SHEILA | Part 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 397

  • @jennifercharls4991
    @jennifercharls4991 2 місяці тому +97

    Shey shey alivyo humble utazani sio yule komando kipensi wa kwenye plan B, but big up kwa kazi nzuri 🔥 🔥

    • @Benny318m
      @Benny318m 2 місяці тому +5

      Wee hujamuona kwenye wamangushi

    • @princemtey4663
      @princemtey4663 2 місяці тому +2

      This is what we call character

    • @Dianaf774
      @Dianaf774 2 місяці тому

      😂😂

    • @SherryFrank-z4p
      @SherryFrank-z4p 2 місяці тому +1

      Nimependa

    • @OmaryRamadan-m8v
      @OmaryRamadan-m8v 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂ukiwa msanii sehemu yoyote ukiwawekwa lazima ukae

  • @handyboyvictor
    @handyboyvictor 2 місяці тому +13

    Shey Shey umejitahindi sana... Kazi safi

  • @ZaidiaKhassim-x4x
    @ZaidiaKhassim-x4x 2 місяці тому +31

    KAZI nzuri shey shey ruka na 🎉🎉🎉 yako

  • @ENOCKCHESEBE-nn7fz
    @ENOCKCHESEBE-nn7fz 2 місяці тому +16

    Shey shey uko best and very creative representing Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 2 місяці тому +33

    Sheilaaa❤❤ moviee kaliiii,,,, lkn inachelewa kutokaaa jitahidi kpenziii iwe inawahiiiii🫂🫂🫂🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @magdalenasylvester112
    @magdalenasylvester112 2 місяці тому +9

    Congratulations 🎉 dada angu kipenzi ❤️🇹🇿 kazi makini sana

  • @KIOMBOYTZ
    @KIOMBOYTZ 2 місяці тому +20

    Jamani hamjamuona huko aliompola dada angu sheila hela

    • @ZuwenarashidiLukanga
      @ZuwenarashidiLukanga Місяць тому +1

      😂😂😂nimemkamata njoo na polisi

    • @KIOMBOYTZ
      @KIOMBOYTZ Місяць тому

      @@ZuwenarashidiLukanga we polisi wanahuruma huyo namalizana nae mwenyewe kimya kimya upo nae wapi nije

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 2 місяці тому +7

    Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 2 місяці тому +13

    Hongera dada shey mau yk Hy 💐🌹🥀🌺🌷🪷🌸💮🏵️🍁🍂🪻

  • @josephatmaroa5330
    @josephatmaroa5330 2 місяці тому +6

    Aky Sheila usijari do ulimwengu tunao ishi❤❤❤

  • @omegarusumga3755
    @omegarusumga3755 2 місяці тому +11

    Shey hongera sana kazi iko Safi sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @jaliamartinz
      @jaliamartinz 2 місяці тому

      Much love from Uganda 🇺🇬 ❤️

  • @johnkizengamadika-k2k
    @johnkizengamadika-k2k 2 місяці тому +7

    Nakufwata vizuri toka Congo RDC mudi Kolwezi

  • @NollywoodMoviesNollywood
    @NollywoodMoviesNollywood 2 місяці тому +7

    Filamu za kitanzania ziko poa sana na nzuri sanaaaa tena zaidi ,pongezi kwenu

  • @FabianoJumanee
    @FabianoJumanee 2 місяці тому +7

    ila darkid inavyoonekana ata kwenye maisha ya uhalisia upo mpole na mstaarabu ivo ivo mungu awatunze jamani

  • @Maria-x9j6k
    @Maria-x9j6k 2 місяці тому +4

    Nakupendaje wewe kadada shei shei love youu♥️♥️♥️

  • @ShabaniIbrahim-e7q
    @ShabaniIbrahim-e7q 26 днів тому

    Duuu pol sana shey shey kwa mtihan wa kupotezan na mdog wak

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 2 місяці тому +5

    Hongela sana dada sheilla .kazi nzuri .Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 2 місяці тому +13

    Shey shey umenifanya nilie kipemzi polesana 😢😢😢

  • @AliNassoro-r9d
    @AliNassoro-r9d 2 місяці тому +5

    Shey shey honger san kwa kz mzr lakn unachelewesh san kuachia

  • @RamaJames-d2d
    @RamaJames-d2d Місяць тому +2

    Kazi nzur xan umetisha 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sergesntunzwenimana
    @sergesntunzwenimana 2 місяці тому +32

    😢😢respect movies imenifunza ,Kikubwa kutoka Burundi bendela juu kama umeipenda Sheilla part2 nipe like ndugu zangu

    • @JombaWay
      @JombaWay 2 місяці тому

      Wakwetu BURUNDI tuko pamaja 🇧🇮

  • @catherinebunyasi6051
    @catherinebunyasi6051 Місяць тому +1

    KAZI nzuri Sana Sheila,KAZI nzuri 🎉🎉🎉🎉much love from Kenya 🇰🇪

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 місяці тому +7

    Pole sana Sheila 😢umepitiya cengamoto nyingi sana we na kaka yako😢

  • @mussaYohana-w9x
    @mussaYohana-w9x 2 місяці тому +5

    Asante Sana Sheila mungu akuogoze ufike Bali sana

  • @SharonChumba-bu6mp
    @SharonChumba-bu6mp Місяць тому +1

    Kipindi kizuri ❤❤❤❤ila najikuta nalia kumwona sheila akilia

  • @asyatajiriwaubunifu3003
    @asyatajiriwaubunifu3003 2 місяці тому +13

    Ndagukunda cane Sheila wangu❤kutoka Burundi 🇧🇮

  • @edmondmungakabiombwa7119
    @edmondmungakabiombwa7119 2 місяці тому +3

    Napenda sana movies mimi kutoka Congo Lubumbashi

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 2 місяці тому +7

    Keep going my lovely sheila

  • @AngieAngela-h5g
    @AngieAngela-h5g 2 місяці тому +2

    Sheyshey we kuwa mpole nakataa kuwa tu komando mama😂

  • @FantanaIsmail
    @FantanaIsmail 2 місяці тому +14

    Shei wangu nakupenda Kwa ajili ya Allah unanifuraishaga sana❤❤❤

  • @DavisMmole-i6p
    @DavisMmole-i6p 2 місяці тому +3

    Saf nawakubal sana leo naenjoy kumuona mchizii wang Darkid

  • @PeterMganga-xg6qe
    @PeterMganga-xg6qe 2 місяці тому +17

    😢😢😢duh Sheila umenitoa machozi kwakweli

  • @EliasSiplian
    @EliasSiplian Місяць тому +1

    Hongela move ninzuli ila jitahidi kutoka kwawakati

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 2 місяці тому +1

    😢😢😢 Ohoooo pole sana shey shey utampata ti mdogo wako .kazi nzuri sana 👍🔥

  • @Seyusking
    @Seyusking 2 місяці тому +37

    Wakwanza mimi kutoka Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩 like zangu jamani

  • @ValDavy-i2n
    @ValDavy-i2n Місяць тому

    Shey Leo ukaliya wa ni mepeda iyo ❤❤❤❤😭😭❤❤❤❤

  • @EsterElias-o4l
    @EsterElias-o4l Місяць тому +1

    Shey shey nakupenda sana una shingo nzuri

  • @ZainabuKaniki-h8c
    @ZainabuKaniki-h8c 2 місяці тому +1

    Nakupendaga dada sheila na wote kwenye kundi la kpna zebuu❤

  • @NdayiragijeBelacca
    @NdayiragijeBelacca 2 місяці тому +19

    Wapili kutoka Burundi naomba like hata kumit tu
    Ila Sheila umefanya Kaz nzur tumenogewa

  • @ZuwenarashidiLukanga
    @ZuwenarashidiLukanga Місяць тому +1

    Movie nzur sana hongera ila Iko slow ❤❤❤

  • @MsafiSheby
    @MsafiSheby 2 місяці тому +2

    Shey shey muvi iko poa usichele weshe sana kuitoa uka uzi masha biki wako kama wengine muvii inakaa mpaka wisahau ❤❤❤

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 2 місяці тому +5

    Shey shey hua nimashine yakazi kazi nzr ila wahisha kutoa bac kipenzi maua Yako hyo🎉🎉🎉

  • @SharonChepngeno-d7e
    @SharonChepngeno-d7e 2 місяці тому +2

    Natamani sana kama Briton ungegeuka umwone kakake sheila ❤❤

  • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
    @AugustinhoManyangaunitedboetz3 2 місяці тому +2

    Jaman njaa sio ndugu yetu kabisa mpaka my dear sister kasaau kunawa mikono😢🎉

  • @stitore2388
    @stitore2388 2 місяці тому +1

    Courage chèche.

  • @JustinaWilliam-nq8ft
    @JustinaWilliam-nq8ft 2 місяці тому +3

    Keep going my lovely sister sheila ❤❤❤

  • @MancaGilbert-os9kx
    @MancaGilbert-os9kx 2 місяці тому +1

    Shey shey yan mshenz kabisa yan umefanya na mm nilie utafikiri nikweli unapitia magumu pumbavu zangu😂😂😢

  • @HalimahMakokha
    @HalimahMakokha 2 місяці тому +6

    Shey shey kazi nzuri sana ila dakika ziwe nyiki kidogo nakupenda miye kutoka kenya

  • @KingElyon-vo4lv
    @KingElyon-vo4lv 2 місяці тому +4

    Shey Shey kaxinzuri

  • @teresiawamboigitau2221
    @teresiawamboigitau2221 2 місяці тому +4

    Safi sana sheilah

  • @YahyaKheir
    @YahyaKheir 2 місяці тому +1

    Mmeanza vizuri hivo mjitahidi mmalize vizuri

  • @NaimaAli-q5r
    @NaimaAli-q5r 2 місяці тому +18

    Nakuaminia kipenzi kutoka Kenya nakufatilia Nakupenda bure

  • @ramrathjuma1631
    @ramrathjuma1631 Місяць тому

    Unaniliza sana Sheila 😢😢 pole kwa unayoyapiti naimani mungu atamlinda mdg wako

  • @mamafidelsfidels8585
    @mamafidelsfidels8585 2 місяці тому

    Shey shey unataka nn kutoka kwangu ,😂😂😂Kisai Questioning

  • @EunicyAwino
    @EunicyAwino Місяць тому +1

    Hizo vibindi vyenu vinanifunza sana ndio maana napena kufwatlia asanteni Kwa kazi nzuli

  • @RehemaMundu
    @RehemaMundu 2 місяці тому +1

    Sheila nkupnd bure dadaa❤❤🎉🎉

  • @Elizabeth-p3d
    @Elizabeth-p3d 2 місяці тому +5

    Sijui nalilia nin??😂😂😂😂

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 Місяць тому

    Sheila dada Ang kipenz singida mabegani pambana dada Ang nakuona mbali mungu ainue kipaji chako

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial Місяць тому

    Sheila pia tume kuku bal❤❤

  • @SarahEmily-dm3gz
    @SarahEmily-dm3gz 2 місяці тому

    Kazi nzuri sana Ila mnachelewa😂😂😂

  • @Benny318m
    @Benny318m 2 місяці тому

    Nilianza kukupenda sheyshey kuanzia kwenye binti nyoka na wamangush unazidi kutisha rafiki angu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 let your star continue to shine it's your time miss sheyshey

  • @bundalajames1244
    @bundalajames1244 Місяць тому

    From arizona.... Nimezoea za kikomando zinakubamba sana 💯Aisee umeua sana shey shey. 🤝

  • @DamarisMoraa-y5d
    @DamarisMoraa-y5d 2 місяці тому

    Kumbe Sheila uneza ji humble vo hongera sana🎉🎉

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 2 місяці тому

    Nakupenda Sheila kipenzi kz nzuri Sana ❤❤❤❤

  • @RamaMwacharo-qn1og
    @RamaMwacharo-qn1og 2 місяці тому +1

    Shey shey Leo kawa mnyonge msonge

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 місяці тому

    SHEY SHEY ANAFITI KILA SECTOR YA UIGIZAJI BIG UP KP TEAM❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZuwenarashidiLukanga
    @ZuwenarashidiLukanga Місяць тому

    Kweli kufa hawafiani shey unakula wakati dogo anpiga miayo 😂😂😂

  • @ronyalkh
    @ronyalkh 2 місяці тому +13

    Leo nimejaribu kuwai ivyo bas naomba like tafadhali

  • @AburahmanAlly
    @AburahmanAlly 2 місяці тому

    Shei ukovizur dada jamani ubalikiwe sana ❤❤❤❤❤

  • @Tecpeacemonitor-oz5zg
    @Tecpeacemonitor-oz5zg 2 місяці тому

    Duuh hongera sana shey shey japo nimemwaga machozi..

  • @LuckyRokus
    @LuckyRokus 2 місяці тому

    Umjua kunikiza shey shey dah😂😂😂😂

  • @daywamerfundi
    @daywamerfundi 2 місяці тому +4

    Shey shey❤

  • @kevinsimiyu4532
    @kevinsimiyu4532 2 місяці тому

    pole sana madam shey shey mungu yupo na wewe pamoja na mdogo wako🎁

  • @KazimiliWilliamu
    @KazimiliWilliamu Місяць тому

    Hahaha mnachekesha wadau ety komando kipensi...

  • @twagirimanaaisha
    @twagirimanaaisha 2 місяці тому

    Tume iwona❤❤❤❤❤❤ tunatak ingine3

  • @RuthMwende-qv7jo
    @RuthMwende-qv7jo 2 місяці тому

    KAZI nzuri kipenzi shey shey keep fire 🔥 burning.🎉

  • @joseKende
    @joseKende 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana kaka! Kwa kumsaidia sheila utalipwa na Mungu

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 2 місяці тому

    Shey shey umefanya nikalia 😢pia mm nishawai pitia magumu kwa kweli umefanya nimelia jamani episode 3 nangoja and I really love shey shey strong lady

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c 2 місяці тому

    Kwa kweli mdogo wa Sheila amenifanya nimelia kweli hii dunia ndio ilivo i say keep going my sister sheila kwa kutufunza 😢😢😢

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 місяці тому

    Asande dj nakukumbali sana kwakutuletea mnzingo tena natokea kenya 🇰🇪 pamoja🎉🎉🎉🎉

  • @Aishaiddy1994
    @Aishaiddy1994 3 дні тому

    Nakumbuka kwenye last card aliulizwa Na kp kua hivi shey shey una boy friend shey shey alichekatu😂😂 nakumuuliza kwann umeuliza ivo

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 2 місяці тому

    Shey shey nakupenda sana nitakuja kukutafuta one day inshallah ❤❤❤

  • @ZuwenarashidiLukanga
    @ZuwenarashidiLukanga Місяць тому

    Hadi nimelia aisee dah sheyshey 🎉🎉

  • @issa_Issa2005
    @issa_Issa2005 2 місяці тому +1

    Iyo SOUNDTRACK kaimba DAR KID daaa ❤❤❤

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 2 місяці тому

    Dashei xhei ❤❤❤ mzenj ap

  • @Zpauljr994
    @Zpauljr994 2 місяці тому

    Kazi nzuri shey shey🔥🔥

  • @aludabenson6175
    @aludabenson6175 2 місяці тому

    Shey shey kwanzo niliona huna hii Atlanta but now wewe nimuigizaji continue like that ❤❤❤❤

  • @ThiatiraMunio
    @ThiatiraMunio 2 місяці тому +3

    Nimechelewa kidogo ila naombeni haha like 10 waungwana Mungu atawabariki❤❤❤

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 2 місяці тому

    Good job Sheila maua yako 🎉🎉🎉❤🎉🎉

  • @MarihamuPaulo
    @MarihamuPaulo 2 місяці тому +1

    Nakuaminia shei shei We noma sana

  • @everdhekay4924
    @everdhekay4924 2 місяці тому

    Inaonekana Kali 😂😂, Sheila kumbali maneno ya Darkid

  • @SkaterTravellerWorld
    @SkaterTravellerWorld День тому

    I'm watching from Burundi Country 🇧🇮 😍 God bless you 🙌 🙌 🙌

  • @JaylassMarshico
    @JaylassMarshico 2 місяці тому

    Sheyshey nakupenda sana nakasura kako kaduara, I love you

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z Місяць тому

    Sheilah umeniliza sana wallah daaah 😭😭

  • @Neverallon
    @Neverallon 2 місяці тому +1

    Sheila walah Leo. Umeniliza mno 😭😭😭

  • @kaurialilian4889
    @kaurialilian4889 2 місяці тому

    This is so amazing of you sheila🎉

  • @zainzain1163
    @zainzain1163 2 місяці тому

    Sheila tunakupenda dada from kenya ❤❤❤❤

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 2 місяці тому

    Move Ni Ya Moto Sana inanitoa Machoz😢😢 hla Shey jitaid Kuwaisha Kutoa Hii Move

  • @sharonbhoke-hk2my
    @sharonbhoke-hk2my 2 місяці тому +1

    Good job shey shey ❤❤❤❤

  • @LovenessNgonela
    @LovenessNgonela 2 місяці тому

    Hahaha😂😂dha shei shei unachekesha until huo unatakakuozeshwa