WAMANGUSHI - EPISODE 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • #kp #kpcomedy #kpnazebuu #zebuu #bintinyoka #diamondplatnumz #zuchu

КОМЕНТАРІ • 584

  • @Ndichudaniel-xy7zw
    @Ndichudaniel-xy7zw Рік тому +62

    Kenya tunajitahindi sana kufuatilia aisay makofi kwa team kenya

  • @fathymosscooking6755
    @fathymosscooking6755 Рік тому +211

    Wakwanza kufatiliya iyi épisode naombeni liké zenu wenye tunao fahamu kuwa kp hawezi kutuleteya bibovu

    • @Emmymajula5838
      @Emmymajula5838 Рік тому +6

      Mh sa like za nn

    • @rukiamwinyi4120
      @rukiamwinyi4120 Рік тому +5

      Munapeleka wap izi like

    • @ericksadani
      @ericksadani Рік тому +4

      Nawakubali sana kp na zebu.

    • @dadaamwazewe1299
      @dadaamwazewe1299 Рік тому +5

      Mm ata nlikua nmeanza ku boeka lakin nilipoona tu KPnmepona😂😂 more love guys ❤❤

    • @saeidhhusayn1396
      @saeidhhusayn1396 Рік тому +5

      ​@@Emmymajula5838mimwenye najiuliza sijui wanapata nini😂😂

  • @MarthaNdomba-nj8mx
    @MarthaNdomba-nj8mx Рік тому +8

    Jamani kumbe mzee likoma ni handsome hivi! 🤣🤣🤣💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @MwanaZarubia
    @MwanaZarubia Рік тому +2

    Sawa kp tunaomba usitucheleweshee sana miendelezo Kama binti nyoka

  • @sussyshikube-lh9gz
    @sussyshikube-lh9gz Рік тому +15

    Tumefika kwa mpigo as we wait Binti nyoka season 2.....love ya kenya from team strong 😘😘😘😘😘

  • @zainabosefo
    @zainabosefo Рік тому +26

    Eu gosto muito de vocês Zebuu ft kp, Aki em Moçambique tamos juntos sempre❤❤❤❤

  • @KelvinOdera-zg2rh
    @KelvinOdera-zg2rh Рік тому +13

    Much love from Kenya ,end I hope that this is the start of second season two. Am right back with you people love you so much

  • @ibrahimwaswa3995
    @ibrahimwaswa3995 Рік тому +2

    Dah!!!hii nomaaa,, nadhani itakuwa nzuri zaidi ya Binti nyoka,,nipeni like kama mnakubaliana na mm

  • @paulinaomira
    @paulinaomira Рік тому +10

    Aaaah zebuu wee vipi😂😂😂kp mi hapo kwa wee kua kipofu apana....suraj unakaa mbaya na koti😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sussyshikube-lh9gz
      @sussyshikube-lh9gz Рік тому

      😂😂😂😂yani hujaona utamu wa hii movie m nisha imagine utamu wakee alafu kweli suraj atoe koti🤣🤣najua hujaona nesi🤣🤣🤣🤣

    • @wendeisaack6385
      @wendeisaack6385 Рік тому

      avae na kofia sio kwa kichwa hiko😂😂

  • @Ashuraadam-n7s
    @Ashuraadam-n7s Рік тому +11

    Bismillah kwa video mpya nimekua wa kwanza❤❤❤❤

  • @aksapauline7903
    @aksapauline7903 Рік тому +29

    Woyoooo mautamu kama yote tunawatakia kazi njema wote 🥰🥰🥰

  • @eusebioamerico2660
    @eusebioamerico2660 Рік тому +9

    Wakwanza Mimi au? Niko Mozambique naomba like jamani 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @lydiawaweru6391
    @lydiawaweru6391 Рік тому +15

    KP n zebuu much love from Dubai ❤❤❤🎉🎉

  • @ZoazinaJohn
    @ZoazinaJohn Рік тому +2

    ZEBUU umefiti hataree
    Kp umeuaaa......
    Sheira nimekuona..
    Surajiiii hapo ulipo ndio penyewe Sasa mahaba waachie Kp na ZEBUU😂..
    Kisai unatosha.......
    Dibozz...... Wapi mzee Rikoma aka mzee wa KAMNYWESHO .... Aisee nyie watu mnajua mpk mnakera ...
    ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

    • @ZoazinaJohn
      @ZoazinaJohn Рік тому

      Mtaniua kwa miburudani yenu yenye ujazo✍️✍️😋😂😄🤣😍😍😍🍷🍾 kuwapenda tu siachi

  • @halimamohammedsuleiman5159
    @halimamohammedsuleiman5159 Рік тому +17

    Kwani mnashinda online jamani kila siku mm wa mwisho bc naomba like ❤

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Рік тому

      😅😅😅😅😅😅utajuaa ujuiii wewe utapata chaii😅

  • @Decrah-f8l
    @Decrah-f8l Рік тому +3

    Aki mm nakupenda sana kp na sp

  • @estherkemunto
    @estherkemunto Рік тому +8

    Wow iam so happy cz I was just thinking nitawamiss bt iam so proud of you all of them ❤ much love from keny nawalombovu❤️❤️❤️

  • @MaryamKona
    @MaryamKona 7 місяців тому +2

    Yaan kp ivo avotembea nimependaa

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 Рік тому +7

    Wow... very nice and impressive one, next please 🙏

  • @paschalbuye1334
    @paschalbuye1334 Рік тому +8

    Chuma kingine hicho Twendeni sawa mpaka Final ✊

  • @mwanalimasaid2368
    @mwanalimasaid2368 Рік тому +7

    Suraj hujavaa kilemba Leo😂😂😂sjakuzoea ivyooo miee en way nawapnda buree❤️❤️🥰

  • @salwabamvua9245
    @salwabamvua9245 Рік тому +12

    Kazi njema, mob love 4rom Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethkinyua5823
    @elizabethkinyua5823 Рік тому +10

    Kp na zebuu nawapeda, nawafuatiliaga sàana, watching from Kenya,,, may ALMIGHTY JEHOVAH see you through & open million doors and gates ahead of u AMEN,,,,, 🙏🏼🙏🏼

  • @Andrewnchenge-il7ij
    @Andrewnchenge-il7ij Рік тому +2

    Duuh! Nmekubari bomba la kazi kweli "wamangushi"

  • @GodfreyHaule-y6o
    @GodfreyHaule-y6o Рік тому +4

    Huyo Kaka Bado haujamtoka umzee likoma😂😂

  • @stephensang8253
    @stephensang8253 Рік тому +4

    Episode tafauti na Binti nyoka hee love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kp and zebu

  • @khadijasaidi9794
    @khadijasaidi9794 Рік тому +2

    Kaz nzr sna❤

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Рік тому +3

    Kp na zebuu congratulations 🎊 👏 💐 🥳 i love you guys Allah awazidishie inshallah

  • @SummaiyaKassim-wk7fr
    @SummaiyaKassim-wk7fr Рік тому +15

    KP na Zebuu nawapenda bure ❤

  • @mustafaabasi6368
    @mustafaabasi6368 Рік тому +3

    Nipeni like zangu mapeeeema jaman

  • @ivonikagonya
    @ivonikagonya Рік тому +20

    Love form Kenya 🇰🇪

  • @catherinegesare8596
    @catherinegesare8596 Рік тому +5

    Wow very nice❤, kama kawainda from 🇰🇪

  • @nafulabettyline746
    @nafulabettyline746 Рік тому +5

    I love you guys watching from Uganda 🇺🇬

  • @mbagee
    @mbagee Рік тому +4

    from tanzania upo vizur sema we huji braudi kama wengine kazi ndo inaongea Big up

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 Рік тому +4

    Kazi nzuri natumaini tuta enjoy km binti nyoka❤❤

  • @DiconsMgangasia
    @DiconsMgangasia 2 місяці тому +1

    Nice episode , and I like it

  • @sarahnakhanu
    @sarahnakhanu Рік тому +12

    Much love from Kenya

  • @razikahasan2114
    @razikahasan2114 Рік тому +4

    Habar zenu leo nimekuwa wa mwanzo naomben like zen❤❤❤😂😂

  • @jacklineindoshi1810
    @jacklineindoshi1810 Рік тому +17

    Much love from 🇰🇪

  • @elizabethlaurent6406
    @elizabethlaurent6406 Рік тому +10

    Likoma in his originality❤️❤️❤️❤️

  • @dollar105
    @dollar105 Рік тому +13

    ❤🎉😊another banger 🔥 👌 🙌

  • @MakameMakame-g4w
    @MakameMakame-g4w 29 днів тому

    Kp na zebuu🎉🎉 I love you endeleenihivyohivyo hapa naangalia wamangushi

  • @bettylove254
    @bettylove254 Рік тому +11

    Much love from kenya 🇰🇪

  • @sharpbwoy
    @sharpbwoy Рік тому +5

    Aminia kp show zako nazikubali xana👊

  • @FaileneHabonimana
    @FaileneHabonimana Місяць тому +1

    love u from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Рік тому

    Na aitawai kutokea kp na zebu wakatutolea bibovu nawapongeza kua kazi nzri mnao ifanya❤❤

  • @Willie-Loverboy
    @Willie-Loverboy Рік тому +1

    zuhuraj akai poa akiwa na hio style yake,, ajifunge kitambaa

  • @mwanaishasaid1516
    @mwanaishasaid1516 Рік тому +7

    Much 💕 from kenya

  • @RahmaMohammed-wf2qy
    @RahmaMohammed-wf2qy Рік тому

    Muendelezo jamani move nzur Sana Kama unaikubali team nzima ya kp na zebuu gonga like hapa

  • @CAPTAIN_GALAXY13
    @CAPTAIN_GALAXY13 Рік тому +17

    ᵂᴬᴸᴱ ᵂᴱᴺᵞᴱ ᵂᴬᴺᴬᴹᴷᵁᴮᴬᴸᴵ ᴹᶻᴱᴱ ᴸᴵᴷᴼᴹᴬ😂😂🤞🏽🤞🏽

  • @claudineuwizeye871
    @claudineuwizeye871 Рік тому +6

    Much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @bibiswalehemwanyere5493
    @bibiswalehemwanyere5493 Рік тому +5

    Hi Guys! Hope muko poa, WAMANGUSHI HOOOOYYEEEEEEE😂😂😂😂, Tumekutana kwa mara nyengine tena, Hope Mutazidi kutufurahisha kwa hii episode nasi tuzidi kuwapa nguvu❤❤❤❤❤ MUCH LOVE GUYS, TUKO PAMOJA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Queen_of_love_2020
    @Queen_of_love_2020 Рік тому +5

    Wamwisho 😂 nahomba likes 6😂

  • @husnaadam1994
    @husnaadam1994 Рік тому +1

    Atimae imekuja kitu moto 🔥🔥🔥 asanteni sana wapendwa kp na zebuuu nawapenda sana ❤❤

  • @halimamtunguja5947
    @halimamtunguja5947 Рік тому +5

    Kp 🎉🎉🎉🎉🎉chukua maua yako

  • @ZoazinaJohn
    @ZoazinaJohn Рік тому

    Si kwa kuwapenda huku haki vileee, ❤🎉❤🎉 IMENIBAMBA HATAREEE, NYINGINE TAFADHALI IIII❤🎉❤🎉

  • @MancaGilbert-os9kx
    @MancaGilbert-os9kx Рік тому

    Mi tangu nimeanza kufatilia kazi za kp na zebu nimetamn Hadi kweli wawe mke na mume kama vp muowane kabisa mnaendana na kazi yenu ni 🔥Sana 🇹🇿

  • @aliyahaji8512
    @aliyahaji8512 Рік тому +10

    Thank you kb na zebun ❤❤❤❤

  • @Mwana-z3j
    @Mwana-z3j Рік тому +5

    Asanteni sana kazi nzuri ❤️❤️

  • @mariamundayisenga4050
    @mariamundayisenga4050 Рік тому +6

    Thank you kep na zeb naapenda sana frm🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Marimu-if2zk
    @Marimu-if2zk Рік тому

    Bismilahi tumelifumua bomu💣 liko tamu sana nimelipenda sana,,,wenu kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @khadijaumazi3308
    @khadijaumazi3308 Рік тому

    Zebuu fanya mambo mfiche kp asionekane utanifurahisha sana mpnz

  • @HawaSwaleheh
    @HawaSwaleheh Рік тому +6

    Nice job from Kenya 🇰🇪

  • @tumainimwase682
    @tumainimwase682 4 місяці тому

    abar kp, pamoja sana napenda move zako, nilikua naulizakuwa ukitaka kujiunga na kundii

  • @elizabethmoraa8183
    @elizabethmoraa8183 Рік тому

    Nimeigia Kwa wakati wapi likes za wakenya wenzangu ❤❤❤❤❤ kwani dibozi hayuko huku yeye na mzee likoma wananifurahisha

  • @shiblock8652
    @shiblock8652 Рік тому

    Jamani namkubali saaaana huyu jamaha Binti nyoka ameimaliza vizuri na hii nayo nimesha tiki mapema nimzuri asiwe na Chelewa kutowa tu

  • @David-q7g4q
    @David-q7g4q Рік тому +8

    Still nawafollow my pple....much love 💕 by Neema from kenyaa

  • @jospinsadiki4580
    @jospinsadiki4580 Рік тому

    mimi wa kwza yani kp brother nakukubali sana kaka

  • @salimahakizimana8783
    @salimahakizimana8783 Рік тому

    Nice saaaana,ila suraj awe tofauti sio awe kama gisi alikua ana act kweny binti nyoka

  • @noelk9057
    @noelk9057 Рік тому

    Suraj rudi kwenye nguo zako za Binti nyoka hzo ndo zakufaa much love from Kenya 💓❤️❤️

  • @andrewgumbo3517
    @andrewgumbo3517 Рік тому

    Niliangalia hdi mwsho bila kujua alieko na suraji Ni mzee likoma

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +3

    Hapa napata jibu kwanini suraji alikua anaependa kuvaa kitambaa kichwani katika series ya Binti nyoka 😂

  • @kiswaswadu2132
    @kiswaswadu2132 Рік тому

    Jamani yani kp kawa kipofu itakuaje hii move dah❤😅😅😅😅

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh Рік тому

    Big UP sana kabisa kp ujawayi kutuhangusha nahona kitu Niki zuri sana tuna omba sehemu yakufata from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 Рік тому

    Daaaah...Zebuu, we sio poa at kidog jaman, daaaah 😢😢😢😢....

  • @salesiasamwelmatinya5338
    @salesiasamwelmatinya5338 Рік тому

    Hamjawah kuwa na kanz mbovu nyie watu ipo vinzuri pia nahii ipo vinzuri sana aisee

  • @Rednuel
    @Rednuel Рік тому +4

    ❤ nawapenda kutoa kenya

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Рік тому +1

    wow very nice video ❤❤❤nimeipenda sana nikiwa apa kenya 🇰🇪👈

  • @GloryElias-jd7lf
    @GloryElias-jd7lf Рік тому

    Waliojua kua uyo mmangushi mwingine Mzee likoma tupoa like ❤❤❤

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Рік тому

    Kp na zebu mm nawafatilia sna you tube nimekua nataka kuuliza je nyie mnakua mke na mme bia ukwel ao ni cinema tuuu

  • @philipomussa
    @philipomussa Рік тому +1

    Kp katia huruma hapo alipo igiza ni kipofu😂😂

  • @judithmulati7201
    @judithmulati7201 Рік тому

    Aky kp wetu Mungu mufunike wasije wakamuona

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 Рік тому

    Nyiewatu nikiboko uwiiiiii mungu aendelee kuwapigania mnajua sana

  • @Bintiade1922
    @Bintiade1922 Рік тому

    Utamuuu tu mko vzur kwa kwel wamangushi on 🔥

  • @DeodathaManjali-it5ec
    @DeodathaManjali-it5ec Рік тому

    Jamani Mzee likoma Leo Kawa kijana na kumtongoza zebuu

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 Рік тому +1

    Hongeren sana kp kazi ni nzur masha'Allah🥰🥰

  • @maleshmspecial
    @maleshmspecial Рік тому

    ❤tamu sana kp na zebuu naona mzee likoma kabadili role

  • @ruksan206
    @ruksan206 Рік тому +2

    Wa kwanza nipeni like zangu🎉🎉

  • @juliethenry9507
    @juliethenry9507 Рік тому +2

    Banger after banger after banger ❤❤❤❤moto sana 🔥🔥

  • @stephenkibestephenkibe8195
    @stephenkibestephenkibe8195 Рік тому

    K P thanks Kwa movie poa bro mkiwa na zeembu na woto mko nao

  • @MonaMona-ut6sl
    @MonaMona-ut6sl Рік тому

    Cheusi mangara ujaacha ujambazi to😅😅😅 !Leo Sheila anaonekana mwema bc cjui uko mbele😅😅❤❤❤to all

  • @khadija2113
    @khadija2113 Рік тому

    😂😂😂 DADA ZEBUU ASANTE SANA UMENIFULAHISHA SANA TONGWA TENA❤❤❤NAWAPENDA

  • @cephlenrobert3071
    @cephlenrobert3071 Рік тому

    Adi machozi yamenitoka jamani 😭 Dah but nzuri sana

  • @salomemideva5752
    @salomemideva5752 Рік тому

    Hii nayo mumeanza chonjo kbsa hongera ❤️👍👍👍

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 Рік тому

    Zebuu hii huchekicheki kama ile ingine, kama unamiss kicheko Cha Binti nyoka gonga like huku tukisonga nayo😂😂😂😂😂😅😅😅❤😂🎉😊😅😮

  • @Judithkadzo-t6q
    @Judithkadzo-t6q 5 місяців тому

    Mm napenďa sana kuwafatiliya nawapenda sana

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 Рік тому

    Leo mzee likoma na cheus wamepigilia suti

  • @happymkasiwa5944
    @happymkasiwa5944 Рік тому +1

    Mmetisha sana

  • @SarahLish-q3s
    @SarahLish-q3s Рік тому

    Wow kazi nzuri kaka zetu.from kenya

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 Рік тому +1

    Wow much love nwafatilia sana from Saudia ❤❤❤