loveness6732
    @loveness6732 5 років тому +12

    Harmonize uko 🔥🔥🔥🔥... bila we huu mziki usingekuwa 🔥.

  • @estellairambona3855
    @estellairambona3855 5 років тому +17

    Hamjawahi tuangusha #WCBfamilly# love from Burundi🇧🇮

  • @augustonkondya5703
    @augustonkondya5703 4 роки тому +5

    Very good, ngoma kali ni kweli kabissa. Basead on reals facts. From Mozambique-Mueda🇲🇿🇲🇿✅. Konde-boy songa mbele.

  • @linusbandio7273
    @linusbandio7273 3 роки тому +2

    Tanzania tu juu sanaa

  • @oliverdonald3592
    @oliverdonald3592 5 років тому +60

    Always on spot hammo, if you agree gonga like.

  • @protusmabuka6988
    @protusmabuka6988 5 років тому +23

    Happy Idd-Ul-Fitr to all Muslims.
    Love from 254 🇰🇪

  • @lilianmakau6196
    @lilianmakau6196 2 роки тому +5

    Queen did it 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️📌💥

  • @okellolouis2639
    @okellolouis2639 3 роки тому +14

    I don’t speak neither do I understand Kiswahili but from the video, I can understand the level of betrayals we undergo through on relationships. To be honest, I naturally love this lady, a great artist we have in East Africa

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 5 років тому +9

    Lizer kila hit yumo daaaah, lizer Shikamoo

  • @saidbahanuzi437
    @saidbahanuzi437 5 років тому +230

    Gonga like kwa queen darleen X harmonize..#mbali

    • @mawiyemawiya9990
      @mawiyemawiya9990 5 років тому

      Yukopowa'sanaa'kondee'mweziyoo'nakupigiyaa'likee'kilasiku'😘🤣🤣🤣😁

    • @kiafrikazaidi
      @kiafrikazaidi 5 років тому

      good music

    • @iddipot351
      @iddipot351 3 роки тому

      @@poulsenmc4970 to mmmlaklpwwqpqm

  • @SililoChristopher
    @SililoChristopher 2 місяці тому +2

    Daa hii nyimbo huwa inanipa burudan ikiwa nimemuacha mbali nahc waliniimbia mim na mpenzi wang

  • @AminawafafAmina-zy6bm
    @AminawafafAmina-zy6bm 10 місяців тому +3

    Tuko pamoja sana unanifariji sana huu Wimbo mungu awaeke

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 років тому +12

    Queen Darleen ana sauti ya nguvu!

  • @justinkbzo1178
    @justinkbzo1178 4 роки тому +4

    Mashallah nani mwengine uliomshika kama Mimi hapa twende sawa best song ever 😍😍😌😌

  • @aloycemolelli4580
    @aloycemolelli4580 4 роки тому +9

    Jamani nimejikuta narudia rudia kuzikiliza bila kucho like zenu jamni

  • @innocentmasilago
    @innocentmasilago 5 років тому +32

    Bonge la ngoma queen umebadilika. Beat iko dope

  • @swrixxke3903
    @swrixxke3903 5 років тому +63

    Harmonize is always lit anaimba kuhusu real life we love you harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tangawizeofficial1523
    @tangawizeofficial1523 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃nizamuri Tanzania nzakwishakira mperereye mu rwanda 🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Рік тому +2

    Queen katika tasnia hii tangu aanze hii ndio nyimbo kaimba na kaitendea haakii 100%♥

  • @solvetheunsolvable731
    @solvetheunsolvable731 5 років тому +24

    Heee, Harmonize u kill me ooh, watching from your sister country , KENYA .. Big Up

  • @DonSanto
    @DonSanto 5 років тому +14

    Noma sana. Queen Darling ushanizamisha. duh! Na niko repeat mode na 254 love.
    #SupportedSanto

  • @yasinyasin-xi7yn
    @yasinyasin-xi7yn 4 роки тому

    duuu sana hapo nimefurahishwa na ushirikiano kumbe Wasafi ni zaidi ya familia moja

  • @raybrankxbalozi3684
    @raybrankxbalozi3684 4 роки тому +14

    Munakuja kali🎶🎶🎶,all the way from 254.

  • @abdulrazakgwotta5561
    @abdulrazakgwotta5561 5 років тому +10

    Kazi nzuri sana,nzuri mno,imetulia sana,imetulia mno. Ngoma imemaliza vidato vyote mpaka P.H.D yaani ni bonge moja la ngoma. Hongereni kwa kutoa another anthem.

  • @maryammaurice3729
    @maryammaurice3729 5 років тому +15

    Mziki mtamuu harmonize na qeeen darlin nimependa sana sema hapo mwsho mmeniacha na majonz can u just continue another episode

  • @henryhelda2354
    @henryhelda2354 4 роки тому +2

    huu mziki jmn naupendaaaa coz nammiss my baby boy jmn nakupendaa hata kama upo mbali

  • @skybilak5135
    @skybilak5135 Рік тому +4

    Still,2023 I can't get enough of this song 😅🔥🔥🔥👌

  • @dostybuja257
    @dostybuja257 5 років тому +126

    First from burundi naomba like zenu 🇧🇮

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 5 років тому +26

    Wimbo ni wa darleen kamshirikisha harmo ....
    Congrsts to both of you

    • @faithgideon7766
      @faithgideon7766 5 років тому +1

      carol Praise hajashirikishwa uo wimbo ni wao wote

    • @shiksshiks8494
      @shiksshiks8494 5 років тому

      @@faithgideon7766 sawa faith thx

  • @johnsonsimbeye5952
    @johnsonsimbeye5952 4 роки тому

    Pongezi kwako Queen message nzuri kupitia kiburudisho hiki hata kiuhalisia uwe hivo

  • @happytarimo9713
    @happytarimo9713 4 роки тому +1

    Daah ni nyimbo moja ivi amazing Sana....inafundisha pia inasikitisha kwa upande flan pia kwa upande wangu imenifundisha uaminivu♥️♥️

  • @EddieMorsVlogs
    @EddieMorsVlogs 5 років тому +48

    In every song Harmonize features or does a single; it is a guarantee that it is a hit. Mob love from Kenya. We love you Harmonize

  • @edwardnyihande4168
    @edwardnyihande4168 5 років тому +16

    Queen Darleen upo vizuri sana

  • @verynicesingano5850
    @verynicesingano5850 4 роки тому +1

    Daah! bomba sana hongera na poleni kwa kazi ngumu kama hii big up brow harmo nakukubali kama vyote then sister queen respect kwako.

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 4 роки тому +23

    nyimbo yenye mafunzo hua napenda san nyimbo kama izi😘😘😘.

  • @lorjayomb
    @lorjayomb 5 років тому +50

    Harmonize is always on top of this game..... Go, Go Go Harmonize! Love from +254

  • @nestorymsacky6838
    @nestorymsacky6838 5 років тому +8

    Kwa mara ya kwanza namwona darling #1

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 3 роки тому +5

    Queen Darleen, am your devoted fan, I like the way you're able to fit into any form of acting, love from Kenya, tunakupenda sana huku.

  • @sylviahslyelvo7942
    @sylviahslyelvo7942 3 роки тому +1

    Konde boy jameni nyimbo zako zinanibariki Sana

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 5 років тому +91

    Mie so mshabiki wa wcb ila hapa wameniweza Jamani congratulations to you darling and konde boy

  • @reaganochango7628
    @reaganochango7628 5 років тому +127

    From Kenya loving the vibe....gonga like button ukisonga

    • @reaganochango7628
      @reaganochango7628 5 років тому

      @@venlightkimaro5579 santi rafiki

    • @khamismnubi5048
      @khamismnubi5048 5 років тому +1

      One of the top in East A

    • @kachawakikazi1217
      @kachawakikazi1217 5 років тому +1

      uyu laizer ni mbaya sana kuliko hata bonga, kama unakubaliana na mimi hebu gonga like hapa tujuane👊👊👊

  • @kingimusic4366
    @kingimusic4366 3 роки тому +3

    I always watch all including thee behind the scene ...my like from Kenya plz

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 11 місяців тому

    Wimbo mzuri Sana check queen alivyo black beauty,yaani weusi mzuri sana

  • @zahorosakala5304
    @zahorosakala5304 5 років тому +26

    I never expected if queen could suitably fit in inspirational and life touching songs like this one. Nimependa ubunifu wenu. Keep it up #QueenDarleen and #KondeBoy

  • @godblessjrtz.8652
    @godblessjrtz.8652 5 років тому +12

    Banger from WCB wasafi, the house of talent in Tanzania, East and central Africa and even in Africa. Kawimbo kanahuzunisha sana, kananifanya naikumbuka mifuko ya Rambo...hahahah mwendo wa vikapu sokoni. Congole to you guys Queen x harmonize a.k.a kondeboy for giving us a lesson "Umbali sio kifo, issue hapa ni UVUMILIVU.

  • @elizabethdavid2270
    @elizabethdavid2270 4 роки тому

    Nimejikuta nalia nimekumbuka mbalii,nakusubiri babe nimejifunza kitu hapa

  • @musasinapalule9835
    @musasinapalule9835 4 роки тому +1

    duuuuu Leo naipenda hii nyimbo baada ya kugombana Mimi na mama watoto Wangu

  • @mercimerci9644
    @mercimerci9644 5 років тому +597

    Team queen darleen..gonga like 🇰🇪 twakupenda sana

  • @youngtwite7580
    @youngtwite7580 5 років тому +137

    Queen darlen ndio nyimbo ya kwanza kuvaa kiheshima tunaoamin tugonge like

  • @chepkwony2251
    @chepkwony2251 2 роки тому +1

    Queen darling 💕 bado ukatunge tungo Kama hii nakasa moyo naingojea usipotee kwa uga wa muzuki dadangu muwe pamoja zuchu🌎🌍🌎

  • @kevinndirangu1519
    @kevinndirangu1519 4 роки тому +127

    Harmonize we celebrate you here in Kenya,your songs have a strong message long live konde boy

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 5 років тому +26

    Mbali saana aisee ila usiwaze my love nice Queen and harmo