Nani amewadharau washenzi nyie hamjui kuimba mnaomba utumbo nyimbo zenu zinazohit asilimia kubwa ni zile mlizowashirikisha watanzania afu mnaforce bifu hamna akili ndo maana mziki wenu haukui
Love ❤️ for his music....good thing is he is real other than scandals of Mr.Y and Mr.X ....music is all about delivering message and good content. Just coz a crowd says no doesn’t mean we should all follow suit ☮️ 🇰🇪
Tumekuja kuona hili lijamaa ilitaka corrabo na mond lkn akampushia kwa rayvanny maan mond ni brand kubwa sana,,, afu jamaa hamuwezi kabisa rayvanny willy paul hujui kuimba brother..
Willy Paul music gets me through my anxiety depression, something about Willy Paul music calms me down and I start to feel better. Keep making great music🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 USA I love your music🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Willy Paul you are loved so deeply!!!! Keep being you and all things willl fall into place.... Forget about haters, they will still join us.. Your number one fan in Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Siku kuu kukupata we mdoli Kwa ajili yangu Mungu amekushusha Kitunguu we ndo ladha ya mtoli Ama nyama nyama kwenye sambusa Kichuguuni mzigo na toroli Hadi nguo inataka pasuka Msupuu mwenye macho ya gololi Rangi kama unaoga mafuta Ooh my (ooh my), I do not lie Girl you know you changed my life In your eyes, I do not lie Girl you know you changed my life We ndo raha, dunia mbaya Sikia my dear, usije nikimbia, tulia! Nile niwe na wewe Mmmm mmmh mmmh (sisemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mmmhmmmm) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Mmmh mmmh mmmh (aaah, sisemi, iyeiye) Mmmh mmmh mmmh (nabaki naguna guna) Mmmh mmmh mmmh (mama sihemi) Mmmh mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Allow me touch you beiby oooh Allow me kiss you sherii oooh Allow me touch you beiby oooh Allow me kiss you yeah Mtoto jojo, umeumbwa ukaumbika(mmmh) Shavu dodo, mwenzako namalizika(yeah) Hauna nyodo, we kwangu ndo malaika(eeh) Usilete zogo, mwenzako atanizika (ooh) Beiby naona wewe ndiye Hawa, Na mimi Adamu Nipeleke kila corner Nairobi sawa ama Dar es Salamu Ooh my(ooh my), I don't lie Girl know you changed my life In your eyes, I don't lie Girl you know you changed my life Mmmm mmmh mmmh (sisemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mmmhmmmm) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Mmmm mmmh mmmh (sisemi, iyeiye) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mama sihemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Aah-aah aah-aah aah-aah aah-aah They call me Boy, Willy Pozee, neither nomare Aah-aah aah-aah aah-aah aah-aah Eti Vanny Boy, Willy Pozee, nor nomare Eti Vanny Boy, Willy Pozee, nominated Uuuh uuuh uuuh .... Read more at: @dailyswahiliquote
This song is perfect for the soul. Am from Cameroon but everytime I listen to this song am like listening for the first time. I love this guy and his hits.
Nimejipata hapa kwa hii taka taka.....No going back Pozzeee all the time 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️ rumours has it Wasafi walimgeuzia hii ngoma he never got anything from it
Listening from Ghana 🇬🇭. Everything about this song is so on point; beat, vocals, lyrics, etc. I Google translated the Swahili parts and it's so touching. Love it 🔥🔥🔥
Oh! My , let me pause the song enjoy the song and enjoy the comments first... Everything is sweet. ,,nimetoka kule kwa hallelujah,, nikarudi huku ,,nikimaliza narudi kwa hallelujah he he,, yaani fire ,,konki....
Uyyuyyuyu your y Uyyuyyuyu 😋 your uyuagna uy uyuu yyy gyyyyggygyggyggyggygyyggyvvygygyygggyygggygy gggyggyyggyggggyggggyggygggggyygggvygggygghyggyggygyyygyvgggggyyuUUYU IUUYUuUU😂 Iy 😂 Uu@@Dr.zaidi4 uy u
R Kelly would sing both secular and gospel songs and none would scold him wala kumtusi. Willy Paul just be you bro. We still support you today and after life. Kuwa mchawi sio lazima uruke usiku so bila chuki weka like basi...
Keep it up guys, soon the world will understand East Africa to its fullest. "If you can't Beat them Join them." Here Kenyan finally Joined Tanzanian to produce a smooth and soothing Music as is. Tanzanian Swahili is the Mind therapy of all times.
Nani amecome kuskiza hii song baada y drama ya willy Paul na diamond?nipe like🤣🤣
😂😂
Me here, I was wondering iyo wimbo imeitwa takataka ni gani😂
Wacha tuwatch hiyo kitu itutoke
Hii ndo takataka..weh
Tunakesha hapa
Wangapi wanaskiza after dj kwambiwa atoe iyo takataka😂😂😂😁😁😂
Me ..mbona akasema hivyo kweli😮
Mshamba huyu, na bleach yake kama kamwagiwa pilau.
umbwa mm,😂😂😂 ata amenikumbusha
Dah mm hapa😂
😅😅😅😅😅
Najua mmekuja hapa after Willy na Diamond issue.
Tuko wengi😂😂
Kumbe pia wewe umekujia takataka 😂
Taka taka Ina view mil 40
Mbio sana😂😂
Imagine 😂😂😂😂😂😂
Hey dj dj dj toa hiyo TAKATAKA ,,,itakua inanikumbusha 7/12/2024❤. Let's make these song 1BILLION, LET'S AGREE ❤❤
Despite kuitwa takataka i think the song is dope,i think Willy alikuwa amekasirika at the moment, let's show some love to both artists,one love❤
Nimekam kusupport baada yule paka wa tz kutudharau❤ from Kenya
Kusupport takataka?
Nani amewadharau washenzi nyie hamjui kuimba mnaomba utumbo nyimbo zenu zinazohit asilimia kubwa ni zile mlizowashirikisha watanzania afu mnaforce bifu hamna akili ndo maana mziki wenu haukui
Paka Ukoo wako Wote na Familia yako yote
@@sarastephano3409y'all can't survive without us.. shenzi wewe😢😊
Paka Wewe na ukoo wako kondoo nyinyi,,msanii mchafuu kuimba kucopy bongo
Dj Toa hiyo takataka hapo 🙌
Wangapi wana skia huu wimbo 2024?❤😂😂
😂😂Tupoooo
tupo
Am here
Tupo.
♾️
Nimekuja kusikiza takataka😂😂
Pozee to the world
pozee shoga tu kama taka taka a delete hii ngoma
Nilijua hii nyimb ya vany b kumbe yake afu anaita taka taka jinga
😅😅
Wangapi wamekerwa na kauli ya Willy Paul. Gonga like kama unamkubali vanny boy
MPUUZI Willy Paul Hajui Kuimba
Ananata eti nipo HOME!!
Shame on Him😡
Team willy paul
@@AtwifMabrouk we unaeza imba mafi mshenzi
Toa hio takataka weka like hapa😅😅😅😅 imenibidi nikuje kusikiliza hio takatqka😅😅😅😅😅@rayvanny
Pumbavu sana willypaul vanny ameshine hapa
Mpumbavu Sana wily paul
Pia mimi nimekuja niskize hiyo takataka . Kumbe its my favourite song aki 😅
@@jacklineoyugi5423my best song let support our brothers🫶🫶one love🥳🥳
dj toa hiyo takataka nipee the next song 😅😅😅😅
Vannyboy, Mistari unaandika kaka..Mwenyezi Mungu akujalie
daaaa! mmmmmmh! ravany amefunika kwenye huu wimbo km vile wakwake
Wapi like za watu wa 2024,nmerudia uu wimbo ad majerani wameboeka n mm
❤ 2:14
Wow❤🎉 1:21
Wangapi wanasema pozzy willium kafunikwa wakenya wenzangu like zenu hapa watanzania nawapenda sana me siwachukii diamond njoo naivasha piga show
Wewe sio wetu..wakenya wenzangu my foot😢..
Wily PAUL Eti Kisa Niko Home
Akija Mtoto Wa JIRANI Nitamnyanyasa Shame on KENYANS
I just love bwana mkunaji😊
Salamu kwa watanzania wote na kwa wakazi wa East Africa wote kutoka Kongo🇨🇩. What a masterpiece! This song is so far one of my favourite
Tumezipokea salamu hizo kwa moyo mkunjufu
Watu wa 2024 nipeni likes 🇰🇪🖤🤍❤️💚💯📌🎧
❤❤❤❤
11@@kakisap
07/06/2024 still here
Ií8ií lol o okooon99 k 6😂a weuw@@kakisap
❤❤❤❤
Pozee umeweza na ndugu yetu vanny boy penda nyinyi sana..... Leo naomba like jameni
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nani amerudia huu wimbo Mara 100 na zaidi🙋🙋 nimekubali ngoma iko sawa.💪💪
Wewe pekeako😏😄
Mm hii ni big tune 🎶🎵
Mm apa
Mimi hapa it has been my tune for today
Mimi aki 😂😂
Kwa tunaoskiliza 2024 tujuwane
Tupoo!!
Kbsa
Tupooo apa kipenzi
saiz nasikiliz😂
Rayvanny big up..wewe c kama harmonize..alifanyia pozee unyama lkn wewe dah! 254 tunakupenda vanny boy
True I like vanny he is so humble than harmonize
true he's humble unlike the other niggah we love you Vannyboy
Who even likes harmonize
@@cynthiacheptoo6823 true
ua-cam.com/video/qsb1FBPqm7k/v-deo.html
Nausikia huu wimbo kwa mara ya kwanza and I love it. Both artists are fantastic, wasikubali shetani aingile kati
Willy pozee...on fire... Raundi hii uko na mistari bro👏👏👏👏..we'll support this kind of music sasa...drop likes za willy pozee hapa🇰🇪🇰🇪
Fuck off he is a lost one where the gospel in this shit
Beatrice akinyi must he do gospel atizama kuweka chakula mezani.stop hating boychild needs support
Good
Love ❤️ for his music....good thing is he is real other than scandals of Mr.Y and Mr.X ....music is all about delivering message and good content. Just coz a crowd says no doesn’t mean we should all follow suit ☮️ 🇰🇪
Afternoon aa9
Despite all the hate.Willy Paul is the best example of wataongea usiku na mchana na utasonga mbele much more stronger 💪🏽💪
😂😂😂😂😂😂najua mko na willy paul hapo ukitype hii
@Hirum yes niko na yeye now does that empty head of yours have anything else to say
@@techpiece1701😂😂😂😂
Ukweli bro! Atleast hajainfect mtu na STI akijiimbisha gospel. Sikuwangi Team #willyPaul but the guy ain't a hypocrite! Truth be told.
deadly.....nani anakubali willy amejaribu hapa?🤝🤝🇰🇪🇰🇪👊👊👑👑💥💥
here before 1 million views
The best from will paul
this time amejaribu🌋🌋
Amefanya Poa kwa hii
amejaribu hapa
haha kumuonea imefanya kazi😂😂
Tumekuja kuona hili lijamaa ilitaka corrabo na mond lkn akampushia kwa rayvanny maan mond ni brand kubwa sana,,, afu jamaa hamuwezi kabisa rayvanny willy paul hujui kuimba brother..
Tulia..ni collabo si corrabo neighbour...na upunguze kiburi before tukusalimie mzee
jama willy poze ni level nyingine mpaka bongo tunampenda wakenya naombeni like zenu na wote wanaokubali ngoma za huyu jamaaa mkenya international
#
philipo shilingi mpaka... poze they are like my language
Pongezi willly umejikaza sana hukuchemsha ....ngoma konkiii. ....Kiilled Kiilled+254____gonga
Hatumtaki Willy, mchukueni tu 😂😂
👌👌👌...hio combo iko lit....Pozey..
Nabaki nagunaguna....mmmmh! Nabaki nakimumunya...mmmmh! This song..... 🎶 🎶 Repeat mode❤️❤️🇰🇪🇹🇿 💓💓
Naguna guna
jennipher aswani 👓👙👜💣🎤🎸
wko fty
Another great song from our brother's😍🙏😇Hii ni mapenzi ya jirani tu🙏🙏
Rayvanny blended this song so well he sang according to the melody,verse 1 is good huyo sijui Willi Pol verse si kali
Ooh😮 sa unataka tufanyee🤔
Kenyans let's show love to pozzee the KING...♥️💯🔥👍☝️🤴
Mmh
Woooooo
!i
@@angadaagnes6775 🌈🍟🍕
254🥳🥳hooooyeeeee🥰
Willy Paul music gets me through my anxiety depression, something about Willy Paul music calms me down and I start to feel better. Keep making great music🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 USA I love your music🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Thanks
Trust me Willy pozze and otile watafanya our country shine mmh wapi likes zao
Sana
Tunawapenda sana
I second u
Na Arrow Boy
Masauti piaa
Walio kuja kucheki huu wimbo takataka gonga like😂😂😂
willy paul hapa umeweza , this is the tone you should adopt
That's true
Aki cmnipee likes coz naona Tanzania 🇹🇿 na kenya 🇰🇪 tuko pamoja......wee ndio raha dunia
Sunam
On
Mom
Sisi ni ndugu vitu vidogo vidogo visitugawe. East Africa stand up
Leon Gerns yes
Leon Gerns
Leon Gerns 🇰🇪🇹🇿 together forever and ever
big-up willypaul.....you are taking Kenyan music far..........
all eyes and ears on you
100%👐🏻
Uko Kenya gani wewe? 😂😂😂
wacha zakooo weweeee
Big up willy
Wee wee DJ ,wee DJ hebu toa hiyo taka taka
Naona mtoto wa magufuli na mtoi wa Uhuru🔥🔥🔥⚡️⚡️🙌🙌nomareee naona watu wanaomba like ata pia mm nipewe👌😁😁
Hhf and then 👌👌🤘🙏💞
mariyam maria manguo yako ya kulalia
patrick Gikaro wee ni mwanaume au mwanamke..kama wee ni mwanaume nakupa pole...kabadilishe jina nikupe hyo nguo ya kulalia fool
mariyam maria mbclhtbdo
mariyam maria 🏡🏠
Willy paul mkali sana go go bro uko na support yetu wakenya
Walai nimerudia hii song 5times🔥
upendo huvumilia haujivuni haukosi kuwa na adabu
Ako poa
Good
Hiii Pozze na Vanny boy wameweza sana joooh wakenya huu Pozze anakuaga mkali muache ku hate him tumsupport
Kwann wana mu hate
Watu wanahate juu anaimba secular na anadai yy ni Gospel musician adecide moja
Watu wanahate juu anaimba secular na anadai yy ni Gospel musician adecide moja
Atangaze musimamo ni nyimbo za mapenzi au mungu asi confuse thunder
Hatumhate tunampenda that's why lazima tutafute kitu ya kufanya atrend kama izo scandal za daily
Hiii ndio iliitwa takataka
Willy Paul you are loved so deeply!!!! Keep being you and all things willl fall into place.... Forget about haters, they will still join us.. Your number one fan in Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Thanks for loving our Pozee Malawi
@@mweusimrembo890 mrembo 0678762546 njoo whatsapp
yees. Kama haumpendi poze jisort.
That Malawian Flag looks like Kenyan Flag😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in short you are Kenyan in a Malawian mask
🤭🤭🤭🤭KENYANS EVERYWHERE 😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Allan Lions Hahahaha Yes please, adopt me and teach me Swahili
Willy paul thank you for switching officially to secular. Hapa imeweza 🇰🇪.
Saa hii nitaskiza ngoma zake zote. He is so relevant
Mom l oKaa look on lslppoaa sa I’ll
Im from UK only understand English parts but still love African music xxx
Love you so much 💕💕💕💕💪
tabassum means smile in kiswahili
Straight outta Kenya
@@veraokinda3046 the ioiohoplll9lkjjjbijlllljpuk ok lllp poll jiopyyyyyikkkoo98
KUDOS VANNY BOY NA WILLY U GUYS U HAV THE TALENT
Enyewe nimekam kusupport after toa hiyo takataka😂😂😂pozee my guy
Willy Paul😍 you do best in secular music, I like that💯😍
Much love from Kenya
Wapi likes
kabisa
Kweli kabisa.
stellah ogechi tell him we many
Absolutely
Ako poa sana..
Vannyboy this is absolutely classic yo voice the video itself wow
Rayvany can write. Can't stop listening to his verse plus chorus. SALUTE
Mbona kumbe Willy anajua kuimba fresh tu japo Vanny kampa sapoti kubwa sana 😅😅😅😅
Hakutakiwa kuleta ujinga tu wakikenya tu angefika mbli . Kachemka
Willy Paul is taking Kenya somewhere,wapi likes zake tukisonga.
Yaobg
Willy pozee King of gospel love song....songs of Solomon itambe😂😂😂😂😂...much love pozee
Vany.....💥💥💥💥💥💥
😂😂😂🚶
Hehe Erick
🤣🤣🤣 I like that lmao ! Kid is super talented 🔥
😂😂
and my two favorite artists pamoja 🔥🔥🇰🇪🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kongwe nakuona kwa umbali sana
@@gabrielkipruto4286 yess kokwee, nakuona pia
@@silawsang2565 😊😊😊😅
Dj toa hii takataka weka next ...Haya maneno sio mageni
August 2020 still rolling here ,,,hit like if yr here to support East African music,.n still supporting our own willy paul...No hard feelings
My lovely song I enjoy most of my time
Its nice dear
How k monko I have k oi ji on k bi
Mank you doing tonight or jo
I love you
How is here 2024😂❤❤❤finya like tukisonga guys❤
❤❤🔥🔥🔥
Willy Paul Anajaribu sana
Go Pozze Go Pozze😍😍
.
Nipewe Likes Ya RayPozze jamani💉❤
Poze Ana talent
. .
. ".
😘😘
Wee Dj Dj.. toa hiyo takataka 😂😂😂 Kusemwa ukweli hii ngoma Ni takataka Na tunapenda Sana.. wapi likes za Poze... One love Ryvanne❤
Siku kuu kukupata we mdoli Kwa ajili yangu Mungu amekushusha Kitunguu we ndo ladha ya mtoli Ama nyama nyama kwenye sambusa Kichuguuni mzigo na toroli Hadi nguo inataka pasuka Msupuu mwenye macho ya gololi Rangi kama unaoga mafuta Ooh my (ooh my), I do not lie Girl you know you changed my life In your eyes, I do not lie Girl you know you changed my life We ndo raha, dunia mbaya Sikia my dear, usije nikimbia, tulia! Nile niwe na wewe Mmmm mmmh mmmh (sisemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mmmhmmmm) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Mmmh mmmh mmmh (aaah, sisemi, iyeiye) Mmmh mmmh mmmh (nabaki naguna guna) Mmmh mmmh mmmh (mama sihemi) Mmmh mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Allow me touch you beiby oooh Allow me kiss you sherii oooh Allow me touch you beiby oooh Allow me kiss you yeah Mtoto jojo, umeumbwa ukaumbika(mmmh) Shavu dodo, mwenzako namalizika(yeah) Hauna nyodo, we kwangu ndo malaika(eeh) Usilete zogo, mwenzako atanizika (ooh) Beiby naona wewe ndiye Hawa, Na mimi Adamu Nipeleke kila corner Nairobi sawa ama Dar es Salamu Ooh my(ooh my), I don't lie Girl know you changed my life In your eyes, I don't lie Girl you know you changed my life Mmmm mmmh mmmh (sisemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mmmhmmmm) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Mmmm mmmh mmmh (sisemi, iyeiye) mmmm mmmh mmmh (nabaki naguna guna) mmmm mmmh mmmh (mama sihemi) mmmm mmmh mmmh (nabaki najimumunya) Aah-aah aah-aah aah-aah aah-aah They call me Boy, Willy Pozee, neither nomare Aah-aah aah-aah aah-aah aah-aah Eti Vanny Boy, Willy Pozee, nor nomare Eti Vanny Boy, Willy Pozee, nominated Uuuh uuuh uuuh ....
Read more at: @dailyswahiliquote
Good job
Mistari kuntu! Huyu atakuwa vanny boy tu!
🏀
Van kaplay nafasi kubwa kwa siri sana hapa
abdu latifu Ally umetisha sana
Sikukuu kukupata Ww mdoli kw ajili yang mungu amekushuxha 🇰🇪🇹🇿Naivasha, Kisumu, Embu Na Tz Kwetu like please cjaona me nmechelewa
Poa
Yaa
This song is perfect for the soul. Am from Cameroon but everytime I listen to this song am like listening for the first time. I love this guy and his hits.
Willy Paul We muombe msamaa Rayvanny
RIP to the replay button. Wakenya nipeni likes jameni!!!! This song will be a big hit
Haha true story
Haters please keep of this one....this is a nice piece I must say...pozze make Kenya proud
Mahaters watabaki kuduaaa tu
sialo jackline nomaree
Willy Paul does very well in collabos...who else is feeling the same?
Nimejipata hapa kwa hii taka taka.....No going back Pozzeee all the time 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️ rumours has it Wasafi walimgeuzia hii ngoma he never got anything from it
Hatuwapi featuring Tena, kaeni na ma ukabila yenu nyang'au nyie
@@adamuandrea6658kumamako wewee😢
Am from Pakistan and I love this song , despite me understanding the English part only, I enjoy the African language. Your music is on top
Jamani mm nina mkosi gani kila nikitype sipati like hebu niwekeeni like hapa jaman
Ndio hiyo ingine 👍
kama mimi 😂😂
😂😂jaman hxo like huwa mnapeleka wap
Aaahaahaaa
rube silver sio poa😂😂😂😂😂😂😂😂
Nichogundua #Rayvanny ni mwandishii mzurii sana hilo halipingikiiiii
Hiii ni takataka kweli 😂😂😂ww
Poze cjui ulikua unafanya nn gospel industry....u belong here....
Hahaaa
You 😂😂😂😂
Alafu watasema oh Pozee this Pozze that wakati Willy is really working hard for Kenyan music industry 🔥🔥🔥💯🔝👍🇰🇪🇰🇪👏👏
Wapi views... Nkt
Mi sijui
Kama umewatch more than one tym nipe like🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mmhhhhhh best song ever.
Pozzze ur king
Like u pozzeeee
@Muuh Andaskoo Official k
@@katotokatamtam1352 hakika
@@officialsunrays6040 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nko hapa after furaha city madramas😂
Nyimbo ikoo nzur mpaka sukari na asali yaona wivu💪👏👂👏👏👏👏
FORWARD tv umenichekesha sana kijana
utengwe
FORWARD tv ha ha ha
I am from zomaLiLand
Rayvanny best Singer in Africa 🌸
Sweat voice ❤
headphones on, watching and reading the comments, its a hit guys🔥🔥🔥🔥pozze AKA mr. international💯💯💯
🔥🔥🔥🔥
Noma, this iko on fire
sam like me...😄😄🤣🤣
Wuuuu wimbo ndoo umeambiwa takataka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Listening from Ghana 🇬🇭. Everything about this song is so on point; beat, vocals, lyrics, etc. I Google translated the Swahili parts and it's so touching. Love it 🔥🔥🔥
Llil
Yup
Do
Well
❤
willy paul😍this is where you belong😘watching it again and again
Mercy Wairimu even it is making sense
Kabsa
Willy pozeee..mercy wairimu feeling the same way too...anatosha apa
we sailing in the same boat this dude is awesome
Willy's scene just makes me feel like I have been loving oooh shiit
Oh! My , let me pause the song enjoy the song and enjoy the comments first... Everything is sweet. ,,nimetoka kule kwa hallelujah,, nikarudi huku ,,nikimaliza narudi kwa hallelujah he he,, yaani fire ,,konki....
𝐘𝐨𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 𝐭𝐨𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐓𝐚𝐤𝐚𝐓𝐚𝐤𝐚....😂😂😂😂
😂😂😂😂
Am a ugandan but have accepted kenyans and Tanzanians ur killing it kweli nice song
Honestly speaking Ugandans wld hv bn ahead if most of their songs were not tribal based.
Uyyuyyuyu your y Uyyuyyuyu 😋 your uyuagna uy uyuu yyy gyyyyggygyggyggyggygyyggyvvygygyygggyygggygy gggyggyyggyggggyggggyggygggggyygggvygggygghyggyggygyyygyvgggggyyuUUYU IUUYUuUU😂 Iy 😂 Uu@@Dr.zaidi4 uy u
@@Dr.zaidi4 qwqQQQQQQQ
A
R Kelly would sing both secular and gospel songs and none would scold him wala kumtusi. Willy Paul just be you bro. We still support you today and after life. Kuwa mchawi sio lazima uruke usiku so bila chuki weka like basi...
Theas a diff wen u say ur saved n singing other genre apart from gospel
King jerih
Who else thinks Willy poze is gonna do us proud?👍🏻.. Kenya 🇰🇪
i
I
I am trying to solve some math here: vector, angles and speed that Willy is using to get to the top. 😁😁😁
Hehe proud!!!!, our only gospel kid, anywei its gospel ,we gonna be singing during worship
most def...@Sylvia Aloise
Wah,hii takataka iko tu sawa
wow....... pozzee+vany boy........ salute kwa natural talents zenu aky ii n good job yny mumefanya
Dancan sawa kabisa
Nzu li
mugo stepheni yv
This boys are really talented.vannyboy sauti noma.pozze sauti nomaree.stay blessed!!i was the 1,000,000 viewer. Wapi likes zangu
Who else believes Willy Paul is really working hard for Kenyan music industry 💥
Big up Willy ua one in a million
I love his passion for success
That's true he real go extra mile for Kenyan Music.
hark?
ua-cam.com/channels/GlkV3itnE9M3OaW8sA3_Ag.html
bonge la ngoma leo linaitwa takataka daaa💔💔
Ni attention seeker
I'm from Canada and I don't know kiswahili,, lakini hii song imeweza yawa
Karibu love
Keep it up guys, soon the world will understand East Africa to its fullest. "If you can't Beat them Join them." Here Kenyan finally Joined Tanzanian to produce a smooth and soothing Music as is. Tanzanian Swahili is the Mind therapy of all times.
Rayvanny the best vocalist in Africa, Kama unakubali gonga like 👆👆
Hawakuwezi vanyboy
True
Songs of solomon kweli
I agree with you.
Duuh mbeya Tz
Huu wimbo ungestahili kufutwa ulio imba na huyo takataka wa kenya
Haswaaa na asiimbe tena na wasanii wa Tanzania Kila mtu ashinde mechi zake😂
@@OmaryKibwana-n3n ndio hivo kbs bro
I played it over and over again😂😂😂😂cjui kma n mmi tu nimeipenda hi song😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🎵🎧
Yiaile Silantoy
Sameee
I 😍it too
I keep playing it too😍
We many 🔥
Song ni kali sana ndo maana
Ndio napenda sana wimbo ya rayvanny 😀😀😀🇹🇿💙💘
Booking
Jmn kukupenda to me
mmmh uxhaaz uwng
Hit after hit🔥🔥🔥you the best pozze, gonga like kaimeweza,,,i can see kenyan music is going somewhere
Dj toa hiyo takataka ❤❤❤